Mbarikiwa Mwakipesile Aimba Kazi Yangu ikiisha Kumuaga Mwanae Wokovu Mbarikiwa

Музыка

Пікірлер: 149

  • @rehemamasingoti477
    @rehemamasingoti477 Жыл бұрын

    Kwa marA ya kwanza kuona shujaa WA Imani maana nilikua nawasoma kwenye bibilia wakiwemo wakina ibrahimu

  • @grolykibona3828

    @grolykibona3828

    Жыл бұрын

    Hata mimi mpendwa

  • @julianacharles9828

    @julianacharles9828

    Жыл бұрын

    Umeona ee!!HAKIKA tushukuru kwa kila Jambo 🙏 MUNGU ambariki

  • @julianacharles9828

    @julianacharles9828

    Жыл бұрын

    Yaani Mimi nahisi uchungu Sana. Najaribu kufikiria kama ndiyo Mimi ningeweza!!! MOYO unakataa

  • @frolahamia1196

    @frolahamia1196

    Жыл бұрын

    Kwakweli hata mimi namuona shujaa kwamala yakwanza MUNGU awatie nguvu nyingi ningumu kuvaa ziatu vyao

  • @bryton3552

    @bryton3552

    Жыл бұрын

    JAMANI WATAKATIFU WAPO DUNIANI HAPA TUNAISHI NAO NAMUOMBA MUNGU AZIDI KUKUBARIKI MARA DUFU YA ULIVYOBARIKIWA🙏

  • @gib3888
    @gib38889 ай бұрын

    kwa kweli kukaa na yesu n jambo nzuri Hallelujah 🙌

  • @unstupid5
    @unstupid511 ай бұрын

    Ni mara yangu ya kwanza kuona nyimbo hili Mungu akubariki kwa maana umefungua mawazo yangu

  • @Kasa.c
    @Kasa.c28 күн бұрын

    Poleni Sana mtumishi. May the Grace of God be sufficient upon you. May God almighty increase your ministry. I'm yet to see another talented singer like you.

  • @maulusmleche3716
    @maulusmleche3716 Жыл бұрын

    Mungu akutie nguvu kamanda wa YESU, kazi yako na huduma yako iendelee kuinuliwaa juu Kristo YESU aendelee kuwa nyuzo yako katika huduma hii kubwaaa. Barikiwa sana

  • @Kasa.c
    @Kasa.c29 күн бұрын

    Ukweli no kwamba huyu jamaa ni shujaa wa nyimbo. A great singer he is.

  • @olipaassa4769
    @olipaassa4769 Жыл бұрын

    Imani yangu imeimalika kupitia familia hii,Mungu awafariji

  • @KamandaKalanga
    @KamandaKalanga16 күн бұрын

    Hakika nabarikiwa sana ninaposikilisa nyimbo hii

  • @brother.jamesmarongo2777
    @brother.jamesmarongo27777 ай бұрын

    Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo...ALIISHINDA DUNIA 😭😭😭😭💪

  • @edithkovary3654
    @edithkovary3654 Жыл бұрын

    I watch it in UK. But the way she went or died she in heaven. No question. She is inheriting the Kingdom of God. Honestly, she is in a good place for sure. May the Lord give the parents the heart to bear. You should be bury your parents but not parents to bury a child of 12 years. May her soul rest in peace. We need faith and pastors and pastor's wife like them two in the world of today. May the Lord help us.

  • @danielshibone3619
    @danielshibone3619 Жыл бұрын

    Rafiki nimejifunza kitu kutoka kwako, hongera sana kwa ukomavu wa imani na atukizwe aliye ipanda na kuikuza hiyo imani kwako ambaye ni Yesu mwenyewe

  • @bonymuia9820
    @bonymuia9820 Жыл бұрын

    I wish I was at Tanzania I would have been in that church for real you are called,I like your songs

  • @mtumishiDanny

    @mtumishiDanny

    Жыл бұрын

    Welcome

  • @angelinamichael7742
    @angelinamichael7742 Жыл бұрын

    Asante Mungu kwa kuendelea kuwapigania watoto wako hawa. Hakina wewe ni Mungu

  • @yolandachuwa5554
    @yolandachuwa5554 Жыл бұрын

    Hapo hakuna kulia Ni mapambio tu ,,,kwa kweli ukiwa na Yesu ndani ya moyo hakuna kinachoshindikana.unakuwa na nguvu za ajabu

  • @mawazomolani2677
    @mawazomolani2677 Жыл бұрын

    Pole sana mtumishi wa Jehova Naamini MUNGU atakuvusha hata katika haya Kwa upande wangu mimi nimebarikiwa sana na kazi zako nyingi ikiwemo dhambi inaua MUNGU AWE NAWE PAULO ANASEMA NAJUA KUPUNGUKIWA

  • @atupelekajiba3530
    @atupelekajiba3530 Жыл бұрын

    Pole sana mtumishi Mbarikiwa Mwakipesile pamoja na familia kwa ujumla

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura19712 ай бұрын

    Mungu akupe Moyo mkuu baba

  • @uswegemwasanjala1465
    @uswegemwasanjala14658 күн бұрын

    Mungu akutie nguvu

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 Жыл бұрын

    Wana maumivu moyoni wanajikaza tu...mungu awatie nguvu

  • @miriamsimwanza769

    @miriamsimwanza769

    Жыл бұрын

    Ni kwa sababu wanamjua wanaemtumikia.

  • @pimgee7237
    @pimgee7237 Жыл бұрын

    God bless you,love from Zambia RIP baby girl

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 Жыл бұрын

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Mwakipesili na mkeo Salome hakika mna moyo wa kipekee hauna mfano ni nguvu ya ya Mungu tu hakuna kitu kingine kbs hapo msindikize mwanao Baba mchezee mala mwisho hutamwona tena pacha wako jamaniii

  • @elizabethmunuo5379

    @elizabethmunuo5379

    Жыл бұрын

    Sio raising MUNGU MTETEZI WAKO NI HAI ANAKUONA UNAYOPITIA.

  • @leahmpanda9031
    @leahmpanda9031 Жыл бұрын

    Amen , Yesu awatetee

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale72719 ай бұрын

    Pole mtumishi!Mwenyezi Mungu anajua atakavyokufariji

  • @scholaKulaya
    @scholaKulaya7 сағат бұрын

    Chungu kumeza tamu kutema🙌🙏

  • @judithpraisesmusic
    @judithpraisesmusic Жыл бұрын

    i love this man of God...Yesu ni bwana milele

  • @damariswambua8407

    @damariswambua8407

    Жыл бұрын

    God continue blessing him

  • @jacklinejosam3713

    @jacklinejosam3713

    Жыл бұрын

    Yaani huyu jamaa nishujaa wa Imani

  • @aloycebernad7793
    @aloycebernad7793 Жыл бұрын

    Hongereni kwakiwango kikubwa chakumjua MUNGU

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Жыл бұрын

    Mungu akupe moyo wa uvumilivu mwendo ameumaliza mtoto atakaa na Mungu huyo kwani Yesu alisema waacheni watoto wadogo waje kwangu maana ufalme wa mbingu ni wao,RIP nenda salama dunia imechafuka vita kwenye imani imezidi Mungu tusaidie Yesu

  • @josephmeinradhyera7672

    @josephmeinradhyera7672

    Жыл бұрын

    Rest in peace baby Wokovu!!

  • @kaisimwantindili397

    @kaisimwantindili397

    Жыл бұрын

    Mungu bariki mioyo, inayoumia.

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 Жыл бұрын

    Yaan nimerudia kukuangalia mala zaid ya kumi na sichoki kukuangalia na huu wimbo hakika una ujumbe mzuri sana Mungu awatie nguvu zaid

  • @tarsiusmapunda141

    @tarsiusmapunda141

    Жыл бұрын

    Wimbo wa faraja

  • @tumainimwenisongole398
    @tumainimwenisongole39811 ай бұрын

    Mbarikiwa wewe unatubariki hata sisi 🙏🙏🙏

  • @ruthmutunga4526
    @ruthmutunga4526 Жыл бұрын

    Baraka nyingi kutoka kwa mungu

  • @dominiqueharerimana5536
    @dominiqueharerimana5536 Жыл бұрын

    Hakika Kuna watu hapa duniani wameweza kuongea eti Yesu umechelewa kurudi kwa maana walimpa myoyo yao yote wamengojea Yesu arudie tu .Yesu nisaidie namimi unitie nguvu nikae tayari.

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Жыл бұрын

    Aisee natamani mungu aniinue kama ww viwango vyako ni vikubwa mno🙁

  • @davidanzigale8660
    @davidanzigale8660 Жыл бұрын

    Mungu akufariji na kukutia nguvu Mtumishi

  • @magrethmundeba7113
    @magrethmundeba71138 ай бұрын

    Hallelujah,,kristo imani kubwa na yenye nguvu

  • @user-ku3ie5xn8z
    @user-ku3ie5xn8z8 ай бұрын

    Ukwel nilijua mashujaa wakutetea iman wameisha kumbe wapo mbarikiwa mungu akutie nguvu ulipambanie taifa hili

  • @habibajohn8967
    @habibajohn8967 Жыл бұрын

    Mungu akujaze imana sana maana ndoamekupa nakachukua

  • @marrymollel7878
    @marrymollel7878 Жыл бұрын

    Kwakweli nimetiwa moyo sana kwa hawa mashujaa wa imani MUNGU awatie nguvu

  • @cecilia2919
    @cecilia2919 Жыл бұрын

    Mungu azid kukutia nguv kaka daaah mtoto amewai

  • @titosayile301
    @titosayile301 Жыл бұрын

    Pole sana mtmishi mungu azd kukupa ujasiri xku zotee ameni

  • @jackobodickson555
    @jackobodickson555 Жыл бұрын

    kauli moja ya shujaa huyu, ni wale hawajawahi kufa ila mimi nimekufa💪

  • @jacquelinebyaombe9729
    @jacquelinebyaombe9729 Жыл бұрын

    Mungu akupe nguvu Baba

  • @atuganilengomba7121
    @atuganilengomba7121 Жыл бұрын

    Poleni Sana mungu awatie nguvu

  • @user-bp3mq7mz2c
    @user-bp3mq7mz2c6 ай бұрын

    Mungu akulipe Mara Mia nimebarikiwa xan

  • @atufwenemwakafulania5623
    @atufwenemwakafulania56236 ай бұрын

    Ahsante kea imani

  • @japhethdavid6118
    @japhethdavid6118 Жыл бұрын

    Daa mungu ametoa na ndiye ametwaa .mungu akutunze Sana asikofu

  • @SebastianNgimba-nt5wv
    @SebastianNgimba-nt5wv9 ай бұрын

    Yaaani mungu akinipa ujasili kama huyu mwamba dooo! Nitakufa mapema

  • @elinajoram4738
    @elinajoram4738 Жыл бұрын

    Bab Mungu amechukua mmoja jiandae kupokea zaidi ya mmoja

  • @bernardmushi4869
    @bernardmushi48697 ай бұрын

    I have seen THE DOWNFALL OF SATAN,GLORY BE TO GOD,GLORY BE TO JESUS.MBARIKIWA IS A MAN OF VALOUR.Jer20:11

  • @elizabethchogo3016
    @elizabethchogo3016 Жыл бұрын

    Much blessings from God, it's a funeral but you can find yourself talking in tongues❤❤❤❤

  • @angelique10
    @angelique10 Жыл бұрын

    Kuna watu wana pitia majaribu kwa ajili ya watu wengine tutiwe moyo jmn huyu mama na baba wokovu wananifanya nigundue nnacheza na neema niliyonayo ….. mambo yakiniendea vby malalamiko kiroba rkn ona wao yao mazito na hawalalamiki Hauz maji wala mafuta ni yy na Yesu mbele kwa mbele… nimepata kiu ya kushikilia msalaba

  • @alicemutinda1612

    @alicemutinda1612

    Жыл бұрын

    Natama Kenya hakika ni kweli lkn jaribu zito nimejifuza kitu.

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 Жыл бұрын

    Pole sana sana.mtumishi wa Mungu. Mungu mwenyewe awape faraja katika jambo hili. Jipeni motor mkuu

  • @hatibuexauty4024
    @hatibuexauty4024 Жыл бұрын

    Tenzi hii inanibariki sana!!

  • @lazaroraphaelmwandosya7010
    @lazaroraphaelmwandosya701011 ай бұрын

    Glory to God 🙏

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 Жыл бұрын

    Barikiwa kama jina lako baba mchungaji

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 Жыл бұрын

    Kuishi ni KRISTO kufa ni faida, haleluya haleluya

  • @silaselias9921
    @silaselias9921 Жыл бұрын

    Daaa ngoja nirud nitubu aiseee yesu anawatu wake bwana msiba lakn no Kama sherehe bcz anajua binti take ataenda Ku on a nanae mbinguni

  • @mtumishiDanny

    @mtumishiDanny

    Жыл бұрын

    Karibu kanisani

  • @merrypaul5661
    @merrypaul5661 Жыл бұрын

    Mungu kakupenda zaid wokovu jina la bwana lihimidiwe

  • @keshukakurubay6178
    @keshukakurubay61786 ай бұрын

    Oh glory to God

  • @nictarpiason5490
    @nictarpiason5490 Жыл бұрын

    Hawa watu ni wenye matumaini mbele za mungu ndicho nlicho jfunza kwao .. wameya hesabu maisha yao kuwa si kitu

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha59058 ай бұрын

    Uyu baba alikuja kupata uchungu badae

  • @lovenywendygospelsong240
    @lovenywendygospelsong240 Жыл бұрын

    Dahhhh so sad 😭 Iman kubwa

  • @judithpatric4287
    @judithpatric4287 Жыл бұрын

    Naiona roho ya ayubu ndani kwako mungu akupe ujasiri

  • @user-ic8dz9mw7e
    @user-ic8dz9mw7e Жыл бұрын

    MUNGU anayo sababu yakukupitisha hapo barikiwa shujaa

  • @tumainmmary9853
    @tumainmmary9853 Жыл бұрын

    Mungu akubariki Sana naomba flashing yako nitalpataje

  • @salummakenzi4846
    @salummakenzi4846 Жыл бұрын

    Barikiwa sana baba angu

  • @prospermkoma8699
    @prospermkoma8699 Жыл бұрын

    Nimejifunza jambo kutoka kwako mtumishi yatupasa kushukuru kwa kila jambo

  • @jenipherrobert6420
    @jenipherrobert6420 Жыл бұрын

    Daaaah Mungu azidi kuwatia moyo, mnamisuli ya imani

  • @AlAl-sd9pl

    @AlAl-sd9pl

    Жыл бұрын

    😌😌😌😌😌jaman comment nyingne msitufanye tucheke

  • @rebecashumbi3450

    @rebecashumbi3450

    Жыл бұрын

    Yesu Kristol ni Bwana kwa kweli roho ya ayubu iko ndani yenu mmeshinda dunia imejifunza kitu tunamngoja Bwana

  • @matswelopelemphela261
    @matswelopelemphela261 Жыл бұрын

    Barikiwa baba

  • @lydiakangongole6783
    @lydiakangongole6783 Жыл бұрын

    Mungu akutetee

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga8 ай бұрын

    ❤❤

  • @user-yb9ff7bt8j
    @user-yb9ff7bt8j6 ай бұрын

    amakweli huyu nishujaa waimani

  • @hellenmarandu1787
    @hellenmarandu1787 Жыл бұрын

    Mungu akutie nguvu pastor.

  • @judithpatric4287

    @judithpatric4287

    Жыл бұрын

    Naiona roho ya ayubu ndani kwako mungu akupe ujasiri

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha59058 ай бұрын

    Hata jela ameenda kwaajiri ya uchungu wa mwanae Maaana alisema kama alishindwa kuulinda uhai mwanae yeye nani😭😭😭😭

  • @lilian2603
    @lilian2603 Жыл бұрын

    mungu akutie nguvu shuja waimani

  • @erastomaliganya643
    @erastomaliganya643 Жыл бұрын

    Hongerat

  • @mamyneytariq8458
    @mamyneytariq8458 Жыл бұрын

    Mungu awatie nguvu

  • @gastorsimfukwe7067
    @gastorsimfukwe7067 Жыл бұрын

    Kamanda wa YESU, MUNGU akupe nguvu

  • @tusajigwekanemela2864
    @tusajigwekanemela2864 Жыл бұрын

    😢😢😢

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 Жыл бұрын

    Mungu atabaki kuitwa mungu

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Жыл бұрын

    Hapa,Mungu pekee anatosha

  • @ashurahaji4794
    @ashurahaji4794 Жыл бұрын

    Mungu azidi kuwapa nguvu

  • @betyfavoured6808
    @betyfavoured6808 Жыл бұрын

    Pole sana mtumishi 😭😭

  • @tumwagilemwakyusa3300
    @tumwagilemwakyusa3300 Жыл бұрын

    Shujaa wa Imani 💪

  • @emmymtambo5974
    @emmymtambo5974 Жыл бұрын

    Huu msiba ni injili, Yesu ana watu

  • @gildasetasi3275
    @gildasetasi3275 Жыл бұрын

    Nimejifunza kitu mungu nisamehe nmekua mtu wakulalamik san

  • @virginieimata4489
    @virginieimata4489 Жыл бұрын

    Mashujaa Wa Imani

  • @alpherkiloti1859
    @alpherkiloti1859 Жыл бұрын

    Amen

  • @mugoemily8046
    @mugoemily8046 Жыл бұрын

    AMEN!!

  • @IbrahimKingdom-rm2zq

    @IbrahimKingdom-rm2zq

    Жыл бұрын

    Amen akika wewe ni mbalikiwa

  • @paskalinapa6177
    @paskalinapa61778 ай бұрын

    Amen😢😢🙏🙏

  • @lydiasambayeti4764
    @lydiasambayeti4764 Жыл бұрын

    Mungu ni mwema Sana unanifundisha kushukuru Kila wakt jamn hakika una Mungu

  • @daudimorice4940

    @daudimorice4940

    Жыл бұрын

    Amin amin

  • @barikimgimba4839
    @barikimgimba4839 Жыл бұрын

    Imanii ya bahari

  • @fridahkinyua8851
    @fridahkinyua8851 Жыл бұрын

    wow

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 Жыл бұрын

    Amen and Amen

  • @yusuphramadhan4882

    @yusuphramadhan4882

    Жыл бұрын

    Baba yote hayo nayaona jamani mwe pole babangu ila mbaka hapo umefika viwango kama vyakina ayubu na aburamu nakina pauro hakika mugu amekamini kua hii kazi unaiweza ulitaka apewe nani kama sio wewe baba ivo pamoja na dhambi zangu nilizo nazo lakni nasema jipe moyo my dady utayashinda yote ..,,+

  • @fridaikupa8681
    @fridaikupa8681 Жыл бұрын

    Shujaa wa imani huyu pastor na mkewe

  • @mchungajimkenya3904
    @mchungajimkenya3904 Жыл бұрын

    Haki pole

  • @jacquelinemassengo5466
    @jacquelinemassengo5466 Жыл бұрын

    Fura kufwa kati ya Christo Yesu

  • @juliethshangali7562
    @juliethshangali7562 Жыл бұрын

    Hakika hawa wazazi wa huyu ni yule Ayubu wa imani

  • @bibianakiwali1969
    @bibianakiwali1969 Жыл бұрын

    UMESHINDA

  • @philemonmkumbo2095
    @philemonmkumbo2095 Жыл бұрын

    Chadema kama chama makini hili vip unanyamaxia au na nyie nichama kiungacho mkono ushoga msaidieni huyu mtumishi hata kwa mawakili kwani tunakiamini chama chenu katika haki sio Hawa mbuzi wa kijani majambaxi wanenepesha matumbo Yao

  • @florianmakero9877
    @florianmakero98776 ай бұрын

    Mchungaji utamwona mbinguni mtoto wako

Келесі