PENZI LA DADA WA KAZI 💞 EPISODE 03 | Love Story

#dontatv #bongomovie #peteyaajabu #swahili #dadawakazi #housegirl #penziladadawakazi #penzilahousegirl #kelvinkhan

Пікірлер: 1 100

  • @enockkabika9381
    @enockkabika938110 ай бұрын

    Bro mbona nimekuelewa sana ebu ongeza mara mbili ya hapo naamini utafika kimataifa zaid na utajulikana dunia nzima kikubwa mtangulize Mungu usidanganywe na njia zingine njia peke ni Mungu pekeake kipaji unacho uwezo unao salute

  • @sangaelly8548

    @sangaelly8548

    Ай бұрын

    Huyo Victoria sio mke wa kuoa

  • @RajabRwanosi-bt3ep
    @RajabRwanosi-bt3ep10 ай бұрын

    Kaka ongera sana kwamafundisho mazuri naomba pesabila furaha nibure tafadhali Amuwa kumuowa dada wakazi

  • @user-ly5fb2te1g
    @user-ly5fb2te1g10 ай бұрын

    Yaani dah maneno aloyaongea mamako yamwisho acha2 kaka yamekiacha kinywa wazii Elly hapa kutoka kenya nafatilia kazi nyuzi

  • @phinaipaja4547
    @phinaipaja454710 ай бұрын

    Dah😢 wazaz wetu sometimes wanatuumiza bila kutambua hii films nimeipenda sana Kaz nzur Boss🙋

  • @user-xw8wi9zz4e

    @user-xw8wi9zz4e

    3 ай бұрын

    Kelvin muoe tuuu dada wa Kaz huyo mke afai kabisa

  • @JohnkilyungiMaithya-ph3ef

    @JohnkilyungiMaithya-ph3ef

    23 күн бұрын

    Azin

  • @MagreatMaggy
    @MagreatMaggy10 ай бұрын

    I'm waiting episode4. Wapenzi ❤❤❤❤ nawapenda yana love from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤

  • @nicomukendi9967

    @nicomukendi9967

    10 ай бұрын

    Gabril

  • @linetkhaemba1029
    @linetkhaemba102910 ай бұрын

    Please nipe likes zangu number one from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-xr6xk9lb5c
    @user-xr6xk9lb5c5 ай бұрын

    Muendeshe mke wangu vizuri...kwenye pikipiki. Kelvin wewe. Kenya watching

  • @julicenyabaro5291
    @julicenyabaro52916 ай бұрын

    Kipindi kizuri, Kiswahili kitamu cha Tanzania 🎉mafunzo Tele nafuatilia kutoka Kenya 🤝

  • @norbethmpolosi1525
    @norbethmpolosi152510 ай бұрын

    Hongereni filamu nzuri sana chukueni🥀🌹💐🌺 yenu

  • @user-qo8eu1br6f
    @user-qo8eu1br6f10 ай бұрын

    Yaani hiki ki move ni kitamu sn kina mafunzo mengi mno barikiwa Kelvin 💯😍💕🔥🔥🔥

  • @user-jc2zc6ol5i
    @user-jc2zc6ol5i10 ай бұрын

    Nmesiktka sana kelvin kwan umekubar Victoria aondoke jaman

  • @tuyajengeyaishe-vq5pq
    @tuyajengeyaishe-vq5pq10 ай бұрын

    Jamaa hii move ulijipanga vzrvsana daaah nimeipebda mpaka kupinfukia daaah Mungu azidi kujupa maalifa zaid ndg yang❤❤❤❤❤❤❤

  • @ronacassm9516
    @ronacassm951610 ай бұрын

    Hii iko pouwa niko nimekaa nasubiri muendelezo insha-allah

  • @suleimanally9127
    @suleimanally912710 ай бұрын

    Wa kwanza leo kutoka zanzibar naombeni like zangu🥰

  • @annettewamalwa9898

    @annettewamalwa9898

    10 ай бұрын

    Like kutoka Nairobi Kenya 🎉

  • @mfalmekeffah5049
    @mfalmekeffah504910 ай бұрын

    Aisee Bonge la movie hili🎉🎉🎉🎉

  • @alphonsine122
    @alphonsine12210 ай бұрын

    Kelvin usiwe naoga wakumuacha victoria iyo laana hitokufanya kituuu nawa❤❤❤ sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @CatherineAmudala

    @CatherineAmudala

    9 күн бұрын

    Anatosha kuwa na kevin❤❤❤❤❤

  • @ogduas5500
    @ogduas550010 ай бұрын

    Kelvin nakubali sana kaka movie inanifundisha vingi

  • @glorianekesa6922
    @glorianekesa692210 ай бұрын

    I love this movie from Kenya ... Someone like my comment please 😅

  • @linetkhaemba1029

    @linetkhaemba1029

    10 ай бұрын

    Karibu tuchanuke😂😂😂

  • @hopechai5912

    @hopechai5912

    10 ай бұрын

    From shakahola 😂😂

  • @thabitharange-vz2ru

    @thabitharange-vz2ru

    10 ай бұрын

    Ati from shakahola 😂😂shakahola wanakufa.wewe haujakufa😂😂❤😂

  • @omaryalhaji3931

    @omaryalhaji3931

    10 ай бұрын

    uko vizur sanaa hongera kelvn uximuach victoria mwana mk xahihi🌹🌹🥀🥀

  • @RoziDocta-cq6bb
    @RoziDocta-cq6bb10 ай бұрын

    Wanaopenda Kevin amuoe Victoria Kwa hamu gongeni like

  • @KhadijaIssa-mj4gn

    @KhadijaIssa-mj4gn

    6 ай бұрын

    Broo upo vizur

  • @user-qv5dy2un1v

    @user-qv5dy2un1v

    5 ай бұрын

    Jameni Kevin anajuwa kucheza hi filamu jameni namupenda sana Kevin na Victoria ❤❤❤❤❤

  • @AwadhiMumbu

    @AwadhiMumbu

    5 ай бұрын

    Victoria ndo anambra kevin

  • @AwadhiMumbu

    @AwadhiMumbu

    5 ай бұрын

    Victoria ndo anamfa kevin

  • @EstacheKasereka-sf6xz

    @EstacheKasereka-sf6xz

    4 ай бұрын

    Bsr

  • @sinyobravo5217
    @sinyobravo521710 ай бұрын

    unajua sana mwanangu kelvin! GOD bless you

  • @scolas3134
    @scolas313410 ай бұрын

    Kazi nzuri MUNGU awasaidie mfikembali ndugu zangu nawapenda nyote mnafanya vizuri sana ❤❤❤ from Kenya

  • @user-uc8fh9me7x

    @user-uc8fh9me7x

    9 ай бұрын

    Uyu mama anatetea nyoka

  • @Aishabby78
    @Aishabby7810 ай бұрын

    Kelvin wafanya kanzi nzuri tena kufaavyo 👏 usimwache Victoria 😢... Kipindi chenyewe nakifuatilia kina mafunzo mengi sana.... Waiting for the next episode. Much love from Mombasa Kenya ❤

  • @EvasixProthem-im1yx

    @EvasixProthem-im1yx

    10 ай бұрын

    When is it broadcasted?

  • @amnemohamed7081

    @amnemohamed7081

    5 ай бұрын

    Mjinga 😂😂

  • @dennismunene7873

    @dennismunene7873

    3 ай бұрын

    kweli yatufunza mengi vile nimeifuatilia

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe381910 ай бұрын

    Kuna mahali videoshooter na director niwape ushauri...pale mwanzo anapoenda kubadili nguo, anapoenda ndani, anapogeuza mgongo, mzigo uonekane...mashalaah nyuma kwa huyo mdada....

  • @dieudonnemugirangabo8174
    @dieudonnemugirangabo817410 ай бұрын

    Victoria urimwabia ukweli huomwanakuke kwakweli nakupendasana Victoria 🙏✔️🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @HassanMboggo-se6yv
    @HassanMboggo-se6yv10 ай бұрын

    Nakubali sana brother khan nilikuw naisubiria hii move kwa hamu

  • @beatricewacharo4088

    @beatricewacharo4088

    10 ай бұрын

    Nmeipenda sana movie hii Kevin mungu akusaidie kwa kaluma hii ulipo nayo barikiwa sana

  • @filomenampenda1413

    @filomenampenda1413

    10 ай бұрын

    Isichelewee inayofuata wadau wengi

  • @eliapetro7672

    @eliapetro7672

    10 ай бұрын

    Lini tena mnaludia nyingine

  • @harounkajuni9331

    @harounkajuni9331

    10 ай бұрын

    Iko good sana

  • @user-yu9qn4oi3g
    @user-yu9qn4oi3g10 ай бұрын

    Hongera Sana kelvin kwa kazi nzuri 🙏 ila huyo mama yako hatumwelewi kabisa kwanini anatetea maovo Kuna Nini kati yake na huyo mkeo😢 pole Sana Victoria

  • @mwanawamayomkacy

    @mwanawamayomkacy

    10 ай бұрын

    Hogera kelvin,,nasubiri part 4 kwa hamu

  • @ansigarhyera1997
    @ansigarhyera199710 ай бұрын

    Kazi nzuri sana na inatoa fundisho zuri sana

  • @user-vt2gi2ku3i
    @user-vt2gi2ku3i10 ай бұрын

    Nakupenda sana kelvi🎉Kwa io acting yako Mungu akupeleke atua mbele kaka, nice Waka! Io ingine Sasa iwe moto

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq10 ай бұрын

    Kelvin ackudanganye m2 hakuna laana ya ivo kaka ucmuache Victoria aondoke kwa uyo mshenz wallah natamn ningal kuepo nipewe cni yakumzabua iyo mke wako😢😢

  • @abigel1275

    @abigel1275

    10 ай бұрын

    N huyo cyo mama yke mzazi laana inatoka wapy hii ndio shida ya kuishi karibu n mama mkwe cndi

  • @mwendeibrahim-sx4cz

    @mwendeibrahim-sx4cz

    10 ай бұрын

    Enda Victoria akuna laana

  • @mwendeibrahim-sx4cz

    @mwendeibrahim-sx4cz

    10 ай бұрын

    Huyo tina ni kaaba mkuu🙌

  • @salimahakizimana8783
    @salimahakizimana878310 ай бұрын

    Kelvin Big up saaana kwa kazi njema type muendelezo mapema saaana

  • @SongambereThomson
    @SongambereThomson10 ай бұрын

    Kelvin ongera San kwa utendaji wako wa Kaz nzuriiii,lkn tunasubil kwa hamu part 4❤❤❤❤❤

  • @winnymwathi3098
    @winnymwathi309810 ай бұрын

    Part 4 twaisubiri kelvin 💕keep up the good work 👏

  • @jenniferngaya3543

    @jenniferngaya3543

    6 ай бұрын

  • @veronicasolange930
    @veronicasolange93010 ай бұрын

    Ila kelvin mama ako anatetea Nyoka next episode tunataka ajue huyo mwanamke anayemtetea ni waina gani plz

  • @veronicasolange930
    @veronicasolange93010 ай бұрын

    Nimekuwa wa kwanza

  • @tuyisengemariegoreth9489
    @tuyisengemariegoreth948910 ай бұрын

    Kelvin mnatupa mufundisho Bora. Ila hiyo siyo laana. Hakuna anae laani kile ambacho Mungu amebariki Mac love from Lusaka Zambia 🇿🇲

  • @janethjaneth9524
    @janethjaneth952410 ай бұрын

    Jamani muwahi kutoa next plz mnatucheleweshea Sana

  • @alijira9660
    @alijira966010 ай бұрын

    Congratulations 👏👏 Kelvin keep it up, much love ❣️❣️ from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @titosimon8018

    @titosimon8018

    10 ай бұрын

    Kaz yetu nimeipenda sanaaaaa

  • @charlesmutisya7523

    @charlesmutisya7523

    9 ай бұрын

    9

  • @maphonpnones3208

    @maphonpnones3208

    7 ай бұрын

    Moving zuri sana ina mafudisho

  • @FridaBwene

    @FridaBwene

    3 ай бұрын

    ​@@charlesmutisya7523❤😂😢😮😊😊

  • @FridaBwene

    @FridaBwene

    3 ай бұрын

    A😢zyu😅

  • @jacklinemwawasi6041
    @jacklinemwawasi604110 ай бұрын

    Congratulations 👏 broo Good job kwa kweli napenda sana movie zako ni ndefu unaangalia adi part ya mwisho 🎉🎉🎉 comment 🇸🇸

  • @kibetacenter786

    @kibetacenter786

    6 ай бұрын

    Kalvin hongara

  • @user-yq8je2pj1r
    @user-yq8je2pj1r10 ай бұрын

    Naumii juu ya kevin ika es mama wako hivi munakoseya vizuri ukitaka kujuwa mtuu muwulize anaye ishi naye pls naomba part4 ongela sana kwakazi nzuri kaka from Saudia arabic

  • @EsteridaLipamba
    @EsteridaLipamba10 ай бұрын

    Dah wekaka unajua tenaunajua Tena,aisee nimeipenda Sana hii movie inafundisha Sana,nasubili mwendelezo kwaham Sana Sana💕💕💕💕

  • @Shro-dd6gh

    @Shro-dd6gh

    2 ай бұрын

    𝐕𝐩

  • @user-ge4ms7kj3e
    @user-ge4ms7kj3e10 ай бұрын

    Kelvin please part 4 ikuje kwa haraka...much love from Kenya❤❤❤

  • @beautifulafrica6886
    @beautifulafrica688610 ай бұрын

    Nampenda sana vctorya wakiwa na kelvin ❤❤

  • @Sanvoicar_official
    @Sanvoicar_official2 ай бұрын

    Jamn kaz nzur san ivi wapo wanawake kama victory nataka jibu like apo

  • @BimkubwaOthman

    @BimkubwaOthman

    10 күн бұрын

    Wapoo

  • @MwanzoNyedeche
    @MwanzoNyedeche5 күн бұрын

    Kiukweli tunajifunza mengine kama umujifunza gonga like

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi10 ай бұрын

    Hongereni Mnafanya Kazi Poa 🎁

  • @Dontatv255

    @Dontatv255

    10 ай бұрын

    Asante sana my brother one Love ❤

  • @mwanamisiomari8189

    @mwanamisiomari8189

    10 ай бұрын

    Nawakubali

  • @rahelnkwabi5450

    @rahelnkwabi5450

    10 ай бұрын

    Nice

  • @MaryyCarmen-kh1dh

    @MaryyCarmen-kh1dh

    10 ай бұрын

    ​@@Dontatv255 namba 4 pls

  • @barakajackson5907

    @barakajackson5907

    10 ай бұрын

    Nice job

  • @allystaliko2853
    @allystaliko285310 ай бұрын

    Kazi nzuri sana mr kelvin na timu yako mnatuburidisha sana

  • @christaoman8890
    @christaoman889010 ай бұрын

    Kama noma naiwe noma tu bora uwe mmbea kuliko kuficha siri huku unaumia sasa Victoria yamemkuta kwakujifanya anaheshima kupitiliza😂😂😂

  • @CharzyPastory
    @CharzyPastory10 ай бұрын

    Hakika unakipaji Cha kipekee brother mungu akubaliki sana uelimishe jamii❤❤

  • @furahakenga6619
    @furahakenga661910 ай бұрын

    Wow, nilisubir kwa hamu❤❤❤

  • @RaymondmuneneKabutis
    @RaymondmuneneKabutis10 ай бұрын

    🎉l love this movie,iko fit Sana , from kenya.part 4 tunangojea

  • @JosephKambei

    @JosephKambei

    9 ай бұрын

    I love this movie from Uganda

  • @user-fj1gm2ik6n
    @user-fj1gm2ik6n10 ай бұрын

    Hongera kwa kazi nzurii kelvin ❤ ❤ ❤. Ila mke wako MUNGU amurehemu. Mam mwenyewe hamuna lolote ndo anamjaza mke wako tuu.

  • @abelmkinga8012

    @abelmkinga8012

    Ай бұрын

    Vp

  • @SakinawalyokaMamafuxokin-dq4vo
    @SakinawalyokaMamafuxokin-dq4vo10 ай бұрын

    Nani kasema ladhi inatolewa Kama nyanya sokoni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-tm3io7lr1f
    @user-tm3io7lr1f10 ай бұрын

    One love to Kelvin kma una mpend gonga like zako hpa

  • @agnessmose9784
    @agnessmose978410 ай бұрын

    Kazi nzuri sana na iko na mafunzo naangalia kutoka kenya ❤❤❤❤

  • @nasrahussein7417
    @nasrahussein741710 ай бұрын

    Huyo Tina ni nyoka mwenye sum Kari jamn😭😭😭dimpendii

  • @RukiaHakizimana-sx6de
    @RukiaHakizimana-sx6de10 ай бұрын

    Nakubal saaaan movie zenu Burundi tuko pamoja na nyie

  • @omanbahla1511
    @omanbahla151110 ай бұрын

    Wa kwanza like zenu tujuane wapenz wa hii mchezo ❤❤

  • @linetkhaemba1029

    @linetkhaemba1029

    10 ай бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @EutikiusBenedicto-ek4bf
    @EutikiusBenedicto-ek4bf10 ай бұрын

    Brother umetisha sana ...bac tunaomba episode inayofuata maana n tam kinoma

  • @giftsway8102
    @giftsway810210 ай бұрын

    Msiwe mnatukatishia mbali hivi😢😢😢 uuuwiii part 4 plc aaah jamni

  • @okshindo8681
    @okshindo868110 ай бұрын

    Jamani 😭😭😭 yani Tina kumbe ana roho mbaya ivo, kweli yeye kumfanyia mazambi mfanyi kazi mwenye anamfichia siri kwa mume wake, kweli inaumiza sana

  • @AsmaahJuma-ki5pn
    @AsmaahJuma-ki5pn10 ай бұрын

    Congratulation kelvin much love ❤️ 😍 💖 ❤❤❤❤❤❤

  • @souveniorselestine8577

    @souveniorselestine8577

    7 ай бұрын

    Ongera sana i love voyu❤❤❤❤

  • @kudramzee5769
    @kudramzee576910 ай бұрын

    Big up sana chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio884610 ай бұрын

    Safi sana brother Khani uko vizuri ila vero asiondoke bhana

  • @Ennydogo
    @Ennydogo10 ай бұрын

    Sisi kama 🇰🇪🇰🇪,Tumesubiri sana ,Like ya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes528810 ай бұрын

    Congratulations 👏👏kelvin keep up waiting part 4

  • @veronicasolange930
    @veronicasolange93010 ай бұрын

    Wow please uje kutupa next episode nawapenda sana

  • @stephenlushinge4076

    @stephenlushinge4076

    10 ай бұрын

    Next episode please

  • @user-fd3xm5wf1m
    @user-fd3xm5wf1m10 ай бұрын

    Nimeipenda sana naomba part 4 nawatakiya kazi nzuri

  • @user-rn7if9sf8g
    @user-rn7if9sf8g10 ай бұрын

    Tunasubiri party 4 Kaka Kelvin much love and big up sana

  • @husnaadam1994
    @husnaadam199410 ай бұрын

    Kazi ya moto 🔥🔥🔥 sana mashallah asanteni Kwa mafuzo mazuri nawapenda kutoka omani 🇴🇲 ❤❤❤❤

  • @HassanMboggo-se6yv
    @HassanMboggo-se6yv10 ай бұрын

    Nakubali sana kazi zenu

  • @user-rs8uj5lc2t
    @user-rs8uj5lc2t10 ай бұрын

    Kazi nzuri sana kelvin naomba sehem ya nne

  • @claires7057
    @claires705710 ай бұрын

    Next jamn watu wa Kenya tupo pamoja 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @glorismwajoto6633
    @glorismwajoto663310 ай бұрын

    Kazi nzuri 👏👏👏.... from kenya

  • @muambashi1119
    @muambashi111910 ай бұрын

    Nawapenda Sana jaman❤❤❤

  • @ditormario2420
    @ditormario242020 күн бұрын

    Ustaarabu a busara zako kelvin, zinapaswa kuigwa na vijana wengine.

  • @beautifulafrica6886
    @beautifulafrica688610 ай бұрын

    Mambo sio ayo ❤❤❤❤

  • @ruwa671
    @ruwa67110 ай бұрын

    Niliisubiri ❤❤😊😊

  • @samwelijoseph457
    @samwelijoseph45710 ай бұрын

    Kaka uko vzr Sana twaisubiria part 4

  • @jadadem874
    @jadadem8747 ай бұрын

    Congratulations Vicky and kelvin vipindi vyenyewe vina mafunzo mazuri❤❤❤

  • @joshuapeter8522
    @joshuapeter852210 ай бұрын

    Mm wa kwanza nipeni likes❤

  • @ghanimaali1279
    @ghanimaali127910 ай бұрын

    Léo nafika mapema naombeni hâta liké tano you From burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nawapenda sans

  • @malickhemed8861

    @malickhemed8861

    9 ай бұрын

    Igizo zur by wity

  • @halemamoon1782
    @halemamoon178210 ай бұрын

    Daah huyo dada hana tofaut Kabsa Na wados wa kiarabu wallah😢

  • @nadzuwamangale1186
    @nadzuwamangale118610 ай бұрын

    Nawapnda San yot mlio husika mwendelezo ❤❤❤❤

  • @user-mb2gb7kt2c
    @user-mb2gb7kt2c10 ай бұрын

    Much love from kenya bro waiting next part plzz❤❤

  • @saidbaraka8996

    @saidbaraka8996

    10 ай бұрын

    Daaah jaman inauma

  • @emeldah3596

    @emeldah3596

    10 ай бұрын

    Nmejifuza kitu kimoja

  • @NimpayeGenevella-mn6km
    @NimpayeGenevella-mn6km10 ай бұрын

    Nawapenda sna ❤❤ from Burundi

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY365610 ай бұрын

    Kesho itafika lini jamani 😅😅😅😅nitazame part 4😋😋😋

  • @BalendelaWilliam-yt6vo
    @BalendelaWilliam-yt6vo10 ай бұрын

    Hakuna laana mbele yahaki....love move....

  • @wynesesthertchuwa2139
    @wynesesthertchuwa213910 ай бұрын

    Much appreciated Kelvin kwa kazi nzuri❤❤❤🎉🎉🎉

  • @majabamatondo524

    @majabamatondo524

    9 ай бұрын

    Nakubar sana jamaa anajitahidi sana

  • @majabamatondo524

    @majabamatondo524

    9 ай бұрын

    Wanawake wa sku hiz ni noma sana hawaliziki

  • @angelyneeyapan6343
    @angelyneeyapan634310 ай бұрын

    Waiting for part 4 please.... Very interesting

  • @nehemiahndimgwango
    @nehemiahndimgwango8 ай бұрын

    Napenda sanaa story za Kelvin sema nn bro ebu weka ep 9 ya kijana tajiri ajifanya masikini apate mke bora

  • @ayoubucharles4149
    @ayoubucharles414910 ай бұрын

    Tafadhal usichelewe kuleta nyingine 💟

  • @thomasduke4402
    @thomasduke440210 ай бұрын

    Really good Kevo! Kazi nzuri sana mnafanya ndugu kule TZ, 1st time i must subscribe bro, from Kenya!

  • @tausimustafa6718

    @tausimustafa6718

    10 ай бұрын

    Mbona mamb yqmonoga

  • @SimonNgala-dq7wv
    @SimonNgala-dq7wv10 ай бұрын

    Congratulations Kevin much love from Kenya, love your job

  • @Nancy-ux3fi
    @Nancy-ux3fi20 күн бұрын

    Jamani Kelvin maskini mtoto wa watu.ni heri uwe n Vicky ❤❤

  • @AliceAlice-ol5zv
    @AliceAlice-ol5zv10 ай бұрын

    Waah movie mzuri asante 🙏 lkn mkeo ni mwenye makosa kidgo nidondkwe na machozi 😢😢

  • @user-zd6wr5lo6e
    @user-zd6wr5lo6e10 ай бұрын

    I love it❤❤❤❤❤❤

  • @keziahkerubo1712
    @keziahkerubo171210 ай бұрын

    Watch from Kenya keep up the good work

  • @jacklinemwikali5045lina
    @jacklinemwikali5045lina10 ай бұрын

    Waaa congratulations jana imeniumisha kichwa niitafuta

  • @evelineedimini4169

    @evelineedimini4169

    10 ай бұрын

    Mwendelezo jaman kwanzia ep 5

  • @lightnessgoodluck8123
    @lightnessgoodluck812310 ай бұрын

    Wewe Kaka Ni bonge la director nice story ❤️❤️❤️

  • @estherkamwende6075
    @estherkamwende607510 ай бұрын

    Waiting for episode 4 much love from Kenya