DANNY KISESA OFFICIEL 🎶

DANNY KISESA OFFICIEL 🎶

Пікірлер

  • @scholaKulaya
    @scholaKulaya7 сағат бұрын

    Chungu kumeza tamu kutema🙌🙏

  • @Adison-n9s
    @Adison-n9s3 күн бұрын

    Mungu akuongezee baraka

  • @Adison-n9s
    @Adison-n9s3 күн бұрын

    Mungu akuongezee baraka

  • @Adison-n9s
    @Adison-n9s3 күн бұрын

    Mungu akuongezee baraka

  • @uswegemwasanjala1465
    @uswegemwasanjala14658 күн бұрын

    Mungu akutie nguvu

  • @KamandaKalanga
    @KamandaKalanga16 күн бұрын

    Hakika nabarikiwa sana ninaposikilisa nyimbo hii

  • @KamandaKalanga
    @KamandaKalanga16 күн бұрын

    Hakika nabarikiwa sana ninaposikilisa nyimbo hii

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo977517 күн бұрын

    ❤❤❤

  • @Kasa.c
    @Kasa.c19 күн бұрын

    Jamani mtumishi hivi sio vema hasua kuwa inatoka kwa mtumishi wa mungu. Please Mungu anapenda wanyenyevu. Ni makosa. Blessed ate the humble

  • @mtumishiDanny
    @mtumishiDanny19 күн бұрын

    Hayajakukuta mwanao auwawe alafu wauwaji wajisifu mbele yako .

  • @user-xk8bg3bg9x
    @user-xk8bg3bg9x22 күн бұрын

    The song is xoo touching 😭😭😭😭,,lord have mercy upon us ,,,

  • @isaacsanga9707
    @isaacsanga970723 күн бұрын

    AMEN! Hongera..

  • @Aminaabdi-jh2wj
    @Aminaabdi-jh2wj26 күн бұрын

    kasabuti barikiwa

  • @Kasa.c
    @Kasa.c28 күн бұрын

    Poleni Sana mtumishi. May the Grace of God be sufficient upon you. May God almighty increase your ministry. I'm yet to see another talented singer like you.

  • @Kasa.c
    @Kasa.c29 күн бұрын

    Ukweli no kwamba huyu jamaa ni shujaa wa nyimbo. A great singer he is.

  • @nsimirenshokano6169
    @nsimirenshokano6169Ай бұрын

    Ameeen

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6opАй бұрын

    Umesema ukweli mweupe! Nime discard kazi zake!

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jjАй бұрын

    Huyu kasukumwa tu na ibilisi na kwann hataki kukemewa

  • @AaAa-ue5di
    @AaAa-ue5diАй бұрын

    Ckaka.asante.sana.👏👏👏👏👏😢😢😢

  • @leontineflorance5198
    @leontineflorance5198Ай бұрын

    Ni Mungu tuuuu kabisa . Lakini mumuelewe Munarikiwa ni mtumishi wa Mungu wa kweli. Mungu amulinde katika wakati huuuu mgumu sanaaa

  • @mtumishiDanny
    @mtumishiDannyАй бұрын

    Ameen

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8cАй бұрын

    Ujue huyo kazidi ndio maana mahakamani

  • @mtumishiDanny
    @mtumishiDannyАй бұрын

    Aliyezidi ni christina shusho kumdhalilisha mume wake mitandaoni

  • @StevenCharz-zr4ds
    @StevenCharz-zr4dsАй бұрын

    Mbarikiwa sana mtumishi Kwa wimbo huu

  • @AminaIbrahim-sp8cj
    @AminaIbrahim-sp8cjАй бұрын

    Mungu akubarik mtumish wa mungu

  • @zuwena2997
    @zuwena2997Ай бұрын

    Pole sana huruma kweli

  • @promessekisesa1311
    @promessekisesa1311Ай бұрын

    Pole kwa famille yake 😭😭

  • @MariamThomas-bg4rc
    @MariamThomas-bg4rcАй бұрын

    Asante

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura19712 ай бұрын

    Mungu akupe Moyo mkuu baba

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano90502 ай бұрын

    Wooow!!!!❤❤❤

  • @MlambeshiKushgang
    @MlambeshiKushgang2 ай бұрын

    Natokea chanika

  • @MlambeshiKushgang
    @MlambeshiKushgang2 ай бұрын

    Mungu ni mwema na mwaminifu , kama aliweza kuwatoa paulo na sila usk wa manane na kwet ni mwaminifu mungua atakutetetea kama arisema nilikujua toka tumbon mwa mama ako niriktakasa kwaiyo hashindw kamwe

  • @yonathanimdollo3701
    @yonathanimdollo37013 ай бұрын

    Daah kabisa aisee watu wanalia na kulia😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @alumakasuku1429
    @alumakasuku14293 ай бұрын

    Ifike mwisho kabisa amen

  • @novatusrobert-gq4ih
    @novatusrobert-gq4ih3 ай бұрын

    Powerful sound 🙌

  • @alumakasuku1429
    @alumakasuku14293 ай бұрын

    Amen

  • @atukuzwesanga4982
    @atukuzwesanga49823 ай бұрын

    amen🙏🙏🙏

  • @ntakilutandato
    @ntakilutandato3 ай бұрын

    Jamani...Dunia ina mambo...mtanivunja mbavu mie...mnashindana nini sasa na ushindane nani ikiwa umetumwa na Bwana?...hakuna haja ya kutajana majina jamani...Yeye atakaye kuwa mkubwa kwenye ufalme wa mbinguni ni yule aliye mtumwa wa wote Duniani siyo kuwa bosi juu ya mtu wala watu utanuke wewe wakati uliotumwa kwao wanakauka??? Mtanivunja mbavu zangu mie.😂

  • @bboylilp9325
    @bboylilp93253 ай бұрын

    2024🎉❤❤❤

  • @bboylilp9325
    @bboylilp93253 ай бұрын

    ❤❤❤❤❤❤

  • @RozinaMwanda
    @RozinaMwanda4 ай бұрын

    Nimejawa nafuraha kwakuachjwa kweli Mungu ainuliwe pia makonda MunguAmkumbuke amina

  • @JosephMwandoe
    @JosephMwandoe4 ай бұрын

    Mungu awabariki kwa Injili ya kuabudu

  • @sifawayesu7079
    @sifawayesu70794 ай бұрын

    Ahsante kwa kuutunza wimbo huu mtumishi wa Mungu, nadhani ndani ya siku 03 nitakuwa nimetoa rimix yake kumpongeza mzee wetu Mbarikiwa kwa ushujaa wake

  • @getrudenabwayo4754
    @getrudenabwayo47544 ай бұрын

    If Kuna mtu anasikizanga huu wimbo hati mwisho kama hajamwaga machozi naomba anigawie hiyo roho ngumu, my daughter, dad, auntie cousin brother continue resting in peace

  • @MejjatScott-mf2vi
    @MejjatScott-mf2vi4 ай бұрын

    Sikh mkiamua kuomba msamaa na kumwachia Mungu kifo cha motto wa mbarikiwa MTAKUWA KAMA AYUB Mungu alimpa watoto wengine nayule atakutana nae mbingun maana cc kufa faida kuishi no Christi.WAJINGA NA WAPUMBAVU NYINYI

  • @modestapeter2997
    @modestapeter29974 ай бұрын

    Kua ayubu wewe utuonyeshe mfano kwa vitendo

  • @MejjatScott-mf2vi
    @MejjatScott-mf2vi4 ай бұрын

    Kamuulizen yohana mbatizaji!,alianza kumchukia Yesu kama ndie aliemtuma kumkosoa Herodi kwa ajili Ya Erodia.kichwa kikawa halali yacserkali.wajinga nyie OMBEN MSAMAA KWA MUNGU NA SERKAL,Mmekosea na mnendelea kukosea

  • @MejjatScott-mf2vi
    @MejjatScott-mf2vi4 ай бұрын

    Kulola aliwai kufungwa Gerezan ila kwaajili ya injili na mitume wengine ila uyo mbarikiwa ni vururuvururu injili yumo siasa yumo kukemea viongoz yumo na Neno LA Mungu linasema Usimseme mkuu wa watu wako vibaya.

  • @MejjatScott-mf2vi
    @MejjatScott-mf2vi4 ай бұрын

    Kwan kanisa Lima muda gani!? na Makanisa yasiyo sajiliwa hapo mangapi!?.Kaitafuta Dunia mwache imnyooshe.mpumbav mmoja.watu wanateseka kwa kutimjua Yesu yeye anagaragara kufokea viongoz wakuu ambao Mungu amempa kibal cha kusain kifo cha mtanzania

  • @MejjatScott-mf2vi
    @MejjatScott-mf2vi4 ай бұрын

    Ajafungwa kibabe na kama Mungu akimsaidia ni rehema zake2.

  • @MejjatScott-mf2vi
    @MejjatScott-mf2vi4 ай бұрын

    Mnaacha kuhubir injil mnafos Dunia iwe paradiso wapumbav nyinyi,yatafuten ya mbinguni na yambingun yaomben yaje Dunian