NINAJUA ALIKONITOA BY NYAKATO ADVENTIST CHOIR
NINAJUA ALIKONITOA ...ni wimbo unaelezea ni kwa namna gani Yesu amenipigania katika Maisha yangu. Shiriki nasi kwa Ku SUBSCRIBE, COMMENT, SHARE & LIKE Kupata Nyimbo zetu zaidi na zaidi
NINAJUA ALIKONITOA ...ni wimbo unaelezea ni kwa namna gani Yesu amenipigania katika Maisha yangu. Shiriki nasi kwa Ku SUBSCRIBE, COMMENT, SHARE & LIKE Kupata Nyimbo zetu zaidi na zaidi
Пікірлер: 80
Ameen,,, barikiwa sana kwa huduma nzuri mnayoitoa
❤❤Nabarikiwa kila nisikilizapo hu wimbo
Ninajia aliko nitoa,mzuri sana ulio na ushuhuda
Raha kubwa sana
Barikiweni sana sauti na ujumbe mtamu
Barikiweni watumishi
❤ barikiwa sana
Wimbo ni mzuri sana ila dada aliyeimba solo kaufanya kuwa mzuri zaidi. Kwa kweli abarikiwe yeye na vizazi vyake🙌😊
Mubalikiwe sana
Love you 😂🎉. calming music.Glory to God
Well done mko vizuri
Amina mbarikiwe
Masoro mkuje kana tumewamisi
Mbarikiwe
Mbarikiwe Sana
Sauti ya mwimbaji huyu inainua moyo uliochoka na kupotea urudi nyumbani. Tunakuombea karama hii uliyo pewa iwaludishe watu kwa Yesu Kristo Masihi. Nawe uwepo wa Mungu, ukuzunguke mwovu asije pata nafasi ya kuangusha karama hii. pia nimebarikiwa kwa muonekano wenu kweli mbarikiwe duniani na mbinguni juu mkaimbe ule wimbo wa mwana kondoo.
Amina
Raha sanaa
Aminaa
amina ujumbe mzuri daima nitadumu miguuni na pa YESU
Vema.
Ooh! Hallelujah. Acha niimbe sifa zake maana alikonitoa ni mbali mnooo. Mtunzi wa wimbo huu Bwana azidi kukutumia, waimbaji wote pia Bwana azidi kuwatumia.
Mbarikiwe watumishi. Wimbo mzuri saana. Hakika Yesu ni yote ktk yote.
Amen,kwa wimbo mzuri binafsi wimbo huu umenigusa sanaa barikiweni Nyakato choir BWANA aendelee kuwainua zaidi na saidi songeni mbele ombi langu endeleeni kunyenyekea miguuni pa Mungu
Bwana awabariki Nyakato kwa mziki makini
What a blessed assurance from our saviour I am fully convinced of his presence that is continually with us he has not brought us this far to destroy us but for his glory to be seen
@josephinekawooya
Жыл бұрын
Amen our God is faithful,Be blessed always
@nyakatoadventistchoir4866
Жыл бұрын
Amen
AMINA AMINA. Nabarikiwa na wimbo huu nikiwa GOMA-DRC.
@josephinekawooya
Жыл бұрын
Amina Amina Bwana apewe Sifa
Amen Asante Ndugu wetu wa Tanzania kutubariki na wimbo wa Imani wa upendo wa yesu kristo
@josephinekawooya
Жыл бұрын
Amen
Sister Jose umenibariki mno na sauti yako, wimbo umeutendea haki. Barikiwa Sana.
@josephinekawooya
Жыл бұрын
Amina Bwana apewe Sifa kwakweri 🙏
@lilianchacha5576
Жыл бұрын
@@josephinekawooya Barikiwa sana ... Mungu azidi kukutumia itakavyompendeza zaidi siku moja nitasali pamoja nanyi Mungu akipenda
....she is such a song bird!!!!
Huu wimbo unanibariki sana, nawapenda sana, Mungu awabariki
Bwana atukuzwe kwa wimbo mzuri..
Ujumbe nzuri tumepatikana mahali tofauti na Yesu , so tuwe naye kwa shida na raha ni mwokozi wetu 🙏
Great song with timely message. Mungu awabariki sana.
Amen. Blessings☺️
super nyakto ninajua alikonitoa
So nice song,
Oooooh Fazah kazi nzuri mno Mungu akubariki na ibariki kwaya ya nyakato ♥️♥️♥️
@johnstephano6486
2 жыл бұрын
Vema sana.
Barikiwa kwa mziki wa Kikristo
@vailethsina9533
2 жыл бұрын
Nawapenda kwa uimbaji wenu Mungu awabarikiwe
Wimbo nzuri sana mbarikiwe Nyakato
Amina kubwa
Bass nyie bass 🔊😊😊😊
Fantastic nyakato
Wimbo mzuri. Ila soro haikutoka vizuri kabisa, sisemei sauti mbovu la hasha. .ila sauti ya soro haikuchukuliwa vizuri. Nafikiri ni makosa madogo ya studio
Najua Alikonitoa Go Nyakato🎼🙏
Amina tuko pamoja wadau
Mbarikiwe Sana👨❤️👨🥰😘
Nice
Muende mbali Sanaaaaa🤩🤩🤩
Mbarikiwe sana wimbo mzr sanaaa
Superb Nyakato
Amina glory to God
Mungu awabariki sana Nyakato sda choir
Glory be to God
Alleluiah.. Calm and Sweet!
@josephinekawooya
Жыл бұрын
Amen Amen be blessed
Amina Amina Bwana every apewe Sifa
Nice, nabarikiwa Sanaa.
Mungu awabariki sana kwa utumishi wenu.
Mungu awabriki 🌹❤️
Wow lovely...our own sister...thanks for having such a gud choir
@josephinekawooya
2 жыл бұрын
Amen Uncle
Wow, amen
Good massage with Sweet voices, God bless all of you.
kuna nyimbo za album ya ILIMPASA hazijawekwa KZread 1. Neno huniburudisha. 2. Kanisa zipakueni
Mbarikiwe Sana sana
Amiina
Glory to God
Wimbo mtamu
Great
Amina