HII ITAKUUMIZA SANA PASTOR EZEKIEL "NENDA KAVUE KUNYWA MWILI WA YESU NA DAMU YA YESU KIMBIA'

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZread : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 205

  • @LeilaWilfred-zc7gn
    @LeilaWilfred-zc7gn6 күн бұрын

    Mungu akushishibishe kwa miaka mingi Pastor' ulikuja Arusha Tz umeniombea namimi sasa Niko mjamzito Na mume wangu Niko naye sasa.Amina

  • @peninamsuko4858
    @peninamsuko48589 күн бұрын

    Mungu Unaposhisha uhai kwa huyu mtoto Kumbuka ndoa yangu Na nyota ya masomo kwa mwanangu na umjalie mmewangu Nyota ya kazi milele ameni

  • @aiaiomar5623
    @aiaiomar56234 күн бұрын

    Naomba mungu alivyo mponya hyu mtoto anilindie familia yangu ,na kazini kwangu nisifukuzwe na anipe ndoa🙏🙏🙏

  • @eunicewangeci4764
    @eunicewangeci47646 күн бұрын

    Niko single 8 years naoba mungu anibaliki nadoa

  • @user-nx1wm4ut9e
    @user-nx1wm4ut9e8 күн бұрын

    Mungu naamin ipo siku maisha yangu yatabadilika tu

  • @JamilaOkwaro
    @JamilaOkwaro7 күн бұрын

    Naomba mungu alivyomponya mtoto huyu anifungulie njia zangu za kazi na anitangulie katika ndoa yangu

  • @user-ms8tk1dv1j
    @user-ms8tk1dv1j9 күн бұрын

    Yesu tuko hapa kwa ajili yako.Mungu mponye mamangu ivyoivyo katika jina la Yesu

  • @RoseKasichana

    @RoseKasichana

    8 күн бұрын

    Mungu mponye kakangu mwenye wazimu toka 2004 hadi 2024

  • @ChristabelShumira
    @ChristabelShumira7 күн бұрын

    Naomba mungu alivyo mponya huyu mtoto anifungulie njia ya mafanikio katika maisha yangu na afungue ndoa yangu na watoto wangu wafanikie shuleni Amen 🙏

  • @Caroline-s1y
    @Caroline-s1y4 күн бұрын

    Mungu ahsante kwa kuteda makuu kwa huyu mtoto nijalie hata Mimi nice delivery when the time comes

  • @anitarafa
    @anitarafa8 күн бұрын

    Ndani ya Yesu Kristo kuna furaha uponyaji na utajiri wa moyo .......kupitia uponyaji wa uyu mtoto watoto wangu pamoja na tumefungulia katika mikono ya wachawi

  • @user-bk3tv6zn3r
    @user-bk3tv6zn3r13 сағат бұрын

    Mungu kam ulivyotenda kwa mtoto huyu tenda pia kwenye maisha yangu pamoja na watoto wangu

  • @HOPESHOWS-ok4kh
    @HOPESHOWS-ok4kh9 күн бұрын

    I was there sitted next to him niliona na macho yangu

  • @daisypeters8579

    @daisypeters8579

    5 күн бұрын

    Testimony with evidence that why I believe pia Mimi atanitendea.

  • @marykarol1420
    @marykarol14206 күн бұрын

    Damu yako Yesu hunena mema daima ushukuriwe Yesu

  • @JoanChebet-yg2kw
    @JoanChebet-yg2kw11 сағат бұрын

    Najua hipo siku mungu atanibariki na maisha yangu itakua sawa

  • @FlorenceAseru-rj1fv
    @FlorenceAseru-rj1fv4 күн бұрын

    A servant of our generation🙏🙏🙏🙏May God I crease you Man of God.

  • @SalomeUronu
    @SalomeUronuКүн бұрын

    Naomba mungu aliye mfungua mtm huyu anifungue nam katka maisha yangu

  • @cecy2014
    @cecy201416 сағат бұрын

    Amen Yesu ni Bwana

  • @RehemaJudika
    @RehemaJudika9 күн бұрын

    Naamini ipo siku maisha yangu yatabadilika Kwa damu ya YESU

  • @user-fc4ic1rh3f
    @user-fc4ic1rh3f3 күн бұрын

    Mungu nami niponye vile umepona huyu mtoto amen🙏🙌🙏🙌

  • @LilianIngosi-hh7ex
    @LilianIngosi-hh7ex4 күн бұрын

    Na mwamini mungu atanifanikisha kwa kila jambo kwanguvu alizo mponya uyo mtoto Amen

  • @steve-ei4pr
    @steve-ei4pr12 сағат бұрын

    Na mwamini mungu jinsi alivyoponya mtoto huyu ,aponye maisha yangu anifunike na damu yake ,anasue na akomboe maisha yangu kutoka umaskini , nafunja ndoto mbaya na anipe ndoto za mafa ikio,

  • @EmmanuelHarrison-bd1rk
    @EmmanuelHarrison-bd1rk7 күн бұрын

    Mungu azid kukuinua Mtumish poster Ezekiel..n Emmanuel kijana wakidato Cha tatu God bless you so much.

  • @TumpesKimorgo
    @TumpesKimorgoКүн бұрын

    Amen 🙏 tuponye magonjwa yote mimi na jamii yangu,niponye mokono

  • @lydia7117
    @lydia7117Күн бұрын

    Thenk you God 🙏 thenk God 🙏 God I will be always love you and faithfull

  • @user-gn1ih9mi4z
    @user-gn1ih9mi4z16 сағат бұрын

    Amen ,with God everything is possible🙏

  • @celinaduka3346
    @celinaduka33463 күн бұрын

    😢😢Mungu naomba ukumbuke wanangu pamoja na familia yangu

  • @saranonie3814
    @saranonie3814Күн бұрын

    Amen mtumishi wa mungu

  • @sahaaflorence.gahaha4151
    @sahaaflorence.gahaha41516 күн бұрын

    Amen mungu azidi kutufunguwa kwa jina la nyesu.bwana achilia kibali cha uzima kwa family nyagu na anipe nyota nya kazi.roho ya kukataliwa kazini ishidwe kwa jina la yesu .nimepokea kibali cha kazi kuazia sahii

  • @LillianNgao-ob1pl
    @LillianNgao-ob1pl7 күн бұрын

    God is good all the time ,Yesu ww umuzuri sana❤❤

  • @PhelistersWere
    @PhelistersWere3 сағат бұрын

    Eeee mungu naomba msamaha yesu nisamehe yesu nisamehe yesu kupitia kwa hii madhabahu yesu naomba uniondolee ungonjwa unaonisumbua

  • @SamMuli-wv6ep
    @SamMuli-wv6ep9 күн бұрын

    Kuna nguvu katika kuamini Mwenyezi Mungu

  • @carolineunguku9163
    @carolineunguku91638 күн бұрын

    Glory Glory Glory,Ooh God remember me and Restore everything l have lost,l have passed through alot l need you to lntervine

  • @NaomiNakhumicha4636
    @NaomiNakhumicha46369 күн бұрын

    Uhimidiwe milele Adonai kwa makuu unayotenda kwa haya Madhabahu kupitia mtumwa wako🙏🏻🙏🏻

  • @geldamkama5625
    @geldamkama56255 күн бұрын

    Amen,mungunimwema

  • @ttyy7642
    @ttyy76427 күн бұрын

    From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮natakanyota kwamtoto wangu mukubwa nikijana yukonmyaka10 Akienda shure abingiye pasta nataka umuombeye umulundishiyenyota yamasomo nayakuomba tukiendakanisani aiyingiye anatoka ije 😢😢

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz6 күн бұрын

    Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu Kwa kupitia uponyaji wa huyu mtoto Bwana Yesu Naomba usinipite na familia Yangu Uniponye

  • @sarahwafula-qu7ft
    @sarahwafula-qu7ft6 күн бұрын

    Mungu,anifungulie,mafanikio,kwamaisha,yangu,nakazi,yangu

  • @florenceshiramba1105
    @florenceshiramba11052 күн бұрын

    Mungu Baba,Ni Moto wenye nguvu!

  • @mirriammuli442
    @mirriammuli4426 күн бұрын

    Amen Amen naomba afya yangu ibadileke na watoto na bwanagu tupone magojwa yko ndani yetu

  • @gladnessmboya2171
    @gladnessmboya21719 күн бұрын

    Yesu waweza kutenda kwa watoto wangu pia

  • @TumpesKimorgo
    @TumpesKimorgoКүн бұрын

    Asante yesu

  • @Charity-hf1du
    @Charity-hf1du9 күн бұрын

    So so amazing Kweli Mungu Anaweza

  • @user-kw9op4rt7j
    @user-kw9op4rt7j8 күн бұрын

    Lord heal my sister in Jesus name

  • @vincentosoro8904
    @vincentosoro89046 күн бұрын

    Mungu pia niponye tafadhali

  • @user-mc4yk5iv6j
    @user-mc4yk5iv6j8 күн бұрын

    Apone Apone Amen

  • @PSTJOHNyf7vl
    @PSTJOHNyf7vl3 күн бұрын

    Amen amen 🙏🙏

  • @nasasirabeatrice9533
    @nasasirabeatrice95337 сағат бұрын

    Wow God is Good

  • @cheptonuidorothy1599
    @cheptonuidorothy15999 күн бұрын

    Pstr mungu asidi kukubariki kama sio wewe na mungu sijui sai ningekua wapi nashukuru mungu Niko na testimonies na Tena naitaji more n more from now

  • @RebeccaNafula-em3fm
    @RebeccaNafula-em3fmКүн бұрын

    Kupitiakwahuyumtotontapatamimba nankijifungua amen

  • @noahlekura8213
    @noahlekura82137 күн бұрын

    Ameeeeen napokea pia mimi nipokee uponyaji in jesus name amen amen

  • @christinemuthue3581
    @christinemuthue35817 күн бұрын

    Mungu ulioponya uyu mtoto kumbuka mtoto wangu

  • @evakikove
    @evakikove3 күн бұрын

    Kupitia hiyo damu ya huyo mtoto naomba Mungu anisaidie kwenye masomo yangu anilipie Ada nifanye mtihani

  • @user-ed7pf1qj4q
    @user-ed7pf1qj4q3 күн бұрын

    Amen:glory to God

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe6 күн бұрын

    Asantee mungu namimi nitoe kwenye kikwazo cha ndoa yangu

  • @MourineIkhoni
    @MourineIkhoni3 күн бұрын

    Hallelujah hallelujah hallelujah

  • @naomikimani2140
    @naomikimani21403 күн бұрын

    Amen

  • @LawrenceNyanchama
    @LawrenceNyanchama6 күн бұрын

    Amen 🙏🙏🙏🙏 mungu ako

  • @JepchirchirKiptarus
    @JepchirchirKiptarus8 күн бұрын

    Amen nimefunguliwa katika jina la yesu

  • @ThomasMutevu
    @ThomasMutevu5 күн бұрын

    Thanks pastor

  • @user-ew4nz4km4c
    @user-ew4nz4km4c6 күн бұрын

    GOD remember my life a here🙏🙏🙏

  • @nicholasongera5149
    @nicholasongera51497 сағат бұрын

    Mungu baba sikia kilio changu nimeteseka ya kutosha😢😢

  • @user-bb4tv5bj6g
    @user-bb4tv5bj6g7 күн бұрын

    Amen Mungu nikubuke NAMI n doa yngu n mwanangu masom yke

  • @user-pj1vo8eq7g
    @user-pj1vo8eq7g6 күн бұрын

    mungu wewe uliye muponya huyu mtoto niondoleye mikochi kwenye maicha yangu na kwenye famille yangu fungula milango yama fanikio kwenye maicha yangu.🙏🙏

  • @EuniceNyakerario-hn2uy
    @EuniceNyakerario-hn2uy9 күн бұрын

    God is wonderful all the time

  • @celinaduka3346
    @celinaduka33463 күн бұрын

    😢😢Mungu naomba ukumbuke wanangu pamoja na familia yangu 5:32

  • @Esendi564
    @Esendi5647 күн бұрын

    Naomba mungu kila saa najua atafanya njia yngu iwe na nyota madui washangae

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian97007 күн бұрын

    Amen, God is great, for His wonderful miracles and testimonies in this Alter.. Amen

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe88017 күн бұрын

    Jesus build house for me

  • @catemwesh435
    @catemwesh4353 күн бұрын

    Ameeeeeeeeen amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-lx2mt8nq4y
    @user-lx2mt8nq4y8 күн бұрын

    Ameen

  • @JacklinejuliasShirima-ss2oq
    @JacklinejuliasShirima-ss2oq7 күн бұрын

    Kwa uponyaji wa hy mtt nm nipone kwajin la yesu

  • @JacksonMurangiri-nu7ds
    @JacksonMurangiri-nu7ds5 күн бұрын

    Mungu pia mimi nifunlilie jia zangu na uniongoze

  • @cynthiachepkirui3479
    @cynthiachepkirui34797 күн бұрын

    May God bless the work of your hands pastor......

  • @mamuumamuu1871
    @mamuumamuu18717 күн бұрын

    Yesu ni mwema🙏🙏

  • @user-fw5gw4gp3n
    @user-fw5gw4gp3n7 күн бұрын

    Yesu na connect my son ambaye amegonjeka pia kwa miaka mingi apone kupitia yii madhibao

  • @NambuyaRose-sp2zg
    @NambuyaRose-sp2zg8 күн бұрын

    Mungu nimuzuri sana👏👏👏

  • @linahkoki3326
    @linahkoki332611 сағат бұрын

    Huyu ndiye Mungu ninaye taka mimi

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe88017 күн бұрын

    Jesus heal Victoria mbithe in Jesus name.amen

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe88017 күн бұрын

    Jesus as you heal this boy please heal Sophia mukui masilia and Carolyn mueni mutua plus my two nephews in Jesus name

  • @sharlynnchingy2078
    @sharlynnchingy20787 күн бұрын

    I have been watching this video every day to remind how Jesus Christ is good!

  • @user-xk8re2jh9f
    @user-xk8re2jh9f8 күн бұрын

    Yesu niponye miguu yangu

  • @user-fc4ic1rh3f
    @user-fc4ic1rh3f3 күн бұрын

    Ameeeeen 🙏 🙌 🙏 🙌

  • @Nelima-zp2kp
    @Nelima-zp2kp8 күн бұрын

    Ooh Lord heal my mather and my children in Jesus name I pray

  • @SalomeMwadongo
    @SalomeMwadongo5 күн бұрын

    Ameen Ameen 🙏🙏🙏🏼🙏

  • @JackylineJackie
    @JackylineJackie3 күн бұрын

    Amen 🙌🙌🙏

  • @Kenyan-t2v
    @Kenyan-t2v6 күн бұрын

    Amen 🙌🙌

  • @user-ot7gx3di7p
    @user-ot7gx3di7p9 күн бұрын

    Naamini iko siku moja maisha yangu hatabadilika kupitia New life prayer🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌na damu ya yesu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @madarakadeche305
    @madarakadeche3053 күн бұрын

    I was there seen it with my two eyes Kuna Mungu mbinguni

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa33007 күн бұрын

    Amen and amen 🙏🙏

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa33007 күн бұрын

    God is good

  • @SurprisedBirdBath-qh2nn
    @SurprisedBirdBath-qh2nn8 күн бұрын

    Mungu ni nani anatenda ukimwamini kila wakati asante mungu

  • @MagdaleneMwendwa-xv9px
    @MagdaleneMwendwa-xv9px3 күн бұрын

    Wow Amen

  • @user-mw6mn3xq4p
    @user-mw6mn3xq4p7 күн бұрын

    Glory to God doctor happiest man ever

  • @user-xb8wu7qr7m
    @user-xb8wu7qr7m4 сағат бұрын

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-hv6hb6gw5o
    @user-hv6hb6gw5o6 күн бұрын

    Kama slivyofunguliwa huyo mtt naomba mungu amfungu mwanagu na kazi yangu

  • @collinsnyoro1450
    @collinsnyoro14507 күн бұрын

    Be blessed

  • @BiraRosemary-uj8tr
    @BiraRosemary-uj8tr9 күн бұрын

    Mungu yumwemaa

  • @munalook4477
    @munalook44778 күн бұрын

    Kupitia huyu mtoto kupona pia mm nimepona goti kwa damu ya yesu

  • @elpinahmkakisha9857
    @elpinahmkakisha98577 күн бұрын

    Amen Amen Amen

  • @user-wn9xk7ys7n
    @user-wn9xk7ys7n7 күн бұрын

    Ameni ameni ameni jina la bwan liinuliwe

Келесі