MALUMBANO YA HOJA: JE, KUNA UMUHIMU WA KUWEKEZA KWENYE KINGA NA TIBA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mapambano ya Dhidi ya Dawa za Kulevya ambayo kitaifa yatayofanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Juni, 2024 katika viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza.
Leo wadau mbalimbali wanakutana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA cha ITV kujadili kwa pamoja mada ya Je, Kuna Umuhimu wa Kuwekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya Dawa za Kulevya.

Пікірлер