MWALIMU ANAYEFUNDISHA KWA KUCHEZA MUZIKI, KUPIGA SARAKASI, AFUNGUKA - "WANAFUNZI HAWATOROKI"

MWALIMU ANAYEFUNDISHA KWA KUCHEZA MUZIKI, KUPIGA SARAKASI, AFUNGUKA - "WANAFUNZI HAWATOROKI"
GLOBAL TV imefanya mahojiano na Mwalimu Yusupg Pangoma, anayefundisha shule ya msingi aliye trend kwenye mitandao ya kjjamii kutokana na staili yake ya ufundishaji kuwavutia wengi akiwemo Msemaji mkuu wa serikali, Gerson Msigwa.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 25

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio89682 жыл бұрын

    hongera sana maana watoto wengi hawapendi kabisaa kuenda shuleni ila kukiwa na mwalimu mu smart kama wewe mtoto analala akiwaza tu shule much love maestro💕🇰🇪🇪🇺🙏

  • @restituta5206
    @restituta5206 Жыл бұрын

    Asante Yusufu .ata sisi wa mbali we acha tuu tunatamani sana

  • @halimajaphet8926
    @halimajaphet89262 жыл бұрын

    Hongera sana mwalimu natamani kama mwnangu angekuja kusoma kwako angeichoi sana

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila45722 жыл бұрын

    Huyu mwalim yaani ako vizur sana nimekupenda

  • @cmantz8837
    @cmantz88372 жыл бұрын

    Wewe ndiye mwalimu mtoto anaelewa vizuri sio walim wauza kashata na darasani hawafundishi kazi kulazimisha watoto waende twisheni .ila angalia tu walim wavivu wasije kukuloga

  • @rabiaabedi1864
    @rabiaabedi1864 Жыл бұрын

    Mashanllah anllah akudhidishie kilalakheli brother

  • @mkumbosamson7981
    @mkumbosamson79812 жыл бұрын

    Very talented

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Жыл бұрын

    Excellent

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi80292 жыл бұрын

    Wewe ndo mwl, Safi sanaaaaa

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka61112 жыл бұрын

    Ata kukeketwa watagoma,safi mwalimu kwa uvumbuzi huo

  • @aishachambo8663

    @aishachambo8663

    2 жыл бұрын

    🤣🤣

  • @zuwenaofficially3551
    @zuwenaofficially35512 жыл бұрын

    namkubali sana

  • @losulalamayi4957
    @losulalamayi49572 жыл бұрын

    Good

  • @rehemaiddsalehe52
    @rehemaiddsalehe522 жыл бұрын

    Shule za mwenzetu mbele watoto wanasoma na kufurahi na wanafaulu walimu wanacheza na watoto ila Africa mpaka watumie fimbo cha jabu watoto awafaulu

  • @restituta5206
    @restituta5206 Жыл бұрын

    Kazana nwalimu. Hapo hapooo

  • @MsubiManeno-zq1ss
    @MsubiManeno-zq1ss Жыл бұрын

    Jmn si wampe ata usafiri walau morari ya kazi ipande usishangae ata pikipiki hana anayoyafanya ni makubwa huyu mwl

  • @JosephMagambani-cv1ku
    @JosephMagambani-cv1ku7 ай бұрын

    Ama kwel

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын

    huyu ndio mwalimu sio waalimu wanapiga watoto km.jambazi mpk mtoto anakua anaogopa shule kwa ajiri ya mateso

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga28482 жыл бұрын

    Usichrze na ualimu.unaweza vuna mabua.kila kitu kwa kiasi

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Жыл бұрын

    🤣🤣👏

  • @chrispinboniface3329
    @chrispinboniface3329 Жыл бұрын

    😂😂😂

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila45722 жыл бұрын

    Mwalim mchangamfu hadi raha

  • @abuumbegu8657
    @abuumbegu86572 жыл бұрын

    Safi sana hata Mtume Muhammad watoto walikuwa wanampanda mgongoni kama ng'ombe!!!

  • @masalakulwa7601

    @masalakulwa7601

    2 жыл бұрын

    Sasa mtume wako mudi ameingiliaje hapa😏

  • @abuumbegu8657

    @abuumbegu8657

    2 жыл бұрын

    @@masalakulwa7601 swali zuri, kiimani ukifanya kitu ambacho yesu alikifanya basi hakika kitakuwa ni kitu kizuri. Nimejibu hoja.