PROF. MBARAWA ATEMBELEA SGR TABORA, “ CHANGAMOTO NI KAWAIDA KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI MIKUBWA”

Пікірлер: 6

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth59579 ай бұрын

    changamoto ni Hamna hela,,,,na ndiomaana unakuta mkandarasi ana slow down

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka47659 ай бұрын

    Mngewapa Wachina wangekuwa wamemaliza hao waturuki ni wababaishaji wamefilisika hamna kitu hapo mmeingia cha kike na hao waturuki

  • @jamesnteleva7073

    @jamesnteleva7073

    9 ай бұрын

    Kwani hao Waturuki si ndiyo waliojenga kipande cha kwanza na cha pili? Wanashindwaje kwenye kipande cha tatu ilhali wameweza kwenye vipande vya awali?

  • @saidibalagwila8496

    @saidibalagwila8496

    9 ай бұрын

    Wachina ndio wasenge kabisa

  • @kabwelasutiviraka4765

    @kabwelasutiviraka4765

    9 ай бұрын

    @@jamesnteleva7073 cha kwanza hata hawajamaliza hadithi tu

  • @kabwelasutiviraka4765

    @kabwelasutiviraka4765

    9 ай бұрын

    @@saidibalagwila8496 wachina wako reliable kuliko waturuki kuwaambie tu unataka nini SGR ya Kenya wameijenga bila longo longo hata SGR zingine na metro mfano Nigeria na mchina hawezi kuja na hadithi ya mtaji umekata