Mch Moses Magembe - NDOTO YA NEBUKADREZA | MLOWO 04
Mkutano wa Uponyaji na Miujiza katika mkoa wa Songwe - Mlowo chini ya Mch Moses Magembe.
Ujumbe: NDOTO YA NEBUKADREZA
Andiko: DANIEL 2:1-49
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 08.09.2023
Mkutano wa Uponyaji na Miujiza katika mkoa wa Songwe - Mlowo chini ya Mch Moses Magembe.
Ujumbe: NDOTO YA NEBUKADREZA
Andiko: DANIEL 2:1-49
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 08.09.2023
Пікірлер: 24
Vipofu wanaona KWA JINA LA YESU VIWETE WANATEMBEA🙏🏾🙏🏾🙏🏾kwa JINA LA YESU KRISTO 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Asante Sana Mch Kwa mahubiri mazuri hata kama tuko mbali tunabarikiwa Kwa Neno la Mungu .
HALLELUYAH tunapokea toka ULAYA🙏🏾🙏🏾🙏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Amen and amen
Amen. Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen amen
Asante3
amenii amenii
Barikiwa Baba Neno limenisaidia
Amina
Asante baba yangu MUNGU akubariki saaaaaanatu mahubiri yamenifunza mengi habari za ndoto na kumtangukiza MUNGU kwakila kitu amen baba yangu
God bless you my papaa😍🎉
Mungu ni. Mwema kilamasaa
@NaumiBaya-wr7ri
9 ай бұрын
Amen 🙏🙌🙏🙌
AMINA BABA MCHUNGAJI. TUKO PAMOJA HUKU AFRIKA KUSINI.MUNGU AWABARIKI.
amina sana mtumishi wa Mungu , barikiwa sana kwa kutujulisha mambo makuu ya ufame wa mbinguni , Bwana Mungu na akubariki sana
Amen
Hakika ni hii ni saa ya uhamsho na matengenezo....mlowo🔥
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu💪
Mungu akubariki sana mchungaji
Wow I can't get bored. I'm blessed in Jesus name Amen. May God bless you pastor
Mimi nataka kitabu cha uamsho na Roho Mtakatifu. Nakiptaje? nipo dar.
@TAFAKARITVNewlife
10 ай бұрын
Fika ukonga -Majumba sita, kanisa la Tag ndipo mzee anapo hudumu
Amina