MWANAFUNZI MTUKUTU (MWENDELEZO)

Комедия

#comedy #stevemweusi

Пікірлер: 690

  • @user-yh7dc6tx4x
    @user-yh7dc6tx4x10 ай бұрын

    Kwanza nlivo Kuta mwendelezo wa mwanafunz mtukutu mefurah sana jamaa anajuwa sana huyu🎉🎉🎉🎉🎉yako hayo mzee

  • @alfredmchami4295
    @alfredmchami429510 ай бұрын

    Hongera Steve. Nakushauri umalizie vizuri kipande cha wanafunzi. Ukiacha hivihivi wanafunzi wengi watasumbua shuleni wakidhani ndiyo ujanja. Naomba uweke kipande cha kufundisha. Wanafunzi waone kwamba mtu anaweza kubadilika na akawa mwanafunzi mwenye mafanikio makubwa kwa kuwasikiliza walimu wake.

  • @ruthysarakikya1813

    @ruthysarakikya1813

    10 ай бұрын

    Kabisaa

  • @reybasso6605

    @reybasso6605

    10 ай бұрын

    Kila unachokifana ni burudani Steve. Siku nyingine utuoneshee hamadi kijicho

  • @CharlesNyangi

    @CharlesNyangi

    9 ай бұрын

    Aaaa? Steven ananifurshisha sana

  • @cishahayoadolphe2808
    @cishahayoadolphe280810 ай бұрын

    Steve ni kiboko yao endelea kabisa unatuburudisha huku burundi tunakupenda sana❤

  • @herenamkemwa3805

    @herenamkemwa3805

    9 ай бұрын

    endelea kuigiza kishule mkuu

  • @SharifuAlbughul-ls4mw
    @SharifuAlbughul-ls4mw10 ай бұрын

    😂😂😂Kwan Steve huwez kuongea mpk umtaje hamadi kijicho 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @herbertking1
    @herbertking110 ай бұрын

    😂😂😂 Steve wee msheenzi kwelikweli 😂😂 ety akurudishe wapii 🤭

  • @Fresko.onaicimoD_music
    @Fresko.onaicimoD_music10 ай бұрын

    🤣🤣😂wangapi wanamkubali huyu mwalimu? Mwezenu😂 Likes jamani ❤👇

  • @mligoalex5478
    @mligoalex547810 ай бұрын

    Steven moses😂😂😂 msalimie Hamad kijicho😂😂 respect saaana

  • @francisjonas8973
    @francisjonas897310 ай бұрын

    ❤❤❤ endelea na maigizo hayo ya shule baadae uwendelee na udocta

  • @orediflavour
    @orediflavour10 ай бұрын

    Hamadi kijicho 😂😂

  • @maikokideha
    @maikokideha10 ай бұрын

    Nakubar Sana Kaka ni Mimi APA toka pande za Dom ww unatisha Sana mweusi

  • @kassimtindwa105
    @kassimtindwa10510 ай бұрын

    Enderea za shule bana unanikumbusha mbali sana😂 afu unavotaja Mkuranga unanifurahisha sana Mana na Home 😂😂

  • @AmosiKinyunyu-ec8nc
    @AmosiKinyunyu-ec8nc10 ай бұрын

    Sema umemtenga ndaro mwanangu mi nakubali sana kazi zako ni kujifyatua tuh

  • @VickyVictoire-rq8nv
    @VickyVictoire-rq8nv10 ай бұрын

    Stive unajuwa sn kk yangu👌👌👌👌

  • @herbertking1
    @herbertking110 ай бұрын

    Kutoka makao makuu Kenya 😂😂 naamka na furaha 😂😂😂😂💖❤️show love Wapenzi wangu 💝🙏

  • @mmaniamos

    @mmaniamos

    10 ай бұрын

    Rudi ulale wewe mzee

  • @herbertking1

    @herbertking1

    10 ай бұрын

    @@mmaniamos 😂😂da! Asaivii 😚 nimerudii 😂😂

  • @abdulazizsharif2984

    @abdulazizsharif2984

    10 ай бұрын

    Hio makao makuu unakalia we na nani😂 #❤

  • @herbertking1

    @herbertking1

    10 ай бұрын

    @@abdulazizsharif2984 😂😂mii ndiye King wa ukuu, karibu kwanguu ✨✨😊

  • @jamesnyenza

    @jamesnyenza

    10 ай бұрын

    Nakubali dokta fyatu

  • @FeysalKi-mj8fh
    @FeysalKi-mj8fh8 ай бұрын

    Nakubal kaka 💥

  • @user-lu4fj9uh4i
    @user-lu4fj9uh4i10 ай бұрын

    Uko vizuri Steve zidi kufanya vizuri daima

  • @patrickkalahuka6340
    @patrickkalahuka634010 ай бұрын

    Kuja Goma Congo Steven

  • @Megatrackerzz
    @Megatrackerzz10 ай бұрын

    kazi safi kaka kibaji unajo mungu akuzidie maarifa

  • @user-fs7hl6vg2p
    @user-fs7hl6vg2p10 ай бұрын

    Umetishaass mwamba steeeeeeveeeee

  • @user-ts4zn1sx7h
    @user-ts4zn1sx7h2 ай бұрын

    Steven mweupe unastail vzr Sana kwenye mamb hayo

  • @juvenalkimario7254
    @juvenalkimario725410 ай бұрын

    Kazi nzuri Steve undeleeni kufanya kazi nzuri

  • @user-ep2ir9df8q
    @user-ep2ir9df8q7 ай бұрын

    Keep it up 🎉

  • @arsenebuzima9146
    @arsenebuzima914610 ай бұрын

    mweusi mwirabure kwa kirundi. courrage on t'aime au burundi

  • @omyhermit-ki1io
    @omyhermit-ki1io10 ай бұрын

    Ayo ya shul mazuri sna kaka big up

  • @mgumclassic6431
    @mgumclassic643110 ай бұрын

    Noma sana stive malizia meanafunzi mwenye majini alafu anza ya dokta fyatu🤗🤗

  • @user-oz6rm6in5j
    @user-oz6rm6in5j10 ай бұрын

    Dio bro una weza kushinda wote ni ww tu brother Steve love you comedian

  • @twalihamohamedi898
    @twalihamohamedi89810 ай бұрын

    Ummh mwamba hyuu aseee endelea mwamba umeupga mwing sana

  • @user-yh7dc6tx4x
    @user-yh7dc6tx4x10 ай бұрын

    Kipande kinachofuat nataman kumuoana ndaro kama mwalimu wa nidhamu😂😂😂😂😂😂

  • @miriamnyamvula
    @miriamnyamvula9 ай бұрын

    Asante Sana stive Moses Yani huku Mombasa tunacheka Sana bro moral bigup Sana bro

  • @dennisondieki2412
    @dennisondieki241210 ай бұрын

    Kutoka Kenya kazi safi Steve nawapenda wote salimia huyo mrembo lovenes endelea na hiyo ya shule

  • @majisifu4773
    @majisifu477310 ай бұрын

    One love steve from Nairobi kenya;, I can't wait to miss any episode which you are in sir.

  • @joshlyjosh
    @joshlyjosh10 ай бұрын

    Steve upo sawa sana na hii comedy yako kwanza nampenda sana huyo dem wa miwani naitwa Rashid kutoka kenya nairobi

  • @jacobnashonopiyo5372
    @jacobnashonopiyo53728 ай бұрын

    nakipenda sana, one love kutoka Mtwapa,Mombasa, Kenya.

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif946510 ай бұрын

    best comedian ❤❤

  • @ndayishimiyeibrahim831
    @ndayishimiyeibrahim83110 ай бұрын

    Vp kaka nakukubali sana endeleya apo apo kwenye shule umepatiya mungu akubariki sana

  • @gradiusernest4716
    @gradiusernest471610 ай бұрын

    Hongera sana Steve, ww ndo comedy bora kwa sasa Tanzania. Hajira anapendeza sana anapovaa uhusika wa Mwalimu hongera kwake

  • @evanssimiyu7660
    @evanssimiyu766010 ай бұрын

    Video nzuri hiyo❤❤❤...keep it up

  • @hailehim1
    @hailehim110 ай бұрын

    Endelea na shule kaka nzuri sana

  • @esmaellyramadhan-bk4uy
    @esmaellyramadhan-bk4uy10 ай бұрын

    Shekh endelea na uanafunz bhna unaua knom an

  • @user-bp8xf5oq5v
    @user-bp8xf5oq5v10 ай бұрын

    Hahaha mtoe majini huyo

  • @yaka-de-hero
    @yaka-de-hero10 ай бұрын

    Steve Steve Steve nimekuita mara ngapi❤❤kanumba 2

  • @steveoluoch536
    @steveoluoch5368 ай бұрын

    Pokea kusifiwa sana na mimi ...kazi unayoifanya imenoga naomba uje kenya kisumu

  • @mfalmekitaofficiel
    @mfalmekitaofficiel10 ай бұрын

    Steve mweusi rudiliya hiyo style Yako yaku jitoa fius kama kwenye mke mwenza.

  • @under848
    @under84810 ай бұрын

    Stephen umeweza kipaji talanta unayo kazi yako twaifurahia uku mtaani

  • @victorvictor-ff9di
    @victorvictor-ff9di10 ай бұрын

    Endelea na shule

  • @SalumuMrimbo
    @SalumuMrimbo10 ай бұрын

    Na kukubali steve kwa kazi zok nzul

  • @emmanuelsinkolongo2279
    @emmanuelsinkolongo227910 ай бұрын

    Steve unatisha nakukubari mi Niko luanshya Zambia endelea

  • @dottowache5149
    @dottowache514910 ай бұрын

    Good Stive Ahmad kijicho kama kawa hila stori za shule achana nazo tupe vitu vingine

  • @bintifikirini-wy3kc
    @bintifikirini-wy3kc8 ай бұрын

    nakupenda Bure stivin mweusi ❤️❤️❤️❤️

  • @user-bb9ly9ge1y
    @user-bb9ly9ge1y9 ай бұрын

    😂 umeweza

  • @norahmhanga3619
    @norahmhanga361910 ай бұрын

    Mke mwenza hujamalizia mbk leo

  • @MakoloKe
    @MakoloKe10 ай бұрын

    nimesoma tu headline na nikaona Stephen mweusi nikacheka kabla sijaona cinema❤❤❤❤❤

  • @josbrown199
    @josbrown19910 ай бұрын

    Anza udokta yaani sisi apa mikia kaka popote tuko na we❤❤❤

  • @BonifaceMwau-ws4zi
    @BonifaceMwau-ws4zi2 ай бұрын

    Usiwache Braza endelea

  • @wnma254
    @wnma25410 ай бұрын

    Steve uko dope...one love from kenya

  • @patrickkimanzi5929
    @patrickkimanzi59298 ай бұрын

    Twataka mwendelezo wa mtoto mtukutu, one love from🇰🇪

  • @user-tu9ek8co2j
    @user-tu9ek8co2j4 ай бұрын

    Steve mweusi we noma unatisha kama njaa

  • @herbertking1
    @herbertking110 ай бұрын

    Mtoa majini 😂😂😂uodoke miguu chini miguu juu 😂😂😂 acha kiherehere

  • @BelindaAchieng-yj1so
    @BelindaAchieng-yj1so10 ай бұрын

    Uko Sawa dogo❤❤❤ nigotee kidawa

  • @amnestysilwany9227
    @amnestysilwany922710 ай бұрын

    Endelea nayoo hii unaua kinoma nomaa naambavyo ujawah kumdahau amadi kijicho kutoka mkulanga

  • @user-do4rj8xu1s
    @user-do4rj8xu1s8 ай бұрын

    Dan nimecheka mpaka mbavu zaniuma da pole sana stivu kofi sio dogo ningepijwa mm ningezimia 😂😂😂😂

  • @dicksonbenard1741
    @dicksonbenard17419 ай бұрын

    Hapo kwenye shule Steve unabamba sana yani tuendelee hapohapo tulipo ishia

  • @aishamridy4774
    @aishamridy47749 ай бұрын

    Steve endelea na hii Ya wanafunzi nzur sana 😂😂😂😂

  • @DollarBoy-su1or
    @DollarBoy-su1or8 күн бұрын

    Wewe mnoma steve frombkeny

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga319910 ай бұрын

    Indelea ivo mkuu😂😂😂😂😂

  • @yassiraliy7652
    @yassiraliy765210 ай бұрын

    steve huna baya endelea na mzigo uwo upate bao jengine 😂😂😂😂😂😂

  • @hkingtv246
    @hkingtv24610 ай бұрын

    Endelea navyo ni vizur sn man🎉🎉

  • @fayojarso3777
    @fayojarso377710 ай бұрын

    Steve mweusi asante sana, endelea tafadhali, mimi from Kenya,

  • @heritiernaira5692
    @heritiernaira569210 ай бұрын

    Steve mweusi we ni nomaa kaka

  • @bingwathedon
    @bingwathedon10 ай бұрын

    Endelea nzuri sana

  • @user-me1kh8kr1t
    @user-me1kh8kr1t5 ай бұрын

    Steve mweusi mimi naipendanga, i am from mozambique

  • @pascalpetro6623
    @pascalpetro662310 ай бұрын

    Dah we noma mweusiiii

  • @KipolomaHasani
    @KipolomaHasani3 ай бұрын

    Mimi nampenda love uyo jaman naomba ata kukutana nayo tu moyo wangu utalizika san

  • @hansisimion2538
    @hansisimion253810 ай бұрын

    Safi sana ndugu unafundisha jamii vizuri

  • @EsekOporia-vp4xc
    @EsekOporia-vp4xc8 ай бұрын

    Naomba kumuona amad kujicho 😅😅 bwana Steve

  • @Shukutu
    @Shukutu10 ай бұрын

    Kazi zuri uko uko ndo vizuri ss ivi naona ivo

  • @user-zd4ef8bs8r
    @user-zd4ef8bs8r10 ай бұрын

    naipenda sna steve mweusi family kitu mchongo mno sana babu saluti za kwako

  • @johnstonebos3257
    @johnstonebos325710 ай бұрын

    Hey Steve na gang yako yote Johnstone hapa from Germany but natokea Kenya.. Diani Kenya .. naapenda kazi yenyu keep up the good work ... na muhimu asanteni kwa comedy yenu.

  • @dericko10

    @dericko10

    10 ай бұрын

    vpi kaka

  • @happinesskalionga1855
    @happinesskalionga18559 ай бұрын

    Endelea na ya wanafunzi steve

  • @zekelly_025
    @zekelly_02510 ай бұрын

    Ety jini makudubela😂😂😂😂

  • @JulienmbossoKalengani
    @JulienmbossoKalengani10 ай бұрын

    ❤ iyi ume isheza poa sana uhendeleshe iyi 😮😮😮😮

  • @GermainAzabakurana-ot2rg
    @GermainAzabakurana-ot2rg10 ай бұрын

    Endelea mnacheza vizuli, nawapenda sana.

  • @meshackkyalo96
    @meshackkyalo9610 ай бұрын

    Steve mweusi hiko poa sana from nairobi kenya

  • @aminakatana8721
    @aminakatana872110 ай бұрын

    Waah jaamaa mnajua drama aki ukiwa na stress out zote

  • @bitekindole6429
    @bitekindole642910 ай бұрын

    Hapa nidio kwako mzee endelea unatisha

  • @fatmaally7252
    @fatmaally725210 ай бұрын

    Wallah nimecheka adi nimelia kwa sauti kubwaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @VictorWesonga-kq1cx
    @VictorWesonga-kq1cx10 ай бұрын

    Steve kazi nzuri huku kenya.kwamradi hamadikijicho ni nani kwako maana unapenda kumwongelea sana...

  • @SideBoy-ni1xy
    @SideBoy-ni1xy2 ай бұрын

    Nawakubali sana muna tixha

  • @AllComediesTv
    @AllComediesTv10 ай бұрын

    Mzee endelea 😂😂😂😂

  • @suleimanmandela2656

    @suleimanmandela2656

    10 ай бұрын

    yeah yeah haahahaaaaaa

  • @ishasidaty200
    @ishasidaty20010 ай бұрын

    nimecheka sana nataman nifanye maigizo na wewe steve unaelimiaha sana

  • @evancethoya2353
    @evancethoya235310 ай бұрын

    Nakubali Steve bana......pull up

  • @prefau7641
    @prefau764110 ай бұрын

    Endelea na. Shule kwanza jamani nilikuwa sikufatilii ila kwa sasa nipo na ww hatari 💃🏻💃🏻💝😁😁

  • @JohnMuthui-kd6oo
    @JohnMuthui-kd6oo9 ай бұрын

    Uko Sawa mwanagu edelea ivyo tu

  • @user-jb8vq6cg9r
    @user-jb8vq6cg9r9 ай бұрын

    😂,,😂😂kaka nakukubali sana yani me ni mdugu kucheka ila wewe ni noma adi nimecheka leo😅😅😅😅

  • @richardsiocha7439
    @richardsiocha74392 ай бұрын

    unda filamu mzima inayokuwa na mfululizo wa mawazo

  • @faustinilungamwendaofficie4364
    @faustinilungamwendaofficie436410 ай бұрын

    Toujours likolo wangu mimi faustin ilunga mwenda officiel Congo Kolwezi

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani34910 ай бұрын

    ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪😆😆 STEVE MWEUSI WEWEEE 🤣🤣🤣🤣.

  • @rachealkazungu8680
    @rachealkazungu868010 ай бұрын

    Kakupenda sn stive kutoka kenya

  • @user-vf8oq3ew6y
    @user-vf8oq3ew6y3 ай бұрын

    Endelea stev

  • @Estherchona
    @Estherchona9 ай бұрын

    Endelea Steve unatuburudixha hatar

Келесі