NGOMA NZITO | Ibrahim Class amkalisha kwa KO Mzimbabwe Ndodana Ncube - 28/01/2023

Спорт

Tazama bondia Mtanzania, Ibrahim Class alivyomlambisha mchanga Mzimbabwe Ndodana Ncube kwenye pambano la ngumi lililofanyika Mkwakwani #anganwadi

Пікірлер: 80

  • @naimabdul1231
    @naimabdul123110 ай бұрын

    Ibrahim big up wewe ndio mwamba wa tanzania

  • @raphaelkanoni3453
    @raphaelkanoni3453 Жыл бұрын

    Duh huyu Ibra ni fire 🔥 aisee. Naona Kuna wakati anatumia defence ya Kibega Kama ya Mayweather 💪

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 Жыл бұрын

    eti tank limetoboka, upepo umekata ule mpaka anakumbatia sema Ibra alikuwa anamkataa big up the classic 🔥👏💪🇹🇿🇦🇪

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 Жыл бұрын

    Sema mdogo wangu hiyo gad ni nzuri kwa mtu mvivu kupiga Ngumi mtu mwenye kupiga Ngumi nyingi ata kuuwa . Maana muda mrefu adai atàkushambulia sema safi ngoja zawadi Yako.

  • @immahjr.4622
    @immahjr.4622 Жыл бұрын

    Huyu ndodana ni bondia kwel kwel Kaz nzur ibraah 🇹🇿🇹🇿❤️🦁

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 Жыл бұрын

    Watanzania tupo vizuri sana kwa upande wa boxing ,nadhani serikali ifanye kuinvest upande huu 🙏🙏🙏

  • @upendosteven6733

    @upendosteven6733

    Жыл бұрын

    Hatuna lolote zaidi ya sifa na bifu

  • @upendosteven6733
    @upendosteven6733 Жыл бұрын

    Tatizo Tanzania mnachagua mabondia dhaifu ndio shida moja kingine hatuna utu Wala bondia wetu hawathamini kesho mgeni anakuja kwetu unampiga bado unamzomea sio vizuri huo sio mchezo watatukataa kuja kwetu tuwe na utu kiasi kingine tumuweke Mungu mbele Ila bondia wanaenda kwa waganga Sana

  • @ommywatanga8759
    @ommywatanga8759 Жыл бұрын

    Ila SEMA nini mpinzani nae anajuwa nimisteki2 zamchezo ameonyesha uwezo,Rispect kwa ibra kazikazi mwamba mchezo ulikuwa mzuri sana mabondia wote wamepambana japo tulikuwa tunamtafuta mshindi

  • @cmb6342
    @cmb6342 Жыл бұрын

    Mwakinyo ndo namba moja tz yule mwamba anajuwa wew achen ushabiki

  • @mrsmumewangu4907

    @mrsmumewangu4907

    Жыл бұрын

    Namba moja kwako ww sio kwatanzania peleka ushoga wkm mbere uk

  • @deusdeditphilipo4298

    @deusdeditphilipo4298

    Жыл бұрын

    Mwakinyo hapo katokea wapi ww , apigane tuone sio kuleta taarabu

  • @farhatothman3710

    @farhatothman3710

    Жыл бұрын

    Han ukali wowote mbn kamkmbia kiduku

  • @jofreyboni8027

    @jofreyboni8027

    Жыл бұрын

    Kwani ibrah alipigana na mwakinyo? Kila mtu bora kwa uzito wake au unafikiri wanaokota tu haya ww na ww mkapigane kuwa na akili

  • @benjamachimo6424

    @benjamachimo6424

    Жыл бұрын

    Nakubali

  • @samwelimadaha767
    @samwelimadaha767 Жыл бұрын

    Pambano Zurich, mambondia walijiandaa na wana mazoezi.. NB. Azam hapa hamjatundea haki, mnatuwekea hadi wana badilisha gloves zimefunguka wanafunga tena sek 15, mnakula MB zetu bila ulazima. Summary nzuri sio ndefu, ila ina matukio muhimu na inaeleweka.. Tujariane basi gharama za Internet na bundle ... Kwa sauti ya wananchi..

  • @paulokiruwa9879
    @paulokiruwa9879 Жыл бұрын

    Team mandonga

  • @shukumsonge7931
    @shukumsonge7931 Жыл бұрын

    wakiduku ndo no 1

  • @mohamedingoto786
    @mohamedingoto786 Жыл бұрын

    Fundi nakubali mzik wa uyujomba ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊👊

  • @mfalmemmoja4145
    @mfalmemmoja4145 Жыл бұрын

    Huyo MC hajui , hana ladha kabiisa yakuendesha shughuli za ngumi, Tanzania ina watu wengi wenye vipaji ila huyu amezorota sana. ABADILISHWE

  • @yakobomchete820
    @yakobomchete820 Жыл бұрын

    Jombaa na ww omba game utoke nje ya nchi

  • @abdulsintoro5797
    @abdulsintoro5797 Жыл бұрын

    Lkn m zibabwe nae yupo vizuri kutoboa rounds 8 na Ibrahim

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper Жыл бұрын

    Ibrahim class super talented

  • @alexkobe2195

    @alexkobe2195

    Жыл бұрын

    Kak unajitahidi sana

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 Жыл бұрын

    Mdogo wangu wakati wote aniangushi ntakufurahisha nizichangachanga nikutafutie zawadi .utakayokuwa ukinikimbuka ktk maisha Yako.Classic Maweeeee.

  • @user-cb5lr7ct8s
    @user-cb5lr7ct8s4 ай бұрын

    😮kabebwa

  • @mropeamadeus54
    @mropeamadeus54 Жыл бұрын

    Fundi mtulivu sana big up

  • @tumainichapaulinje2775
    @tumainichapaulinje2775 Жыл бұрын

    Team ibra

  • @denispeter9663
    @denispeter9663 Жыл бұрын

    Kongole class ibra

  • @cmb6342
    @cmb6342 Жыл бұрын

    Huwezi kumfananisha mwakinyo nà bondia yeyote wew

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 Жыл бұрын

    Hongera Sana endelea kutembeza kpg

  • @ibraabuemu9231
    @ibraabuemu9231 Жыл бұрын

    Hongera

  • @naomimbise-zp1xm
    @naomimbise-zp1xm8 ай бұрын

    Nasikiliza mashabiki 😅

  • @johnmagoma5171
    @johnmagoma5171 Жыл бұрын

    du ngumi unaweza cheza vzur ila ukapigwa moja tu ukaanza kuona nyota

  • @samsonhenry3871
    @samsonhenry3871 Жыл бұрын

    Ibra ana sanaa ya ngumi, hatumii nguvu sana, ila akili

  • @user-cb5lr7ct8s
    @user-cb5lr7ct8s4 ай бұрын

    Kwaza amesukuma alafu marefarr wetu hamna kit

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Жыл бұрын

    Ibrah Yupo Vzr

  • @sakhashboy1005
    @sakhashboy1005 Жыл бұрын

    Ila jamaa kapambana sana isipokua kama ngumi zake hazikua na nguvu sana

  • @lindasonmisuko
    @lindasonmisuko Жыл бұрын

    Jamaa ni km meiweza ndo mana amemuweza

  • @rashidikapilima-qi4no
    @rashidikapilima-qi4no8 ай бұрын

    Akuna muhehe fara

  • @saidmailo8491
    @saidmailo8491 Жыл бұрын

    Ibrahim poa sana mawe maweeèeee

  • @randhamisi8691
    @randhamisi8691 Жыл бұрын

    Ila mwamba alieshindwa ana jua sana ila ana matunzo tu

  • @allymwazoa8750
    @allymwazoa8750 Жыл бұрын

    Kama watu wangejua kua class alitoka kwenye drip dakika chache kabla ya pambano baada yakudondoka chumbani hata wasingekua na matumaini makubwa na Amani kiasi hiki.Kweli pambano lina mambo mengi sana

  • @RashidKitumbo
    @RashidKitumbo Жыл бұрын

    hizi sasa ndio ngumu

  • @abdallahahmed2776
    @abdallahahmed2776 Жыл бұрын

    Ibra yuko vizuri ila watangazaji akipigwa ibra hamuongei mpaka apige yy ndio waseme ngumi nzuri haitakiwi hivi

  • @upendosteven6733

    @upendosteven6733

    Жыл бұрын

    Nimekukubali ata Mimi ni mtnznia Ila Tanzania tunapenda sifa za kijinga Sana ndio pia wanachaguliwa mabondia dhaifu ndio wanaletewa

  • @smartboyeze2190
    @smartboyeze2190 Жыл бұрын

    Kamanda!

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w Жыл бұрын

    Huyu Ibra anapigana kama Mayweather daaadeq....

  • @abdallahsaidy4600
    @abdallahsaidy4600 Жыл бұрын

    Nmkubl san ibr

  • @nancykagera9197
    @nancykagera9197 Жыл бұрын

    Huyu jamaa namjua sio mzimbabwe sema maisha tu kaona Bora atokee mbali uwenda anaweza akatoa maisha.

  • @shadrackkassale2968

    @shadrackkassale2968

    Жыл бұрын

    Ni wawapi

  • @nancykagera9197

    @nancykagera9197

    Жыл бұрын

    @@shadrackkassale2968 just kidding ndugu yangu

  • @erichemily4890
    @erichemily4890 Жыл бұрын

    Wachambuzi WA boxing hamna kitu tz

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 Жыл бұрын

    Aliyevaa cap 🧢 nyeupe na t shirt nyeupe Kwa mashabiki ni dula mbabe au ni macho yachu

  • @hancemadhubuti2149
    @hancemadhubuti2149 Жыл бұрын

    Fauro ni nying ibrahmu kacheza huu ujinga atufk mbali ngumi za mchongo

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 Жыл бұрын

    Kila siku tanzqnia inashinda siku nyngine mpigwagwe bhna khaaa😅 tunachoka sasa kuwashangilia

  • @emmanuelakutulaga9756

    @emmanuelakutulaga9756

    Жыл бұрын

    Mandonga ndio Huwa anapigwa.

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Жыл бұрын

    Ibra saf

  • @thehunter5920
    @thehunter5920 Жыл бұрын

    Mmalawi kazidiwa pumzi tu mwishoni

  • @christophertz

    @christophertz

    Жыл бұрын

    Mzimbabwe

  • @shadrackkassale2968

    @shadrackkassale2968

    Жыл бұрын

    Mmalawi hapo n mpiga picha au

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Жыл бұрын

    mbona mwakinyo kimyaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @VannyJrTv435
    @VannyJrTv435 Жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/oYiMwcmzZaWqnpM.html ibraah classic USHINDI mnono mashabiki furaha 😀😀😀💪🏻💪🏻

  • @VannyJrTv435

    @VannyJrTv435

    Жыл бұрын

    Gusa link

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Жыл бұрын

    Mwana upepo umekata 🤣🤣

  • @francohaule8057
    @francohaule8057 Жыл бұрын

    Makwinyo muuza pambana boya tu

  • @adammsofe2038
    @adammsofe2038 Жыл бұрын

    bongo nyoso

  • @sadikially8900
    @sadikially8900 Жыл бұрын

    Mbona pambano mnalichambua upande wa classic tu

  • @salumtanganyika9551
    @salumtanganyika9551 Жыл бұрын

    Ibrahim class wewe ni bingwa wa nchi hatumjui mwakinyo

  • @mrsmumewangu4907

    @mrsmumewangu4907

    Жыл бұрын

    Nanaaa maakinyo choko tu

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 Жыл бұрын

    *Haina longo longo*

  • @rashidikapilima-qi4no

    @rashidikapilima-qi4no

    8 ай бұрын

    Akuna muhehe fala

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso242410 ай бұрын

    Faulo ni nyingi sana Kwa Ibra marefarii wa kibongo mnaonyesha kabisa udhaifu jaribu kuleta marefarii kutoka nje ya nchi

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Жыл бұрын

    bro wa migold nakuona unajtupia kama #tipein

  • @majidseif8750
    @majidseif8750 Жыл бұрын

    Nakubari babu

  • @majidseif8750

    @majidseif8750

    Жыл бұрын

    Kanyaga babu

  • @sanjifilm1722
    @sanjifilm1722 Жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/dGV_k8ODYpzIZ9I.html sikuping mwanang

  • @lindasonmisuko
    @lindasonmisuko Жыл бұрын

    Jamaa ni km meiweza ndo mana amemuweza

Келесі