MAMBO MANNE TU YATAKUPA UTAJIRI NA KILA UKITAKACHO KATIKA DUNIA FANYA LEO HII UONE MAAJABU MAKUBWA

#riyadhTvZnz #zanzibar

Пікірлер: 35

  • @kuyasayalel2605
    @kuyasayalel2605 Жыл бұрын

    Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda Prof. Huwa nakusikiliza kwa makini sana. Mimi ni mkristo lakini ujumbe huu nitawapa watoto wangu waiweke kwenye context ya dini yetu. Haya ni madini tosha. Mwenye masikio na asikie

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 Жыл бұрын

    Yaa RABBI, wajaalie vijana hawa wawe wawakilishi wema wa darsa hili kwa vitendo, AMIN

  • @hadhaminfadhwil-rab287
    @hadhaminfadhwil-rab287 Жыл бұрын

    mashallah mzee amejaaliwa hekma ya uongeaji, huchoki kumskiliza, and kweli amesoma masha-ALLAH

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 Жыл бұрын

    Yaan profesa allaah akuhifadhi umeongea maneno makubwa sana wengi wao hao unao onngea nao hawapendi kudhilisha neema walionayo ya uisilam wanawke wavaa uchi na wanaume wanavaa cheni na milegezo hawajui kua hii neema ya uisilam makafir wanaitamani bali baadh wanawaogopa watu kuingia kwenye uisilam ndio maana kuliko wapotee wenyewe waneona ni bora watuharibie na sie waisilam hasa kwa kutumia media

  • @salmsaid9700

    @salmsaid9700

    Жыл бұрын

    Kweli ndg na viongoz wote wangekua hivi kuwa nahofu ya mungu tungeushi maisha mazur Sana Mana kusingekua ufisadi na haki ingekuepo

  • @ksmally1985
    @ksmally1985 Жыл бұрын

    Umesema kweli professor

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын

    Pr,naomba uandike KITABU nadhani tutafaidika sana 🙏🙏🙏🙏

  • @Winstonfying
    @Winstonfying Жыл бұрын

    Mzee katema madini yote. Natamani angekuwa na kipindi kila ahsubuhi alfajiri labda ya mwisho wa wiki labda ijumaa saa 11 hvi alfajiri, watu wakiamka wanamsikia mzee huyu ana hekima nyingi sana. Lakini pia nchi ingemtumia huyu mzee hata kuwa waziri wa fedha tungefika mbali sana kama taifa. Kanipa masomo mazuri ahsubuhi ya leo. 1. Work hard (through Business or Trade) 2. Earn 3. Save 4. Invest 5. Expend - Charity Hatua hizi watu wengi sana, wana ziruka na zinaua uchumi wa family nyingi.

  • @lifeinmiddleeast8179

    @lifeinmiddleeast8179

    Жыл бұрын

    Nifafanulie nielew hapo earn

  • @Winstonfying

    @Winstonfying

    Жыл бұрын

    @@lifeinmiddleeast8179 Pata kipato halali mfano mshahara, au faida itokanayo na biashara halali

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 Жыл бұрын

    Mashaallah, my National service mate at Ruvu camp under the late Major General Makame Rashid, A Coy under the late Capt Sungura, Platoon Commander(forgotten) and section under Pvt Said Musa.We made under Compulsory basis

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын

    Kazi. Kwa bidii Save Invest Spending Sadaka 🙏🙏🙏

  • @shaabanikabwe2651
    @shaabanikabwe2651 Жыл бұрын

    Professor wa maana sanaa Prof Asad Mussa Allah akutunze Mzee wetu kwa Busara nyingi sana na upana wa Elimu yako. Elimu yako wajua kuitumia MashaAllah.

  • @shaabanikabwe2651

    @shaabanikabwe2651

    Жыл бұрын

    Sahihi kabisa ukitoa kwa Lilahi zinarudi maradufu hakuna uchawi kwenye kupata Allah kasema ikitoa anarejeshaa mara dufuu. kwa hiyo kukosa kwetu ni uchoyo wetu pia wakat mwingine. Ahadi ya Allah ni ya kweli kwa 100%

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 Жыл бұрын

    Hao dada hapo wamevaa vizuri maashaallaah lakin wengine baada ya kutoka hapo waenda vaa uchi kwa kuwaiga makafir allaah awaongoze

  • @athumanikhamisi3377

    @athumanikhamisi3377

    Жыл бұрын

    Umejuaje?

  • @alexvenas2699

    @alexvenas2699

    Жыл бұрын

    Kafiri ni nani huyo? Kati ya mzinzi,muasherati,mshirikina na muongo n.k? Je katika sifa hizo ww uko kwnye kundi lipi?

  • @muksinsaidi4892

    @muksinsaidi4892

    Жыл бұрын

    kafiri ni mtu au kiumbe anaepinga maneno ya mungu(vitabu) na mitume wake, (kubagua mitume) so kafuri ni mpingaji, au mtu anae abudu viumbe badala ya muumbaji

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 Жыл бұрын

    Allah atujaalie kama wazazi na waja wake tukumbuke kutoa zaka na sadaka Kwa ujumla

  • @allynizar8765
    @allynizar8765 Жыл бұрын

    Mashaallah

  • @abdillahmbarak7418
    @abdillahmbarak7418 Жыл бұрын

    Mashaallah mungu atuongoze inshaallah

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 Жыл бұрын

    Huwa sipotezi MB zangu kwa kumsikiliza Mzee wetu huyu..

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын

    MA SHAA ALLAH PROFFESSOR.

  • @athumanj.buyogela9295
    @athumanj.buyogela9295 Жыл бұрын

    Learning is an Individual effort Learning is never communal

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 Жыл бұрын

    Mashaallaah

  • @khadijamgambo9382
    @khadijamgambo9382 Жыл бұрын

    I wish ningekuwa miongoni mwa hawa wanafunzi wamepata madini na hazina kubwa

  • @Stavanger-cr3ee

    @Stavanger-cr3ee

    Жыл бұрын

    Hata mimi nimewaonea WIVU sana. Masha Allah

  • @eshamohamed9833
    @eshamohamed9833 Жыл бұрын

    Mashallah

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 Жыл бұрын

    Mashaallah tabarakaallah 💙💙💙

  • @abisinawaziri1486

    @abisinawaziri1486

    Жыл бұрын

    Mungu atupe mioyo yakutoa

  • @abdallahhadinani6660
    @abdallahhadinani6660 Жыл бұрын

    Mashaallah shukran

  • @user-rc6mq1np3l
    @user-rc6mq1np3l Жыл бұрын

    MashaaAllah

  • @muhamedmasuud3551
    @muhamedmasuud3551 Жыл бұрын

    Kt1

  • @wasafiali7847
    @wasafiali7847 Жыл бұрын

    Mashaallah

Келесі