Follow Us On: INSTAGRAM: / miladu_tv FACEBOOK: / babdeo miladu/ TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan... KZread: / @babdeomiladu
Жүктеу.....
Пікірлер: 40
@abdallahhuseinkabale7534 Жыл бұрын
Yaaa Allah twakuomba muhifadhi shekh wetu huyu..twakuomba mzidishie elimu na mzidishie wingi wa hekhma...shukrani sanq sana sana shekh tumepata..wengine asubuhi itaanza vizuri.
@abeidzollo4310 Жыл бұрын
Allah s.w akuepushe na mitihani na fitna za kilimwengu sheikh wetu 🙏🏿
@yusufunguruko8080 Жыл бұрын
Bonge ya sheikh, big Brain - huyu alikuwa wapi ? mawaidha mafupi lkn ujumbe mkubwa, unapenda aendelee asimalize, huyu ndio kiongozi bwana - Asante Mungu.
@hk_ballers
Жыл бұрын
Hapo ajakusomea Quran
@ramadhanimussahramadhani4868 Жыл бұрын
Hikichumaa Allah amlinde
@fahadfahmy Жыл бұрын
Kila lakheri Sheikh wangu walid nakufatilia sana Darsa zako,sijui utaziendeleza
@mornasaidtindwa3622 Жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi shekher wetu
@eshasalim5496
Жыл бұрын
Amiin Ya Rabb
@fatimasaid9469 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi hapa dunian na kesho akhera. .sheikh wetu darasa letu juu ya majukumu yalioengezeka ila tunakuhitaji online Allah atujali ramadhani yenye kheri tuifunge tukiwa na afya njema na kupata rehma zake ameen
@jumahamad117 Жыл бұрын
Shekh wetu mzuri shekh walid tutapatamengi kutoka kwako tutapata elimu na tutapata kutanua mapafu kwakucheka kwamambo yako
@idrisatarawe7305 Жыл бұрын
Kwa moyo wangu mkunjufu nakuombea kwa M/mungu Uingie peponi bila ya hesabu
@ibrahimkirumbi9173 Жыл бұрын
Mashallah mwalimu wetu, hekima nyingi sana
@khalidisalim2046 Жыл бұрын
Mashallah Allah barik
@nasreenhassan2718 Жыл бұрын
Mwamba shekh wangu kipenzi cha wengi maneno ya kiswahili lkn allah akbar mwenye upeo mkubwa kasikia maneno umemaliza Maneno mepesi yamekamilika umepiga na kufundisha
@amirimdoe Жыл бұрын
WALLAHI NIMEJIFUNZA MENGI SANA KUPITIA KHUTBA HII FUPI. ALLAH AKUONGOZE NA AKULIPE KHERI NYINGI SANA. HII TAALUMA YA HALI YA JUU. ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH WALID.
@zarinayusuph4252
Жыл бұрын
Maashaa allah
@abdillahsalim1623 Жыл бұрын
Maashallah tabarakallah sh walid
@sajadyusufu5150 Жыл бұрын
Mashallah
@ahmadshariff7529 Жыл бұрын
Masha Allah, Akubarikie In Shaa Allah...
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Allah Akuzidishie Elimu Na Akuruzuku Fahamu Njema Ya Rabb. Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
@mariamciza9432 Жыл бұрын
Mashallah Allah akulinde na kila shari
@hassanicheik5262 Жыл бұрын
Mashallah allah akup afya njem n mwisho mwema
@allyfundi6405 Жыл бұрын
Maashallah shekh Walid umesema kweli kua shekh subky hua hataki kutajwa ila ukweli utabaki kua ni aalimu mkubwa San aliejificha mara nyingi yeye hupenda kusomesha ndo jambo lake kubwa wakati wote ukiingia nyumbani kwake Kam hasomeshi baas ameshika kitabu anajisomea darsa zake za tafsir hutochoka kukaa mbele zake Elmu za fanni pia Allah kamjaalia hakun fanni ambayo utaikosa kwake Allah ampe umri mrefu shekh letu yusufu abdallah subky na Allah ampe kila lenye kheri shekh Walid kwani tunaamini kabisa Kwa nasabu ya Elmu yako hakuna shaka kwako ww ktk hiyo nafasi
@allymngwaya2831 Жыл бұрын
Mashaallah. Superb
@abdalamakajula3883 Жыл бұрын
Ma Shaa Allah
@FatmaAli-dp9ps Жыл бұрын
Masha Allah
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
Mashaallah shekhe wetu
@othmanally6158 Жыл бұрын
Allah akubaariki
@ziadasadiki8196 Жыл бұрын
MAASHAALLAH, ALLAH AKUSTIRI NA AKUPE MWISHO MWEMA UWE KATIKA PEPO PAMOJA NA MTUME WETU MUHAMMAD SAW
@eshasalim5496
Жыл бұрын
Allahumma Amiin
@mohdomar6760
Жыл бұрын
Mashaallah Allh akubarik
@nabiljumbe Жыл бұрын
Alwaghumma barik
@abubakariali9848 Жыл бұрын
Mwamba umeongea kwa Balagha ya hali juu mno kwa mwenye upeo mdogo hawawezi elewa
@fahadfaraj6474
Жыл бұрын
Huyo kwa tunaye mfahamu ni mtu hatari sana ana uwezo mkubwa
@abubakariali9848
Жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 Sheikh Mharamu Mziwanda namfahamu vilivyo ni Miongoni wa mwl zangu
@fahadfaraj6474
Жыл бұрын
@@abubakariali9848 Mungu awape yakin na kila lililo muhimu Mashekhe wetu kwa maslahi ya dini.
@musamshihiri5027 Жыл бұрын
Maneno haya yana hekma ya ndani sana kapiga kwenye mshono.
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Nacho kifaham ni kwmba huyu shkhe ana akili mingi sanaaa mpk sijui naelezaje
@sirajimzeru5710 Жыл бұрын
Kwa balaqha walizotembea nazo hii miamba (skh mzuwanda,na skh Walid)wachache tu ndo wanajua nini kimezungumzwa ...
@herson9343 Жыл бұрын
Tuliobahatika kusomeshwa na huyu Mwamba darsa zake huchoki wala husinzii . Njaa utakuja kuisikia ukishatoka darasani.