MSINILETEE UMADHEHEBU TU OFISINI/WALID NI YULEYULE TU/ SITAKI KUNYENYEKEWA KABISA/NAOMBENI DUA ZENU.

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Пікірлер: 69

  • @taifaonlinetv.3670
    @taifaonlinetv.3670 Жыл бұрын

    Mimi ni mkristu kwa hapa kweli Shehe uko vizuri sana , na Mungu akupe maisha marefu.

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline Жыл бұрын

    Allah akuhifadhi sheikh. Maneno ya hekima kubwa. Ukijishusha, Allah hukupandisha.

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 Жыл бұрын

    Mashallah Shekh Walid napenda sana Mawaidha yako Allah akunze na akupe Nguvu 2nd Nampongeza Muft wetu kwa kukuona Allah Awape Afya njema wote Viongozi wetu 🙏🏾🙏🏾

  • @calvinshirima2654
    @calvinshirima2654 Жыл бұрын

    Huyu shekhe nimempenda sana Sio mropokaji kama Alie pita

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 Жыл бұрын

    Allah Akupe Afya njema shekh Walid Nampongeza Muft wetu kwa kukuona

  • @allykhamisrashidi8294
    @allykhamisrashidi8294 Жыл бұрын

    Kwanza nakupa hongera shekh kwa nafasi hiyo na ninakuombea Allah akuhifadhi na cheo hicho na a kujaalie hekima busara ktk cheo hiko, akukinge na hasa di za watu na majini .

  • @binbaya923
    @binbaya923 Жыл бұрын

    Allah akufanyie wepesi Sheikh Walid

  • @calvinshirima2654
    @calvinshirima2654 Жыл бұрын

    Hongeren waislamu mmepata chuma

  • @MwanaidiJuma-hw8tb
    @MwanaidiJuma-hw8tbАй бұрын

    Mashallah sheikh walid ❤❤

  • @michaelally5213
    @michaelally5213 Жыл бұрын

    Allah akuzidishie maarifa ili uzidi kutufahamisha inshaallah

  • @jamaldinabubakary9507
    @jamaldinabubakary9507 Жыл бұрын

    حياك الله يا شيخنا الجليل الحبيب شيخ وليد

  • @barwani890
    @barwani890 Жыл бұрын

    Mashaallah sheikh waliid tabarak rahman maneno mazuri

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Жыл бұрын

    Huyu ni shehe kweli... Ndani ya Maneno yake nimepata Radha ya haki, unyenyekevu, utu, uchaji wa Mwenyezi Mungu, n.k Kwa utakatifu.... Iwe heri Kwa watz

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 Жыл бұрын

    Mashaallah, Allah akutilie wepesi katika kazi yako shekh Walid.

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 Жыл бұрын

    Mashallah tabarakallah swadkta 🙏 💯 💯 💯 💯

  • @hajisanyagi4171
    @hajisanyagi4171 Жыл бұрын

    MashaAllah azidi kumpa afya, azidi kuwaongeza Waislam

  • @ashahassan2667

    @ashahassan2667

    Жыл бұрын

    Mashaallah alhamdullilah alla akupe siha njema

  • @eshasalim5496

    @eshasalim5496

    Жыл бұрын

    Allahumma Amiin

  • @ramadhanqasim9484
    @ramadhanqasim9484 Жыл бұрын

    Mola takuafiqia inshallah

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 Жыл бұрын

    Mashaa'Allah mwenyez Mungu akuhifadhi na mitian katika hii dunia na akupe subra afya njema na akufariji nafsi yako yarabiy ❤️

  • @amirihakimu8748

    @amirihakimu8748

    Жыл бұрын

    Sheikh Walid hakika MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE sana MWENYEZI MUNGU akikupa MTIHANI AKUJAALIE na jibu la MTIHANI ahsante kwa mwaaidha ya kuipokea ramadhani ndani ya nyoyo zetu Wala SI miili yetu MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE KILA la KHERI a hakimu

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw Жыл бұрын

    Ma shaa llah in shaa llah tunakuombea

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Жыл бұрын

    Wa Alaykum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh. Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. ALLAHU BAARIK

  • @mozain9892

    @mozain9892

    Жыл бұрын

    😢

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 Жыл бұрын

    Jazaka Allah khaira shekh walid

  • @allysamson4821
    @allysamson4821 Жыл бұрын

    Masha Allah,ujumbe mzuri

  • @husseinkoja4986
    @husseinkoja4986 Жыл бұрын

    MashaaAllah Allah akuepushe na hasira

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Жыл бұрын

    Barak Allah feeq

  • @alisaidabdallah1480
    @alisaidabdallah1480 Жыл бұрын

    Swadaktar sheikh walid

  • @abdalamakajula3883
    @abdalamakajula3883 Жыл бұрын

    Ma Shaa Allah

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын

    Tatizo la huyu na aliyepita ni busara huyu anabusara kubwa sana mashallah

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 Жыл бұрын

    Walaikum salam warahamatullahi wabarakatuh

  • @DHULKIFLYDHULQARNAIN-tw2rc
    @DHULKIFLYDHULQARNAIN-tw2rc11 ай бұрын

    Safi sana

  • @saidjunior5247
    @saidjunior5247 Жыл бұрын

    Sheikh ulishawai kuzungumzia masuhr y kutaja sifa za wtu kumbe ukidhapt madarak ni lazima utaje sfa za watu

  • @shamsishaaban6695
    @shamsishaaban6695 Жыл бұрын

    Sheikh maneno mazuri sanna haya

  • @mahmoudsultan4019
    @mahmoudsultan4019 Жыл бұрын

    MashaaAllah

  • @shabaniissa3464
    @shabaniissa3464 Жыл бұрын

    Alhamdulillah

  • @abuuwaziri4656
    @abuuwaziri4656 Жыл бұрын

    Allah Akuifadhi 🤲

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 Жыл бұрын

    Swala la madhehebu kaka umenena.sawa sawa

  • @manilabonalumanula9210

    @manilabonalumanula9210

    Жыл бұрын

    Madhehebu ndani ya dini yoyote ni upinzani na biashara na hayo hayatakiwi sisi wote ni wamoja.

  • @pppppp4195

    @pppppp4195

    Жыл бұрын

    ​@@manilabonalumanula9210 Allah akubarik

  • @shukurukoll7269
    @shukurukoll7269 Жыл бұрын

    Msimamo thabiti, Alhamdulillah!

  • @allycomm1553

    @allycomm1553

    Жыл бұрын

    Hakuna msimamo apo anakusanya mpaka makundi yaliopotea ktk njia y sawa kwak yy hakuna shda hana tofaut n yule alie mkaim

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 Жыл бұрын

    Mm najiuliza huyu shekhe wwalidi atapishwa lini kuna nn kwani kuna sheria gani kwani inayofanya asiapishwe mnamchunguza kwani shekhe walidi hamumjui ?kama hamumjui bado ss tunamjuwa sasa tunaomba mumuapishe kuna nn kwani? Nakuomba baba yangu mufti

  • @fahadfaraj6474

    @fahadfaraj6474

    Жыл бұрын

    Kwanza hakuna kuapishwa pili ni kawaida wote walopita wanapewa kama ukaimu baada ya miezi sita anatangazwa tena na mufti kuwa shekhe wa mkoa hivyo wali si geni wakti utafika na itakua

  • @athumanomary8144

    @athumanomary8144

    Жыл бұрын

    Shekh mkuu na mufty wa tz tunakuomba kiongozi wetu haujakosea kumteuwa shekh Walid kukaimu ushekh wamkoa shekh ninakuomba umkabidhi full kuwa shekh wamkoa wa dar

  • @ngoni7944
    @ngoni7944 Жыл бұрын

    Huku kukaa chini kunaumiza mgongo sana hasa kwa watu wazima, labda ndio sababu hawakai muda mrefu kusikiliza mawaidha

  • @adonis-bx7ht

    @adonis-bx7ht

    Жыл бұрын

    We mchokozi kweli 🤣🤣. Hawa wamezoea kukaa chini tangu wadogo hata majumbani wengine hata wawe matajiri vipi hukaa kunako mabusati.

  • @abdulnaseermrisho4342

    @abdulnaseermrisho4342

    Жыл бұрын

    Hata kukaa kwenye mabenchi kuna umiza makalio,fata yako

  • @ngoni7944

    @ngoni7944

    Жыл бұрын

    @@adonis-bx7ht wanaua migongo yao, ndio maana wazee wengi wa kiislamu wakitembea wamepinda migongo sababu ni kukaa chini misikitini

  • @husseinbutoyi8675
    @husseinbutoyi8675 Жыл бұрын

    اكتبِ المقاديرِ❌ اكتبِ المقاديرَ✅

  • @abubakartengeza1978

    @abubakartengeza1978

    Жыл бұрын

    نطق الشيخ كلمة مقادير بدون الألف واللام وزاد في الكلمة ياء المتكلم وقال اكتب مقاديري. كن منصفا يا حبيبي. بارك الله فيك

  • @iddishame6596

    @iddishame6596

    Жыл бұрын

    Sasa ndio nini

  • @ZuleikhaAbdallah

    @ZuleikhaAbdallah

    Жыл бұрын

    ​@@abubakartengeza1978 Asante sheikh abuubakar tengeneza Nakujua tangu uhai wa sheikh Muhammad bakar tanga shamsil maarifil islamiyya

  • @ramadhanlipendelee3496
    @ramadhanlipendelee3496 Жыл бұрын

    Hivi Mtume Muhammad (SAW) alikuwa dhehebu gani na mimi nifuate.

  • @abdulmfaumemohamed6977

    @abdulmfaumemohamed6977

    Жыл бұрын

    Muislam

  • @husseinally5550

    @husseinally5550

    Жыл бұрын

    Swali hili linakufunua kuwa hujui mambo mengi sana.kaa darasanni

  • @omarkhamis4804

    @omarkhamis4804

    Жыл бұрын

    Jua maana ya dhehebu mwanzo

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    @@husseinally5550 jibu swali, mtume alikuwa dhehebu gani?

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Жыл бұрын

    @@omarkhamis4804 jibu swali mtume alikuwa dhehebu gani?

Келесі