MWAKILISHI WA MTAMBWE BAADA YA KUULIZA SUALA LA MBWA BANDARIN MH NADIL AMJIBU HIVI

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 12

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4moАй бұрын

    Huyu ni shida kweli kweli maana uwezo wake ni finyu sana kavishwa viatu virefu!

  • @SuleymanSeifHaji
    @SuleymanSeifHajiАй бұрын

    Hawoo mbwaa kawekee kwako wakulindaa

  • @utaani1
    @utaani1Ай бұрын

    Kumbe Nadir hana elimu anadodosa hata kwenye kusoma na hajui hata kujibu akiulizwa maswala sijui kwanini serikali imempa nafasi kwenye serikali wakati hana elimu wala experiences yoyote ile

  • @mrok284
    @mrok284Ай бұрын

    Majibwa kweli ni kero.

  • @isaliisu3408

    @isaliisu3408

    Ай бұрын

    Miradi ya barabara walipeni watu haki zao au ondoweni zuiyo la mdomo watu waendelee kujenga na kupanda vipandovv

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589Ай бұрын

    Nadir majibu yake sio mazur

  • @isaliisu3408

    @isaliisu3408

    Ай бұрын

    Subirini uchaguzi mutupige marungu hilo uhakika mwaliweza

  • @AhmedZahor

    @AhmedZahor

    Ай бұрын

    Baiya anakiburi wengi wamekalia kiti hicho sasa unakalia wewe na wewe utaondoka utakiacha

  • @bakarsuleiman3989
    @bakarsuleiman3989Ай бұрын

    Huyu jamaa ni jeuri na kiburi sana anajiona kama hatokufa jinga sana

  • @aliabdalla9297

    @aliabdalla9297

    Ай бұрын

    Wahindi wengi ndivyo walivyo lakini

  • @zahiribrahim8319

    @zahiribrahim8319

    Ай бұрын

    Eheee nkweli abaa kama jusa 😂

  • @AhmedZahor

    @AhmedZahor

    Ай бұрын

    Bara liliulizwa Suali kama hilo na lilijibiwa uzuri na hatua zikachukuliwa lkn Baiya mabega yamezidi kichwa

Келесі