MKUU WA WILAYA ASHINDWA KUJIZUIA HALI YA MAFURIKO ZANZIBAR.

Пікірлер: 13

  • @SaidHamad-re8lw
    @SaidHamad-re8lw8 ай бұрын

    Poleni Sana Allah afanye wepesi na mvua hii

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k8 ай бұрын

    😂wenye mikosi ndiyo wamepewa nchi.

  • @mbingwaali7791
    @mbingwaali77918 ай бұрын

    Serekali imeshatoa neno apo ingekua uchaguzi hata mabomu wengenunua

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k8 ай бұрын

    Pumbavu,mkome,mnawapa mahetani wa ccm

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla57728 ай бұрын

    Na uzinzi umezidi na ulevi na kwenda uchi na nyie kutwa mupo katika muziki.mungu tumemsahau.hata kama nyumba zimebanana kama meno.

  • @SalamaAkilimali-ly3bu

    @SalamaAkilimali-ly3bu

    8 ай бұрын

    Ni kweli Ila sio wote Zanzibar ya sasa sio ya zamani cha msingi kuwaombea dua Mungu awafanyie wepesi inshalah 😭😭

  • @maskatitravel
    @maskatitravel8 ай бұрын

    Wacha majengo yote ya ccm yaanguke mmezidi DHULMA.

  • @fettymohd4708
    @fettymohd47088 ай бұрын

    Siri kali hamuna mpango

  • @hamicpina1151
    @hamicpina11518 ай бұрын

    Mashetani ayo serikal faken ingalikuwa uchaguzi mshazunguwa

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir99658 ай бұрын

    Kamati ya maafa znz inashughlika na siasa za fujo

  • @abedomar5183
    @abedomar51838 ай бұрын

    Ujengaji wa nyumba ovyo kabisa that's why...nyumba zimejengwa ovyo ovyo yani

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman8 ай бұрын

    Sababu kubwa ni kuwa wamejenga katika njia za maji zamani mvua zilikuwa zinanyesha zaidi ya hizi lkn hukuwa unasikia mafuriko. Lakini kwa sababu njia za maji zimezibwa kwa ujenzi inabidi yakae ktk nyumba na yajae.. Mamlaka husika watazame namna gani watasaidia hiyo mitaa. Plan za majengo sio watu kujenga kiholela bila utaratibu. Allah awape wepesi. Poleni.

  • @Filamumaridhawa
    @Filamumaridhawa8 ай бұрын

    Wajenga mabondeni wafuatia mjii halafu likiwafika serekali tusaidie