PART 3: ROSE MUHANDO ASIMULIA ALIVYOTAMANI KUJIUA, MADAKTARI WAKAMUOKOA | HARD TALK

Ойын-сауық

PART 3: ROSE MUHANDO ASIMULIA ALIVYOTAMANI KUJIUA, MADAKTARI WAKAMUOKOA | HARD TALK
HII ni sehemu ya tatu ya mahojiano ya mwanamuziki wa Injili, Rose Muhando, katika kipindi cha HARD TALK, ambapo amezungumzia historia ya maisha yake, majanga aliyokutana nayo mpaka kufikia hapa alipo..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 530

  • @globaltv_online
    @globaltv_online Жыл бұрын

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ

  • @pastorteddywaziri5754

    @pastorteddywaziri5754

    Жыл бұрын

    Tayari🙏🙏🙏

  • @janetkithi775

    @janetkithi775

    Жыл бұрын

    Please naomba namba ya Rose n mkenya.🇰🇪

  • @IvyBarasa-mk4ig

    @IvyBarasa-mk4ig

    10 ай бұрын

    Aky mungu anisamehe mm nldan yuko iluminat

  • @annemoureen6676
    @annemoureen6676 Жыл бұрын

    Mungu na anisamehe mm pamoja na wale wote tuliomfkria vibaya huyu mama😭😭😭😭😭

  • @priscakanjanja5256

    @priscakanjanja5256

    Жыл бұрын

    Kweli kabisa mana tuliambiwa anatumia madawa ya kulevya Mungu atusamehe sana

  • @leaharusei5131

    @leaharusei5131

    Жыл бұрын

    Akii😢😢

  • @kerencikuru6039

    @kerencikuru6039

    Жыл бұрын

    Kweli kabisa Mungu anisameye kwani nimeambiwa kama ni mchawi na nika anza kumchukiya sana but God forgive me and help me not judge others

  • @consesajohn954

    @consesajohn954

    Жыл бұрын

    @@kerencikuru6039 mimi pia Mungu anisamehe kbsa

  • @paulkim2152

    @paulkim2152

    Жыл бұрын

    Mimi ukweli niliishi kumuamini mama rose sikuwai fikiria mabaya kutokana na hali yake

  • @Browniecarole254
    @Browniecarole254 Жыл бұрын

    I grew up listening to Rose and all along I knew she was living like a queen you should have seen how my whole village in loitoktok Tanzania border adored Rose. ..I'm happy to know that you are okay and that God has been using you to heal and change souls....God bless you 🙏 ❤️ kenya we love you ...

  • @pstpenninahmakau3180
    @pstpenninahmakau3180 Жыл бұрын

    Huku Kenya tunasema Wueh!! Rose umetoks mbali na story yako imenibariki na kunielimisha. May the Lord lift you to higher heights. Kenya loves you.

  • @victormwakipesile6990
    @victormwakipesile6990 Жыл бұрын

    Ninachompendea rose kwenye maneno kumi Kuna mstar wa Bible Nakupenda bure

  • @danielkilonzo8864
    @danielkilonzo88645 күн бұрын

    👏👏👏👏👏Among great women Rose Muhando you are. Mungu akunjaalie hitaji la moyo wako dada daima.

  • @nanyamasheilah5695
    @nanyamasheilah5695 Жыл бұрын

    Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏am healed through this talk😭😭 depression could have killed me...thank you so much

  • @janek6843
    @janek6843 Жыл бұрын

    I remember praying for you Rose one particular night for God to fight your battles, restore you and heal you when you were in hospital, am so grateful to God

  • @hildaminja5148
    @hildaminja5148 Жыл бұрын

    Hakika midomo ya walimwengu ilinena mengi, masikio yetu yalisikia mengi kumhusu huyu dada. Huwa nawaambia watu mengi yanayosemwa juu ya watu wa Mungu si ya kweli. Leo nimeendelea kuthibitisha. Nimekupenda dada

  • @stelabrent6056

    @stelabrent6056

    Жыл бұрын

    kbs wanadamu tuna penda kuhukumu bila kumjua mtu

  • @saadamartin8866

    @saadamartin8866

    Жыл бұрын

    Hakika Hilda hata Mimi nimegundua hilo, watu wengi wa Mungu tunapenda ya kusikia kuliko kumuuliza Mungu ukweli juu ya jambo la mtumishi wake, ni afadhari yanaposemwa sisi tumjuao Mungu tuwaombee kuliko kujiunga na makundi mabaya ya watukanaji

  • @simonmdune9066

    @simonmdune9066

    Жыл бұрын

    barikiwa dadaa🙏

  • @gloriaaugustino8031

    @gloriaaugustino8031

    Жыл бұрын

    Shetani hapendi Mungu atukuzwe

  • @maureennyaboke58

    @maureennyaboke58

    Жыл бұрын

    Wah haki nimelia.kumbe hujatokahapa karibu wueh!!Haki Mungu anisamehe kwa kumjudge huyu Dada vibaya in 2019.mungu Ni mkuu

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 Жыл бұрын

    Wow,wow,l didn't know that your maturity enough, kiroho na kimwili Mungu akutunze, mtumishi wa Mungu

  • @ireneadhiambo5234
    @ireneadhiambo5234 Жыл бұрын

    Namshukuru Mola aliyenipa moyo wa kumwombea huyu mtumishi wa Mungu Mara tu niliposikia uvumi kuhusu maisha yake. Rose amekuwa Baraka kwangu sana na ninashukuru Mungu kwa urejesho. Akulinde kwenye mwendo huu

  • @pourquoilafrique1922
    @pourquoilafrique1922 Жыл бұрын

    Bwana Yesu asifiwe dada Rose,ki binafsi naomba msambaa kwako,maana niliwaza labda ulikua freemasonry apo zamani,ukashindwa na masharti zako,ndo uka tuletea drama za kuunguzwa. Nasema nisamee kutoka moyo mwako,ili niwe na amani. Nashukuru kwa shuuda yako,nime ifata mwanzo hadi mwisho. Bwana akuinue zaidi❤from dr congo 🇨🇩

  • @gadyjohn3815
    @gadyjohn381517 күн бұрын

    Haka kamama nakakubali😄, nimebarikiwa sana na nyimbo zake, na kwenye mapito yako nilikuombea sana, nyimbo kama shujaa wa msalaba, tabu zangu are my favorites, God bless you sis.Rose

  • @lilianlaurent8833
    @lilianlaurent8833 Жыл бұрын

    Nakupenda rose nmepata aman ya moyo kusikiliza maneno yako🙏🙏🙏🙏

  • @agnesgeorge6818
    @agnesgeorge6818 Жыл бұрын

    I love you dada Rose Muhando 😍😍😍 MUNGU baba yetu wa mbinguni akutunze katika mapenz yake!!

  • @Fondo0
    @Fondo0 Жыл бұрын

    You are always welcome to Kenya. We love you Rose Muhando.

  • @lizsonny7460
    @lizsonny7460 Жыл бұрын

    I have cried...I have learned alot from this interview Rose muhando....I Thank God you never compromise your belief in God...I'll keep my trust in God

  • @eugeneoketch571
    @eugeneoketch571 Жыл бұрын

    Nmetoka tik tok ili nimalize kuwatch hii story ya rozi I love this woman so much🇰🇪🇰🇪 likes from Kenya please

  • @kennethmilimba1123
    @kennethmilimba1123 Жыл бұрын

    Even though I don't understand the language, but I understand few really God is with this woman, she is really God's vessel and she is going far with the gospel music, may almighty God give her more power and protect so she can turn more people to christ, singing is also preaching, am very happy to know this woman thank you..

  • @perpetuewany1620
    @perpetuewany1620 Жыл бұрын

    Rose is so smart🔥

  • @francismshote5817
    @francismshote5817 Жыл бұрын

    Jaman hapo kwenye uchungu mmenisaidia Jaman, Mungu awabariki, Mara nyingi nilikuwa nikipata uchungu nilikuwa naomba mpaka nalia kumbe sivyo

  • @tototimthe1868
    @tototimthe1868 Жыл бұрын

    Have lived loving and feeling Rose all alone my life since my childhood; I felt pain whenever I heard anyone talking evil about her though I didn't know how she was going through my conscious always told and tells me that she's indeed God's vessel. And I know that one day I'll meet her to fulfil God's will since I already saw it happen in spiritual realm and definitely it will come to pass...Rebecca from Kenya..Mungu akutende wema Rose

  • @morinekakuvi4798

    @morinekakuvi4798

    Жыл бұрын

    Aki wewe ni kama tu mimi I wish kuna siku moja nitakuja kumuona live

  • @kennethmilimba1123

    @kennethmilimba1123

    Жыл бұрын

    She is really God's vessel, may almighty God be glorified.

  • @georginakamuti2693
    @georginakamuti2693 Жыл бұрын

    Hallelujah 🙌. There is healing Power in forgiveness my brother and my sister. Thank you sister Lilian and Sister Rose

  • @user-qj4pe1gn7t
    @user-qj4pe1gn7t6 ай бұрын

    Aiseeee, nimeelewa sana...nikiwa na uchungu niimbe zaburi. This is so powerful

  • @helenakay2839
    @helenakay2839 Жыл бұрын

    Nimebarkiwa kupitia rose muhando nimeondoa uchungu moyon asante mungu

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 Жыл бұрын

    Rose nakupenda Bure! tangu nikujue rose nimejengeka pakubwa kupitia wewe, Barikiwa sana pamoja na dada liliani,tuonbeane sisi Kwa sisi sababu tuko katika ulimwengu wa shida Ameni 🙏

  • @dorynfao
    @dorynfao Жыл бұрын

    "Haturudi jana tunaenda kesho" Asante mama 🙏

  • @vicentgodda3357
    @vicentgodda3357 Жыл бұрын

    Hongera sana Solomon Mkubwa. Asante sana Wakenya kuwa sababu ya wokovu wa Rose Mhando. Rose Mhando bado safari ni ndefu ya kiroho jikite ndani ya Bwana Yesu, ufunikwe na uweza wa Mungu

  • @Jane-ie9ul
    @Jane-ie9ul Жыл бұрын

    Rose Muhando ni mhubiri. Pengine Mungu amempa kipawa sio tu cha kuimba bali kuhubiri pia. She's not boring. Akizungumza unatamani kumsikiza zaidi na asiache.

  • @marynjogu3769
    @marynjogu3769 Жыл бұрын

    Mungu akuinue zaidi Rose, wewe ni mbaraka kwetu and we love you so much from Kenya

  • @hildamushi1084
    @hildamushi1084 Жыл бұрын

    Pole sana dada yangu Rozi mimi ni mkatoliki wakati wa tukio lako la kuombewa ni kweli watu waliongea mengi.Mimi nikasema huyu dada Mungu anataka kumpandisha kiwango kingine.Tunamshukuru Mungu kwa madaktari aliyowandaa kwa ajili yako.

  • @kobylwaho3191
    @kobylwaho3191 Жыл бұрын

    nimejikuta nalia sana aisee ! mtumishi wa Mungu kapitia magumu sana ,Mungu aendelee kumuhudumia,kumsimamia,kumpa umri mrefu,amuepushe na mwovu ibirishi ,namkabidhi kwa Mungu akatembee kwa damu na damu ya yesu,malaika wa Mungu wamlinde kila atokapo na aingiapo,Mungu amwadhibu huyo baba wa dodoma mwisho wake uwe mbaya sana kwa ubaya aliomtendea Rose muhando ,eeee Mungu nakuomba umbariki huyu mama maan nyimbo zake zimeokoa maisha ya walio wengi na zimebadilisha maisha yetu .

  • @sabinafelly1644
    @sabinafelly1644 Жыл бұрын

    Tis always important to know the story behind the lifting...this one has touched me and inspired me alot....never knew much about Rose apart from her songs and how people criticized what they didnt know. Glory to God for preserving your life and keeping you to be a testimony that touches many. Your song "Mwambieni Mungu matendo yako yatisha" graced my wedding occassion back in 2005 and every song you do is inpired by God. Keep serving,,,,,Much love from Kenya.

  • @juddiewandera
    @juddiewandera Жыл бұрын

    Na ndio nilikuwa naambia watu waache kuongea vibaya Kwa huyu dada ila wasikize nyimbo zake watajua maana ya Yale mapito alikuwa anapitia. Kipindi hicho Rose alikuwa hospitalini nakumbuka wimbo wake wa Nalegea Wacha nichakae nje lakini utu wangu wa ndani wafanywa upya.....that song revealed to me why God gave her that song for He foreknew what she was going to pass through. Rose you are a great blessing to many especially myself one day God willing we shall do a collabo. Live long and stay blessed.

  • @babblieemjomber
    @babblieemjomber2 ай бұрын

    mwanzoni mm pia nilimjudge bana bt this story i am really touched GOD bless her so much uyo mtu hawezi shikwa aozeee uko jela

  • @nancyaroko4572
    @nancyaroko4572 Жыл бұрын

    I love you Rose Muhando Mungu aendele kukupigania hakika nimejifunza leo mengi kutoka kwako

  • @patriciafavour7309
    @patriciafavour7309 Жыл бұрын

    I really love this Lady Rose since I was a small girl, video ya 'Yesu Nipe Uvumilivu' ilikuwa story yetu Kama familia, tuliitazama almost Kila jumapili enzi zile Hadi mama akapona kutokana na uchungu wa ndoa mbovu, akampenda Mungu sana na kumtazamia. Mwenyezi Mungu akubariki sana

  • @hosianaallan7838
    @hosianaallan7838 Жыл бұрын

    Mtumishi wa Mungu umenifundisha vitu vingi sana,nakutakia baraka za Mungu

  • @jannyrose5367
    @jannyrose5367 Жыл бұрын

    Kenya tunakupenda Sana Sana,be blessed🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @josephinekarwitha7439
    @josephinekarwitha7439 Жыл бұрын

    My dear sister God has been faithful all through .He loves you very much. Since your kids witnessed the pains you had, they need too Counseling Therapy. You are a blessing to many.Much love from 🇰🇪🇰🇪

  • @gracenekesa4858
    @gracenekesa4858 Жыл бұрын

    You are a leaving testimony in my life,Watching from Kenya,siku ikipita pila kuskiza nyimbo zako siezi sikia raha moyoni.

  • @morinekakuvi4798
    @morinekakuvi4798 Жыл бұрын

    Rose muhando has been my role model since I was young. My wish tu ni nimuone siku moja. Nimepatana na watu wanaomujua na ata wale walikuwa wakiprint CD covers zake Kenya nikawaomba no. Yake wakaninyima bt nisawa tu.Lilian unaweza nisaidia kuja kumuona rose siku moja? Nitafurahia sana. Mungu aendelee kumbariki Simba wa kike. Maureen From kenya

  • @i.omeshack1612
    @i.omeshack1612 Жыл бұрын

    WE NEED MORE OF THESE TRUE EXPERIENCES

  • @morgannizi7486
    @morgannizi7486 Жыл бұрын

    I learn a lot from her testimony. God bless you mhando

  • @mycoctvnz6629
    @mycoctvnz6629 Жыл бұрын

    MUNGU azid kumbariki na kumtunza mama yetu kipenz rose muhando

  • @paulinepawa5590
    @paulinepawa5590 Жыл бұрын

    Vile ninakupenda rose,🥰🥰🥰ni mungu tu anajua. Much love from Kenya

  • @esthergakii2058
    @esthergakii2058 Жыл бұрын

    I really love Rose aki.mungu azidi kukupa nguvu mamaa

  • @jacyk3035
    @jacyk3035 Жыл бұрын

    Your whole life is a testimony Rose. In tha topic of depresion I understand you very well because I have tested that bitter chalice and God is good, through counselling I improved alot. May God bless you.

  • @abbygaelsharon497
    @abbygaelsharon497 Жыл бұрын

    Very inspiring mum Rose,may God preserve your life always and more Grace 🇰🇪we love you

  • @sheekahuria6746
    @sheekahuria6746 Жыл бұрын

    This story is touching Kuna mungu aliye mbinguni 😭😭😭😭😭😭

  • @emmaculatejenipher9316
    @emmaculatejenipher9316 Жыл бұрын

    Rose u r just a blessing to many..... May God bless you.... But ukiimbia huezi dhani una hizo shida... Tx for changing my life

  • @premmyhamisi4578
    @premmyhamisi4578 Жыл бұрын

    You are a testimony mama yetu Rose 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior Жыл бұрын

    UBARIKIWE SANA! HIVI MUIMBAJI MUOMBAJI,AMEJAA NENO, ANABIDII KWENYE KAZI YAKE.KWANINI HASIWE MALKIA WA INJILI. BARIKIWA SANA.

  • @samwelimasumbuko1829

    @samwelimasumbuko1829

    Жыл бұрын

    Asante Rozi muhando mungu akubariki sana kwani hata mimi nili pitia nirikonda irabaada yakusahau yote yario niumiza nirikua na furaha mbaka sasa niamani moyoni mwangu 🙏🙏

  • @TALLUBOY

    @TALLUBOY

    Жыл бұрын

    uyu dada ndiyo msanii wakike mkubwa wainjil east Africa

  • @trophywilson7211

    @trophywilson7211

    Жыл бұрын

    @@TALLUBOY na pengine anaharibu kila akiinuka juu

  • @sylviaoira3349
    @sylviaoira3349 Жыл бұрын

    God bless you Rose Muhando...just discovered hard talk! An awesome platform to listen to. A very sincere host, no hypocrisy! I love you. Asante sana Mungu awatende mema.

  • @EM2916
    @EM2916 Жыл бұрын

    Hapo kweli dada ata mimi nilianza kua na hizo dalili mwishowe nikaathirika miaka mitatu. Ilinigarimu mwaka mwingine tangu hadi last year nimeanza kufurahia maisha tena

  • @emilythuo5164
    @emilythuo5164 Жыл бұрын

    Rose you have a great gift which is even more than those who are preachers because you went through what many preachers have not experience. God has rewarded you with a gift of counselling through your experience. God bless you sister.

  • @elinahmwambuki400
    @elinahmwambuki400 Жыл бұрын

    Rose nakupenda bure, Mungu mwenyezi muumba aridhi na mbingu akufunike na damu ya Yesu kiristo Amina. l like the statement that'usiombe wakati uko na machungu ' it's true. God bless you dada

  • @VincentWesonga-ge1cm
    @VincentWesonga-ge1cm6 ай бұрын

    Rose muhando really me personally Vincent wesonga i love you the way you are and i love your songs since i was young upto now am singing and i have faith that we'll sing with you together. Be blessed 🙏

  • @bellacaramella2196
    @bellacaramella219610 ай бұрын

    Nimefurahiii saaana kusikiliza iki kipindi maaana nampenda saaana ROSE MUHANDO

  • @furahajoy7778
    @furahajoy7778 Жыл бұрын

    Wow my darling sis Rose I have learned alot I thank God in all what she passed through in kenya i stood and i prayed for her You will remain to be my favourite i like you so much barikiwa siku zote

  • @queenlizzyplatnumz4942
    @queenlizzyplatnumz4942 Жыл бұрын

    Be blessed rose muhando nimejifunza mengi🙏

  • @chefabby8096
    @chefabby8096 Жыл бұрын

    Thank you Rose, Umenena na mwoyo yangu.More grace.

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 Жыл бұрын

    Mungu Aipazishe Sauti yako Mama Na Ibadili Mioyo ya Wengi na wapone kupitia Sauti yako ambayo Mungu ameipa Kibali Shukrani sana kwa history yako tupo wengi tutapona kupitia wewe God bless you always ♥ 🙏 thanks da Lillian Mwasha My God bless you so much 😊

  • @AnnndukuMatolo
    @AnnndukuMatolo8 ай бұрын

    Asante umesadia Rose nimekua nikipitia hayo😢 plz pray for me

  • @tumainisangaonline6536
    @tumainisangaonline6536 Жыл бұрын

    Mungu akubariki dada Rose. Una neema kubwa na Mungu anakupenda sana.

  • @esdorathomas949
    @esdorathomas949 Жыл бұрын

    Kiukwel nabalikiwa Sana na rose nampenda Sana tangu nilivo kua mdogo ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @joicewanjiru5321
    @joicewanjiru53212 ай бұрын

    Nashukuru Mungu alijibu ombi yangu kwake la kumuzimamisha tena huyu mtumishi.

  • @emmyjimmyK
    @emmyjimmyK Жыл бұрын

    Asante sana Mtumishi wa.Mungu Rose Muhando....Barikiwa sana Lilian Mwasha

  • @joycewagema9612
    @joycewagema9612 Жыл бұрын

    So inspiring mum,may God bless you more and more

  • @ashurakhamis3523
    @ashurakhamis3523 Жыл бұрын

    Dah!! Kweli usimjaji mtu bila kujua ukweli.pole Sana Rozi🌍

  • @patriciafavour7309
    @patriciafavour7309 Жыл бұрын

    Mazungumzo haya yamekuwa therapy kwa moyo wangu... Dada Rose na Mwashi Mungu kawabariki

  • @dafrosasimon0074
    @dafrosasimon0074 Жыл бұрын

    Da kwny eneo la uchungu hapo umetuponya wengi dada Rose, wengi kusamehe inakuaga ngumu Sana ,Mungu aendelee kukuinua zaidi 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dorcasnzioka1334
    @dorcasnzioka1334 Жыл бұрын

    Woow..finally you have told us the truth. May the almighty God watch over Rose muhando as she continues to serve God

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 Жыл бұрын

    Ni kweli kabisa Rose muhando na hiki kipindi nakipenda sana.

  • @jacintamwaura82
    @jacintamwaura828 ай бұрын

    Dada Rose Muhando Mungu akubariki na akulinde, umenibariki sana kwenye hayo mazungumzo, Isaiah 54:17

  • @elfridaezekiel4478
    @elfridaezekiel4478Ай бұрын

    Mungu akubariki Rose, ni mengi yalio semwa , bt mungu alikua na sababu.

  • @bonnywangai3595
    @bonnywangai3595 Жыл бұрын

    Mungu ni mwaminifu kweli mungu abarikiwe milele naomba namba yake dada rose niogee naye tafadhali

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 Жыл бұрын

    Amen dada Rose!! Unayonena ni kweli! Umenibariki san,

  • @hadijagere
    @hadijagere Жыл бұрын

    asante da Ross mi nimuislam ila nimekuelewa sana tusipende ku jaji vitu tusivyo vijuwa

  • @suphiapatson3541
    @suphiapatson3541 Жыл бұрын

    Dada umenisaidia sana nashukulu,kwa mafundisho!!

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 Жыл бұрын

    Mungu akuinue zaidi na zaidi dada Rose, ushuhuda wako unajenga Kiukweli japo uliumia sn, Mungu Akubariki sn.

  • @ju_ckenya
    @ju_ckenya Жыл бұрын

    Oh my God, i have learnt alot from you mama Rose...... May God keep and protect you always....... much love from gulfusquad

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 Жыл бұрын

    10:58 Asante Rose! Wakristo wengi hawataki kusikia kuhusu counseling. Umetoa mgawanyo mzuri sana wa kupona kiroho na kupona kiakili ni tofauti... God bless you

  • @carolcaro7453

    @carolcaro7453

    Жыл бұрын

    Wwauh dada Roseit is ablessing having that counselling inatia moyo

  • @malkiahellen2030
    @malkiahellen2030 Жыл бұрын

    Nimeipenda hii saana Mungu Amzidishie neema kwelikweli

  • @joccykate6161
    @joccykate6161 Жыл бұрын

    wow am happy for that testimony Rose kenya tunakupenda God bless u🙏🙏

  • @saumukijabala233
    @saumukijabala233 Жыл бұрын

    Shukran sana Dada Lilian na Dada Rose natumai wengi tumepona kwa kupitia kipindi hiki

  • @user-vr8bs6pw8y
    @user-vr8bs6pw8y7 ай бұрын

    Ubarikiwe sana mama,AK Mungu anisamehe nlkufikiria vbaya,pia asante Kwa counselling yako ,Mungu akulinde,akupe maarifa pia yakuelimisha wengi wajigundue,Mungu akupe maisha marefu Amen 🙏, more love from kenya❤❤

  • @georginakamuti2693
    @georginakamuti2693 Жыл бұрын

    I love 💕 you sister Rose🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.kwenye hayo mapito, tulikuombea Sana Dada Rose 🌹🇰🇪🌹🇰🇪. We thank GOD for you 🙌🙌🙌🙌

  • @user-rn7hf4so2t
    @user-rn7hf4so2t10 ай бұрын

    Waaaaaa pole Sana rose umenifundisha mengi sikua najua mungu azindi kupanua hema yako

  • @empressbritneyofficial
    @empressbritneyofficial Жыл бұрын

    So inspiring it teaches how deep down we are passing alot with smiley faces

  • @winfridaagrey8990
    @winfridaagrey8990 Жыл бұрын

    Amen amen amen nabarikiwa sana na utumishi wako dada Angu

  • @doricejoachim2312
    @doricejoachim2312 Жыл бұрын

    I love you so much Rose Muhando Mungu akupe maisha marefu

  • @user-ty6lr1zq7j
    @user-ty6lr1zq7j Жыл бұрын

    Hakika nimejifunza mengi sana Mungu azidi kuwainua kila iitwapo leo Amen

  • @luckwisengowi3353
    @luckwisengowi3353 Жыл бұрын

    Mungu azidi kukutunza Da Rose. Hongera kwa kusamehe

  • @mariamleonard3770
    @mariamleonard3770 Жыл бұрын

    Daah umenifundisha kitu dada rose mimi nikiwa na uchungu huwa nasikiliza nyimbo sana naweka saut kubwa sana nikisikiliza moyo wangu unakuwa na amani sana uchungu unaacha

  • @glorymsopa4221

    @glorymsopa4221

    Жыл бұрын

    Jmn kumbe tupo wengi bins hiyo sauti jmn ht jirani akiniita huwa simsikii kbs

  • @winnyk.
    @winnyk. Жыл бұрын

    I never knew Rose passed through all these ,until I hear this,pple judged her differently in 2019,but now I have come to know, sorry for all u went through mum

  • @gladysjeruto8697

    @gladysjeruto8697

    Жыл бұрын

    Wa! Watu wakasema alikua na mapepo ..ooh aliingia aluminati..jameni kumbe alianguka juu ya depression 😭😭😭

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 Жыл бұрын

    Ni kweli kabisa dada Rose vijana hawataki kabisa kufanya kazi

  • @sallymrembo9137
    @sallymrembo9137 Жыл бұрын

    Nimebarikiwa Dada Rose nakupenda Mungu akulinde natamani sku moja uje uwe na Kanisa uzidi kuponya mioyo ya watu na kuwaokoa upo na ufunuo mzuri

  • @dorischweya3161
    @dorischweya3161 Жыл бұрын

    From part 1....nimejifunza mengi aana kiroho...lazima nisamehe..kweli kabisa vijana twafanya makosa kwa maisha yetu...don't allow that mistake to define you...yaani mzee huyu mungu tu kamuonekanie...am officially forgiving my Step_dad.

  • @eliedaluzuga3143

    @eliedaluzuga3143

    Жыл бұрын

    Safi Sana,tusamehe tu

  • @ngussamhingoarts8574

    @ngussamhingoarts8574

    10 ай бұрын

    Kweli Mungu akubariki mtumishi wa Bwana, nimepata jibu kwenye Changamoto ninayopitia. Nimefanya maamuzi magumu kutokana na pito lako nimepata jibu. Kweli umaskini ni janga. Unaweza kuteseka Mungu atusaidie. Ubarikiwe sana mama mtumishi. Yesu akutumie siku hizi za mwisho.

  • @keyqueen7022
    @keyqueen7022 Жыл бұрын

    you made my day,,,umejenga imani yangu haswa kuhusu mapito ulopitia..baraka

Келесі