ZINGATIA MAOKOTO MWAKATOBE KAMNASA STEVE MWEUSI

Комедия

#comedy

Пікірлер: 436

  • @Romino_Tz
    @Romino_Tz9 ай бұрын

    Zingatia maokoto mganga😂😂😂😂😂 kama unamkubali Steve usipote bila kulike

  • @user-jt2rt5by1s
    @user-jt2rt5by1s9 ай бұрын

    Ila Steve anavyoanza kuongea, utasema hapa bora tumepata mtu wa maana😂😂😂😂. Kumbe mbele upuuzi mtupu yaan komedi ya Steve raha sana

  • @user-qd6or5dy4p
    @user-qd6or5dy4p9 ай бұрын

    Steve umewez na umechza kam pele kumleta mwakatobe upew maua yako🎉🎉🎉🎉

  • @user-eh2jz8rw3o
    @user-eh2jz8rw3o9 ай бұрын

    Steve mozes nafrai sna kua umeceza na mganga mwakatobe nawapenda sna❤❤❤

  • @user-rp1jm4ix9g
    @user-rp1jm4ix9g9 ай бұрын

    Makatobe tena na steve mweusi😂one love from🇰🇪🇰🇪

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely29289 ай бұрын

    😂😂😂😂😂zingatia maokoto mwakatobe unaweza sana uganga

  • @zeddydanielotieno4317
    @zeddydanielotieno43179 ай бұрын

    Naona wachawi wa Clam wanarudi huku Kwa Steve 😂😂😂😂

  • @ramayonline2281
    @ramayonline22818 ай бұрын

    Mwakatobe ninatambua mchango wako kwenye industry 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fabienDC8431
    @fabienDC84319 ай бұрын

    Mwakatobe great job we mchumba zuchu tu wewe pamoja sana team mkuranga kwa kina hamadi kijicho stivu mweusi fatuma.

  • @sylvesterdonald7441
    @sylvesterdonald74419 ай бұрын

    Mwakatobe we ni fundi sanaa😂

  • @GadKasanga-je6mi

    @GadKasanga-je6mi

    6 ай бұрын

    Sana

  • @mohammedkidody5618

    @mohammedkidody5618

    6 ай бұрын

    Kabisa

  • @washhjojo4840
    @washhjojo48409 ай бұрын

    Mwakatobe you are the best actor 💪big up

  • @selemanikabeya8020
    @selemanikabeya80209 ай бұрын

    Mwakatobe nakuona utakuwa Mbali Sana broo nakukubali Sana 🤝

  • @lawrencemogambi30
    @lawrencemogambi309 ай бұрын

    Mwakatobe na Steve tena good job wadau big love from 🇰🇪

  • @amaniiyaka8468
    @amaniiyaka84689 ай бұрын

    Steve tume subiriya commedy , vyoo vime jaa 😂😂😂😂 WE love you 🇨🇩🇨🇩

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq9 ай бұрын

    😂😂😂mganga mwakatobe fanya kazi yako nakuaminia sana😂😂😂😂😂😂maokoto yanazingatiwa😂😂😂😂😂penda sana ww

  • @kimuu1586
    @kimuu15869 ай бұрын

    Steve umeniangusha umemaliza bila kutaja hamadi kijijo😂😂😅😅😅

  • @dejong360

    @dejong360

    9 ай бұрын

    Hahahah

  • @barnabasmarsel3876
    @barnabasmarsel38769 ай бұрын

    Mwakatobe in the house😂🤝

  • @philipmutua6643
    @philipmutua66439 ай бұрын

    Steve nataka kufika Mkulanga😂😂😂😂❤

  • @Bradleycarlostawai
    @Bradleycarlostawai9 ай бұрын

    Mwakatobe😂😂😂😂😂😂, we zuchu tu, wakuru, wakurungaa

  • @gbrandstz
    @gbrandstz9 ай бұрын

    ILA MWAKATOBE ANA MANENO YA KIPUUZIIIII 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @demolenebooysen2085
    @demolenebooysen20858 ай бұрын

    Nataka kujiunga nanyi jamani nifanyaje 😂😂😂 from South Africa 🇿🇦 naomba like na maua yangu😂😂😂

  • @ahadibenno9756

    @ahadibenno9756

    6 ай бұрын

    Mauwa Utapata 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @paving-fs2go

    @paving-fs2go

    6 ай бұрын

    Nimependa

  • @MtotoWadandu-ff8oh
    @MtotoWadandu-ff8oh9 ай бұрын

    Hahaaaa zingatia maokoto maimuna ananuka shida😁😁😁😁😁

  • @user-uk8ys4kb8d
    @user-uk8ys4kb8d9 ай бұрын

    Eti minywele imemmnyonyoka kama kabeji la mia tano😂😂😂 mchongoano

  • @tommyokillah
    @tommyokillah9 ай бұрын

    Mwakatobe never disappoint 😂😂

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston38417 ай бұрын

    Mwakatobe is the best actor ever....!!

  • @ChristopherNgatunga-xy3gs
    @ChristopherNgatunga-xy3gs9 ай бұрын

    Usitaje hilo jina unaniunguza😂😂😂

  • @kimuu1586
    @kimuu15869 ай бұрын

    Steve huku Kenya tunakubali 😂😂😂😂

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk67369 ай бұрын

    Mwakatobe Nilimkubali Mazimaaa kweny Big Boss Jamaa angekufa muvi yote ingeharibika

  • @RashadiMbutule
    @RashadiMbutule9 ай бұрын

    Jamn hiv uyu steven anayofamilia kwel maan 😂😂😂😂😂😂. Anafuraisha sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RACHIDDOG-SINATAS666
    @RACHIDDOG-SINATAS666Күн бұрын

    Steven ni mwizi kweli kweli nipe liké yangu hopo DR.CONGO🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @jaydannychawaboy5418
    @jaydannychawaboy54189 ай бұрын

    kumbe Steve mweusi ndo mwizi kabisa 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥

  • @SamwelAllen-by7co
    @SamwelAllen-by7co9 ай бұрын

    steve nakuomba mwenywe unilike hapa,,,,best comedian nakubal xan xteve

  • @user-jm2nu1zg2e
    @user-jm2nu1zg2e6 ай бұрын

    Mwakatombe na steve mmetisha mbaya 😅😅😅😅😅

  • @brianongeso5091
    @brianongeso50919 ай бұрын

    Steve to the world.🇰🇪🇺🇬

  • @user-it6pm4rh8s
    @user-it6pm4rh8s9 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂 mwakatobeee shikamoooo😅

  • @SarahShalua-ij8qg
    @SarahShalua-ij8qg8 ай бұрын

    😂😂😂😂ila Steve anasula ya wizi kabisa 😂😂😂😂😂

  • @mutundaaugustinaugustinmut8914
    @mutundaaugustinaugustinmut89149 ай бұрын

    Fatuma wewe 😘😘😘 Hamadi kijicho ukowapi 😂😂😂

  • @FatumaKishasha-ph6ii

    @FatumaKishasha-ph6ii

    7 ай бұрын

    😂😂

  • @GadKasanga-je6mi

    @GadKasanga-je6mi

    6 ай бұрын

    We seleman we sele

  • @Damagemweusi274
    @Damagemweusi2749 ай бұрын

    Kweli Leo Steve kaletewa mganga au VIpi onelove from damagemweusi tumpe Steve Maya,,,mfwwwe

  • @MachupaWanamani
    @MachupaWanamani10 сағат бұрын

    Stevu we noma kaka

  • @KenMwenda-by4uc
    @KenMwenda-by4uc9 ай бұрын

    Stive mweusi my best actor Kwanza za shule

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda25269 ай бұрын

    😂😂😂😂 Kilingeni kunanuka shida zingatia Maokoto 😂😂😂😂

  • @johnmushi8739
    @johnmushi87399 ай бұрын

    Huyu mwamba mwakatobe anafanya picha inakua na mvuto sana. Unatakiwa ulipwe vzr maana wew ndo man of the match

  • @mwana9848
    @mwana98487 ай бұрын

    Mgangaa uwachamba utaeza sema Asha boko😅😅😅😅

  • @VickyVictoire-rq8nv
    @VickyVictoire-rq8nv9 ай бұрын

    Il love your stive 🇨🇩🇨🇩🇨🇩tunakupenda sn ❤

  • @VickyVictoire-rq8nv

    @VickyVictoire-rq8nv

    9 ай бұрын

    Thanks

  • @johnrambo9642
    @johnrambo96427 ай бұрын

    Yani hii kz sijachoka kuiangalia kila wkt nairudia😂😂😂 mtafute mtafute wakurukaa nae😂😂😂

  • @Ismailyare16
    @Ismailyare169 ай бұрын

    One love from Kenya 🇰🇪 😍 ❤️

  • @AmriBuyenje-zp5pq
    @AmriBuyenje-zp5pq2 ай бұрын

    Steve unanimaliza kinyama ulipo sina shaka ata nikiwa na hasra hapo ni full brudan 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-cu9mo3rf4t
    @user-cu9mo3rf4t6 ай бұрын

    Steven wewe nataka vunjika mbavu sababu yakucheka 😂😂😂😂😮

  • @gabrielsamwel
    @gabrielsamwel9 ай бұрын

    Steve naomba nipe namba ya uyo Dada mwenye kidoti

  • @mambo597
    @mambo5979 ай бұрын

    Steve n mwakatobe best actors much love from Kenya 😂😂😂❤❤❤❤

  • @bilombelekilozodieudonne123
    @bilombelekilozodieudonne1237 ай бұрын

    Steven mweusi mbwa kweli 😂😂😂

  • @Yusufumasudi
    @Yusufumasudi6 ай бұрын

    Ety boss zingatia maokoto 😂😂😂😂😂😂 kilingeni kuna shida

  • @charlesmillinga992
    @charlesmillinga9929 ай бұрын

    Binafsi, mwakatobe umetisha sana kk.

  • @GraceBiboy
    @GraceBiboy7 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 stivu weye kkkkkkkkk uko kibumbafu kweli kkkkkkk

  • @user-mb7oe3pg3y
    @user-mb7oe3pg3y5 ай бұрын

    Kumbe mwakatobe anakuanga cute bila kujipaka rangi😂

  • @MwanaidiRulimbiye-uf1mr
    @MwanaidiRulimbiye-uf1mr9 ай бұрын

    Stive tuletee hamadi kijicho tumuone bhana

  • @gabonmaseru2686
    @gabonmaseru26865 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂 Steve kapatikana

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani3499 ай бұрын

    ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪🤣🤣🤣🤣

  • @niyofaxofficial2693
    @niyofaxofficial26939 ай бұрын

    Natamani kumwona Ahmad kijicho wallah😂😂😂😂😂

  • @fahdijabir1270
    @fahdijabir12709 ай бұрын

    Kuna mmoja hapo nilijua amekufa kweli... Boss 😢😢😢

  • @DanielmashaGona

    @DanielmashaGona

    5 ай бұрын

    Yes hoyo dogo amevaa black t-shirt aliaga dunia

  • @user-jt2rt5by1s
    @user-jt2rt5by1s9 ай бұрын

    Yaan hii timu, wote wanajielewa. Safi sana.

  • @appimihu478
    @appimihu4787 ай бұрын

    Nakubali steve tunakutak burundi

  • @amzasadikimamadou6066
    @amzasadikimamadou60669 ай бұрын

    Steve ndo mwizi 😅😅😊😢😢😂😂

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz16079 ай бұрын

    Mwakatobeeee, 😀😀 Wasafii, eyolaizer Abbah🤣🤣

  • @alexmgusi2534

    @alexmgusi2534

    9 ай бұрын

    😂😂😂

  • @frankvianey2438
    @frankvianey24389 ай бұрын

    Mwakatobe utafika mbali sana blazah,usikate tamaa mafanikio yanakuja taratibu

  • @abubaali8325
    @abubaali83259 ай бұрын

    Mwakatobe tunakutambuaaaa😮😅.

  • @niyonkurusalim2186
    @niyonkurusalim21869 ай бұрын

    Umetisha stev

  • @user-yl1ng9sb8q
    @user-yl1ng9sb8q9 ай бұрын

    Atimae zuchu n'a fatuma Leo wamekutana🤣🤣🤣

  • @Thebritaincrescent
    @Thebritaincrescent9 ай бұрын

    Huwaga nikiskia fatuma wewe najua kinachofuata ni arushiwe busu 😂😂😂😂

  • @dericko10

    @dericko10

    9 ай бұрын

    😂 pia mimi kaka

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston38417 ай бұрын

    Kinyago cha mpalule,kinaitwa Seleman,Seleman we sele,sele,waasafi,iyo nyzer Abaa...😂😂😂😂😂😂

  • @alinotilucamoris6189
    @alinotilucamoris61899 ай бұрын

    Mwakatobe oyooo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @briantarimo7578
    @briantarimo75789 ай бұрын

    😂hahahaha stevu si ujiseme tutu jamaniiii

  • @user-dk7wb4lp4o
    @user-dk7wb4lp4o6 ай бұрын

    Mwakatobe a.k.a zingatia maokoto😂😂. Sauti ya Zuchu sura ya diamond😂😂

  • @nationaltrendingmedia4603
    @nationaltrendingmedia46039 ай бұрын

    ,😂 I said mwakatobeeee will go places

  • @user-cd4np3wj6i
    @user-cd4np3wj6i6 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂dah mmetishaaaaaa wazeee kifuatacho nikucheka Hadi mbavu zchokeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @user-fq9ol4nr9x
    @user-fq9ol4nr9x9 ай бұрын

    Steve 😂😂😂😂umeweza kwenye hio video hyo mganga latoka wapi anifunzie mth adabu jamani

  • @rashidgona1808
    @rashidgona18084 ай бұрын

    Steve nakukubali bana YESU mbele🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @saddammwembere1048
    @saddammwembere10487 ай бұрын

    NAKUBALI sana mwakatobe. Niko mtwara Kuchele

  • @user-qt8fu8qo7d
    @user-qt8fu8qo7d3 ай бұрын

    Steve ana ua kinoma Yani ako vizuri unyama mwingi sanaaaaa na Mwakatobe naye kichaa 😂😂😂 Yani hapa chizi kapatana na mwendawazimu 🙌🏾 🙌🏾

  • @VincentMweusi
    @VincentMweusi9 ай бұрын

    Sijazaa Wacha kufanya hivyo😂😂😂😂

  • @MondesWilson-jr7rr
    @MondesWilson-jr7rr9 ай бұрын

    Ha ha ha ha umeomba kabisa kaka Steve🤣😂😂😂

  • @azadinzunda4327
    @azadinzunda43279 ай бұрын

    🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂 jamni nimecheka Sana kwa hii

  • @haruniernesti9639
    @haruniernesti96398 ай бұрын

    kinyago chenyesula yaunyago😅😅😅

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani19899 ай бұрын

    Mganga noma sana😂😂😂😂

  • @starvista823
    @starvista8235 ай бұрын

    Wasafa,eyoolizer ,abhaa😂😂😂😂

  • @barakangala2294
    @barakangala22944 ай бұрын

    Mwakatobe wewe uko na kipaji acha kutumiwa na clam vevo funguka bana.alafu Steve naskia anakuita fatuma duuh 😂😂😂

  • @kamaudaniel987
    @kamaudaniel9879 ай бұрын

    Steve umeingiza nzeve kuruka😂😂😂

  • @MwongeraJulias-mh1yu
    @MwongeraJulias-mh1yu9 ай бұрын

    Best comedy in Africa ❤

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo9 ай бұрын

    Mwaka tobe unatishaaa upo vzriii mwambaaa

  • @ngovielkingeliance6125
    @ngovielkingeliance61259 ай бұрын

    Namkubali mwakatobe kinyama 😂😂😂😂

  • @KasamPaida
    @KasamPaida9 ай бұрын

    We nenda utanidai mm

  • @johnrichard5482
    @johnrichard54829 ай бұрын

    😂😂😂😂😂 Eyooo lyzer... Mara C nine... #Mwakatobe Bhana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @michaelmringo7157
    @michaelmringo71579 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wasafii eyoo laizer 😂😂😂😂

  • @TanaMidundo
    @TanaMidundo9 ай бұрын

    Stev umetisha Sana kumchukua mwakatobe

  • @justinlukogo
    @justinlukogo7 ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂stive balaa

  • @clewis520
    @clewis5207 ай бұрын

    .... Mwakatobe....roga huyo stivu mweusi....hey haiyaaa..

  • @MaselemichaelyMaselemichaelnya
    @MaselemichaelyMaselemichaelnya4 ай бұрын

    😂😂😂 mwaka tobe hatari nitakugeuza nini et ukitaka kuliwa unachokonolew na kidole 😂😂😂😂

  • @stevenmsigwa8515
    @stevenmsigwa85155 ай бұрын

    Unawakilisha vyema sana jina steve

  • @petroishirini_ngwanashijat5712
    @petroishirini_ngwanashijat57129 ай бұрын

    Kwa jina naitwa PETRO ISHIRINI msanii wa nyimbo za asili kanda ya ziwa nazingatia maokoto Stive na mkubali pia mwakitobe hasa kwenye big boss ya clam vevo alafu kidawa kwenye fagio ulinifagia hadi mimi

  • @bedacengabireyimana2362
    @bedacengabireyimana23629 ай бұрын

    Chukua mauwa yako steve👍👍

Келесі