PENZI LA DADA WA KAZI 💞 EPISODE 02 | Love Story

#dontatv #bongomovie #peteyaajabu #swahili #dadawakazi #housegirl #penziladadawakazi #penzilahousegirl #kelvinkhan

Пікірлер: 1 200

  • @idrixalumany5902
    @idrixalumany590211 ай бұрын

    Movie zako zinafundisha na unajitahidi kuuweka uhalisia wa maisha yetu katka jamii hongera sana

  • @vanessa-vavandikumwenayo2757
    @vanessa-vavandikumwenayo275711 ай бұрын

    Iyi filamu inamafunzo mengi sana tena mazuli🥰 kama unakubali gonga like apo tujuane 🤝

  • @estherkapange4943

    @estherkapange4943

    11 ай бұрын

    Nimeelewa sana

  • @pilicharo4123

    @pilicharo4123

    11 ай бұрын

    tufunzika wengine 😅😅😅😅

  • @irakozechantal1669

    @irakozechantal1669

    10 ай бұрын

    ❤❤❤

  • @innocentkimario7082

    @innocentkimario7082

    10 ай бұрын

    Nakubali Sana kaka

  • @mwitamarwa2896

    @mwitamarwa2896

    10 ай бұрын

    Jamani hata Mimi nimeipeda

  • @faridirakiza6331
    @faridirakiza633111 ай бұрын

    very good history Kelvin quickly let's see part 3

  • @philipsylvanus6266
    @philipsylvanus626611 ай бұрын

    Thanks for this educative and teaching film

  • @EmmanuelMugabonihera

    @EmmanuelMugabonihera

    9 ай бұрын

    Ro

  • @isaya240
    @isaya24011 ай бұрын

    Nakubali sana kazi zenu zinakua ndefu sana tunainjoy kama unakubaliana na hili like

  • @kulthummohamed101

    @kulthummohamed101

    11 ай бұрын

    Sio lazim

  • @asiamohd5516

    @asiamohd5516

    11 ай бұрын

    Ndefu uu? Kivipi yaani.

  • @tumainistephano

    @tumainistephano

    11 ай бұрын

    Kabisa hatafutwi

  • @daftonmwakima9331

    @daftonmwakima9331

    11 ай бұрын

    Much love from Kenya ila mama ndoa hailazimishwi

  • @fatumakhamiss1063

    @fatumakhamiss1063

    11 ай бұрын

    Jamni nzuri kelvin muvi zako nzuri San part ya tatu jmni naomba

  • @janetymwakupha4784
    @janetymwakupha478411 ай бұрын

    Makofi kwenu nimependa sana movie zenu 👑💯💯💯💯

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi551111 ай бұрын

    Yani movie imetuliya kila kitu hamuzikii hamuna mimgii 🎉🎉🎉🎉 mawapenda sana dije asant

  • @ramadhanfetty71
    @ramadhanfetty7111 ай бұрын

    Huyu mama amenishinda tabia khaaaaa 😅😅😅😅 kwan ye ndy alikuwa anaishi nae mama wengne bhna ndy shida za kuchaguliana Allah awaepushie haya mabalaa kaka zetu

  • @taucjumanne1953

    @taucjumanne1953

    11 ай бұрын

    Yaaan anakera hatak hata kumsikiza mwanae😢

  • @gilbertkawala438

    @gilbertkawala438

    10 ай бұрын

    Congratulations 🎉🎉🎉 Kelvin

  • @sarahkanyuamwithi3855

    @sarahkanyuamwithi3855

    Ай бұрын

    It's almost true

  • @diana-dp5ze
    @diana-dp5ze11 ай бұрын

    Wa kwanza nawapenda San like kumi kwang

  • @usterbae
    @usterbae11 ай бұрын

    Hongera wahusika wote much love from 254 team strong lets gather here ❤❤

  • @prackyowire7982

    @prackyowire7982

    10 ай бұрын

    Team strong ndo gani haswa😂

  • @user-gi4si8is1o

    @user-gi4si8is1o

    3 ай бұрын

    ❤❤❤

  • @erickymofficial
    @erickymofficial11 ай бұрын

    Nilikuwa nimesubiria hii sehemu ya pili .. sana... Naipenda zaidi 💕🥰😊🤗

  • @Happy-jc2ms

    @Happy-jc2ms

    6 ай бұрын

    😭😭😭😭😭

  • @wynesesthertchuwa2139
    @wynesesthertchuwa213911 ай бұрын

    Weee mama vp nimekuchukia bure mbona kelvin humpi nafasi yakuongea😂😢

  • @salumurashid-8477

    @salumurashid-8477

    11 ай бұрын

    Yeah ni kweli mama anazinguwa xana

  • @habibaraphael6583

    @habibaraphael6583

    11 ай бұрын

    Nikweli kabia ampi nafasi ya kuongia

  • @KingThedone

    @KingThedone

    7 ай бұрын

    Mama kisirani sana

  • @user-tx7je4wp9d
    @user-tx7je4wp9d11 ай бұрын

    Mbona kervin maman anamponda hivyo jamani wazazi na sisi tujiludie ❤❤❤😢😢

  • @salumurashid-8477

    @salumurashid-8477

    11 ай бұрын

    Nikweli kabisa maana mama anazinguwa xana

  • @user-kt4wx6xu9l

    @user-kt4wx6xu9l

    6 ай бұрын

    Mpaka nmekasirika

  • @user-yu9qn4oi3g
    @user-yu9qn4oi3g11 ай бұрын

    😢😢😢nyie huyu mama munamuelewa kweli nzuri sana

  • @AmidaTweve-jf4sx

    @AmidaTweve-jf4sx

    11 ай бұрын

    Huyu mama chiz hataki hata kumsikiliza mwanae aseme anayopitia

  • @nurutaz

    @nurutaz

    11 ай бұрын

    Simwelewi sijui yeye ndie anaoa 😂🤣

  • @nurutaz

    @nurutaz

    11 ай бұрын

    @@AmidaTweve-jf4sx ndio shida ya kutafutiwa mke si atafute mwenyewe

  • @user-yu9qn4oi3g

    @user-yu9qn4oi3g

    11 ай бұрын

    Huye mwanamke mwenyewe Sasa kiruka njia duhu wa mama wengine bwana Wana boo

  • @user-mf4xu6jr4x
    @user-mf4xu6jr4x11 ай бұрын

    Nimepata kujifunza mengi kutoka kwenu hongera sna.

  • @sephaniatimoth4353
    @sephaniatimoth435311 ай бұрын

    Kelvin asante kwa mafunzo mazuri ❤️❤️

  • @samsonmpangala1481
    @samsonmpangala148111 ай бұрын

    Kaka kelvin nakuomba mwendelezo wa hii move umejitahidi sana kuitwngeneza

  • @BahatiHumwa-iy4in

    @BahatiHumwa-iy4in

    11 ай бұрын

    Kevin unaweza sanaa

  • @trizzervuyanzi-nt6nl
    @trizzervuyanzi-nt6nl6 ай бұрын

    Congratulations Brother Kelvin this episode is really educative to ladies and moreso to me as a young Lady who is looking forward to get married

  • @shafirukhassimu

    @shafirukhassimu

    6 ай бұрын

    Congrats

  • @allysalehe1912
    @allysalehe191211 ай бұрын

    Mmetisha sana ❤ nimependa sana kazi zenu mungu awazidishie muwe zaid ya apo mlipo 🙏🙏🙏

  • @Erick-es3ii

    @Erick-es3ii

    10 ай бұрын

    Tina ni malaya afadhali viky

  • @sata7067

    @sata7067

    9 ай бұрын

    Nzur sna filam

  • @nurusaid4698

    @nurusaid4698

    8 ай бұрын

    Ameniiii

  • @GracePendo-nc1el

    @GracePendo-nc1el

    7 ай бұрын

    Amen 👏 🙏

  • @musiimealice8543

    @musiimealice8543

    5 ай бұрын

    🎉

  • @fabricemuzungu8078
    @fabricemuzungu807811 ай бұрын

    Kelvin my brother huwa nafuatilia kazi zako nikiwa marekani big up bro

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri955811 ай бұрын

    Haya ndio matokeo YA vifo yanayosababishwa na wazazi bila kujua

  • @user-fs7xc2bb5d

    @user-fs7xc2bb5d

    11 ай бұрын

    Nikweli kuna ule msemo hatuachani hadi kifo mwisho wa siku wanachinjana

  • @user-fs1dz6kd3s
    @user-fs1dz6kd3s9 ай бұрын

    Mother in-law has a point but she is too harsh to Kelvin give Kelvin time to give his plea.

  • @NashNenoi-ld8ff
    @NashNenoi-ld8ff8 ай бұрын

    msikilize mwanao mamaa,,mapenzi saa zingine zinachosha ,, 😢😢

  • @gibsonlepilal2783
    @gibsonlepilal278311 ай бұрын

    From Kenya much love series ❤

  • @user-kf5wc1iu4k
    @user-kf5wc1iu4k11 ай бұрын

    Tamu sana na yenye mafunzo mema big love from Kenya ❤❤❤❤

  • @user-me2dt3hr8x
    @user-me2dt3hr8x11 ай бұрын

    Jamn Leo wa kwanza yn ata second hazijamaliza nime angalia lkn stk like zenu😂

  • @tedysambaya

    @tedysambaya

    11 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂 nimechekaaaa

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma938811 ай бұрын

    KELVIN ONGERA XNA KAKA ❤❤❤❤MUCH LOVE FROM 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg165211 ай бұрын

    Safi sana kazi zenu nzuri Kelvin ongela sana munadupa mafunzo mema kbs ❤❤❤

  • @user-hf2jo4hg8h
    @user-hf2jo4hg8h11 ай бұрын

    Nimejifunza mengi sana kupitia hizi movie za kelvin because hiko na mafunzo mazuri sana3

  • @johnnyshauri6170
    @johnnyshauri61707 ай бұрын

    The true meaning of a wife material...quite amazing keep up the scrumptious work from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @benialex7792
    @benialex779211 ай бұрын

    Not bored with your acting, much respect

  • @sarahkanyuamwithi3855

    @sarahkanyuamwithi3855

    Ай бұрын

    Mine too

  • @salumurashid-8477
    @salumurashid-847711 ай бұрын

    Ni kweli kabisa wanajitahidi kuifundisha jamii yetu hongereni xana Kwa kufanya vizuri

  • @jajakajaniri5813
    @jajakajaniri581311 ай бұрын

    Napenda Movie Nzenu Kbx 🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇧🇮🇸🇦🇷🇼

  • @user-kr8ep3pw9d

    @user-kr8ep3pw9d

    Ай бұрын

    Safe sana

  • @appsplay4324
    @appsplay432411 ай бұрын

    Jamani napenda kazi yenu ikosaw 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @dieudonnemugirangabo8174
    @dieudonnemugirangabo817411 ай бұрын

    Maman Kevin mbona hausikiliza mwanao Kévin nikwanini? Umependa mukwe kuzidi mwanae🤦🤭🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl10 ай бұрын

    Daah 😢hili ni funzo kubwa mno, asanteni sana gud job

  • @fatuma5651
    @fatuma565111 ай бұрын

    Nakubali San walai kazi zenu Zinakua ndefu San ❤❤❤❤ nazipenda San🥰🥰🥰

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi755111 ай бұрын

    Safi sana kaka kazi nzuri ujakosea simamiya msimamo wako ndio dawa ya mwanamke asie jitabuwa akae kwao ajifunze mama hajuwi unachopitiaa kaka simama na msimamo wako

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio884611 ай бұрын

    Waoooh, move nzuri sana na mnafurahisha maana ni ndefu

  • @AngelinaWangachumo
    @AngelinaWangachumoАй бұрын

    Ongera Sana dungu zangu watazania, iyi filamu nizuri sana inatufuza sisi wana wake kabisa Asante sana

  • @winnymwathi3098
    @winnymwathi309811 ай бұрын

    Yani pamba nkiwa Kenya 🇰🇪 😍 Good luck kelvin 💕🙏💕💯✔

  • @SheillahJeptoo
    @SheillahJeptoo10 ай бұрын

    Congratulations Kevin you know how to make a decision hii movie n funzo kweli

  • @SamwelWafula-xt3jf

    @SamwelWafula-xt3jf

    5 ай бұрын

    Sasa

  • @dativakimath-hs7ul
    @dativakimath-hs7ul11 ай бұрын

    Jaman kaka kelvin toa part three movie nzuri sana

  • @user-qt9jr5zl9l
    @user-qt9jr5zl9lАй бұрын

    Hii ni movie vzr sana inamafunzo mazuri san

  • @sylviavilinga
    @sylviavilinga10 ай бұрын

    Fantastic episode, Kindly awaiting for the next one!!!!

  • @laninjeje8290

    @laninjeje8290

    9 ай бұрын

    Upo vizuri, na unajua episode nzuri. Namba yako please

  • @NehemiahSang-nj6mq
    @NehemiahSang-nj6mq11 ай бұрын

    Great work guys congratulations 🎉🎉🎉

  • @CharlesKilemi-jy8kr
    @CharlesKilemi-jy8krАй бұрын

    It's good to all lady to learn from this ,,,I really like ❤

  • @DJPRINCE01-tg5qh
    @DJPRINCE01-tg5qh10 ай бұрын

    Hapana kwa hapa huyu mama anakosea.kwamm ningepiga magoti nikaomba mungu kwa laan isinge nishine hata anivulie ngua mama kama radhi isinge nishika.hata kama ni mzazi ninge enda na shughuri zangu tu. Kutafuta maisha yangu mbele kwa mbele huko

  • @KambereBengebengeFaidas-lc8ig
    @KambereBengebengeFaidas-lc8ig11 ай бұрын

    N'a shukuru sana kwa kazi tenu n'a kutupatia mafundisho

  • @doricasdoris3362
    @doricasdoris336211 ай бұрын

    Iko vizuri Sana nimeipenda Sasa Kaka Kevin huyo mwana mke kiboko kwani ndio mke wako kweli au Mana kanishinda tabiaa 🙊

  • @TessyMalaika

    @TessyMalaika

    Ай бұрын

    Kevin hongera sana hii inafundisha sana inapendeza

  • @priscilamroso5827
    @priscilamroso582711 ай бұрын

    Part 3 naingojea kweli kweli ,,gd job kelvin

  • @CarrickUnderscoreTz
    @CarrickUnderscoreTz11 ай бұрын

    Kazi Zur kelvin endelea kadhana

  • @dennismorara3881
    @dennismorara38816 ай бұрын

    I was once in this situation,,, Kenyans please nipe like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MonicahKaberere

    @MonicahKaberere

    23 күн бұрын

    Siongeangi

  • @MargaretDama-ho6pk

    @MargaretDama-ho6pk

    8 күн бұрын

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-zc9xm6cc7x
    @user-zc9xm6cc7x11 ай бұрын

    Mafunzo mazuri. Sn much love ❤️

  • @jaromeedward781
    @jaromeedward78111 ай бұрын

    Mimi naogopa ata kuangalia movie nyingine nikiishia njiani moyo unaumiaga sana maliza ya Tatu dada wa kazi

  • @estherlavin6532

    @estherlavin6532

    7 ай бұрын

    Mbona unaogopa kuoch movie nyingine??

  • @Winnie-cb3sn
    @Winnie-cb3sn11 ай бұрын

    Hongera kaka kwakazi nzurii

  • @user-tm3io7lr1f
    @user-tm3io7lr1f11 ай бұрын

    Mm wakwanza kuona part 2 kama pia ww uko gonga like

  • @Silverscreenserenity503

    @Silverscreenserenity503

    2 ай бұрын

    N Ivo Ivo 2

  • @sarahkanyuamwithi3855

    @sarahkanyuamwithi3855

    Ай бұрын

    Niko pia brother

  • @user-ut5zf4ub5n

    @user-ut5zf4ub5n

    2 күн бұрын

    Anza kunilike mm kwanza

  • @Veronique-et4br

    @Veronique-et4br

    2 күн бұрын

    Mapema sana napenda iyo iko kweli ❤❤❤❤❤

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama396311 ай бұрын

    Natoka TikTok npen kiti wakuu😅😅😅

  • @jenniferalphayo6804
    @jenniferalphayo680411 ай бұрын

    Hongera sana kaka nimejifunza

  • @stanleyleonard4731
    @stanleyleonard473111 ай бұрын

    Nakukubari Calvin unabeba uhusika mzuri sana...... ✅✅✅✅✅✅

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed790411 ай бұрын

    uyu mama nae siamskize mwanawe mama kamahawa ndio wacha watotowao wakajiuwa😢😢😢

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga43711 ай бұрын

    Nasubiri hiyoo part 3 nice movie ❤❤

  • @user-vd7iq6kg9k
    @user-vd7iq6kg9k11 ай бұрын

    Vinzuri Sana wahisheni na Pat two

  • @EditeAloyce
    @EditeAloyce11 ай бұрын

    Aiseee nimeipenda kwakweli upo vzr kaka

  • @user-pd8cm4sz7m
    @user-pd8cm4sz7m10 ай бұрын

    Huyu mama wakwanz kumkubali mkwe 😂😂😂😂 mama mkwe anaboa

  • @user-kn6kv9lh8m
    @user-kn6kv9lh8m11 ай бұрын

    Daktarii nakubali sana kazii zako❤

  • @paschalinajoel3
    @paschalinajoel38 ай бұрын

    Mungu akuepushe na wanawake kama hao,Bali akupe mke mwema.

  • @alimwadima254
    @alimwadima2544 ай бұрын

    Mnafiki alfu churo sana uyo Tina...afu anapata support kwa mama mkwe...Anayestahili kuwa mke ni Victoria...Nice Movie Dogo Kelvin keep it up🎉

  • @user-fj1gm2ik6n
    @user-fj1gm2ik6n11 ай бұрын

    Aiseee changamoto ni mama.😅😂

  • @raajtz8073
    @raajtz807311 ай бұрын

    Sema uyo dada wa kazi ameweza😂😂😂

  • @Veronique-et4br
    @Veronique-et4br2 күн бұрын

    ata na mimi inanifunza pia katika maisha yangu nitajifuza kumumiliki kwakila kitu chandani ya nyumba❤❤❤❤❤❤

  • @user-gp3qx1ye8e
    @user-gp3qx1ye8e8 ай бұрын

    Kaka nakukubali sana kaka kelvin na najifunza mengi sana kwako kupitia move zaka kaka mungu akubariki sana

  • @MonicahKaberere

    @MonicahKaberere

    23 күн бұрын

    Amina abarikiwe

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we11 ай бұрын

    Kelvin pambambana kama mtto wa kiume😂

  • @NDOTOTV
    @NDOTOTV11 ай бұрын

    WAKAWANZA WANYUMBANI LIKE KWANGU NA DONTA TV KITUO KIZURI WAI KAZI NZURI ZIKO APA

  • @PeninahWaruguru

    @PeninahWaruguru

    5 ай бұрын

    Good and educative..this young generation ❤❤❤mvumilivu hula bivu...

  • @mugishasarahignacia6299
    @mugishasarahignacia62998 ай бұрын

    Courage sana watu wangu ❤️nakubali mashauri yako kaka

  • @nurubetty7435
    @nurubetty74359 ай бұрын

    Wewee Mama mkatiii sana

  • @kimanimain9239
    @kimanimain923911 ай бұрын

    😂😂😂😂 yes from iyo 🇰🇪 ninamba mbay

  • @SaraJeremia-rj3yx
    @SaraJeremia-rj3yx11 ай бұрын

    Wa kwanza leo

  • @judithodando3386
    @judithodando338611 ай бұрын

    Kazi nzuri kelvin, twangoja part3

  • @lillykadzo2141
    @lillykadzo214111 ай бұрын

    💝💝 safiii sana,,,sehemu ya tatu isichelewe

  • @jamilamalieha6161
    @jamilamalieha616111 ай бұрын

    Amazing job guys ❤️❤️❤️

  • @Pendo-ip4bk

    @Pendo-ip4bk

    10 ай бұрын

    Kweli tunafeli tunaumizwa kwenye mapenzi sana huu ni mfano tosha

  • @gaudensialugome7223
    @gaudensialugome722310 ай бұрын

    Wanaume wengi wanapata shida na wanakosa nafasi ya kusema na kulalamika, nawapenda wanaume wote

  • @Mariamayabu

    @Mariamayabu

    10 ай бұрын

    Mpeni nafasi kjana ajieleze jamn

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib727811 ай бұрын

    kiukweli hii movie mashallh mafunzo toka

  • @LavilaviOdhis
    @LavilaviOdhisАй бұрын

    Am happy with the boss,the way he treats the lady amazing much love

  • @DJPRINCE01-tg5qh
    @DJPRINCE01-tg5qh10 ай бұрын

    Maisha ya ndani wanayajuwa wanandoa wenyewe. Naona mwanaume anaongea ukweli lakini mwanamke ndo anaonekana yupo sahihi😢hiyo sio

  • @AmidaTweve-jf4sx
    @AmidaTweve-jf4sx11 ай бұрын

    Huyu mama angekua mama angu ningeondoka nimuache ili nisije nikamjibu vbaya coz hatak hata kusikiliza mtu anapitia nn

  • @JanethKasubijonathan-lk2ud
    @JanethKasubijonathan-lk2ud11 ай бұрын

    Daaah shukurani san tunajifunza aisee ❤️❤️❤️❤️

  • @jacksonmpinge4928
    @jacksonmpinge492811 ай бұрын

    Kelvin Khan nimekuelewa sana god bless

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is11 ай бұрын

    Wow kaz nzuri sana kevin ❤❤❤

  • @metrinechonge2201
    @metrinechonge220111 ай бұрын

    Sehemu ya tatu tafadhali, lakini mama mbona hutaki kumsikiza mwanao hata kidogo

  • @maryamissa1431
    @maryamissa143111 ай бұрын

    Nimejifunza vitu vingi kwenye hii movie jmn 👏👏

  • @user-hg4xh8fg4h
    @user-hg4xh8fg4h11 ай бұрын

    Elimu nzuri kwawanawake naipenda sana❤❤

  • @Director_Matutu
    @Director_Matutu11 ай бұрын

    Ohooo hatari

  • @JonasNdihokubwayo-tr1si
    @JonasNdihokubwayo-tr1si10 ай бұрын

    Nawapenda sana ❤️🇧🇮

  • @user-zn8uv5cb2j
    @user-zn8uv5cb2j11 ай бұрын

    Nipow sana movie zenu zinafundisha sana

  • @user-ib8wo5zu7m
    @user-ib8wo5zu7m11 ай бұрын

    Muke hajui kufanya kaz za nyumbani uyo siyo muke,mke muzur nafanye kazi zote za nyumbani ,nayipenda san iyi seson

  • @Okia257
    @Okia25711 ай бұрын

    Nice movie❤❤❤ Love from Burundi 🇧🇮🤌🏻😍🎉🎉❤❤

  • @suleimanlulu5319

    @suleimanlulu5319

    11 ай бұрын

    hiii

  • @DeboraRuben

    @DeboraRuben

    10 ай бұрын

    Kazi nzurisana Calvin 🥰🌹 dondosha na sehem ya nne

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi811011 ай бұрын

    Kazi nzuri kaka ila mimi kama mimi pia ntasema sisi waume makosa mengne tunachangia kiupande wa pili..kumueka mkeo karibu na marafiki zako c sahihi unampa zawadi rafkiako ampelekee mke wako akapishwa ndani akapeane zawadi kwa mkeo bila kizuizi wakati wwe haupo pia haya c maadili wanaume wenzangu utaliliwa tu😢😢😢

  • @DzunyaSuleimani-tu1qh

    @DzunyaSuleimani-tu1qh

    8 ай бұрын

    huu ulikuwa mtego

  • @SelestinMoris
    @SelestinMoris13 күн бұрын

    Nahitaj xana movie zako ziko poa xana❤❤❤❤❤❤

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo923811 ай бұрын

    Hongerani sana Kwa kweli kazi yenu ni nzr sana

Келесі