"NILIAMBIWA SIJUI KIINGEREZA, UINGEREZA NILIONGEA KISUKUMA?”-RAIS MAGUFULI

“Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza,lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo
“Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa”-JPM

Пікірлер: 225

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika61733 жыл бұрын

    Ubarikiwe kwakweli RAIS wetu J.P.MAGUFULI ume nichekesha kwakweli wewe ni Rais Shujaaa baba yangu ongeya kiswahili kabisaa na sisi Afrika tuinuwe kiswahili chetu Afrika ♥️♥️♥️

  • @iammarwa
    @iammarwa3 жыл бұрын

    What a sad day for me 😢 😢heartbroken !!! My dad and my mentor The president of the republic of Tanzania , a guy I looked upto !!! He gave me ALL the reason to be a proud Africa , I was in your country a few months ago and you had transformed it so much !!! I feel lonely shaking and in tears , Baba Mungu akuweke pema, all the forces were against you 💔 !!! Africa what a loss !!!

  • @kenbina

    @kenbina

    3 жыл бұрын

    It's a sad time for us in Tanzania. I mourn with you, my Brother. Be comforted. With God's help and grace, Dr. Magufuli's legacy will live on. You, me and the rest of our friends can help make certain of that. 🙏

  • @petermatiko1083

    @petermatiko1083

    3 жыл бұрын

    Best President Mr magu the hero of Africa

  • @shedy_marie
    @shedy_marie3 жыл бұрын

    Tutakumiss san baba mungu akupokee mbinguni kifio chako amependa mwenyez mungu pumzika kwa Aman

  • @awadhally1052

    @awadhally1052

    3 жыл бұрын

    ♥️♥️maria

  • @kibonerose2470

    @kibonerose2470

    3 жыл бұрын

    Amen 🙏

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce23213 жыл бұрын

    Asante sana Mhe.Rais kwa kupenda kiswahili.Na kiswahili kiwe lugha yetu ya Afrika.Hongera sana Mhe.J.J.P.Magufuli.

  • @IBENGM
    @IBENGM3 жыл бұрын

    Daah inauma kweli 😭 Asante kwa yote mazuri uliopambania, pumzika kwa amani mzee wetu,hatutakusahau!

  • @marthaleonard2444
    @marthaleonard24443 жыл бұрын

    Hongera sana Mheshimiwa Rais! Tutoe ukasumba !Inawezekana kiswahili kikatumika!

  • @haroonchibwana6253
    @haroonchibwana62533 жыл бұрын

    Innalillah waina ilahi rajeeon. Go well son of the soil, son of Africa. Africa is proud of you.. We may not come from the same country, but we shared your vision. A great Leader you were, a proud African. I am not Tanzanian, but your love for the Africa continent spread all over Africa and beyond, You gave us hope, you gave the young politicians the reasons to join the political field. Your Leadership style, touched a lot of Africans. You believed in your people, you decided to die in the eyes of your own people. May GOD receive you well and May HE forgive your short comings. RIP John. We will forever remember you.

  • @Anne-zn3lf
    @Anne-zn3lf3 жыл бұрын

    Dr Magufuli. Simba! The Lion who recognized The Lion of Judah! A great Man. Walks the talk. Truth is his approach however painful. Fighter for Justice and Truth . May The Angels continue to guide you as you enter into more beautiful realms. I salute you Sir!

  • @elsachimwani5018
    @elsachimwani50183 жыл бұрын

    I will miss your sense of humour......😭😭😭😭😭😭😭😭mzalendo kweli! Kiswahili ndiyo lugha yetu!

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster61463 жыл бұрын

    Hata wazungu wakija huku huwa wanazungumza kiswahili broken ila tunajaribu kuwaelewa hivyohivyo😂😂😂

  • @alanmunyi8343
    @alanmunyi83433 жыл бұрын

    As a Kenyan I love kiswahil and I salute you JPM the late. Your legacy will continue to take root and grow within us all patriotic Africans even in your absence. You've laid a raod map for us and it's now not a myth of wishes but open reality that Africa is very rich and wealthy and we need not hand outs or big brother to be self reliant. It needs just ONE leader to realise this and ashame them

  • @masawemeshack5901
    @masawemeshack59013 жыл бұрын

    Tutakuenzi babe milele daima😭😭😭

  • @chichyjiih6788
    @chichyjiih67883 жыл бұрын

    Uzaliwe tena baba yetu, true legend Farewell sir🙏💔

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael36983 жыл бұрын

    Kiingereza kiingereza na wenyewe wanakosoana na kuchekana pamoja na usheria wao.Wa Tanzania ni waingereza au waswahili ,jpm ongea lugha ya wapiga kura wako ili wakuelewe vzr

  • @mashakaamosgabinza3893
    @mashakaamosgabinza38933 жыл бұрын

    Always no one like you're success be blessed Rais wetu Jpm

  • @a.muchemi4360
    @a.muchemi43603 жыл бұрын

    I love this man RIP .... all the way from Kenya

  • @elizabethmichael5333
    @elizabethmichael53333 жыл бұрын

    Pumzika kwa Aman Baba 😭😭😭

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen58333 жыл бұрын

    Daaa ila bab kumbe huwaa yanakufikia polee sana😭😭 tunaokupenda tunaumia ukisemwaa vibaya

  • @mgoledaudi6051

    @mgoledaudi6051

    3 жыл бұрын

    Hakika👏👏👏

  • @mashimbazephania3511

    @mashimbazephania3511

    3 жыл бұрын

    Mimi mwenyewe huwa naumia mnoo wakati kingereza hata vya chekechea vinaonge2, lakini unakutana ususani vyana chadomo tena kana dgree1 kanamwambia rais wetu hajuwi kingereza.

  • @luqmanabdi3910
    @luqmanabdi39103 жыл бұрын

    Rip bulldozer ...realest president in the entire continent of africa 🌍 pumzika salama

  • @kabulamanyangu4703
    @kabulamanyangu47033 жыл бұрын

    Ningekuwa naweza ningeenda kumuliza mama wa Raisi je alikuwa anakupa chakula gani ulipokuwa mdogo hadi ukawa na busara hivi

  • @asmetkevtz

    @asmetkevtz

    3 жыл бұрын

    Ubarikiwe

  • @subirajohn728

    @subirajohn728

    3 жыл бұрын

    Ameshakwenda Baba tutamiss hekima na busara zake!

  • @goldenphiri6084
    @goldenphiri60843 жыл бұрын

    I love makufuli forever golden Phiri from zambia

  • @munirawangu9928

    @munirawangu9928

    3 жыл бұрын

    He has died

  • @patriotkenya

    @patriotkenya

    3 жыл бұрын

    Sorry fr ur loss. We all loved him

  • @makulanangale588
    @makulanangale5883 жыл бұрын

    Respect Mzee wangu! 👊

  • @abuumakamba887
    @abuumakamba8873 жыл бұрын

    Chapa kazi jpm usisikilze maneno ya watu yanavunja moyo piga kiswahil mwanzo mwisho bse it is our national language

  • @egideniyonkuru9705

    @egideniyonkuru9705

    3 жыл бұрын

    Daaaaah mshikaji wangu hapa tumehomba jemedari shujaa

  • @famaubafundi547
    @famaubafundi5473 жыл бұрын

    That's why am proud of you Mr President.

  • @paulrotich7042
    @paulrotich70423 жыл бұрын

    Ni vyema tutumie lugha ya swahili kama lugha rasmi,hapa nchini kenya twafaa kujikakamua zaidi

  • @John-qr4kf

    @John-qr4kf

    3 жыл бұрын

    Nakuunga mkono.tuwache lugha ya wenyewe.

  • @gracemima5234
    @gracemima52343 жыл бұрын

    Waafrika tumekuwa na fikira za kikoloni. Barozi wa Uingereza hajui Kiswahili na hatukumucheka. Wafrica tumejiweka chini. Kila kitu chetu hakifai. Hata majina yetu tunaona hayafai mpaka tuitwe majina ya kizungu ama ya kiarabu. Tuanza kujipenda na sio kujidharau. Kiingereza ni lugha tu kama nyingine. Kuna Waingereza W anazungumuza lugha yao hata kuandika majina yao hawawezi. TUSIKUBALI UJINGA WA KITUMWA.

  • @djoussoufbensaidahmed8399
    @djoussoufbensaidahmed83993 жыл бұрын

    Nakupenda sana baba John P Magufuli 😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲

  • @joycekaje8755
    @joycekaje87553 жыл бұрын

    Hongera sana Baba wa Taifa

  • @mnankamnanka7383
    @mnankamnanka73833 жыл бұрын

    kiswahili ndo lugha yetu baba

  • @peteradam4409

    @peteradam4409

    3 жыл бұрын

    Uko vizur raisi

  • @prudencehighness477

    @prudencehighness477

    3 жыл бұрын

    Wapi tutampata tena magufili sisi??

  • @coolruler6820
    @coolruler68203 жыл бұрын

    Wajinga sio wa kuwajibu,,kama kusoma ni kujua lugha za kigeni basi sisi ni wasomi kuliko wazungu maana wengi wetu tunakijua kikwao zaidi ya wao wanavyokijua kikwetu

  • @musakalamu8620
    @musakalamu86203 жыл бұрын

    Mungu ailinde nchi yetu amulinde pia makamu was rais aongoze kw amani

  • @mobellamobenimpenda7055
    @mobellamobenimpenda70552 жыл бұрын

    Tunakukumbua sana baba mungu akulehemu😢😢😢😢

  • @lawmaina78
    @lawmaina783 жыл бұрын

    Watanzania mpewe nani mwingine ndio mridhike, huyu ndiye mzalendo wa kweli Tanzania na Afrika.

  • @markogallus2046

    @markogallus2046

    3 жыл бұрын

    Tujivunie kiswahili, Rais na Taifa letu....

  • @salim02tv24

    @salim02tv24

    3 жыл бұрын

    @@markogallus2046 .

  • @alcherausmalinzi2033

    @alcherausmalinzi2033

    3 жыл бұрын

    Mungu awarehe marehemu wote

  • @marconyanda6429
    @marconyanda64293 жыл бұрын

    Umeondoka tukiwa bado tunakuhitaji!

  • @johnmbugua4923
    @johnmbugua49233 жыл бұрын

    ndio daktari Magfuli kwa kuongea lugha safi ya mwafrika. siku waafrika wataongea na lugha safi ya babu zetu.

  • @london7369
    @london73693 жыл бұрын

    Hongera Tz

  • @mpoleclassic160
    @mpoleclassic1603 жыл бұрын

    Pumzika salama mzee

  • @Lo-33
    @Lo-333 жыл бұрын

    Kiswahili chetu, urithi wetu wasikuyumbishe wajinga kiswahili mbele kwa mbele.

  • @christianshoki2422

    @christianshoki2422

    3 жыл бұрын

    United States of America

  • @betridarashid3395
    @betridarashid33953 жыл бұрын

    😔🤲leo nipo Napitia hotuba zako babu yangu magufuli 😭 rest in peace baba angu

  • @birungimark4971
    @birungimark49713 жыл бұрын

    So sad RAIS MAGFULI was a states man and a real African who exhibited that spirit" Mungu Amubariki" Amen

  • @maggynowak3555
    @maggynowak35553 жыл бұрын

    The best of all human beings I knew.

  • @isaacsimi3711
    @isaacsimi37113 жыл бұрын

    Nakupenda Magufuli, Mungu ni shahidi

  • @chrisshonga
    @chrisshonga3 жыл бұрын

    Mkataa kwao ni mtumwa! MUNGU akubariki Sana my president

  • @alexlaizr1877
    @alexlaizr18773 жыл бұрын

    Poleni raisi makufuli nikweli inayosemekana

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir93 жыл бұрын

    Hongera baba yetyu

  • @gospelboy3197
    @gospelboy31973 жыл бұрын

    My lovely and smart president, i love you sir

  • @belovedcarol1300

    @belovedcarol1300

    3 жыл бұрын

    So sad he is no more

  • @2000piotr
    @2000piotr3 жыл бұрын

    Rest in Peace. God is with you, Mr. president JOHN MOGUFULI.

  • @vicentmakoye590
    @vicentmakoye5903 жыл бұрын

    The thermal composition of the......

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne74913 жыл бұрын

    Daah ila kiingereza siyo mchezo kuongea na kuandika ni vitu viwili tofauti 😅😅 unaweza jua kusoma ila kuongea chenga

  • @kingcopper_tz

    @kingcopper_tz

    3 жыл бұрын

    ung'eng'e mzozo mzee

  • @jumakapilima5674

    @jumakapilima5674

    3 жыл бұрын

    Hasa kwa wale wasio na msingi mzuri, kwa wale wenye msingi mzuri mbona wanatema tu ngeli!!!

  • @kingcopper_tz

    @kingcopper_tz

    3 жыл бұрын

    @@jumakapilima5674 kwa sisi tuliosoma shule za kata 90% ung'eng'e hautembei, wenzetu wakishua fresh

  • @mariajason3547

    @mariajason3547

    3 жыл бұрын

    Ni kweli kabisa Mimi najua kuandika kijerumani na nna pasi kabisa, niembie kuongea balaa Na pia inategemea na mtu alivyo ...mimi basically nna aibu..ndo maana kuongea zero

  • @kingcopper_tz

    @kingcopper_tz

    3 жыл бұрын

    @@mariajason3547 nadhani ili kujua lugha fulani ni kuongea mara kwa mara, ni kama mtoto anavyoijua lugha kabla ya kwenda shule..

  • @amissemwenetombwe3236
    @amissemwenetombwe32363 жыл бұрын

    Magufuli Oyeeeee!!!

  • @tsunamidigital5431
    @tsunamidigital54313 жыл бұрын

    Kiswahili ndio lugha yetu wakenya, Tukienzi kiswahili.. Pia marais wetu wanaposafiri ulay wawe wakiongea kiswahili wacha watafute watafsiri huko

  • @elizaschinga5749
    @elizaschinga57493 жыл бұрын

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @zaka1854
    @zaka18543 жыл бұрын

    Wale wanaobonga kichugga wakusanyike hapa.. Ni Odjloo

  • @zidaneraphael6476
    @zidaneraphael64763 жыл бұрын

    Enzi hz za uhai wake Mh jpm Rest In Peace daddy

  • @kasashamohamed8140
    @kasashamohamed81403 жыл бұрын

    Mngu kakpenda zaind

  • @fidelisvenance6431
    @fidelisvenance64313 жыл бұрын

    The HERO 💪

  • @diana_james9269
    @diana_james92693 жыл бұрын

    RIP BABA RIP OUR SHUJAA WE LOVE YOU AND WE WILL STILL RESPECT YOU FROM KENYA BUT MAGUFULI TULIMPENDA SANA SANA RIP PAPA

  • @drbunnyrabbitempire2910
    @drbunnyrabbitempire29103 жыл бұрын

    Good all round.we will miss u mr president

  • @josphinejebichii6882
    @josphinejebichii68823 жыл бұрын

    Rais kama huyu jameni atapatikana wapi!?, Enzi zile marehemu Kanumba alipoenda nchi za nje alizungumza kingereza kitamu baadaye akakashifiwa kutojia kuzungumza kingereza ila hakujali... Asante kwa kuienzi kiswahili

  • @seifndela1587
    @seifndela15873 жыл бұрын

    Mze waulize kama wewe ni mungereza?

  • @josephkiiru9090
    @josephkiiru90903 жыл бұрын

    I Miss him already.....

  • @halimamasai2234
    @halimamasai22343 жыл бұрын

    Ni washamba tu ndo wanaamini hivyo kiswahili kwanza kingereza ni lugha ya beshara tu

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu69373 жыл бұрын

    Daaaa jamani hakika sauti yako haitafutika masikioni mwetu.R.I.P baba yetu

  • @samanthasumazikarisa2745
    @samanthasumazikarisa27453 жыл бұрын

    That's why i loved you baba

  • @antonybundi4914
    @antonybundi49143 жыл бұрын

    Great leader

  • @munirawangu9928
    @munirawangu99283 жыл бұрын

    Ulale pema babaaa

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura65723 жыл бұрын

    GOD why umechukuwa kiongozi wetu wamana sana pumzika kwa amani baba yetu 🇰🇪poleni Tz tuwe pole sote 😭😭😭

  • @goldmannglobal
    @goldmannglobal3 жыл бұрын

    👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @mzaledomwary2968
    @mzaledomwary29683 жыл бұрын

    Na hufai kukijua kingereza,sababu yangu ya kwanza kukupeda ni kuhenzi lugha yako#mwanamme kamili

  • @benjaminmsangi6781
    @benjaminmsangi67813 жыл бұрын

    Keep it up

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi43853 жыл бұрын

    KISWAHILI OYEEEEE

  • @sengendotwaha9333
    @sengendotwaha93333 жыл бұрын

    Rip papa African hero

  • @marimbushadrack3174
    @marimbushadrack31743 жыл бұрын

    rip baba,kiongozi mzalendo

  • @imamahmed2735
    @imamahmed27353 жыл бұрын

    Daaaaaaah ulale salama rais wetu

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai31193 жыл бұрын

    Kiingereza cha nini sasa. Hapo ndio tunapokwama. Kiingereza ni lugha tu,we are looking for smart and sharp mind. Hujui kiingereza wao ndio walikusomea a man with PhD,hivi hawakujui nini hawa!,they just think you are from no where?! Labda hawaelewi PhD ni nini?

  • @MS.independent8934
    @MS.independent89343 жыл бұрын

    Janii jembe katutoka kweli😭😭😭😭💔🇹🇿🕯️

  • @angelgodfrey9619
    @angelgodfrey96193 жыл бұрын

    Dah jamn sitaki ata kuamin aty😭😭😭😭😭😭😭

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa8473 жыл бұрын

    Hakuna nchi iliyo endelea kwa kutumia lugha ya kigeni.

  • @jumakapilima5674

    @jumakapilima5674

    3 жыл бұрын

    Ni sahihi!!!

  • @freduallughano2301

    @freduallughano2301

    3 жыл бұрын

    Acheni unafiki,abadjlishe na mitaala ya kufundishia iwe kiswahili sio mnashabikia tu wakati watoto wa vigogo wanaimarishwa katika lugha mgeni kuanzia kindergaten,nani hajui?

  • @jumakapilima5674

    @jumakapilima5674

    3 жыл бұрын

    @@freduallughano2301 mnafiki ni wewe,,,,embu tuambie nchi moja tu iliyoendelea kwa watu wake kutumia lugha ya kigeni!!!!

  • @shahamtindo

    @shahamtindo

    3 жыл бұрын

    Upo sahihi

  • @freduallughano2301

    @freduallughano2301

    3 жыл бұрын

    @@jumakapilima5674 Hong Kong iliendelea kabla ya china

  • @thobiasodhiambo9553
    @thobiasodhiambo95533 жыл бұрын

    Kama kweli anakijua kiingereza angekiongea tu ili mambo yasiwe mengi.

  • @maabate1272
    @maabate12723 жыл бұрын

    Ntakumic daima baba😭😭😭

  • @allymahamudu9492
    @allymahamudu94923 жыл бұрын

    Uliongea kilugulu sio kisukuma

  • @esterlengai3656
    @esterlengai36563 жыл бұрын

    kwani wa naongea kiingereza wa najua kiswahili.? kwanini tusitumie lugha yetu ya kiswahili kama mataifa mengine yanavyotumia lugha zao za asili. Siwezi jisifu najua kizungu na kusahau lugha yetu. English ni lugha ya biashara na si lugha ya Taifa. kiswahili kidumu milele. Na kitumike kama Lugha ya kufundishie hadi chuo kikuu.

  • @zamzamabdi5279
    @zamzamabdi52793 жыл бұрын

    Kkkkkk. Tanzania ni kiswahili.kweli Baba makufurii

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv26013 жыл бұрын

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @rosembogo1789
    @rosembogo17893 жыл бұрын

    We hv really lost a great leader no one will ever replace you Baba

  • @kusseinabdulrahman6720

    @kusseinabdulrahman6720

    3 жыл бұрын

    Mungu akulaze mahari pemapeponi mungu hametwaaa jinalake

  • @temkezatv4381
    @temkezatv43813 жыл бұрын

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @molengoodlever5561
    @molengoodlever556110 ай бұрын

    R I P our president Magu

  • @aishamwinyi5048
    @aishamwinyi50483 жыл бұрын

    Jembe la taifa

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm33813 жыл бұрын

    Uko Sawa late prezo Kiswahili ndio lugha ya kitafaifa na ndio lugha yetu kizungu inawenyewe wakiwa uhungerezani

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail76833 жыл бұрын

    Yaani kiukweli nimeumia sana ila bs tu nenda salama watu tulikuwa tumenyooka hasa watumishi kingine ulikuwa na msimamo hukuogopa chchte sijui saizi itakuaje mungu akupokee babaetu

  • @fantamohamedi8564
    @fantamohamedi85643 жыл бұрын

    🤣🤣🤣 jamani wabongo mna maneno nawaomba serikali midomo ilipiwe vat ili watu wapunguze midomo ombi langu hilo.

  • @boniphacenyamka1791
    @boniphacenyamka1791 Жыл бұрын

    Good my former president

  • @melinaamenye546
    @melinaamenye5463 жыл бұрын

    Download

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege6913 жыл бұрын

    😭😭😭😭😭😭

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima56743 жыл бұрын

    Mbona makofi hamna?

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri65243 жыл бұрын

    Kiukweli kinachoumiza leo kinakufanya uwe na nguvu kesho

  • @Khaleed5767
    @Khaleed57673 жыл бұрын

    BIG UP MR. PRESIDENT

  • @jenynaafya
    @jenynaafya3 жыл бұрын

    FAHAMU DALILI ZA UGONJWA WA TEZI DUME 0655523211 1.Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku 2.mkojo kutoka kisiri siri 3.mkojo kutoka bila nguvu na kutokuruka mbali. 4.kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuishiwa nguvu za kiume. 5.kupata ugumu na maumivu wakati wa kukojoa. Tezi dume isipotibiwa mapema huleta madhara mbalimbali kama 🔸 Upungufu wa nguvu za kiume 🔸 Saratani ya tezi dume 🔸Figo kufeli 🔸Mawe kwenye figo 🔸Kifo Kwa ushauri na tiba 0655523211.

  • @news_bfiefing2544
    @news_bfiefing25443 жыл бұрын

    Rip

  • @bjzee1981
    @bjzee19813 жыл бұрын

    Alienda England akiwa ana ongea English. Afu wengine wana ambiwa English haina maana. Kwa hivyo sisi tukienda England tuka ongee kiswahili na nani

  • @busta_malik5971

    @busta_malik5971

    3 жыл бұрын

    😂😂

  • @mariajason3547

    @mariajason3547

    3 жыл бұрын

    90% ya watu hao hawaendi UK Kila la kheri yako wewe utakaeenda

  • @hamismaulid270

    @hamismaulid270

    3 жыл бұрын

    Utakwenda jifunza huko huko, mbona wao wanakuja hawajui kiswahili, usiwalazimishe wooote watanzania wajue kingereza

  • @mariajason3547

    @mariajason3547

    3 жыл бұрын

    @@hamismaulid270 Haswaaaa

Келесі