PART 1: ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA YESU ALIVYOMTOKEA, KUFUKUZWA NYUMBANI | HARD TALK

Ойын-сауық

PART 1: ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA YESU ALIVYOMTOKEA, KUFUKUZWA NYUMBANI | HARD TALK
HII ni sehemu ya kwanza ya mahojiano ya mwanamuziki wa Injili, Rose Muhando, katika kipindi cha HARD TALK, ambapo amezungumzia historia ya maisha yake, majanga aliyokutana nayo mpaka kufikia hapa alipo..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 418

  • @globaltv_online
    @globaltv_online Жыл бұрын

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ

  • @julianamwendwa3037

    @julianamwendwa3037

    Жыл бұрын

    Sorry for that

  • @faitholum
    @faitholum Жыл бұрын

    Nataka niache hii comment hapa ndio siku zinazopita watu wakilike inanikumbusha kuwa magumu tu nayo pitia kwa maisha mwishowe Mungu yupo.

  • @jannyrose5367
    @jannyrose5367 Жыл бұрын

    kipenzi Cha wakenya wote wanaompenda Mungu, hallelujah....Kwa kweli Rose nilimpenda Sana Sana,hata wakati aliugua, ninjifunga kumuombea 🙏i thank God for your life ,dada Rose, May the Lord Almighty and his mercies, protection, favor, and all his blessings locate you ,in the mighty name of Jesus Christ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you 💓

  • @gloryleon4187
    @gloryleon4187 Жыл бұрын

    Uzuri wa sauti ya Rose ni kutoka mbinguni, yaani sio mbwembwe za studio, yaani hata bila vyombo anaimba hata akiwa kibibi naamini bado sauti haitazeeka❤️❤️❤️❤️

  • @inongee1141
    @inongee1141 Жыл бұрын

    Mimi naamini kwa asilimia mia .100 kuna ndugu yangu aliumwa miaka mingi siku alio pona. Mungu alimutokea usiku wa manane alipona dakika hio mwanga ulitawala nyumba nzima na sauti nzito Mungu yupo na anaponya 🙏🙏

  • @miriamcheya3136

    @miriamcheya3136

    Жыл бұрын

    Amina sana na nina uhakika na hilo kabisa

  • @issanasir3583

    @issanasir3583

    Жыл бұрын

    Mungu alikua na nguo gani ?

  • @nancyg8664

    @nancyg8664

    Жыл бұрын

    @@issanasir3583 duh

  • @azinarashidi5204

    @azinarashidi5204

    Жыл бұрын

    @@issanasir3583 huwezi kuelewa kama huna Faith mkaribie Mungu utaona utofauti

  • @gracejerome7147

    @gracejerome7147

    Жыл бұрын

    Nimelia sana nimesamehe kwa kumsikiliza roze sikujua kma nilikuwa nauchungu moyoni mwangu asanteni kwa kipindi kizuri

  • @highzacknnko9685
    @highzacknnko9685 Жыл бұрын

    " kwenye maisha kila mtu huwa na ndoto zake lakini kwa neema ya MUNGU nimetimiza ndoto nyingi.lakini ndoto moja ninayo tamani sana kuitimiza ni kufanya nyimbo na mwanadada rose muhando.Mimi naimba nyimbo za kurap kwa njia za injili natamani sana kufanya nyimbo na huyu mwanadada.

  • @simonmdune9066

    @simonmdune9066

    Жыл бұрын

    kurap tena ?😦tena gospel surely hebu acheni hizo waimbaji

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 Жыл бұрын

    Representing Team Rose Muhando from Kenya 🇰🇪🇰🇪🔥🔥🇹🇿🇹🇿

  • @mosesnyagaofficial6266
    @mosesnyagaofficial6266 Жыл бұрын

    Anytime you think of giving up, listen to the story of one, Rose Muhando. A story of perseverance and never giving up on God.

  • @magynzioka1122

    @magynzioka1122

    Жыл бұрын

    True

  • @kamwinerhoda6304

    @kamwinerhoda6304

    Жыл бұрын

    True 🇸🇦🇺🇬

  • @floreswanyt5444
    @floreswanyt5444 Жыл бұрын

    Ukielezea tu yaani goosebumps nikijaribu kuvuta picha.More grace mama

  • @taliatale3629
    @taliatale3629 Жыл бұрын

    The voice mama. The vooooooice, literally shaking the gates of hell and opening those of heaven

  • @jackygesare4620

    @jackygesare4620

    Жыл бұрын

    Amen

  • @bintitole5176
    @bintitole5176 Жыл бұрын

    Napenda anavyo nawiri much love from Kenya Rose ❤️❤️❤️

  • @mercynyawira3224
    @mercynyawira3224 Жыл бұрын

    I honour the GOD of Rose. He is a restorer and a healer.

  • @ryanreign8108
    @ryanreign8108 Жыл бұрын

    Rose muhando my role model…May almighty God continue using you to enlighten the world 🌎 kama mtu anaweza subscribe 100times naweza juu ya sister Rose

  • @georgiaruhinda1704
    @georgiaruhinda1704 Жыл бұрын

    Shalom dada Rose,vita yako siyo ya kukuua Bali Niya kukupandisha kutoka sehemu uliyonayo kupanda ktk kiwango kingine cha utukufu,ili Mungu aliyekuchagua kbl ya mising ya Dunia ajitukuze kwako,wenyew macho na masikio wamuone Yesu mwokozi anavyomtukuza mtu,anavyomuinua mtu,mimi nikipewa kukuombea iliutoke sehemu,uliyokuwepo,kwa kutokujua kwako au kwa kujua,so acha mitihani ije ili Yesu atukuzwe,usiku na mchana.

  • @rosemusya994
    @rosemusya994 Жыл бұрын

    rose napenda nyimbo zako zote na story yako nimeiwatch over three times uwa unanipea nguvu ya kuishi mungu awe na wewe milele 🙏

  • @joanjeptoo5760
    @joanjeptoo5760 Жыл бұрын

    I feel encouraged by your story I believe one day God will appear and heal me too I have been having back pain more than yrs now may God hear my prayer 😭

  • @irenemuriithi2943
    @irenemuriithi2943 Жыл бұрын

    Wimbo alioimba akiombea Kenya naupenda sana.Barikiwa sana Rose Muhando.

  • @georginakamuti2693
    @georginakamuti2693 Жыл бұрын

    I just love 💕 sister Rose Mohando. May GOD strengthen her more and more in her ministry in Jesus name 🙌🙌

  • @paula-yy3nt
    @paula-yy3nt Жыл бұрын

    Nilipokuwa nawatch hii story ya dada rose nilikuwa kazini.mapigo aliyoyapitia Rosi Yale Yale niliyoyaona mimi.kama mtoto wa kwanza kwetu nilipitia machungu kwa sababu ya wadogo wangu,mapigo hatakuwa rahisi,mama mzazi kanichukia bure tu pasipo mimi kuijua sababu.weh!siku ipo nitakaposimulia safari yangu kuwapa moyo waliomo kwa Hali kama niyokuwa.namshukuru mungu baada ya hayo yote mungu aliniheshimisha.from Kenya we love you Lilian mwasha

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 Жыл бұрын

    Hakika huyu ndo malkia wa injili,,, MUNGU azidi kukuinua dada Rose 🙏

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Жыл бұрын

    dada unaimba sanaaaa nimeuza saana cd zako dada rose ALLAH GREAT UMEWIN 🙏 uyo mzee alaaniwe hakachomwe na allah mwenyewe

  • @rhodamuthoni9630
    @rhodamuthoni9630 Жыл бұрын

    Rose we wish to adopt you as 🇰🇪 you're just the best we love you queen of gospel

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 Жыл бұрын

    I like Rose muhando, na Nyimbo zake

  • @naomisaitabaumollel4109
    @naomisaitabaumollel4109 Жыл бұрын

    Dada Rose nakupenda sana,hata ulipopitia vita kipindi fulani hivi ambayo tuliijua kwa Pastor Ng'ang'a I mean kwenye maombi kwa mtumishi hiyo,Mungu aliniwekea mzigo mzito mno ndani yangu wa kukuombea, namshukuru Mungu mno kuwa alikuvusha,ataendelea kukuvusha ili ulitumikie kusudi,love you

  • @joycembesa5660
    @joycembesa5660 Жыл бұрын

    From Kenya more love Mom 🌹

  • @sarahprudence5602
    @sarahprudence5602 Жыл бұрын

    We love you so much Rose Muhando. Always desired and dreamed to be your dancer when I was a kid.

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Жыл бұрын

    God above all Asante kwa shuhuda hii rose

  • @ebbykushmusic
    @ebbykushmusic Жыл бұрын

    Am so encouraged, Naapa mimi, sitakufa moyo

  • @olivabutoyi434
    @olivabutoyi434 Жыл бұрын

    Much ❤️ dada Rose 🙏 Mungu alitaka na aliruhusu upitie yote ili uwe njia kwa wengine wengi. Ukijitazama ulivyo leo unajua 'it worth going through all that darling'.

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 Жыл бұрын

    😭Mungu alikulete Duniani na kuzudi lake,kupitia baba aliye kuzaa kukatoka Malkia, Dunia yote inakuenzi Rose,heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake,nakupenda sana,na Mungu akubarikie na Miaka mingi ya Kuishi ,Amina🙏

  • @millicentwanjiku1698
    @millicentwanjiku1698 Жыл бұрын

    I love this lady so much and Angela.The messange and the dancing not forgetting the voice👌👌🇰🇪

  • @raymondbahati7626
    @raymondbahati7626 Жыл бұрын

    Sauti ya Rose jamani!!! Yesu asante!!!!

  • @nanaritho6850
    @nanaritho6850 Жыл бұрын

    Napenda unavyoita baba baada yakufa!! Daaah,alikuwa bab Yako rose😭😭😭jamaani

  • @irenechogoofficial5901
    @irenechogoofficial5901 Жыл бұрын

    My favorite Artist forever,wewe ni jembe mama Mungu akulinde milele mummy. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @rafiiabdul6217
    @rafiiabdul6217 Жыл бұрын

    Inalillah

  • @nelsonukaishajr

    @nelsonukaishajr

    Жыл бұрын

    Poor😥

  • @cacynjuguna4070
    @cacynjuguna4070 Жыл бұрын

    Kusema ukweli rose muhando umenitia nguvu Nilikuwa nimefika mwisho lakini atleast Nko Sawa nakupenda Sana rose

  • @bettybirir8687
    @bettybirir8687 Жыл бұрын

    i just love u mama, hiyo sauti uniamsha..... i just feel you are God's sent

  • @hottensiahtuli2054
    @hottensiahtuli2054 Жыл бұрын

    I love the testimony Rose is a great minister and a mother of many music ministers, i love how God protected her all through since the day she was called for the ministry.

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 Жыл бұрын

    Your powerful woman My God continues to protect 🙏 🙌 ❤️

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 Жыл бұрын

    Rose Mungu yupo pamoja nawe endelea kufanya kazi ya Mungu. Ninakupenda sana Rose. Lillian Mwasha beautiful girl 😍 . Mungu Akubariki pia dadangu 💋💞

  • @naomipeter8093
    @naomipeter8093 Жыл бұрын

    Wakati nasikia Yesu ni Bwana wa vita sikua naelewa!ila sasa naelewa kwa nn kulikua na majeshi ya Bwana!Mungu amekwisha kutupigania tuendee kumtafuta kwa bidii

  • @flora.damaryamila7313
    @flora.damaryamila7313 Жыл бұрын

    Pole Rose Kwa yale ulippitia, Mungue ni mkubwa na amekutos mbali sana. Mungu azidi kubariki.

  • @zipporahogembo142
    @zipporahogembo142 Жыл бұрын

    Pole sana mtumishi wa Mungu kwa Mapito uliyoyapitia kweli our God is God of good plans into our lives I remember those days of Mungu nipe uvumilivu nilikuwa nimeshindwa kabisa but....big up mamangu💙💙

  • @JoyceKomba-pe7es
    @JoyceKomba-pe7es17 күн бұрын

    Nashindwa kujizuiya kusema nabarikiwa sana nawewe nakupenda sana dada Roz uwe na maisha marefu

  • @Jane-ie9ul
    @Jane-ie9ul Жыл бұрын

    My lovely two ladies in the house. Na wapenda sana Lilian na Rose Muhando.Thank you Lilian for starting this special show.

  • @magdalenajoel4409
    @magdalenajoel4409 Жыл бұрын

    Rose napenda nyimbo zako,popote ulipo MUNGU azidi kukubariki na kukuinua ZAIDI🙏🙏🙏

  • @judah8195
    @judah8195 Жыл бұрын

    Pole Dada mtumishi mateso mengi ya mwenye haki mbele za Mungu baba. mumba wa mbingu na nchi. Jitie moyo Dada Ross. TAJI. no gharamah.. Shalom Shalom. To the host pliz next time pass a saviet to wipe away tears.. Though Christ will wipe her tears for ever . Amen Amen

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 Жыл бұрын

    Mungu mkumbuke Rose baada ya hizi dhiki na vita afike mbinguni..Nampenda sana.

  • @balancedviewpoint7418
    @balancedviewpoint7418 Жыл бұрын

    I love Rose 100% kama mtumisi wa mungu tajika. Tangu aanze kuimba na hekima kwa uokofu wake ni asilimia Mia kwa Mia. Mungu yule mmoja anaabudu dada Rose ndio naabudu mimi. Dada Rose huko na sapoti yangu kutoka 🇰🇪. Sikilia hapo hapo na shetani hana mamlaka kwa maisha yako-Shikilia hapo Shikilia dadangu

  • @mamaprisdebs8215
    @mamaprisdebs8215 Жыл бұрын

    Liliana you need to have a tissue for someone to use when she or he is crying

  • @felixbenos6365
    @felixbenos6365 Жыл бұрын

    Hakika dada Rose nakupenda sana kwa yale yote unayo fanya Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia.

  • @helenalome9780
    @helenalome9780 Жыл бұрын

    She is strong and courageous keep it up

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 Жыл бұрын

    Mungu yuko na wewe pole sana mama😢😢😢😭😭😭

  • @souzannahchombeofficiel2809
    @souzannahchombeofficiel2809 Жыл бұрын

    Ubarikiwe kwa kweli unatubariki tangiya zamani Congo tunakupenda

  • @eugeneoketch571
    @eugeneoketch571 Жыл бұрын

    Hv always love rozi since my childhood till know I'm independent

  • @flaviacharles1348
    @flaviacharles1348 Жыл бұрын

    Rose, Yesu anakupenda sana na anakuwazia mema siku zote! Usimuache Yesu kamwe na songa mbele! Usiogope kwa maana Mungu yupo pamoja nawe. Simama imara na Mungu. Asante sana Lillian kwa kumleta mtumishi huy, Shoo yako ni njema sana Lillian. Nimeamini kuwa never judge a person.

  • @janechikolodamian3215
    @janechikolodamian3215 Жыл бұрын

    Nakupenda bure Rose Muhando ❤️ pole kwa yooote uliyopitia mungu hatakuacha daima

  • @btsarmygirl8478
    @btsarmygirl8478 Жыл бұрын

    Dada Rose mungu akubariki na shukuru mungu umepona nakutakia afya njema mungu akutunze Kwa ajili ya Jina lake na nyimbo unazoimba kumsifu mungu,pole Kwa yote Dada Dunia Ni mapito tu

  • @josephinevota-tx8tx
    @josephinevota-tx8tx2 ай бұрын

    Infact that's the time my husband was attacked by robbers but God saved him from death. Song nafurahia mateso yangu really encouraged me

  • @mercymeriy7851
    @mercymeriy7851 Жыл бұрын

    I remember when was just growing up a small girl..in our home we didn't have the television..so every Sunday I could walk in my sister's place..that around to hours walk...so that I can listen rose song.. called " nimekukimbilia Eeh Bwana Mwamba wangu na ngome yangu..and I could cry and cry via out till my sister's family could also wonder ..n somehow join me...live long maa...that song lifted me alot

  • @nancywakoli8681

    @nancywakoli8681

    Жыл бұрын

    We were doing the same thing

  • @patriciah_philip7738
    @patriciah_philip7738 Жыл бұрын

    God bless you mama Rose muhando I love you

  • @gracemwakyoma383
    @gracemwakyoma383 Жыл бұрын

    My mother my mother Rose Muhando aka God's general.

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 Жыл бұрын

    Amini kile kinacho kufaa sio kuzarau na kujiona Bora Kila mtu na Imani yake

  • @mercymwende4484
    @mercymwende4484 Жыл бұрын

    Take heart..i love you mama Rose muhando..God akupee nguvu ...God bless you

  • @cess342
    @cess34211 ай бұрын

    What a GOLDEN VOICE ❤❤ Jesus Christ ❤️

  • @CarLugs
    @CarLugs Жыл бұрын

    You have a beautiful voice sister! Wow!!!! Straight from God our Father!

  • @claireomari9001
    @claireomari9001 Жыл бұрын

    My ever lovely Mama,u inspire me alot God loves you n He will never dissapoint you,Wakenya twakupenda sana na tunakuombea mungu🙏🙌MUNGU AKUTENDEE

  • @mariahrose1494
    @mariahrose1494 Жыл бұрын

    Rose I love you so much,,,dhahabu kung'aa lazima ipite kwenye moto mummy ❤️❤️

  • @Child0fStarSon0fSun
    @Child0fStarSon0fSun Жыл бұрын

    3:30 this deep holding breath says everything oh Dunia

  • @bhokemkami4901
    @bhokemkami4901 Жыл бұрын

    Nyiee hujawahi kuchuja my wangu nakupenda mm jaman toka nikiwa mdogo nyimbo zako zoote zipo kichwani😍😍

  • @judithnzuku1860
    @judithnzuku1860 Жыл бұрын

    Love you mummy 😭😭😭Mungu akubariki napenda sana nyimbo zako na nimebarikiwa sana na ushuhuda wako😭😭😭

  • @FloridaSanga
    @FloridaSanga7 ай бұрын

    Hongera sana Dada yangu Mungu akuinue zaid hata mm ninakipaji lakn sina pakuazia

  • @mzeececil574
    @mzeececil574 Жыл бұрын

    Unanitia nguvu dada Rose. Maisha ya dunia I niya kupitia watu watakuja taa, bt God is with you malipo ni akiba yako mbinguni jitie nguvu this channel is a blessing

  • @jacquelinenanze6530
    @jacquelinenanze6530 Жыл бұрын

    Pole sana dada Rose, hakika Bwana Yesu amekuvusha katika mateso.

  • @linetnelima2059
    @linetnelima2059 Жыл бұрын

    Don't cry I love you Muhando your songs are a real testimony

  • @aliceblesseddaughter
    @aliceblesseddaughter Жыл бұрын

    Amen ujumbe wa baraka, great message Lord we worship you.

  • @rachelrahima
    @rachelrahima Жыл бұрын

    Masha Mungu akubariki sana Kuna mahali mumenitoa na bahati bukuku Katika mazungumzo yenu mumeniponya moyo wangu Asante kwakunifikia kupitia kwa kipindi

  • @stelabrent6056
    @stelabrent6056 Жыл бұрын

    jamn barikiwa mama anaimba live utafikir mziki umeeditiwa duu kwakweli mungu ni mwema 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @gracewanzila2971
    @gracewanzila2971 Жыл бұрын

    From Kenya, we love you mummy Welcome to our homeland Kenya great woman we don't want see you cry anymore dear

  • @rahelmarwa9491
    @rahelmarwa9491 Жыл бұрын

    Her voice 😍😍❤

  • @florakabena12flora29
    @florakabena12flora29 Жыл бұрын

    Wow Rose Muhando umebarikiwa Hadi bila microphone uko na sauti smart.

  • @paulinepawa5590
    @paulinepawa5590 Жыл бұрын

    Nakupenda sana rose🥰🥰 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @donenciamwachofi7974
    @donenciamwachofi7974Ай бұрын

    You're the living testimony rose

  • @marymbogoh1533
    @marymbogoh1533 Жыл бұрын

    I love this woman . May Almighty God continue to streghthen you

  • @dorahchacha7880
    @dorahchacha7880 Жыл бұрын

    That voice!!!

  • @dorahchacha7880

    @dorahchacha7880

    Жыл бұрын

    Nimeangalia hii interview kwa makini sana na kuelewa background ya Rose! Na nimeelewa kwanini nyimbo zake ni tofauyi na waimbaji wengine wa kile TZ Ninao ushuhuda wa wimbo wa Rose kwa watu ambao hata hawakuwa wanaelewa anachoimba lakini uliwapa nguvu Personnally ningependa kupata contacts zake kama hatajali maana mchungaji wangu hapa France aliniuliza kama namfahamu.. Ajsanteni sana wana Global mkinisaidia kwa hili🙏🙏🙏

  • @kisiimilka2063
    @kisiimilka2063 Жыл бұрын

    Emeniiiiiii 🤚 dada mhando wanibariki na ushuhuda wako maana hata Mimi nayabitia Sahi na hayo machungu single mother lakini waniba tumaini na huo wimbo mteule uwe macho emeni 🙏

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 Жыл бұрын

    Wauw Rose Muhando yes 💪 Big up Lily❤️❤️🙋🙋🙏🙏

  • @user-hh8tg7nl4y
    @user-hh8tg7nl4y7 ай бұрын

    Jaman mama angu rose nimefatilia sana istoria hii kweli nimewaza nimefika mbali sana kwel mungu anamtoa mtu mbali

  • @mercymwangi5276
    @mercymwangi5276 Жыл бұрын

    Rose muhando you are always welcome in Kenya 🥰🥰🥰

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 Жыл бұрын

    Yani unazeekq na Utamu wa Sauti yako jamani Mungu Akubariki sana Rose 🌹 more love you 😍 ❤

  • @stewartukason231
    @stewartukason231 Жыл бұрын

    Pole Sana dadaangu...!! Naamini Mungu atashughulika na Kila mtu aliyehusika na mateso yako.

  • @victorianzilani5261
    @victorianzilani5261 Жыл бұрын

    Rose mungu akuzidishie na akubariki

  • @missjudy7294
    @missjudy7294 Жыл бұрын

    I was class 6 when she released that song we love you rose 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @evansomotto5511
    @evansomotto5511 Жыл бұрын

    Umependwa na mungu dada rose utukufu ni wa mungu lipokea uponyaji wa roho

  • @beatricecharles2130
    @beatricecharles2130 Жыл бұрын

    Dada ROSE MUHANDO Pastor Ezekiel wa mavueni Mombasa Kenya anakuita Dada alisema Rose Muhando wa tz kwa sasa cyo Rose Muhando yule wa kipindi kile ambacho aniamba (nimekukimbilia wewe bwana) ivyo tukuambie uende Mombasa mavueni NEW LIFE CHURCH Anataka urudi kuwa Rose Muhando wa zamani Amen

  • @swalehswaleh3608
    @swalehswaleh3608 Жыл бұрын

    Ole wako ukate roho, ndio utajua hujui, Allah atuongoze, atupe mwisho mwema

  • @mwanaikaomar8628

    @mwanaikaomar8628

    Жыл бұрын

    Aamin Yaa Rabby

  • @mohamedsalum8933

    @mohamedsalum8933

    Жыл бұрын

    Heshimu watu na dini zao ili na wao wakuheshimu ww na dini Yako ndipo utaweza kuwalingania.

  • @swalehswaleh3608

    @swalehswaleh3608

    Жыл бұрын

    @@mohamedsalum8933 Wacha usenge wewe, nime mwambie ukweli ama ni Aje, ama nime taja dini hapo?

  • @bernadetamodest6170

    @bernadetamodest6170

    Жыл бұрын

    Huna mamlaka ya kumlaan mtu laana wewe,umelaaniwa ndyo maana unamlaan mwenzako,kakukosea nini umlahan? Wewe ni Israel/Mungu? Wewe ni binadamu tena kapuku tu acha dharau mbwa koko wewe

  • @monicawambui1818
    @monicawambui1818 Жыл бұрын

    My Queen of the gospel woman. Of God rose mohando we love so much

  • @estherwaiganjo8678
    @estherwaiganjo8678 Жыл бұрын

    Wow what a voice what a legend drop the 🎤

  • @romonaayuma7599
    @romonaayuma7599 Жыл бұрын

    Dada Rose,kwa miaka mingi nimekufuatilia... Huhimizwa sana na shida zako

  • @magdalenannnn
    @magdalenannnn18 күн бұрын

    Mungu ni mwema i love Rose yaani basi wewe ninakukubali

Келесі