Келесі
- 16:40
- 389 М.
- 00:15
- 5 МЛН
- 13 күн бұрын
- 00:27
- 14 МЛН
- 11 күн бұрын
- 00:22
- 10 МЛН
- 25 күн бұрын
- 00:46
- 90 МЛН
- 19 күн бұрын
- 11:49
- 221 М.
- 36:38
- 183 М.
- 8:00
- 10 М.
- 53:17
- 2,2 МЛН
- 13:55
- 1,9 МЛН
- 20:28
- 103 М.
- 22:35
- 214 М.
- 16:01
- 528 М.
- 1:18:38
- 14 М.
- 30:06
- 4,6 МЛН
- 00:15
- 5 МЛН
- 13 күн бұрын
Пікірлер: 220
Wow ❤❤❤ jamani Judith Allah akuzidishie una kipaji mtoto mzuri hata mavazi masha Allah nimeyapenda sana hongereni wapenzi wangu mko vzr ❤❤❤❤
@imeldaolafu2427
6 ай бұрын
Santee my
Jaman jaman mtoto mzr nakupenda unajua sanaaaaa
Mtoto nimependa anavyo igiza💕💕💕💕👏👏
Tumeisubiri kwa amu kweli 😊😊😊Thank you guys for sending this movie
@kumbautv6926
9 ай бұрын
Asante sana kwa sapoti🎉
Judith wake jamn mvi pambe siyo pw ❤❤❤
@kumbautv6926
3 күн бұрын
Asante sana
Hii movie ni tamu kwakweli nasubiri muendelezo nampenda sana judi❤❤❤
@FanyejeRungu
3 ай бұрын
❤
@JoyceMpole
2 ай бұрын
Tamu baraa
Jamn muwe mnawek vipand virefurefu nzur sana i love you young sister judith❤❤❤
Jamani brother Pole sana Japo ni movie mmedizaini kitu ambacho kinatendeka Wanawake hawaridhiki Sasa unampa Kila kitu lakini anasubutu kumuita mme wake eti kunguru mweusi!!!😢😢😢 Dahhh nimewakubali Kwa Hiyo nizaina Ila hicho kitoto duh maneno kama kitu kizima! Judith congrats Ila happy punguza Tamaaa Japo najua ni kazi ila ni uhalisia wa maisha tunayo yaishi mko vzr ila mjaribu kutuwahishieni episode ya 3
@HappyGodson
9 ай бұрын
Nitapunguza usijali
@eliphasethobias1133
9 ай бұрын
Kipande kinachofuata lini wahisheni mtupatie burudani movie yenu nzuri sana Mpe Salamu Judith Kinajua kuigiza
Nakupenda sana judith❤❤
😂😂nyie boda boda Allý😅😅....ikiwa boda boda Ally kakubamba gonga like kabla ujapita mazee😅😅
🎉Asante sana
Wow that's wonderful I'm CTN PETRO from Kenya 🇰🇪 in the word of God.
Hongereni Sana kwa kazi nzr
@kumbautv6926
9 ай бұрын
Asante sana
Jamn et kunguru mweuc kweliiii, siku zote ukipata kipya usitupe cha zaman
Kanzi nzuri my son
@kumbautv6926
9 ай бұрын
Asante sana
Sisi wanawake mungu anatuona eti kunguru mweusi kaondoka😢
Mama wa kambo kapatikana 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Nimependa huyu baba wa nyumba ❤❤❤😂😂naeza pata no
Nimeipenda hongera sana mtoto judith😅😅
Hyo xf Mana mama wa kambo wamezidi kunyanyaxa wtt wawenzao utazania hawajui uchungu wa leba nimeipenda hyo
Nmeikubali sanaaaa🥰🥰🥰
Kazi nzuri❤❤❤❤❤❤
@kumbautv6926
2 күн бұрын
🤜
Wow judith your did well
Judithi.unatisha.sana.nimekupenda.sana.unaweza
Wow Judith you did a great work
Hyu mtt enyewe anajua kuigiza nimempenda sana❤❤❤❤
@kumbautv6926
2 ай бұрын
Asante
Yupo vizul
Aaaah 🤣🤣🤣 boda boda kajipupulia najua hapo😂😂😂😂
Mtoto judth nimepanda Bure mama wa kambo akasome kwanza kwa habari yakurea watt wa wenzio
Hongereni sna kwa kazi nzur
I love you mtoto mzuly uko vizuli sana
Judith n mtt ambae anajua sana kuigiza ila mama ake ss analinga2 alegeza saut akinuna akucheka akiwa na mawazo hajulikan plz dada tunapenda sana kaz zenu nyinyi ndo ss na ss ndo nyinyi badilika kua serious sio kila saa unaringa
Kazi Nzur Sana Ongera Kumbau
Yani mtoto yuuko vizur sana ♥️ nmependa pafmas yake
Good work
Kafukuza wateja 😂😂
Kunguru mweusi tena😂😂😂
Aiseeeee mmechelewa xn 😢😢😢 nawapenda xn qwa kazi nzuri😂😂
hongereni sana nyote allah awaongoze katika kipaji chenu twasubiri party nyengine
Wanawake walaah wengne pepo tutaion 2
Judith a good girl ❤❤❤❤
@HappyGodson
9 ай бұрын
Jaman nakiranga chote icho😂😂
Jamani nimependa sana hiyo movie
Nimesubir kwa hamu n gham❤❤❤
Good girl ❤❤
Hope bodaboda Ali amejikojolea maan haikuwa rahis walai😂😂😂😂😂😂
Nimeipenda kibokooo
Mtoto anakipaji kizuli sana mungu amjaliye jamani
Nakubali ndugu judc ongela
Kazi sana ❤❤❤❤❤❤❤ mama
Waooooooo nimeipenda
Ila mama kufunga funga mikom apungnz
😂😂😂😂😂😂jamani mtoto kafukuza wateja
Endele dafangu judhith
Wow jmni mashllah Judith
Nimependa Sana hii
Judith unawez
😂😂😂😂 dereva wapikpik ywataka kunya wachezea bastola wewe
@Mtiga_The_Boss
8 ай бұрын
Hahahahaaa
Mashalaa
Mtoto yupo vizur Sana ila mna chelewesha Sana hady tunssahau
Kweli inatisha
Akiii huyu mtt anachekesha😂😂😂😂
Mbona mwa helewa kuitoa
@kumbautv6926
9 ай бұрын
cjakwelew
Nampenda Judith jmn❤❤❤❤
Nikwel mama yakambo nimubaya sana jama
Huyu Mtoto mambo mbaya
Judithi kaharibu biashara ya watu jmn japo sio kwel, siku zote usiongee kitu kibaya mbele ya mtoto
Hatari
Mama wee hapo umeyakoroga judi kikomo chako
Nice
This was nice to meet this channel
Judy anapenda mmke wakambo
Huyo mtoto anajitaidi kuigiza vizuri pongezi zake👐👐👐
Waoo mnzuri sana
Nzuri lakini mnachelewa kutoa jmn
@kumbautv6926
9 ай бұрын
sawa tutalifanyia kazi hiyo sorry
@user-bz7gk2pu4m
9 ай бұрын
@@kumbautv6926ahsante tutafrahi mno
@MarryDaimond
8 ай бұрын
🎉🎉🎉
Akuna kitu ngumu Kua mama Wa kambo
Movie imetawaliwa na mtoto ila pongezi kwa muandaaji na pongezi za dhati kwa Watanzania kwa kweli mumetunukiwa kwa kila aina ya vipaji mimi kutokea kenya 🇰🇪
@Mtiga_The_Boss
8 ай бұрын
Asante
Tunasubiri ya tatu
@kumbautv6926
9 ай бұрын
sawa soon
ushoga kazi jaman😂😂😂
Mbna uy dada amefanana na mm sura
@HappyGodson
9 ай бұрын
Mmhhh kweli
@Mtiga_The_Boss
8 ай бұрын
Pacha wako
Hongera sana Judith
Iko poa sana
@onesmusmunga2458
7 ай бұрын
Lv
Jamani
Waooo ukovzur jud
😮
❤❤❤judith anakupaji
Hii nzuri ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Kimekuramba bodaboda Ali
🎉🎉🎉Nzuri sana
Duh 😢kunguru mweusi huyo nimweupe duh amakweli
Nimewapenda xana
Mtoto akili zake anazijua mwenyewe 🤣
❤❤❤ hongela san
Saf mwanangu judithi wewe ni mfano was kuigwa
Nzur
Hongera judith wewenimtoto mwenyekipaji unapatikana wapi
Waoh nimeipend san
Wanza leo mimi naombeni like zangu 🙏🙏
@HappyGodson
9 ай бұрын
Mama wa kambo nishakulike😂
@kumbautv6926
9 ай бұрын
pmj nashukur
Wow Judith 🎉
😂😂😂3 ep mama anamajaga uyo
Mi njo wamwisho wakucelewa kama mm tujuwane 😂