MUNAQASHA KAMILI WA MUHAMMAD BACHU NA SABBAS AL-KUBRA || UWANJA WA TANGAMANO || 16-7-2023

Ойындар

Пікірлер: 191

  • @arafatabubakar001
    @arafatabubakar001 Жыл бұрын

    Wallahi skh.Bhachu Allah akupe ufahamu zaidi.mimi binafsi nilichukia maulid toka kitambo,kufikia sasa nimeichukia zaidi kuliko mwanzo

  • @dullahsaleh8507

    @dullahsaleh8507

    9 ай бұрын

    Tatizo humuelewi sabas elimu yake kubwa unaelewa hilo porojo la bachu.

  • @mabruqjumamponda7629
    @mabruqjumamponda7629 Жыл бұрын

    Mwenyezi Mungu mpe shifaa Sheikh wetu Muhammad Bachu napia maisha marefu yeye na familia yake. Watu wa twarika ama kweli hapa ndio mwisho wenu. Maulid na twari ni bidah. "KULLU BID'ATIN DALALA WA KULLU DALALATIN FIN-NAAR"

  • @salehalisalum5466

    @salehalisalum5466

    Жыл бұрын

    Amiiin Amiiiin

  • @tifuomar

    @tifuomar

    10 ай бұрын

    Kasome rafiki

  • @mabruqjumamponda7629

    @mabruqjumamponda7629

    10 ай бұрын

    @@tifuomar kwa mamako ama?

  • @stablehech

    @stablehech

    10 ай бұрын

    ​@@mabruqjumamponda7629kwa hilo jibu lako ni wazi huelewi dini.. Pepo iko chini ya mama alafu hapa unamkejeli mamake .

  • @rmdhnhmz512

    @rmdhnhmz512

    9 ай бұрын

    Mtume anasema asiye Na elimu ni sawa Na jumba bovu kasome wacha kuafiki kitu ambacho hauna elimu nacho unafuata fuata tu

  • @isackwaite-uf1zy
    @isackwaite-uf1zy Жыл бұрын

    MaashaAllah ❤ sheikh muhammd Bachu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @amiripolwe985
    @amiripolwe98511 ай бұрын

    NIWE MKWELI WALLAHI, SIJAPATA KUSIKIA HOJA HATA MOJA IKIVUNJWA KWA HOJA NA HAO WATU WA BIDA'A, ALLAH AKULIPE KHERI SHEIKH BACHU

  • @isarichard
    @isarichard Жыл бұрын

    Kazi nzuri unayoifanya sheikh ❤ nafataga kila kipindi chako apa Zambia 🇿🇲

  • @jamalbashiru1973
    @jamalbashiru1973 Жыл бұрын

    Baaraka llahu fiyka sheikh Mohammad Bachu, Allah azid kukupa moyo wa kubainisha hakk

  • @timesimai4537

    @timesimai4537

    10 ай бұрын

    Amyn

  • @seifabdi9248
    @seifabdi9248 Жыл бұрын

    Shukran sana Sheikh wetu na kwa kweli ukweli ukidhihiri uongo hujitenga. Nimepata faida kubwa sana na kwa kifupi ninachukua zile point 19 ulizozitoa nitaziandika chini Ili niweze kuwasaidia ndungu zangu waislamu Ili waweze kuifahamu ubaya ya Maulidi na shirki iliyomo na insha'Allah waweze kurudi kwa njia ya Allah.

  • @husseingitonga8921

    @husseingitonga8921

    Жыл бұрын

    Kwa hakika watu wa maulid hawana dalili.

  • @LuqmaanBeka

    @LuqmaanBeka

    Жыл бұрын

    Mashallah sheikh Muhammad kwa kuwtandika watu wa adhwalala wataelewa tu

  • @kamariamohammed

    @kamariamohammed

    9 ай бұрын

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @abdikhoy8044

    @abdikhoy8044

    5 ай бұрын

    Tusome tuache mbwembwe

  • @SuleimanKahangwa-oj9eh
    @SuleimanKahangwa-oj9eh Жыл бұрын

    Shekh bachu mashaaAlhah

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot3 ай бұрын

    Allaah akuhifadhi Shekh Muhammad Bachu

  • @mwanzomwisho1217
    @mwanzomwisho1217 Жыл бұрын

    Sheikh Muhammad Nassor Abdallah Bachu, hakika ALLAH akuhifadhi.

  • @user-rb9rm7ue8c
    @user-rb9rm7ue8c11 ай бұрын

    Mashallah tumeelewa Shekh Muhammad Bachu

  • @user-gf3ie8jj1e
    @user-gf3ie8jj1e8 ай бұрын

    Sheikh Bachu maashallah

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 Жыл бұрын

    Bachu You went to Humiliate Sabas and you did 😂😂 namuonea huruma

  • @chudybalckonlionetv5495
    @chudybalckonlionetv5495 Жыл бұрын

    Sheikh Muhammad nipo hapa nakukubali san Allah akuhifadhi

  • @user-lz3cc1pe6x
    @user-lz3cc1pe6x Жыл бұрын

    maulid ni uzushi

  • @swalehmtetu
    @swalehmtetu5 ай бұрын

    Maashallaa hongera saana wa jazaakallahu khairan yaa fadheelata sheikh Bachu atwaala llahu umruka wa zaadaka llahu ilmak. kweli hoja zako zina nguvu saana na ndio maana haqq siku zote itaipiku baatwil

  • @yahayajuma1401
    @yahayajuma1401 Жыл бұрын

    Maulidi wametuletea Mashia " mazinge na mbogo bakonzi"mungu amewapa elimu ya kiwafundisha wakristo "elimu hii mungu amewapa wengine"

  • @abdallahmgaya7521

    @abdallahmgaya7521

    Жыл бұрын

    Sabbas ni mweupe kabisa, anajihami tu, UKWELI umeshajulikana Asante sheikh Bachu

  • @abuutamliikhaothmaan7244

    @abuutamliikhaothmaan7244

    11 ай бұрын

    Kweli ndugu yangu hapa huyu hawamuwezi

  • @nasraabdallah
    @nasraabdallah Жыл бұрын

    Allah akupe afya njema simba wetu bachu hakkki tumeiyona waganga wapiga lamli hawana hoja ukweli umeshajulikana

  • @yasiryusra3333
    @yasiryusra3333 Жыл бұрын

    Sabas wa kwenye tv yule na huyu mbona tofauti mpk yuwatia huruma

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 Жыл бұрын

    Shekh Muhammad bachu ndiyo mtu wasunna anaejua kupamban na masufi na vikundi vikundi 😢sio wengine wanajitakasa tu na hamna kitu zaid ya chuki kwa wanasunna wenzao..ALLAH akuhifadhi shekh wetu bachu

  • @BuiKishkOnlineTv
    @BuiKishkOnlineTv Жыл бұрын

    😁😁😁Kumbe Shk Ali Abubakar alishasema kuhusu Nahw na Balagha halafu Sabasi ndo akaja kujibu hoja humohumo lkn akashindwa kutoa Qarina kuonyesha kuna balagha kweli. Allah akuhifadhi akhui Muhammad Bachu

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын

    MBONA namuelewa sana shekh bachu Mimi

  • @saidabdus9014
    @saidabdus9014 Жыл бұрын

    Shukran yaa ustaadh.

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Жыл бұрын

    Jazakallah sheikh bachu imebainika wazi alhlu madufu hawana kitu na niaibu hasa kwao

  • @mohamedhozi8110

    @mohamedhozi8110

    11 ай бұрын

    Ahlul madufu😆😆😆

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    8 ай бұрын

    ​@@mohamedhozi8110😅😂😂😂😂

  • @mwinyikitupa167
    @mwinyikitupa167 Жыл бұрын

    Sabbasil kubraa yaani msabasi mkubwa au pia jina lashekhe lina majazi Pole ustadhi

  • @salemshaban2413
    @salemshaban2413 Жыл бұрын

    Sheikh bachu umemuosha vibaya sabasi al majaz hakujibu hoja hata moja.

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 Жыл бұрын

    Mashaallah sheikh bachu Allah akuhifadhi

  • @sombochristian8373
    @sombochristian8373 Жыл бұрын

    Mashallah Sheihk 🙏 🙏 🇸🇪 🇸🇪 🇸🇪 🇸🇪

  • @nasiransaar7146
    @nasiransaar7146 Жыл бұрын

    Sheikh Muhammad Bachu ni kidume cha Allah.

  • @saidmohammed2830

    @saidmohammed2830

    Жыл бұрын

    Sasa hio ndio majaaaaaaaaaaaz 😂😂😂😂😂

  • @saleemalmombasy891
    @saleemalmombasy89110 ай бұрын

    BarakaLlahu fiik, sasa tunangoja mjadala wa Mombasa kwa hamu

  • @jumatina2234
    @jumatina22349 ай бұрын

    Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh, Allah awahifadhi mashekhe zetu, kama umefatilia vizuri sehemu ya 2:17:00 hadi 2:23:15 utaelewa vizuri sana

  • @abdulchacurochabane7935
    @abdulchacurochabane7935 Жыл бұрын

    Mashallah sheikh Bachu ww kiboko Wallahi

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 Жыл бұрын

    Yan mtu Hana hoja anakuja mara Sheria mara majjazz haeleweki hawa watu n mtihani sana bachu umemaliza kazi

  • @hassaniissa4085
    @hassaniissa4085 Жыл бұрын

    Sina jamb , zaid ya kukuombea kwa allah ulinz uliotukuka ____ al a khy muhammad bachu

  • @mabruqjumamponda7629
    @mabruqjumamponda7629 Жыл бұрын

    "Tv niuongo leo ni live" Sabas chuma unacho leo😂😂

  • @mgeninaima9866

    @mgeninaima9866

    Жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂kilimramba

  • @mabruqjumamponda7629

    @mabruqjumamponda7629

    Жыл бұрын

    🤣🤣🤣kilimramba ile proper brother

  • @iddykisome3126
    @iddykisome3126 Жыл бұрын

    Hakika Mimi kwa elimu yangu namuelewa sana bachu sasa upande wa pili waturahisishie tuwaelewa kirahisi

  • @rashidabdallah4310
    @rashidabdallah431011 ай бұрын

    Nassor bachu shukran sana kaka kwa kutoa kutu kwenye kichwa changu.

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 Жыл бұрын

    Sheikh bacho ma Shaa Allah hoja unazo na elim unayo

  • @hashimsalum5687
    @hashimsalum5687 Жыл бұрын

    Mm kwa upande wangu cjamfahamu hata kidogo majazi akubra

  • @kitonikitoni6299
    @kitonikitoni62999 ай бұрын

    Kunakazi kubwa sana ya kumfundisha bachu lugha na maana zake tena hasa anapotafsiri vitabu ya wana zuoni kama Barzanji Kuanguka kwa masanamu maana yake uzalio wake mtume umeudondosha utawala ulio kua unaabudu masanamu na ushirikini yaani hata hili bachu hajui yaani mtihani sana huu inaonyesha hata walimu wake nao hawana elimu yaani haya hili duh

  • @salimkhatri8064

    @salimkhatri8064

    5 ай бұрын

    Hiyo hoja ya masanamu kudondoka imejibiwa vizuri tu kwenye munaqasha. Unaporudia hoja hiyo hiyo tena wala takuelewi unakuwa na maana gani.

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 Жыл бұрын

    By Allah. It is sad when we indulge in these issues when there are so there are so many threats against our principles as Muslims and as human beings. Our very own religious book is burnt and desecrated. Our countries are burning with flames of wars and hunger. Wake up dear brothers. These issues are insignificant. Differences are natural. Do what benefit mankind.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Жыл бұрын

    Sijuikama hawajali baada yakujuaukweri. Wazushiwa maulidi

  • @msamgunda7684
    @msamgunda768410 ай бұрын

    Asalaam aleykum.sehemu ya pili ya huu munaqasha.tunaomba muendelezo wake.inshaallah.

  • @usseneandurabe9733
    @usseneandurabe9733 Жыл бұрын

    Waganga wa kienyeji wametandikwa kwelikweli

  • @habibukavabuha8584
    @habibukavabuha8584 Жыл бұрын

    Ukweli umebainika kilicho baki ni aidha kuufuata haki au kuendelea kuogelea kwenye dimbwi la batili kazi kwako tafadhali.

  • @user-ys7to2zp1m
    @user-ys7to2zp1m Жыл бұрын

    Hayo maswali ya kwanza 5 hajajibu hata moja

  • @allyhamza6941
    @allyhamza694110 ай бұрын

    Wengi tume muelewa Bachu kwakua yy katafsiri maneno lakin hatuja muelewa Sabas kwakua kachimba kielimu ambayo hakuna hata kimoja tunacho kijua ndio mana hatujamuelewa kwa haraka hii ni elmu na fani za elmu ktk kujib mwaswali yuko sahihi kabisa lakin nina uhakika kuna vitu vingine vimelezewa Bachu pia hajavielewa na kma angevielewa basi angemjib Sabas kwa kumpinga kwa kutoa fact ktk nyanja zile zile alizo pita Sabac ndiomana yeye anatoa mifano ya chuma kwa mahindi na ndiomana alisema mwanzoni ilitakiwa kuwepo na mtu wa lugha ili ahakikisge tafsri kilugha je alivyotafsiri Bachu ni usahihi ?

  • @jumatina2234

    @jumatina2234

    9 ай бұрын

    Ili tufahamu zaidi kikubwa ni kusoma Elimu ni pana siyo kila mtu anatoa tafsiri kulingana na alivyosoma tu anatakawa asome pia na fani za elimu hata quran kuna walimu wanaifafanua vizuri hadi unaelewa siyo unapewa tafsiri peke yake bila kupewa maana yake. Ni kama kiingereza unaweza ukakuta neno moja linatumika katika sentensi tofauti tofauti na maana tofauti, In short tusome tu Sheikh Sabbas anaenda deep ili tuelewe kiundani but sisi tunapenda ushabiki hatutaki kuelewa

  • @salimkhatri8064

    @salimkhatri8064

    5 ай бұрын

    @@jumatina2234 katika hoja 19 alizotoa Shk. Bachu, ni hoja moja tu ambayo Shk. Sabas alifanya jaribio la kujibu kwa kutoa hoja ya "majazi". Hoja ya majazi ilibomolewa na Shk. Bachu kwa kuleta kunukuu kitabu cha Barzanji a kuthibitisha kuwa siyo kweli uwepo wa Bi. Asia (ra) na Bi. Mariam (ra) ulikuwa ni majazi. Hoja za Shk. Bachu ni nyepesi kabisa lakini kwa sababu hakuna majibu sahihi ya kuvunja hizo hoja ndipo Shk. Sabas akaamua kujificha nyuma ya "kanuni za kuhukumu", "majazi" na nyiye mnachofanya ni kuunga mkono Shk. Sabas kujificha kwenye hilo pazia. Maneno ya kutoka kwenye kitabu cha Barzanji yameletwa, badala ya kujadili kama hayo maneno yana ukweli ama la, unaanza kuleta hadithi ndefu ili mradi ukimbie jukumu lilikupeleka pale. Ni shida hii.

  • @omarally6819
    @omarally6819 Жыл бұрын

    Shekh Muhammad maashaa Allaah umeshinda vita kwa hojja na dalili. Masufi wamevuka nguo kweupe hadharani mbele za watu, nawao ndio wanao jinata kwamba fahamu zao ni nzuri, nasisi fahamu zetu ni mbovu, lkn hayo ni madai yao mabovu tu, lkn kwenye Niqaash chua zime jitenga na mchele. Hahahahahahahaha. Yule FAASIQ haji upepo naona kimya!!!😂😂😂😂😂

  • @abubakaribashiru9454

    @abubakaribashiru9454

    Жыл бұрын

    Yaaani wewe hujielewi kabisa. Unamuitaje mwenzako faasik Dah hivi unajielewa?

  • @baqdaadbrotherhood3086
    @baqdaadbrotherhood308611 ай бұрын

    How is he even a sheikh if isn’t hafidhul Quran 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @selemaniseif7270
    @selemaniseif72709 ай бұрын

    I under stand dr bachu. But sabas inna lilah wanna ilahi rrajiuun

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 Жыл бұрын

    *Fanyeni Kazi ya Allah na Allah atawalipa kila lililo na khair In Sha Allah.. Mke ndio kamkosa😂😂*

  • @Muhammad_Nassor_Bachu_.

    @Muhammad_Nassor_Bachu_.

    Жыл бұрын

    😂

  • @AliIbrahim-lv5cq

    @AliIbrahim-lv5cq

    Жыл бұрын

    Dadaetu akapike ubwabwa wa maulidini !!Subutuuu😂😂😂

  • @ibrahimjumaa538

    @ibrahimjumaa538

    Жыл бұрын

    @@AliIbrahim-lv5cq 😁😁😁

  • @hassanmohamedlaizer569

    @hassanmohamedlaizer569

    Жыл бұрын

    ​@@ibrahimjumaa538hatutaki dada yetu akafundishwe majazi 😂😂 elimu mbovu

  • @ibrahimjumaa538

    @ibrahimjumaa538

    Жыл бұрын

    @@hassanmohamedlaizer569 😁😁

  • @kitonikitoni6299
    @kitonikitoni62999 ай бұрын

    Masha Allah sabas huyo achana nae maana hajui lugha ilivyo wala maneno yanavyotumika sasa kama kuanguka kwa masanamu anaelewa kuanguka hivyo unadhamu hapo unaelewana nae vipi mwambie asome maana ya hicho kilichotumika kwanza ndio muelewane nae huyo Barzanj ni msomi mkubwa sana katunga hiko kitabu kwa lugha ya kisomi sana

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 Жыл бұрын

    Shekh sabas hakujibu kitu amebambanya tu

  • @alimasiga8422
    @alimasiga8422 Жыл бұрын

    Bid'aa imekaribisha ushia kwa usunni.

  • @RUTUFUHEMEDI-xh4hc
    @RUTUFUHEMEDI-xh4hc Жыл бұрын

    Asalam alaikum shekh

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын

    Huyu bachu anatisha kwa hoja

  • @mwinyimatano9497
    @mwinyimatano9497 Жыл бұрын

    Pangua hizo hoja za bachu usijiumeume baba😊😂😂😂😂 unaskitisha Sana Wewe sabass😊

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    8 ай бұрын

    Watu wa mlo haooo😂😂😂

  • @abubakarally3413
    @abubakarally3413 Жыл бұрын

    Sabbas na yusufu diwani walihemewa walikuja na kina mazinge huyo mazinge ndio mtupu kabisaaaa ila kwakua watu wabidaah hata uwape dalili milioni hawawezi kuacha bidaah zao, ila mwenye akili na mwenye kupenda haqi ataachana na maulidi

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын

    Ibrahim bakozi utadhalilika!! Acha HAYO mambo kapambane na wakristo

  • @alimuchiri6151
    @alimuchiri61519 ай бұрын

    Bachu kawagaragaza....ile mbayaa

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 Жыл бұрын

    Maiki mbona nzimaa shekh acha kuzuga😆😆

  • @user-jx7lj2lp6o
    @user-jx7lj2lp6o13 күн бұрын

    Inawezekana bachu radhi huna

  • @mwinyimatano9497
    @mwinyimatano9497 Жыл бұрын

    Wacha kuogopa kujibu maswali kama huna hoja baba sabass Waka wazi maana sikuelewi kabixa naongea Sana lkn ujiumauma2 baba

  • @user-gf3ie8jj1e
    @user-gf3ie8jj1e8 ай бұрын

    Mfundishe huyo ustdh Nassor

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 Жыл бұрын

    Al majaaz , jamaa alikuwa anaombea maiki ilete shida ila apumue kidg🤣😂😂

  • @user-py3cb3kx9p
    @user-py3cb3kx9p Жыл бұрын

    Niqash ya shirki iwapi? Allah Aturuzuqu Ikhlas ili hii nikash ipate barka.

  • @ShakriBakar-di5po
    @ShakriBakar-di5po11 ай бұрын

    Usimuite ibntaimia meite sh. Njia

  • @mwinyimatano9497
    @mwinyimatano9497 Жыл бұрын

    Jibu maswali baba usilete mbwembwe nyingi mdomo umekauka mate tayari kablah ya kujibu😂😂😂😂😂😂 utajiramba Sana mdomo

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi811011 ай бұрын

    Sisi tulio nchi za uarabuni makkah na madina tunazo karibu kwenye miji mitakatifu lakn tangu nije huku cjaona maulidi hata cku moja mwaka ni wa tano huu ssa kwetu Africa ndio tuwe twashindana na vtu ambavyo havikutajwa kisheria maulidi ni bidaa hayafai

  • @aziziabdulrahman3914
    @aziziabdulrahman391411 ай бұрын

    Elimu ya kiislam ni Pana sana huu uwanja ata mazinge haumuhusu huu ni wigo Mpana umeme wa gas huoo ila pia hawa kukaa na mazinge kwenye mezan ziid ya wakiristo hawaweI kwahyo apo kila mmoja anakula kwake

  • @usseneandurabe9733
    @usseneandurabe9733 Жыл бұрын

    Majaazi wal kubra katandikwa mpaka akageuka dubu si nchezo

  • @user-fe6fu8mz8n
    @user-fe6fu8mz8n9 ай бұрын

    Asant bachu natamn uwe mwalimu wg mpak kufa kwang

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot3 ай бұрын

    Hii siku nilifurahi sana

  • @ibrahim_427
    @ibrahim_427 Жыл бұрын

    Kweli uongo hahahaha

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 Жыл бұрын

    Sabas umepoteza muelekeo

  • @abdallahmgaya7521

    @abdallahmgaya7521

    Жыл бұрын

    SIKUTEGEMEA KAMA SABAS TUNAYEMTEGEMEA ANGETUA NGUSHA, KWELI KAANGUKA HANA MAJIBU WALA HOJA

  • @user-eg9oi9mp5c
    @user-eg9oi9mp5c Жыл бұрын

    Tunaomba na nakash ya shirk uitume

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 Жыл бұрын

    Maulid yalikuako zama zamtume ikisomwa...Huyo Bachu Amekuja kufitinisha waialam ...kuna kazi kubwa yakuslimisha nakusadia waislam maskini...Bachu Analeta fitna katika umma wakiislam ....hio nikazi yashetani ..kazi zamuhomu zawaialam ziko nyngi zakuupeleka uislam mbele

  • @ibrahimjumadr

    @ibrahimjumadr

    11 ай бұрын

    Kumbe Mtume alisoma maulid? Daaah... Kuna haja ya kuanza upya kusoma dini. 😢

  • @liasamu6011

    @liasamu6011

    11 ай бұрын

    Ww kojoa ulale kama huna elimu kaka

  • @timesimai4537

    @timesimai4537

    10 ай бұрын

    Hata kuandika hujui baada ya waislam wasema wailaam, labda huyo mtume wa wailaam ila sio mtume wa waislam,

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp Жыл бұрын

    Niwambie ukwel tu kama tatizo ni kitabu tutabadilisha kitabu na kutumia chengine lakn kwa kuacha maulidi hiyo hapana nehi

  • @ibrahimsuleyman9465

    @ibrahimsuleyman9465

    Жыл бұрын

    Hahahaa!! Ubwabwa uendeleee!!

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын

    Mmoja anasema KITABU kinauongo lkn maulidini anaenda kula ubwabwa

  • @mussahamisi1191
    @mussahamisi11913 ай бұрын

    Kwa kweli mm si katika mawahabi ila kwa maulidi siyapendi kutoka moyoni ni uzushi mkubwa mtu ametoa hoja badala ajibiwe kwa hoja mtu unaleta visheria sheria tunataka uthibitisho wa hoja hizo jamani huyu sheikh kajifunika na mtandio kaniudhi sana 😢😢😏😏😏😔😚😒😡😡😠

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417Ай бұрын

    Sheikh Muhammad hhhhhh napenda unavyo wapa vitu

  • @bojomohamed9999
    @bojomohamed99995 ай бұрын

    jamani MUNGU atunusuru...sai muislam adui wa muislam mwenzake dalili za kiama kweli hizi

  • @allykhan6440
    @allykhan6440 Жыл бұрын

    we bachu huna heshima

  • @giltaemi4017

    @giltaemi4017

    Жыл бұрын

    Zamani mlisema hana elimu saivi hana heshima ipo siku mtasema hana nywele😂😂😂😂😂

  • @mohagurey2214

    @mohagurey2214

    Жыл бұрын

    Bid'a na ushirikina hafai kuheshimiwa

  • @ibrahimsuleyman9465

    @ibrahimsuleyman9465

    Жыл бұрын

    Hhahahhaha! Ktk haki hakuna kumheshim mtu

  • @mtorosenga1272
    @mtorosenga1272 Жыл бұрын

    Sjeikh sabaas ana elmu kubwa mno

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    8 ай бұрын

    Hajajibu hoja hata 1😂😂😂

  • @AsiaChamzuri-ec3gy
    @AsiaChamzuri-ec3gy9 ай бұрын

    Hio ndio shida yenu mawahabby wazungu wamewatengeneza na mmetengezeka kiburi kinawaweka mbali na Allah kila mhabby ni msomi na nishekh anaweza hukumu hukmu yyte polen sana

  • @AsiaChamzuri-ec3gy

    @AsiaChamzuri-ec3gy

    9 ай бұрын

    Mkumbkumke walimwengu mnaoskiliza maneno ya Hawa watu wapo kwa sabu yakufarakanisha waislam

  • @user-ou2qr1sb9x
    @user-ou2qr1sb9x6 ай бұрын

    Bachu ulipigwa kipigo na saidi hutasahu weye

  • @swalehahmad8947
    @swalehahmad8947 Жыл бұрын

    Hii ilikuwa sarakasi tu hamna ilmu yoyote iliyotumika

  • @hasanathuman6591
    @hasanathuman6591 Жыл бұрын

    yaan huyu shekh yeye kang'ang'ania majazi majazi hana lingine

  • @user-jx7lj2lp6o
    @user-jx7lj2lp6o13 күн бұрын

    Muhammad bachu acha porojo kajfunze hekima inaonekana huna hekima ktk dini unachofanya hakuna mwanazuon amefanya

  • @JumaK-rl5eg
    @JumaK-rl5eg10 ай бұрын

    watu wa mawlid tuache unafiki hapa tumepigwa

  • @funnysmile8666

    @funnysmile8666

    9 ай бұрын

    hahahahhah

  • @fauztv.
    @fauztv. Жыл бұрын

    shekhe tuwekee kile kipande cha mwishooo kabsa milpo ulizana swali kwa jibu papo kwa papo tafadhar

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir392611 ай бұрын

    Kisha sabas ywasema msijali ntajibu nina mda mrefu lkni mda umeisha hukujibu kitu

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir392611 ай бұрын

    Mjadala watakiwa waje big fish sasa sabas ameyaoga

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын

    Sabbas anapaniki sana!

  • @omaryabdallah8734

    @omaryabdallah8734

    11 ай бұрын

    Sabbasi hajui kusoma hata قرآن

  • @omaryabdallah8734
    @omaryabdallah873411 ай бұрын

    Dah katika niliyo yabaini kwa sabbasi niukubwa wajina na joho wala sio elimu mana hata قرآن hajui kusoma akati ndo masdari ya kwanza ktk lugha akimbilia balagha Na ktk kumshauri shekh sabbasi akarudie tena kwenda madrasa kujifunza upya قرآن na ahifadhi kabisa.

  • @user-zs4vo7hs1h

    @user-zs4vo7hs1h

    11 ай бұрын

    Hapo sasa

  • @ustadhwaladhun6805
    @ustadhwaladhun680510 ай бұрын

    Mwambieni bachu adanganye tu watu wa tanga asirudi mobasa tena ata aibika zaidi

  • @yoboy787
    @yoboy787 Жыл бұрын

    He didn’t wanna answer the question . All he talked about is hukumu . I new he wouldn’t be able to answer them 😅

  • @yoboy787

    @yoboy787

    Жыл бұрын

    I love you sheik Muhammad bachu. May Allah protect you ❤

  • @mohdhija906
    @mohdhija906 Жыл бұрын

    We bachu ukasomee hoja zako hazina vichwa wala miguu

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын

    Sabbas kazi yake ni kuapia tuu!!

  • @user-fe6fu8mz8n
    @user-fe6fu8mz8n9 ай бұрын

    Bachu hajatok kwenye mada ila anakufafanulia tu anachokusudia kukufahamisha kwausahihi ila kwakua huoni ndani na hunapakutokea unasema ameingia kweny bahar nyengine kaingia kweny bahar nyengine kivip apo nainawezekan vp wakat mada nimoja

Келесі