Mtu mmoja amefariki kwenye ajali eneo la Kisauni

Mtu mmoja amefariki baada ya gari la kubeba maji kugongana na bodaboda katika eneo la VOK, Kisauni, kaunti ya Mombasa. Kulingana na walioshuhudia ajali hiyo, hii sio ajali ya kwanza kutokea eneo hilo. Wakazi sasa wanaitaka serikali kuu kuharakisha ujenzi na upanuzi wa barabara hiyo kando na kuwekwa matuta.

Пікірлер: 18

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508Ай бұрын

    Woooy poleni sana vok ni mtaa wangu

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700Ай бұрын

    So sad,. Rip... Barabara ipanuliwe hiyo...

  • @user-wn5rm3lp9h
    @user-wn5rm3lp9hАй бұрын

    Sad Rip

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083Ай бұрын

    Inna lillah wa inna illahi rajiun Allah amrehemu

  • @faitheshiwani5651
    @faitheshiwani5651Ай бұрын

    Mbisy caught me off 😅😅😅

  • @bollotoqwine6921

    @bollotoqwine6921

    Ай бұрын

    🤣🤣I rushed to the comments to see who is reading from the same page as I.

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806Ай бұрын

    Mungu wangu

  • @paulgitau6055
    @paulgitau6055Ай бұрын

    Why are boda boda ride so reckless.

  • @daprince7545

    @daprince7545

    Ай бұрын

    Can u watch it again and hear what causes the accident. Because the report is aloud and clear

  • @nassernasser1457

    @nassernasser1457

    Ай бұрын

    Wako njaa na pengine Wana rush for 50bob

  • @msuzann6005
    @msuzann6005Ай бұрын

    Bodaboda are extremely reckless

  • @worrylesstv
    @worrylesstvАй бұрын

    Alafu wale mnapendako kuwatch comedy videos naombako mnipitieko Leo tafasali nafanyako comedy 😂

  • @eriksenmwenda2262
    @eriksenmwenda2262Ай бұрын

    Utaskia wakisema ni muguka🫤🫤

  • @itsTheTruthTeller

    @itsTheTruthTeller

    Ай бұрын

    😂😂😂

  • @musaomar4184
    @musaomar4184Ай бұрын

    Vok ni nyali sio kisauni toeni habari za uhakika

  • @worrylesstv
    @worrylesstvАй бұрын

    Alafu please Wala mnapendako kuwatch comedy videos naombako mnipitieko Leo tafasali nafanyako comedy 😂

  • @Ratemofam
    @RatemofamАй бұрын

    Mbusy kweli😂

  • @majidabdul-wg8ww
    @majidabdul-wg8wwАй бұрын

    Abobo nakuona mtetezi😅😊