MAMA MKWE WA BARNABA MAMA KIMBO ACHARUKA BARNABA ANANIARIBIA MWANANGU HANA ADABU ANAMCHEZEA RAYA

Ойын-сауық

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 98

  • @Lulucut
    @LulucutАй бұрын

    Media hapo zinapenda mtu akifunguka hvyo😂😂😂😂

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1bАй бұрын

    Muache apambane mwenyew mama.sio.vyema.kuingilia ndoa ya mwanao.mwenzio.hadija.kopa.yupo.kimyaaa kama.haon😅😅😅😅😅tulia mama

  • @henriettenkuba3240
    @henriettenkuba3240Ай бұрын

    😊I love tanzania.mimi mu congo

  • @sarahamos4714
    @sarahamos4714Ай бұрын

    Wivu mama mkwe kwa mwanaeee jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @spency2371
    @spency2371Ай бұрын

    Kipind barnaba anamuoa mwanao mlijua kabisa kuwa huyo ni msanii now mnataka kumpangia namna ya kufanya kazi wakati hiyo kazi inawapa ugali🙌🙌 Msyuuuuuu❤!😏😏😏

  • @noelbryson7840

    @noelbryson7840

    Ай бұрын

    HILI MAMA JINGA KABISA..

  • @user-yb1mv2nx6m
    @user-yb1mv2nx6mАй бұрын

    Uyu mama ni kiboko🙌

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1oАй бұрын

    Mama Kimbo niatari kweli u,una jazba mama nenda pole pole

  • @davidsika5292
    @davidsika5292Ай бұрын

    Duuuu nchi yetu imepungukiwa maadili saaana

  • @mariej6962
    @mariej6962Ай бұрын

    Iwe kiki iwe kweli kwake , nimependa ana lafudhi nzuri sana huyu mama. Asante kwa kuenzi kiswahili sanifu. Kawatoa out hadi waandishi wa habari, ujengewe sanamu mama!

  • @margarethpolepole7438

    @margarethpolepole7438

    Ай бұрын

    Mama wa Kitanga huyo mawahili kwisha kazi mkwe gani anaingilia nyumba ya mwanae huyo ni Msanii ndiyo kazi yake mkwe anasema kama Kasuku wala ndoa hiyo haisumu

  • @user-lh9hd2vr5v
    @user-lh9hd2vr5vАй бұрын

    Hawa wamama wachangia ndoa kuvunjika makelele ya nini mpiluuzi kabisa nyamaza ungekuwa mkwe makofi unakula

  • @stellamanisha7870
    @stellamanisha7870Ай бұрын

    kutwa mwanao anakata miuno mtandaoni 🤣🤣🤣mmeachika ni zam yangu Sasa😂😂

  • @shakiralasway8821
    @shakiralasway8821Ай бұрын

    Mungu wangu huyu mama sijui kabila gani au nit abia tu zamtu!namuomba mungu anifanyie wepesi kwenye ndoa yangu nisikutane natoleo kama hili😮

  • @TabeaKivuyo
    @TabeaKivuyoАй бұрын

    Mama meza mate duuuh😂😂😂

  • @henrypeter2996
    @henrypeter2996Ай бұрын

    Zamani mama wakwe Walikuwa wanatumika kuimarisha ndoa za watoto wao...., ila siku hizi mama wakwe ndo wanatumika kuvunja ndoa za watoto wao... Hatari sana

  • @TresorZakwani
    @TresorZakwaniАй бұрын

    Ataka kazi alifanya vibaya

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1puАй бұрын

    Mwanao hajajua kw amba ameolewa na msanii ila mama ki mbo mwanao alipoo Lewa ulijigamba san a kwamba mwanao hawezi kuachwa na barnaba hawezi kuw a na mwanamke Wa la kumtamani mwa namke yoyote kiko wapi Sasa msijisifie hao ndio wanaume bwana

  • @MUDIKIDEVU-fl7ii
    @MUDIKIDEVU-fl7iiАй бұрын

    Hutaki kumuona wewe ila mwanao anataka kumuona we mama kitulize ....kipindi cha ndoa uliwachamba watu leo tena mtu yupo kazini wewe kamasi zinakutoka ...halafu anajiamini utafikiri huyo barnab kamuoa Malkia elizabeth hawezi kumuacha ....ataachwa moja kwa moja we jineng'eneshe tu ...mke wa mtu unampokeaje kienyeji hivo na wewe mama za mwamwa vilevile

  • @NeemaNeem-ex2oi
    @NeemaNeem-ex2oiАй бұрын

    oya bro achana na huyo mama hazimotoshi hajui upo kazini fanya kazi

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xnАй бұрын

    Vaeni nguo fupi wanamusic lkn mvae nguo za heshima tunataka mvae nguo za music tatizo wanavaa nguo za casino hii HAIKUBALIKI na sio Barnaba tu na wanamusic wote kina zuchi Nandi ,maua Sama na wengine wavae nguo za music waache kuvaa nguo za casino

  • @neemamseti2251
    @neemamseti2251Ай бұрын

    kiukweli mimi nasema ndo mana movi za kibongo hazina maana kwani kuoa tanzania ndo mnajua kaoa yule yuko kwenye kazi mwanao hajaoana na shehe ameolewa na mtumaalufu, huyu mama akili hakuna tutapataje uhalisia kuwa wimbo unamanisha mapenzi, angalieni movi za nje zina uhalisia. tulia wewe hapo unao ingilia ndoa ya mwanao

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840Ай бұрын

    Sijawahi ona mama jinga kama hili..Halafu limekaa kimcharuko ..

  • @biggyayush4539

    @biggyayush4539

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ScopionScopion-zj9cd

    @ScopionScopion-zj9cd

    Ай бұрын

    mjinga niww mama yuko saw

  • @dianamwatonoka9286
    @dianamwatonoka9286Ай бұрын

    Ila waandishi

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785Ай бұрын

    Wewe mama mshenz kwanini uje mtandaoni

  • @robertadolf562
    @robertadolf562Ай бұрын

    mbona ulikuwa unashikwa shikwa , barnaba hakulalamika

  • @margarethpolepole7438

    @margarethpolepole7438

    Ай бұрын

    Robart huyo mkwe bomu ndiyo tatizo la kuoa mwanamke wa kiswahili

  • @MaureenmedzamzunguMedzam-cs2ht
    @MaureenmedzamzunguMedzam-cs2htАй бұрын

    Hyu mamamkwe hana adabu,kwn barnaba n bwanako nyokooo

  • @kiya0910
    @kiya0910Ай бұрын

    Ww mama hujafungwa nitamwambia mama hadija kopa akufunde usiingilia ndoa ya watoto

  • @noelbryson7840

    @noelbryson7840

    Ай бұрын

    JINGA KABISA HILI MAMA.. USIKUTE NA LENYEWE LINAMMEZEA MATE BARNABA..

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495Ай бұрын

    Barnaba hana mkwe hapa, na kampokea mwanawe bila ridhaa ya mumewe. Hivi hakujuwa mkwewe ni m'bongo flavor huyu mama ni mtihani sana ktk jamii na sura yake kama turubai ya msibani. Embu kaaa kwako utulie ww mama bazazi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780Ай бұрын

    Unakuharibia mwanao? We hukujua anaelekea wapi?

  • @faithnduku7292
    @faithnduku7292Ай бұрын

    Mama yuko sahihi

  • @michelinemapendo6652

    @michelinemapendo6652

    Ай бұрын

    Kabisaaa 😢😢

  • @michelinemapendo6652

    @michelinemapendo6652

    Ай бұрын

    TAZANIA MAN THEY NOT RESPECT AT ALL 😢😢😢

  • @ASALABOY
    @ASALABOYАй бұрын

    Hu uyu mama sio poa

  • @user-xp9xk7lc9k
    @user-xp9xk7lc9kАй бұрын

    Oi huo ni umandaziii

  • @Khany_voice417
    @Khany_voice417Ай бұрын

    Acha usenge ww mama kimbo, aya mpeleke Mwanao kwa kimbembe fala ww

  • @ombidiz_tz8888
    @ombidiz_tz8888Ай бұрын

    Huyu cicter ni chizi mtt wake kuonesha uchi eti hakuna shida ila Barnarba kumshika yammi kwenye kushoot eti ndo shida maadili gani kama hayo anayayazungumzia huyu cicter ni mpumbavu kweli wivu adi kwenye ndoa ya mtoto wake au anamtaka nae Barnarba amusanzue.........😂😂😂

  • @HalfanAlly-pr4xt
    @HalfanAlly-pr4xtАй бұрын

    Mama kimbo hayakuhusu

  • @proviuskatunzi
    @proviuskatunziАй бұрын

    we mama acha ujinga huyu n msanii 😅😅😅na hiyo ndo inamuingiza hela ya kumtunza mwanao 😅😅😅 sasa umemind hvoo je angekuwa amempiga mate c ungemuozesha kwingine

  • @ikangalaikangala
    @ikangalaikangalaАй бұрын

    Kwan alikuoa ww mbona mate yamemujaa

  • @kdloon2030
    @kdloon2030Ай бұрын

    Mama mwenyewe haji heshim,hajajistiri halafu anaongea nini?Bint katoka nyumbani kwake bila ridhaa ya munewe,nawe wampokea na full kutoa povu mitandaoni

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058Ай бұрын

    Mama ww una mdomu kweli acha mambo ya watoto ivyo wakipatana utaweka wapi sura yako mama kimbo mbona mkweo ni anabusara Sana ww shida nn mama. Wacha Jimbo liende kipindikile pia ww mama ulisema unataka mwanao aholewe Sasa amesha kulewa ww Tena kimbelembele kama mfumo wa koti tuliya bb Wala sio yako ni ndani ya ndoa Yao wenyewe tuliya Bibi 😂😂😂

  • @pendothomas7885
    @pendothomas7885Ай бұрын

    Aache kuendesha ndoa za watu huyo yeye nani anamfuatilia kwenye kazi zake 😂

  • @user-xt6bo9yj2o
    @user-xt6bo9yj2oАй бұрын

    Wataka ushikwe wewe mama nakujua

  • @charlesmagige8935
    @charlesmagige8935Ай бұрын

    Atashikwa kidogo

  • @mossyfimbo3577

    @mossyfimbo3577

    Ай бұрын

    😂😂😂😂

  • @gracewilliam4102
    @gracewilliam4102Ай бұрын

    Barinaba ni mjinga ameenda kujichomeka mzazi hamezi mate

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdijaАй бұрын

    😅😅Ndio Barnaba classic Muhamedi huo 😅😅😅😅😅we mama wew nakukumbuk 😅😅Wale vijuso wale Barnaba kishamckuwa 😅😅😅leo Hana adabu???😂😂😂

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1puАй бұрын

    Unaongeaaaaa mpa ka mishipa ya shing o imekutoka kwanza mwanao hajafundw a usingempokea mp aka aje na talaka mo aka hapo mama Kimbo umekosea mwanao nae sie pia tumbo wazi hovyo h ovyo ulijigamba san a kwamba mwanao umemfunda sana h aachwi kiko wapi

  • @ZainabuAbedi-cy1kq
    @ZainabuAbedi-cy1kqАй бұрын

    Ila waandishi wa habari jmn😂😂😂😂

  • @gracewilliam4102
    @gracewilliam4102Ай бұрын

    Huyu anatakiw barnaba amuowe mama ake mkweee

  • @KismartSaid
    @KismartSaidАй бұрын

    Ajui uislamu huyo huyo ni mpagani

  • @khadijakheir9323
    @khadijakheir9323Ай бұрын

    😂😂😂😂😂duh mama kimbo

  • @letajirsimba
    @letajirsimbaАй бұрын

    mama jicho limemtoka kiuno tu na chupi kua nje,je angepakiwa mkongo yammi ingekuaje?????????

  • @georgesteven5185
    @georgesteven5185Ай бұрын

    Hila toto lako linavyo kata kiuno mitandaoni Yupo sahihi

  • @noelbryson7840

    @noelbryson7840

    Ай бұрын

    😂🤣🤣! Mama lenyewe linaonekana tu niwalewale..

  • @Joycekwolola7
    @Joycekwolola7Ай бұрын

    Kwani amelala nae mbona nyimbo inasiku tatu na mahojiano yanasiku tatu eee bhana

  • @davidsibejo4916
    @davidsibejo4916Ай бұрын

    Kosa ulilo fanya nikumuozesha kwa huyu msani

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150Ай бұрын

    Kaa kwa UTUO barnaba😂😂

  • @SaraMwamanda

    @SaraMwamanda

    Ай бұрын

    😂😂😂

  • @jasmineomary4325
    @jasmineomary4325Ай бұрын

    Mkwe au mkwepe

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cdАй бұрын

    mama uko sawa ila watu wengi wanao kukosoa niwale mashoga wapenda zambi wasiojua kama ipo siku moja watalazwa kabulini ndio mana wanakuona huna akili kumbe wao ndio wajinga

  • @TabiaSeleman
    @TabiaSelemanАй бұрын

    Mama umeishiwa

  • @FrancisDaka-pe3xd
    @FrancisDaka-pe3xdАй бұрын

    Wakati anaolewa na barnaba alijua ni mchimba mitaro

  • @Channelque890
    @Channelque890Ай бұрын

    😂😂😂😂mama meza mate 😭😭😭😭😭😭😭

  • @saadakombo4090
    @saadakombo4090Ай бұрын

    hiyo video hata haifai kuangalia na watoto

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069Ай бұрын

    Basata ivi wapo? Mbona mziki huu unaenda huku

  • @LilyWilie
    @LilyWilieАй бұрын

    Kiki iyo

  • @IsackHolowa-ki7jc

    @IsackHolowa-ki7jc

    Ай бұрын

    Wew mam kimbo mpumbavu asa wew mam kwahy mwanao kushikwa chupi unaon wivu 😂😅😮

  • @IsackHolowa-ki7jc

    @IsackHolowa-ki7jc

    Ай бұрын

    Ulitak kushikwa wew hiy chup wew mam

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298Ай бұрын

    Kajichanganya kwenda kuoa kwa mama k

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vzАй бұрын

    B mkubwa UKO saw mwanndishi uwe na adab bac,

  • @user-ew7xd1xu3s
    @user-ew7xd1xu3sАй бұрын

    Ilenikaz na yule nibongofreva

  • @DamianCHENGO
    @DamianCHENGOАй бұрын

    Uko swa mama but shida ni mtto wako

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171Ай бұрын

    MWENYEWE NDIO ASEME SIO WEWE

  • @oyay2821
    @oyay2821Ай бұрын

    Kama kiki inakuja alafu inarudi

  • @user-yl3iu6oo9i
    @user-yl3iu6oo9iАй бұрын

    Mama mkwe hamtaka barnaba

  • @agnesslyimo5677
    @agnesslyimo567714 күн бұрын

    😅😅😅😅

  • @hanafitotoya7762
    @hanafitotoya7762Ай бұрын

    Mama mkwe kope machoni kama jini

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qkАй бұрын

    Ww

  • @user-kh1tn6yr8b
    @user-kh1tn6yr8bАй бұрын

    Ndio mkwe wako uyo mwanamuziki

  • @user-iw8fm6tv7c
    @user-iw8fm6tv7cАй бұрын

    Nisahihi unavoongea

  • @sisifaty9183
    @sisifaty9183Ай бұрын

    Nawewe huna adabu.utamuiwa wewe

  • @omarmondo9830
    @omarmondo9830Ай бұрын

    Ma mkwe kaa kwa kutulia mkwe wapo yupo kazi 😂😂😂

  • @user-ox5xz4ew9u
    @user-ox5xz4ew9uАй бұрын

    Mulher epunta

  • @hanafitotoya7762
    @hanafitotoya7762Ай бұрын

    Mama mkwe acha wivu huyo msanii kwanini umemuozesha kwamuimba mziki

  • @noelbryson7840

    @noelbryson7840

    Ай бұрын

    Unaweza kuta hata hili mama linamtamani barnaba..

  • @sarahamos4714
    @sarahamos4714Ай бұрын

    Chupi imemtibua mama mkwe weweeeeeeeeeeee

  • @amisafaraji5796

    @amisafaraji5796

    Ай бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @mdoutz7452

    @mdoutz7452

    Ай бұрын

    Mama kavurugwa na mchupi ulee😂

  • @LoyookellyTz
    @LoyookellyTzАй бұрын

    mmmmmh ujinga mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @ScopionScopion-zj9cd

    @ScopionScopion-zj9cd

    Ай бұрын

    ww ndio jinga

  • @ShaniiPulis
    @ShaniiPulisАй бұрын

    Kweli mama uk sahihi ila sema. Wale niwasanii

  • @rosemneney3244

    @rosemneney3244

    Ай бұрын

    Hehe heeee ulisema mwanao kafundwa mzuri hawezi kuachwa halafu Barnaba anawazazi pia

Келесі