KAMANDA MBARIKIWA MWAKIPESILE AUWANGA MWILI WA MTOTO WAKE KISHUJAA SANA

Пікірлер: 186

  • @gracerugayi530
    @gracerugayi530 Жыл бұрын

    Jamaa jasiri Sana inahitajika nguvu ya mungu Sana kustahimili msiba mzito kama huu hakika unafaa kuingwa umeufariji umati mkubwa Sana kwa nyimbo nzuri za kumsifu mungu.

  • @oscarmkumbo7451
    @oscarmkumbo7451 Жыл бұрын

    Hakika ujasiri ulionao ni imani kubwa uliyonayo kwa Mungu wako " Mungu akupe nguvu Mch.

  • @AllyHassanJoho
    @AllyHassanJoho2 ай бұрын

    Wew ni shujaa mbarikiwa mimi kwa haraharaka nisingeweza

  • @GeorgeEbake
    @GeorgeEbake8 ай бұрын

    Sijawai kuona. Mungu ni mwema

  • @graceemmanuel3072
    @graceemmanuel30729 ай бұрын

    Hallelujah hakika Mungu hujivunia watu kama hawa

  • @prophetdanielmwebrania
    @prophetdanielmwebrania Жыл бұрын

    Mungu yupo mtetezi wa MWISHO KILA MTU atalipwa kwa MATENDO YAKE tutakutana siku moja kwa BABA Amen

  • @victoriakhatibu2288
    @victoriakhatibu2288 Жыл бұрын

    Mungu akupe mapacha watatu kwa jina la Yesu,Mungu awatie nguvu watumishi wa Mungu

  • @cornelgwarda3849
    @cornelgwarda3849 Жыл бұрын

    Mbarikiwa unauheri kwa kazi unayofanya natamani ningewez

  • @user-jl6en6rr8m
    @user-jl6en6rr8m6 ай бұрын

    Mtumishi Wa Mungu Wacha Mungu akukumbuke

  • @lucymwaijengo3790
    @lucymwaijengo3790 Жыл бұрын

    Kuna watu Mungu hujivunia kumsimangia Shetani 😭😭😭😭😭 Mungu pekee awafariji😭😭😭😭

  • @beatricegeorge1515

    @beatricegeorge1515

    Жыл бұрын

    Pole sana

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Жыл бұрын

    Huyu ndo AYUBU wa Leo💪💪💪💪

  • @rosemuna5569

    @rosemuna5569

    Жыл бұрын

    Kabisa

  • @marymtoni5723
    @marymtoni5723 Жыл бұрын

    Hakika Mungu amewatia nguvu bila neema ya Mungu huwezi kweli Yesu ni namba 1

  • @user-qq1dn4ci8n

    @user-qq1dn4ci8n

    Жыл бұрын

    ALIYEKUDANGANYA NANI?

  • @harrietajiambo229

    @harrietajiambo229

    8 ай бұрын

    ​@@user-qq1dn4ci8nsasa ww twambie ukweli

  • @nurumbongo7556
    @nurumbongo7556 Жыл бұрын

    Ubarikiwe baba Linda imani ni kipimo chaji

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 Жыл бұрын

    Hakika sifa na utukufu kwa Mungu!! Amewapa moyo wa ushujaaa, kusistahimil maumivu makali kama haya!! Ni lazima uwe umejitoa kwel kwel kwa Mungu wako!! Mungu azid kuwatia nguvu ktk kaz yake watumishi wa Mungu!! Hakika mmeokoka kwel kwel , weng tunashindwa matukio kam haya huwa tunaona kama Mungu amekuacha!! Tunasahau inatubid kushukuru kwa kila jambo, hakika nimebarikiwa na iman yenu kwa Mungu!! Mmenitia nguvu, Mungu wa mbinguni azid kuwainua kweny viwango vingine !! Amen amen!! Tutaonana mbingun mdog wangu Wokovu!! Safar yako umeimaliza!!

  • @AlfayoEliahu

    @AlfayoEliahu

    9 ай бұрын

    wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni autatikisika waakaa milele jinsi bwana anavyouzunguka yerusalem ndivyo anavyowazunguka watu wake.zaburi 125:1-5

  • @josephmasudi6001
    @josephmasudi6001 Жыл бұрын

    Ndugu zangu poleni sana, nimebarikiwa sana na ibada hii, nawaombeni namba za mtumishi huyu tafadhali kama ina wezekana, dada pumzika kwa amani tupo nyuma yako.

  • @victoriarichard8761
    @victoriarichard8761 Жыл бұрын

    kwa imani hii Mungu atawapa mwingine. Mungu azidi kuwatia nguvu na kuwafariji mtumishi

  • @gib3888
    @gib38889 ай бұрын

    Mungu wetu uko wapi simama na mtumishi wako 🧎‍♂️🧎‍♂️🤲🤲🤲😭😭😭😭

  • @LucresherGerald
    @LucresherGerald8 ай бұрын

    MUNGU WA MBINGUNI asimame nanyi katika kipindi hiki nawaombea pia Kwa MUNGU awapiganie Sanaa🙏

  • @immanuelpascal8131
    @immanuelpascal8131 Жыл бұрын

    Najifunza mengi San kwako baba ktk tukio hili maan mungu kakupa ujasir usio wakawaida

  • @user-fs7ff7qo1z
    @user-fs7ff7qo1z9 ай бұрын

    Pole kaka yangu umeniliza

  • @dottounique7184
    @dottounique7184 Жыл бұрын

    Ameeen Mtumishi Ubarikiwe,siliitena Asantee nimejivuza kitu kikubwa kwako 🙏🤍💝❤️💛

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l Жыл бұрын

    😭😭😭😭 Mungu Ni mwema Kila wakati hachelewi wala hawai ndiyo alivyo Mungu wetu

  • @monamweni1579
    @monamweni1579 Жыл бұрын

    Baba mtumishi na mama mtumishii mungu awatie nguvu na awafariji kwa kipindi kingumu mnachokipitia

  • @joelmoses3789
    @joelmoses3789 Жыл бұрын

    Hii inahiyajika nguvu kubwa sana kutoka kwa Mungu Mungu Mungu wetu wa mbingini JEHOVAH. Sio kitu rahisi sana kibinadamu. Barikiwa sana mtumishi. Na ndugu yetu apate pumzika salama penye heri kuu.

  • @florabenjamin8306
    @florabenjamin8306 Жыл бұрын

    Pole sana mtumishi mungu akutie nguvu Kwa utukufu wake

  • @petlomalamla2314
    @petlomalamla2314 Жыл бұрын

    Pole Sana kaka mungu akufumnge mkanda tu dunian tuwapitaji

  • @sekelajackob2905
    @sekelajackob2905 Жыл бұрын

    Poleni sana familia ya Mtumishi wa Mungu,hakika kuna Watu Mungu anajivunia

  • @jacksonmbena5410
    @jacksonmbena5410 Жыл бұрын

    Mungu wa mbinguni anataka akupeleke level... Azime achakate Imani yako mtumishi

  • @kishepuonlinetv
    @kishepuonlinetv Жыл бұрын

    Mungu nimwema kwahili nakwa yote tuyapitiayo asante yesu😭😭😭

  • @felisternjeru9196
    @felisternjeru9196 Жыл бұрын

    Pole sana mtumishi...twakupenda sana. Ako salama amemuona Yesu

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai77778 ай бұрын

    Mama ni mama tuu,,,,,anaumia mno,,,,Mungu ni faraja tosha❤

  • @lemajackson372
    @lemajackson372 Жыл бұрын

    Mtumishi umeongea mambo mengi kuhusu shule,najiuliza kama kweli kuna umuhimu wa Mtumishi wa Mungu kwenda shule,na huko shule anaenda kusoma nini,nikajiuliza kama Paulo alikuwa na elimu na Je wakina Petro walikuwa na elimu gani?inawezekana wanafunzi wa Yesu walipelekwa shule miaka mitatu na Yesu mwenyewe,lakini Mtumishi piga ua tunahitaji kwenda shule kw dhumuni kubwa la kijfunza jinsi ya kumsaidia binadamu ambaye ana matatizo lukuki,,,nakuunga mkono sana na kazi yako unayofanya lakini vilevile ukienda shule utafanya kazi AMungu kitaalamu zaidi,ni hoja yangu ninayowaza moyoni

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 Жыл бұрын

    Utukufu Kwa Mungu JUU Amina 🔥🔥🙌

  • @jeremiahwilliam1452
    @jeremiahwilliam1452 Жыл бұрын

    Hakika we Ni kamanda wa yesu kwa uhodari ushujaa pia na Imani pamoja natumaini kuu

  • @June-dq6pr
    @June-dq6pr8 ай бұрын

    No matter wat they do it cannot bring our faith down he will still be God the powerful God

  • @josephenerika5891
    @josephenerika5891 Жыл бұрын

    Eeehhh Roho wa Mungu wafariji na ujidhihirishe kwao siku zote za maisha yao.

  • @hendricksjohn6201
    @hendricksjohn62014 ай бұрын

    Mungu ni mwema Imani ni nguzo ya Maisha hakika mbarikiwa umetufunza kuwa na Iman ya kiroho

  • @mariamthomas3902
    @mariamthomas3902 Жыл бұрын

    Amen baba nimejifunza

  • @fridafrancis1960
    @fridafrancis1960 Жыл бұрын

    Niseme tu si Kwa nguvu zenu ila ni MUNGU WETU WA MAJESHI amewatia nguvu mbarikiwe sana.

  • @MnyamaTolu-kd5ct
    @MnyamaTolu-kd5ct28 күн бұрын

    Mungu yupo ndan yako

  • @peterkisanga8089
    @peterkisanga8089 Жыл бұрын

    Pole sn mtumishi. Mungu akusimamie na akupatie Nguvu

  • @dorakiyao4509
    @dorakiyao4509 Жыл бұрын

    Pole sana baba

  • @danielkalungwana5404
    @danielkalungwana5404 Жыл бұрын

    Niwachachesana wenye ujasili wakuagamsiba mzitokama huutena wamtoto kuagakwanamnahii nimtupekeemwenyeimani ndoanaweza Mungu akutie nguvu

  • @harrietajiambo229
    @harrietajiambo2298 ай бұрын

    Mtumishi wa Mungu Mungu awafunge mkanda na awafute machozi ila uko na Imani thabithi naye Mungu anasema tushukuru kwa kila jambo

  • @bahatimgaya4045
    @bahatimgaya4045Ай бұрын

    Aisee huyu Mungu tumwache aitwe Mungu; kamanda wa Yesu sipati picha kama ningekuwa mimi sijui kama ningeweza kweli.

  • @furahamwatwinza9560
    @furahamwatwinza95608 ай бұрын

    Inahitaji nguvu sana ya Mungu mahali kama hapa,,,watumishi poleni,kaeni kimyaa

  • @estershenene8787
    @estershenene8787 Жыл бұрын

    Nimejifuza vitu ving sana kupitia wewe mutumish mung wa mbinguni aendelee kukulinda uwe na maisha maref ili cku moja hata mimi uniokoe ipasavyo

  • @happinessamaro1565
    @happinessamaro1565 Жыл бұрын

    Pole sana Mungu awatie nguvu hakika ndani yenu yupo roho Mt

  • @mako331
    @mako331 Жыл бұрын

    This is a way of mourning too, Pole mtumishi

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Жыл бұрын

    Aiseeeeeeee ni Mungu ajitwalie utukufu wake kwa mtumishi wake

  • @thefarmertv2871
    @thefarmertv2871 Жыл бұрын

    Pole sana mungu awatie nguvu

  • @Kefa-yw3jy
    @Kefa-yw3jy5 ай бұрын

    Kilajambo linalipwa apapa duniani kwaimani natokee geleezani amen

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala5 күн бұрын

    Mungu awatie nguvu

  • @flowinmyamba950
    @flowinmyamba950 Жыл бұрын

    Kwa kweli unaheri mno mtumishi wa Mungu unajua kuchukua maumivu na magumu du. Mungu akupe wepesi.

  • @user-zs7hm1xh6f
    @user-zs7hm1xh6f2 ай бұрын

    Pole mungu awafunge kamba ya kipekee

  • @sarahmollel8458
    @sarahmollel8458 Жыл бұрын

    Daaah pole Sanaa mtumishi wa mungu

  • @mariacharles4698
    @mariacharles4698 Жыл бұрын

    Kwa kibinadamu ni ngumu wapendwa mungu anajua kusudi Hilo pole mtumishi wa Mungu

  • @indalesiohenery6124
    @indalesiohenery61248 ай бұрын

    Sijawahi kuona mtumishi wa MUNGU mwenye ujasili kama huyu hakika ,

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 Жыл бұрын

    Poleni sana mchungaji mungu awabariki Sana🙏

  • @2012SporahVenance
    @2012SporahVenance Жыл бұрын

    Ujasiri wa ki Mungu ulionao usipungue daima.

  • @masavumwende
    @masavumwende9 ай бұрын

    Mungu akupe watoto wengine kama Job

  • @simonjohn2784
    @simonjohn2784 Жыл бұрын

    Una moyo wa chuma mtumishi

  • @HappyHappy-bz2bv
    @HappyHappy-bz2bv Жыл бұрын

    Mungu akubalik sana na pole sana

  • @edwinelias8554
    @edwinelias85548 ай бұрын

    Hawa ndio watu Mungu anajivua kumsimangia shetani kwani kujaribiwa kwao kuna mpa mungu utukufu

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 Жыл бұрын

    Pole sana mchungaji Mungu afanyike mfariji wako 😭😭

  • @samiramawby1257
    @samiramawby125710 ай бұрын

    POLE SANA,,,BWANA YESU alipokea mali yake hakika🙏

  • @puritydaudi9752
    @puritydaudi9752 Жыл бұрын

    😭😭😭😭duh sina la kusema ila Mungu awafariji😭😭😭😭😭😭 can't believe this😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 Жыл бұрын

    hakika Kila nafsi itarudi kwa aliyeiumba , bwana ametoa na bwana ametwaa, amina

  • @julyanashedrack2725
    @julyanashedrack27256 ай бұрын

    Chozi la mwenye haki litalipwa na Mungu

  • @husa8849
    @husa8849Ай бұрын

    Mungu nimwema kwawujasili uliwonao

  • @costasignol6505
    @costasignol65058 ай бұрын

    Shujaa wa Imani,mungu akubariki.ayubu wa leo

  • @rehemakanyere4188

    @rehemakanyere4188

    8 ай бұрын

    Uchungu wake anaumalizia kwa kuimba

  • @Jacksonmotoka
    @Jacksonmotoka2 ай бұрын

    Amen

  • @neemawidisony5903
    @neemawidisony5903 Жыл бұрын

    Polen Sana usione inje anachangamka ila ndani ya moyo anaumia

  • @laurancesabuni2531

    @laurancesabuni2531

    Жыл бұрын

    Kabisa

  • @costantinemihayo

    @costantinemihayo

    Жыл бұрын

    Ww unaweza kuigiza maumivu?!

  • @VickyDanieltango

    @VickyDanieltango

    8 ай бұрын

    Umesema kweli my

  • @MarithaDaati-xz3yf

    @MarithaDaati-xz3yf

    8 ай бұрын

    Polen sana kwa msiba mzito Mungu awape mioyo y uvumilivu

  • @harrietajiambo229

    @harrietajiambo229

    8 ай бұрын

    Exactly 💯

  • @Praiseandgift4181
    @Praiseandgift4181 Жыл бұрын

    Furaha gani mungu kumpa mtumishi wake nguvu ya kummuomboleza mwanae,pumzika kwa amani

  • @isdoryhenry-bh5kk
    @isdoryhenry-bh5kk Жыл бұрын

    poleni sana inaumiza sana

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 Жыл бұрын

    Mungu akufariji mtumishi.

  • @MarySimoni-tz3fm
    @MarySimoni-tz3fm8 ай бұрын

    Poleni mungu awatangulie

  • @SikujuaEmmanuel-fj4mg
    @SikujuaEmmanuel-fj4mg7 ай бұрын

    Duuuu!!!kweli kukaa na yesu ni kizuri hufariji faraja ya kweli,😭

  • @elinathanikunguni-gi2tn
    @elinathanikunguni-gi2tn Жыл бұрын

    Pole sana mchungaji

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 Жыл бұрын

    Wow! Amani iwe kwako daima!

  • @amosjohn-of5sb
    @amosjohn-of5sb Жыл бұрын

    Pole mtumishi

  • @norasaid600
    @norasaid600 Жыл бұрын

    Hakika leo nimeona kitu cha kujifunza mungu watie nguvu

  • @RoseMapunda-pd6vg
    @RoseMapunda-pd6vg8 ай бұрын

    Siwezi mimi nime fiwa hvi juz na mtoto wangu hata kumzika sijaweza hari yangu ilikuwa mbaya mno hongera wewe

  • @meshasjaguar6136
    @meshasjaguar61369 ай бұрын

    Mungu wangu mungu wangu

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 Жыл бұрын

    Pole Sana wanafamilia

  • @masaluleonardrobert57
    @masaluleonardrobert578 ай бұрын

    Hakika MUNGU akikaa ndani yako hushindwi na jambo lolote, Yesu azidi kukupigania baba Mwakipesile

  • @rehemasumni2156
    @rehemasumni2156 Жыл бұрын

    Watu waajabu sana wako bize kurecod

  • @user-oy6pv5nj9d
    @user-oy6pv5nj9d6 ай бұрын

    🎉

  • @LogiruSaitabau-pm8gf
    @LogiruSaitabau-pm8gf4 ай бұрын

    Inauma sana 😭😭😭

  • @jamespilimo8986
    @jamespilimo89869 ай бұрын

    Daaa so mchezo

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila92908 ай бұрын

    Pole sana

  • @mkritowamungu
    @mkritowamungu8 ай бұрын

    😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Ameeen.

  • @yusuphsitta2400
    @yusuphsitta24004 ай бұрын

    poleni sana

  • @kenonpeter3692
    @kenonpeter36923 ай бұрын

    Mungu akutienguvu

  • @stewartngao8219
    @stewartngao8219 Жыл бұрын

    Mungu awatie nguvu watumishi

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 Жыл бұрын

    😭😭R.I.P Wokovu

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma90511 ай бұрын

    Imani ni kitu kingine aise

  • @lylychris6553
    @lylychris65536 ай бұрын

    To God be all the glory.

  • @TanaMidundo
    @TanaMidundo6 ай бұрын

    Hakika mungu awatie nguvu

  • @RoseMapunda-pd6vg
    @RoseMapunda-pd6vg8 ай бұрын

    Mungu ameweka kitu kwako