PASTOR EZEKIEL ASHANGAZWA NA UCHAWI WA MAMA ALIYEKUWA ANAGEUKA KUWA SAMAKI

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZread : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 193

  • @user-im9pi6lr1l
    @user-im9pi6lr1l3 ай бұрын

    Asante yesu ni neema yako juu ya maisha yangu

  • @WillsonDaniel
    @WillsonDaniel4 ай бұрын

    Asate yesu kwakunifungua kiloho zaindi❤

  • @christopherngile6000
    @christopherngile60005 ай бұрын

    Heri kumkimbilia yesu.....He is the way the truth and the life no body comes to my father without me..... Jesus said

  • @sammysammy2001
    @sammysammy20016 күн бұрын

    Asante naomba familia irudi nyumbani❤asante kwa maombi

  • @isaacramadhan9721
    @isaacramadhan97212 ай бұрын

    Njoo kwangu nyinyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha

  • @gloriatoo22
    @gloriatoo226 ай бұрын

    Wachawi washindwe katika jina la yesu...nyota yangu ingae

  • @BrendaWebala
    @BrendaWebala6 ай бұрын

    Ndio baba baraka za mungu hazina machuto amen amen 🙏🙏

  • @user-yn2vw4qz1x
    @user-yn2vw4qz1x6 ай бұрын

    Ukiona muislamu ametoa siri amechoka na ameamini kwa yesu

  • @marthananzushi9885

    @marthananzushi9885

    3 ай бұрын

    Kuvaa buibui na ninja ndio uislamu?....peni na ndururu zilitoka wapi?

  • @user-rc2ye4ri6t

    @user-rc2ye4ri6t

    3 ай бұрын

    Hyu sie muislmu ni mushirikna tu

  • @Akisami-yo7ic
    @Akisami-yo7ic4 ай бұрын

    Asante sana nahisie mabadiliko

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa32956 ай бұрын

    Kesi ya nyani ukampe tumbili wakati wa mungu ukifika umefika huwezi enda kwa mganga harafu uende kwa shekhe ufanyowe Dua na ukae sawa hongera

  • @user-xk2zy1by6s

    @user-xk2zy1by6s

    6 ай бұрын

    Wanganga waisilamu haya yanawakera itabidi mzoee

  • @user-hb9lx8mb2t
    @user-hb9lx8mb2t5 ай бұрын

    May God grant u his heavenly wisdom

  • @nanyamasheilah5695
    @nanyamasheilah56954 ай бұрын

    Asante Yesu kwa kuniotoa ulimwenguni ..🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @user-kf3nt5os6t
    @user-kf3nt5os6t6 ай бұрын

    Astaghafirullah. Tafuta njia nyingine siyo kuchafua imani ya wengine. Hata kama unataka kupata waumini tumia njia ya haki sio kulongosha.

  • @nicksonlyimo1562

    @nicksonlyimo1562

    6 ай бұрын

    Acha hasira Imani ya wengine akina nani ? Si uache Mungu mwenyewe ajitetee kama kweli Imani ulionayo ni ya haki ,si umuombe basi azuie hiyo miujiza au hata wewe una mashaka nae omba Dua kukomesha hiyo miujiza isiwepo ,unalalamika Nini?.

  • @hilalkhalfan1452

    @hilalkhalfan1452

    6 ай бұрын

    ​@@nicksonlyimo1562MBONA NYIE MNAHANGAIKA HAMUMUACHI YESU AJITETEE?. SISI TUMETUMWA TUKUKUBUSHENI ILA MWENYEZI MUNGU ALIETAKASIKA HALI WALA HANYWI WALA HAENDI CHOO KAMA MWANAADAMU YESU NA HAOMBI MSAADA MWENYEZI MUNGU WETU ALIE TAKASIKA ALLAH SW. YESU NDIO MWENYE KUOMBA MSAADA NA AKILA, KUNYWA, KUPITIWA NA USINGIZI, KUPATWA NJAA, KUOMBA MSAADA KAPA PALE YESU ALIPOTAKA KUULIWA NA WANAADAMU WENZAKE AKASEMA "# ALLOY ALLOY (ALLAH ALLAH) LAMAA SABAKTANI (MBOA UNANIWACHA)" # MWENYEZI MUNGU MTUKUFU (ALLAH) SW AKAMUOKOA YESU ILI ASIUWAWE. QUR-AN I KASEMA " WAKABADILISHIWA MTU MWENGINE AKAWA SURA YA YESU NA WAKAMUUA WAKIFIKIRIA NI YESU" YESU ALIPOOMBA MSAADA KWA MWENYEZI KUWA KIKOMBE KIMUEPUKE BASI KIKAMUEPUKA NA AKANYANYULIWA JUU NA MUNGU MWENYEZI TUNAEMUAMINI WAISLAMU NA YESU AKAOKOLEWA NA ATASHUSHWA ILI AJE KUFA KAMA WANAADAMU WENZAKE. SASA ALIOTAKA MSAADA NI YESU SIO MWENYEZI MUNGU SW TUNAEMUAMINI WAISLAMU.

  • @PennyG90

    @PennyG90

    6 ай бұрын

    Punguza makasiriko 😂

  • @judithsidimohamed

    @judithsidimohamed

    6 ай бұрын

    Iko waz uislam gizaaaaaaaa😂

  • @Najmasworld672

    @Najmasworld672

    6 ай бұрын

    Giza kwako wewe

  • @noorischmutisch5321
    @noorischmutisch53216 ай бұрын

    Sijawahi sikia urongo kama huu…😂😂

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo39476 ай бұрын

    Amen glory to Jesus Christ ❤

  • @KharimuMehamedAZIZI

    @KharimuMehamedAZIZI

    6 ай бұрын

    Tuchati nawewe asatee❤❤❤

  • @user-yx4qn5lg9z

    @user-yx4qn5lg9z

    5 ай бұрын

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @stellahokworo3947

    @stellahokworo3947

    5 ай бұрын

    @@KharimuMehamedAZIZI tunachat nn

  • @amoskirui4977

    @amoskirui4977

    3 ай бұрын

    Jesus is the son of God.

  • @irenekithega5976
    @irenekithega59764 ай бұрын

    God give me more strength in my marriage

  • @shikimbrian463
    @shikimbrian4636 ай бұрын

    Dunia ina mambo kweli mungu tusaidie

  • @MercyBeatrice-kn5mq
    @MercyBeatrice-kn5mq6 ай бұрын

    Ooh God, lead us not into temptations deliver us from evil for thine is the kingdom the power and the glory forever and ever Amen 🙏 and Amen 🙏

  • @EstherSwai-lo4pt
    @EstherSwai-lo4pt4 ай бұрын

    Mungu akubariki na naomba nipate mtaji wa biashara

  • @user-my3ky4dl7v
    @user-my3ky4dl7v5 ай бұрын

    Amin ❤ mungu atulindia kwa dini yetu ya uslamu amin

  • @mariamkassimu5040

    @mariamkassimu5040

    5 ай бұрын

    Ameen

  • @user-ou8in6cv8x

    @user-ou8in6cv8x

    4 ай бұрын

    Amen

  • @christineochieng1772
    @christineochieng17726 ай бұрын

    May God deliver his people the devil is a liar. May God protect his servant pastor Ezekiel

  • @Kambua-ju8wx
    @Kambua-ju8wx6 ай бұрын

    Amen 🙏🙏 glory to God

  • @amoskirui4977
    @amoskirui49773 ай бұрын

    May God protect all of us in Jesus' name

  • @PoulKabanda-jb6qz
    @PoulKabanda-jb6qzАй бұрын

    Please, please, please pastor help me in my life

  • @ChristineMongare-vv8ub
    @ChristineMongare-vv8ub2 ай бұрын

    Amen glory to God 🙏🙏🙏🙏

  • @stephenmwangi6177
    @stephenmwangi61776 ай бұрын

    Wacheni drama za uongo....we know you guys.. nonsense...

  • @ShaibuMagogo-fz8qo
    @ShaibuMagogo-fz8qo6 ай бұрын

    Hata mfanye nini hamuwezi kuzima Nuru ya uislamu uislamu upo juu ya vidini vya uongo vyote

  • @judithsidimohamed

    @judithsidimohamed

    6 ай бұрын

    Nuru ama giza 😂uislam nigiza tena giza tupu na giza tororoo upo

  • @twahirshali8014

    @twahirshali8014

    6 ай бұрын

    Wambie warongo Hawa

  • @MonicaMurugi-yv3zp

    @MonicaMurugi-yv3zp

    6 ай бұрын

    😂😂😂😂waislamu ni waongo baya

  • @MasomeAbell-cr1um

    @MasomeAbell-cr1um

    5 ай бұрын

    Halloo kweli uislamu upo juu tu

  • @AxmedCabdi-ol5rd

    @AxmedCabdi-ol5rd

    5 ай бұрын

    Muslim a ende kanisani kutafuta usaidisi hiyo ni ajabu ya musa

  • @twahirshali8014
    @twahirshali80146 ай бұрын

    Acha urongo Wako

  • @user-gn8zs4qx2y
    @user-gn8zs4qx2y6 ай бұрын

    Acheni maigizo ya kuharibu Iman za watu mungu atawapa haki yenu ya uibilisi

  • @nicksonlyimo1562

    @nicksonlyimo1562

    6 ай бұрын

    Wapinzani wanaopinga ukweli na uponyaji ndio maibilisi wapinzani wa Neno ,wapingao Kristo subirini siku inakuja mtatafuta kutubu na hamtapata nafasi ,kwani Mungu aliwataka Sasa mtengeneze mambo yenu na YESU ndio kwanza mnaabudu dini na kuwapinga wanafuata kweli .

  • @MarkDee544

    @MarkDee544

    6 ай бұрын

    mungu atakutembelea siku moja utayaamini haya,

  • @bensonkioko1123

    @bensonkioko1123

    6 ай бұрын

    Uyu ni muislamu, mwambie muhamed alikuafa 🐕 ikamuuma .alioza. na anawaambia vizuri hana mahali pa kuwapeleka

  • @anthonmosama7747

    @anthonmosama7747

    6 ай бұрын

    Hakuna igizo ni ukweli njoo kanisani ujionee

  • @nicksonlyimo1562

    @nicksonlyimo1562

    6 ай бұрын

    Sii maigizo Kuna jambo moja waislamu hamjui nawashauri kujifunza kusoma vitabu vingine vya dini au Biblia mjifunze kitu kwani upeo umekua hasi zaidi hata Mtume alisema rejeeni vitabu vya zamani vya walio watangulia lakini ninyi ni Quran 2 kama vile Mungu alianzia hapo na akamaliza hapo ,bila maarifa huwezi kumcha Mungu ,swala la elimu ya dini nyingine litakusaidia kwani unaweza kusema dini Yako ndio ya kweli Kumbe umedanganyika ni upeo Mdogo unasumbua watu.

  • @user-rg3lq7sd9f
    @user-rg3lq7sd9f6 ай бұрын

    Yaan nimejaribu kusikiza but sielewi mwanzo ona vile umejifunga kumaanisha hutaki usiku ama ni story za jana unatupea sababu mtu akiamua kurudia Mungu huwq anaacha kila kitu ama unaogopa kuonekana

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx2 ай бұрын

    Yani makafiri ni shida sana tokeni huko ktk ukristo maana mtaishia jahannam na uchawi wenu huo mim mwenzenu nimeshatoka huko ktk ukristo ivisasa ni muislam (takbiir Allah akbar)

  • @MercylineTsofa
    @MercylineTsofa6 ай бұрын

    Amen glory to God

  • @JaneMune
    @JaneMune6 ай бұрын

    Nifunguliwe na namini pastor nifunguliwe

  • @doranasinyari3090
    @doranasinyari30906 ай бұрын

    Amen mtumishi wa mungu

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita62846 ай бұрын

    Nonsense

  • @stellawambui3753
    @stellawambui37536 ай бұрын

    Hallelujah na Amiiiiiinaaaa

  • @patrickkips7490
    @patrickkips74905 ай бұрын

    Roho YA matuzi out delivered me God

  • @Hamisijele
    @Hamisijele4 ай бұрын

    Hi Kali mungu amuokoe

  • @SamsAsimwe
    @SamsAsimweАй бұрын

    Amen Amen

  • @supqimohd5360
    @supqimohd53606 ай бұрын

    😂😂😂😂 ah wp acheni maigizo

  • @debbiememoo73
    @debbiememoo735 ай бұрын

    I remember when many people travel to Mombasa pastor Ezekiel to heal them example mamaa mmoja alienda kwa hii kanisa akaitizwa 3k ndio ugonjwa ya sugari iishe kwa mwili ama ndio apatee uponyaji lakini wapi alirudi home akiwa tu ivo,,,,,,my message is people trust in God he is the healer have faith,,,,, lakini mkiendelea kuamini binadamu but kwa bible inasema siku dunia iko karibu kuisha force prophet watakuwa wengi wakisema mniamini so don't trust binadamu sasa mtu akisema naona mtu fulani alikuronga nani mtu karibu na wewe😂😂😂weeeh generation

  • @jacintamuindi

    @jacintamuindi

    3 ай бұрын

    Huku hamna mtu uitisha pesa yeyote..watu utoa kwa kupenda kwao. Halafu mtu uponywa na Imani..kama alikuwa anaenda kumpima bila Imani...kazi Bure tu

  • @mariamwanja7681
    @mariamwanja76816 ай бұрын

    Grory to GOD AMEEEEEN

  • @user-zm8cu6ow2q
    @user-zm8cu6ow2q3 ай бұрын

    Amen 🙏 🙏

  • @estherodera4382
    @estherodera43826 ай бұрын

    GOD help us all. Happy New Year my people. Please read THESE Verses to leed you to a better even number 2024. Mark 8:36, Psalm 37:1-2, Peter 5:8, and Job 1:7. Please Turn to God and God only for a safer place and life 🧬. Watching from AUSTRALIA 🌏🦘🦘.

  • @MarieRose-hw6bh
    @MarieRose-hw6bh5 ай бұрын

    Amen Amen pastor

  • @NorahAlex-iz7mt
    @NorahAlex-iz7mt6 ай бұрын

    Duuh dunia INA mambo mungu tusaidie

  • @angellameck1163
    @angellameck11633 ай бұрын

    Mungu,tusaindi,dunia,inatisha

  • @ngurukitv4584
    @ngurukitv45846 ай бұрын

    Good job bro ❤❤🎉

  • @janeodhiambo7831
    @janeodhiambo78313 ай бұрын

    Amen

  • @samsonjoseph-mm8py
    @samsonjoseph-mm8py3 ай бұрын

    AMEN

  • @ShantelJepkoech
    @ShantelJepkoech4 ай бұрын

    Please pastor pray for me am not fewling well....na feel tumbo imejaaa

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman166 ай бұрын

    Amen Amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen 🙏🙏

  • @sulekhan7119
    @sulekhan71196 ай бұрын

    Unafik huwo

  • @twahirshali8014
    @twahirshali80146 ай бұрын

    Watapeli

  • @user-zr7jg5oq1u
    @user-zr7jg5oq1u6 ай бұрын

    May God help us

  • @marymutavi
    @marymutavi6 ай бұрын

    Gloy be to God Almighty

  • @ShantelJepkoech
    @ShantelJepkoech4 ай бұрын

    Pastor I want to come to your place am from Eldoret now working in mombasa pastor

  • @aliciahstrongwoman85
    @aliciahstrongwoman853 ай бұрын

    Amen amen ameeeeeeen

  • @petersakariwakube8215
    @petersakariwakube82156 ай бұрын

    Tafadhali ukinukuu clip ni vyema uonyeshe tarehe halisi iliyotengenezewa New Life Prayer Centre and Church.

  • @JanestaAnatory
    @JanestaAnatory3 ай бұрын

    Namwombea kaka yangu yesu kristu akamponye ugonjwa wa kifafa

  • @leonardnewschannel2965
    @leonardnewschannel29656 ай бұрын

    AMEN!AMEN!AMEN!

  • @user-hj6tu6ej9g
    @user-hj6tu6ej9g6 ай бұрын

    Alafu anasema peni na ndururu hizo pesa ulitoa wapi zilisha mwaka gani uislamu hata mfanye nini hamuezi kumaliza mtabaki mkidanganya walionanjaa

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga6 ай бұрын

    Me chilling and then this🤣🤣🤣🤣🤣hawa mapastor haki ya nani wote ni majuha Si ubunifu wa uwongo huu hapa Tena wa kishenzi nacheka tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sina laziada imebidi nifuatilie huu uwongo hadi mwisho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏🎉🎉🎉 Kwa hili Wameshinda hapa hakuna kubishana wapi tuzo wewee🏆🏆🏆🏆🏆🏆🤣🤣🤣🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @NeemaJohn-qu4oz
    @NeemaJohn-qu4oz6 ай бұрын

    Ameeen baba

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman89636 ай бұрын

    Acheni kuharibu dini ya kislaam mnajifanya kuvaa kislaam ili kuharibu dini yetu

  • @ClementinaHabineza

    @ClementinaHabineza

    6 ай бұрын

    Mimi sio mwisiramu ila waisiramu hawapo hivyo Ayache kbx kuharibia nduguzetu

  • @JoshuaMuia-hm1iz
    @JoshuaMuia-hm1iz5 ай бұрын

    Amina

  • @liliannyangasi2128
    @liliannyangasi21286 ай бұрын

    Jesus Christ is the King of Kings l admire to reach out to this promising Alter

  • @JoshuaMuia-hm1iz
    @JoshuaMuia-hm1iz5 ай бұрын

    Heri Yesu

  • @jumamohammed2748
    @jumamohammed27486 ай бұрын

    Wanaafiki wakubwa nyie! Ehu aoneshe uso ili tumjue.

  • @nicksonlyimo1562

    @nicksonlyimo1562

    6 ай бұрын

    Acha ushamba waislamu kibao wanafunguliwa Sana SI unajua wako na vifungo mingi Sana ,wewe huna watu watu ni WA Mungu acha YESU awasaidie na kuwaweka Huru kwani q Wameiona Nuru ya kweli ,wapo ambao huwaoni wengi tuu Leo wameritad na wanafurahi amani ya YESU .wewe ni nani una unamamlaka Gani juu ya kukosoa waliokubali kuamini njia ya kweli ya uzima .

  • @husseinmaingo5009

    @husseinmaingo5009

    6 ай бұрын

    ​@@nicksonlyimo1562Alafu uyo Yesu si anazaliwa leo alaf anakufa mwez wa 4 ee

  • @nicksonlyimo1562

    @nicksonlyimo1562

    6 ай бұрын

    @@husseinmaingo5009 we husein unadhani kifo ni kitu chaajabu Sana ? Hujui kifo ndio kivuli Cha uzima wa Milele ? Ili mtu aishi Milele mbinguni au jehanamu ni lazima afe hata iweje ,Yesu angeshuka kama alivokua hakuna binadamu angemkubali hata kukaa nae au kumsogelea ndio maana Alikuja kwa mfano wa mwanadamu na akaishi na watu ,Kisha alikufa na akafufuka na akapaa mbinguni na atarudi Tena duniani wakati wa kiana na hata Quran inaamini hivyo,Sasa nakupa mtihani hebu jiulize hata wewe Kama Yesu alipaa mbinguni akiwa katika Mwili na Hadi Leo anaishi wewe unadhani vipi Hadi unamaanisha na Mtume wako? Hakuna Mtume Wala nabii wa kikristo au wa Torati anae ombewa rehema isipokua Mohamad na kama yeye Hadi Leo kafa na mnamuombea hamuwezi kuona kuombea wafu ni dhambi? Na kama yeye mnamuombea rehema huoni kua alikua na dhambi? Na kama alikua na dhambi Hadi akafa nazo na m asema alitumwa na Mungu je ninyi mtaweza kua salama ikiwa mtangulizi wako Hadi Leo anaombewa rehema? Ni kweli utamuona huyo Mungu? Je wewe Hadi Leo Imani yako imeweza kukusaidia kishinda dhambi ? Tamaa,husda ,ulawiti ,ufiraji ,uongo,uganga ,chuki ,hasira ,tamaa,ukahaba kuoa wake wawili , ushirikina ,kupiga ramli ,BAO ,nyota nk ? Je ukifa Leo ni kweli utaenda peponi au unadhani dini ndio mlango wa Pepo? Usidanganyike YESU ndio njia kweli na uzima wa Milele ,.

  • @hilalkhalfan1452

    @hilalkhalfan1452

    6 ай бұрын

    MAKAFIRI WANA EKTI TU HAO MZEE😂😂😂

  • @irenemabachi7612
    @irenemabachi76126 ай бұрын

    Amen 🙏 and amen

  • @liznafula1338
    @liznafula13382 ай бұрын

    🙏🙏🙏

  • @user-lj4qp2yl8r
    @user-lj4qp2yl8r5 ай бұрын

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ericamani2940
    @ericamani29405 ай бұрын

    Amen 🙏🙏🙏

  • @musyokajohn1875
    @musyokajohn18755 ай бұрын

    Amen🙏

  • @mussaelisha3733
    @mussaelisha37336 ай бұрын

    Mambo ya kutunga mbona hamejificha

  • @SynaiderMutaka
    @SynaiderMutaka6 ай бұрын

    Mungu nipe nehema,

  • @philislusweti198
    @philislusweti1986 ай бұрын

    Ameeen

  • @philipmutua8374
    @philipmutua83744 ай бұрын

    Hi pastor nmekuona Kwa tv ukiponya

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani54326 ай бұрын

    Ameni

  • @reubenkipyator1282
    @reubenkipyator12826 ай бұрын

    Uwaelekese Kwa mungu ndugu ,hizo za uchawi haitawafisha mbinguni

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa6 ай бұрын

    Hamna kitu huyo ni kafiri mwenzenu na hii ni mbinu ya kupata wafuasi

  • @EshaMarcy
    @EshaMarcy5 ай бұрын

    Ameen

  • @mohamedkiyungi4867
    @mohamedkiyungi48676 ай бұрын

    Vituko na maigozo ya wachungaji uongo uongo ti

  • @anthonmosama7747

    @anthonmosama7747

    6 ай бұрын

    Siku ya kuokoka iko karibu

  • @pastorsthenksrojaskapunga6843
    @pastorsthenksrojaskapunga68436 ай бұрын

    Wagaga awafai by 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-ee6bx4sk7n
    @user-ee6bx4sk7n3 ай бұрын

    Na taka kuja Kule Tanzania apa Niko apa Zambia

  • @user-su6yd2lt5f
    @user-su6yd2lt5f6 ай бұрын

    Muongo wew. Acha kudhalilisha mavazi ya heshima

  • @twahirshali8014
    @twahirshali80146 ай бұрын

    Fungua ninja kama huogopi uone

  • @pastormargaret9606
    @pastormargaret96065 ай бұрын

    God have mercy on lies in the church. This is what people want to listen to but they don't want true gospel of repentance and be holy. Why cover your face if it is genuine.. 😢😢😢😢

  • @user-gj8rm9pq1d
    @user-gj8rm9pq1d6 ай бұрын

    Mmmh dunia iko na mamb mengi aisee

  • @godffreynyamora7546
    @godffreynyamora75463 күн бұрын

    😢😢😢😢

  • @user-gj8rm9pq1d
    @user-gj8rm9pq1d6 ай бұрын

    Pastor mim nipo tanzania naomba unisaidie ntawezaje kutuma pesa kwa ajili ya sacrifice

  • @SusanNafula-qu4ss
    @SusanNafula-qu4ss5 ай бұрын

    Hallo🙏🙏🙏

  • @user-yx4qn5lg9z
    @user-yx4qn5lg9z5 ай бұрын

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed24496 ай бұрын

    Mbona unajifunga funga jiwache wazi

  • @nixonmwanguni3094
    @nixonmwanguni30946 ай бұрын

    Viube vya kipidi cha uongo,siku ya kiama mtayajibu wenyewe ,😂

  • @samutykuntathebantu8402

    @samutykuntathebantu8402

    3 ай бұрын

    Hehe we jini shoga tu

  • @user-my3ky4dl7v
    @user-my3ky4dl7v5 ай бұрын

    Sasa heyo nijaa siutowea ww dada muogope mungu

  • @JamesMutwiri-hz5jy
    @JamesMutwiri-hz5jy6 ай бұрын

    Demons 😈 will be worthless 4ever

  • @thabitimkufi7388
    @thabitimkufi73886 ай бұрын

    Kumbe kenya mnatapeliwa kiasi hiki

  • @hasaniabdalah6148

    @hasaniabdalah6148

    4 ай бұрын

    Acha watapeliwe wanataka

  • @JofreyMsigwa-ok7hv
    @JofreyMsigwa-ok7hv6 ай бұрын

    Dunia hii 🙏

  • @paulinemwangi8795

    @paulinemwangi8795

    6 ай бұрын

    😢

  • @danielamicheal4680
    @danielamicheal46806 ай бұрын

    sasa kenya mwanaume kukua na pesa nishida basi,,,,watu wameamini dawaa naman hii weee,,nimeshtuka haki

Келесі