MAKONDA "Lipeni Hiyo Milioni 132 Ndani ya Dakika 10" SINA MUDA wa KUCHEKA, MIAKA 3 MNAMZUNGUSHA TU 🤔

Пікірлер: 125

  • @hasani565
    @hasani56529 күн бұрын

    Arusha ilikuwa inatisha wamekula hela za walipa Kodi kwa Miaka yote hakuna kilicho fanyika.Makonda ni kiongozi Bora.Magufuli spirit eee mungu Tanzania inakushukuru kwa kutupa Makonda.Makonda inabidi alindwe kwa kila hali ...ulinzi wa kwanza uanzie na sisi wanachi tumlinde kwa hali na mali .kama una kubali weka like 💪✌️

  • @adelinelyaruu3036

    @adelinelyaruu3036

    29 күн бұрын

    Hii nchi ni shamba la bibi

  • @mkabesamaashao6805

    @mkabesamaashao6805

    29 күн бұрын

    Ndio maana wanakiburi sana kwa unyanyasaji

  • @dorahmushi-we6ts

    @dorahmushi-we6ts

    29 күн бұрын

    Huyu ameletwa na Mungu mwenyewe, Mama samia aliguswa na Mungu, nani anakataa kuwa Arusha inaibeba Tanzania kwa maombi? Arusha kwa asilimia kubwa, humuomba Mungu ktk Roho na kweli, sio kukaa kusubiri miujiza!!... Mama Samia asante kwa huyu kijana wako Makonda na team yake

  • @dorahmushi-we6ts

    @dorahmushi-we6ts

    29 күн бұрын

    Mama Samia mama, ktk mikoa mingine wale viongozi waliolala wanatakiwa waamke sasa...teua vijana wazalendo kama Makonda, Silaa, na yule wa Dar japo kidogo aongeze kasi

  • @binseif2216

    @binseif2216

    29 күн бұрын

    @@dorahmushi-we6ts Lkn Arusha inaongoza kwa mauaji

  • @HamidaHamisi-ej8kz
    @HamidaHamisi-ej8kz29 күн бұрын

    Mama Samia mama yetu uliona mbali sana kumteuwa Makonda Makonda nijembe sana abarikiwe mzazi alieza Makonda

  • @hamisiyusuph6721
    @hamisiyusuph672129 күн бұрын

    Huyu jamaa Genius sana Mungu apiganie

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon106429 күн бұрын

    ❤❤. YAN NIKILALA BILA KUANGALIA POST ZA MAKONDA SIPAT USINGIZI😂😂

  • @Zuu673

    @Zuu673

    29 күн бұрын

    😂😂😂km mimi

  • @Bless215

    @Bless215

    29 күн бұрын

    Hakika

  • @fathimadaid3429

    @fathimadaid3429

    29 күн бұрын

    Mie sikuhizi sisikilizi tena simulizi zaidi ya makonda

  • @aminakasim1198

    @aminakasim1198

    29 күн бұрын

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Ryanzabron

    @Ryanzabron

    29 күн бұрын

    Makonda ndo rais wetu ni swala la muda

  • @user-xc5mk4ro2z
    @user-xc5mk4ro2z29 күн бұрын

    Mm ACT damu ila kwa makonda anochokifanya Niko pamoja nae na kama atagombea urais nahama ACT.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma323129 күн бұрын

    Ubarikiwe.Wenye wivu wasije kukugusa.Msimuue.Mungu anamlinda Makonda.❤Ninakuombea maisha marefu🎉🎉

  • @shamzone388
    @shamzone38829 күн бұрын

    Makonda anaona mbali sana mungu amlinde yarab Na hana ubaguzi wa dini kabila wala rangi anatimiza lengo lake la kazi Wafichue madhalimu woote uwanjani tuwajue nchi yetu itanyanyuka sasa maana ilikuwa inadidimia kwenda chini

  • @user-sx1xi4yb2z
    @user-sx1xi4yb2z29 күн бұрын

    Makonda wangu mungu azidi kukulinda,, Wasikuue kama walivyomuua baba yetu magufuri,,, Maana watu kama nyie huwa mnawindwa mnoooo,,,

  • @mchumiajuani1993
    @mchumiajuani199329 күн бұрын

    NAPENDEKEZA MAKONDA AWE MKUU MKOA KWAMIEZISITA KATIKA KILA MKOA

  • @user-zj9wj3qe3i
    @user-zj9wj3qe3i29 күн бұрын

    Yaani huyu mweshimiwa akisema ndio anagombea urais kesho hiyo ni shwaaa✓✓✓ bira kipingamizi yaani huyu mtu anatosha kwa kira kitu ila kama mama akiendelea kumuamini zaidi basi najuwa kwa kazi ya huyu Makonda mama mitano tenaaa kazi iendelee baada ya hapo kiti muachie yeye aendeleze mama atakapokuwa ameishia

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g29 күн бұрын

    Mimi ndo mana huu upuuzi sitakagi. Mi ni mjenzi sitaki kabisa kufanya kazi na serikali kabisa ni wasumbufu hawa watu pesa wanazigawana wao humo wanazila harafu madhila yanaenda kwa mkandarasi

  • @user-jj1sx1ow4h
    @user-jj1sx1ow4h29 күн бұрын

    Makonda keep it up

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe47129 күн бұрын

    Safi sana

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s29 күн бұрын

    Hyu ndie mkombozi wa watu

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman746829 күн бұрын

    Makonda na kupenda msema kweli mpenzi wa Mungu Allah akuhifadhi na Kila abui

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia992129 күн бұрын

    Wababaifu sana tena kujenga shule afadhali kuliko kujenga zahanati

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya29 күн бұрын

    Mimi makonda atanifirisi kabisa kira siku natumia erf 2100 bando

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi245429 күн бұрын

    Makonda hata kama CCM siipendi ila wewe nakukubali sana Bora hata CCM wakusimamishe ugombe hata urais unaweza tuokoa

  • @khadjamhozya

    @khadjamhozya

    29 күн бұрын

    urais hawezi pata

  • @mnyongeiddi2454

    @mnyongeiddi2454

    29 күн бұрын

    @@khadjamhozya kwanini kiongozi kila jambo hupangwa na Mungu inawezatokea

  • @martinabayyo9982

    @martinabayyo9982

    28 күн бұрын

    ​@@khadjamhozyambn unampinga sana hi kazi anayofanya utaweza ww? Hata kama ww humpendi wengi tunamkubali utakufa na roho mbaya

  • @gabybulba9574
    @gabybulba957429 күн бұрын

    Makonda ana kila sifa ya kuitwa kiongozi, anajua kuenenda na mazingira na kutatua migogoro, Mungu akutangulie Mh.Makonda

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery615729 күн бұрын

    Mh. Makonda hongera sana kwa kusaidia watu , napendekeza ziara yako iwe nchi nzima na uongezewe power

  • @gregory6165

    @gregory6165

    29 күн бұрын

    Wanaogopa anawafunika, si alikuwa mwenezi akawa anazunguka kila sehem, lakini si walimtoa walipoona attention yote kwake

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten956029 күн бұрын

    Makonda Allah akulipe huo ndio uzalendo sio kama bahazi ya viongozi wa africa

  • @user-cs2pg3ng8l
    @user-cs2pg3ng8l29 күн бұрын

    Paul makonda Mungu akubariki baba

  • @MathiusOlavian
    @MathiusOlavian29 күн бұрын

    Baba piga kazi sana tunakukubali sana

  • @SiaCollins
    @SiaCollins29 күн бұрын

    Mtetezi wa wanyonge,hoyeeeeeeee

  • @user-qn8ig9ey6b
    @user-qn8ig9ey6b29 күн бұрын

    Makondaweye ni mtu na nusu mambo magumu kwako yanafanyika mapesi kumbe uleugumu ni utashi wa Watufulani pigakazi Mungu yupamojanawe

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj29 күн бұрын

    Moto moto fireeeeh!..

  • @Timoclement
    @Timoclement29 күн бұрын

    Haijalishi Bora anagusa maisha ya watu hongera Makonda

  • @ClementJacob-sd8lf
    @ClementJacob-sd8lf27 күн бұрын

    We luck good leader like magufuli and makonda although human being we have problem of course but makonda tries to unite and bring peace we love you so much

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser763428 күн бұрын

    Wezi wote na wababaidhaji watakuchukia lakini wananchi wema wote watakupenda na kukuombea na hawa ndiyo wengi. Unastashili kuombewa, kupongezwa na kutiwa moyo kwa kazi unayoifanya. Kongole Mwamba wa Arusha.

  • @geey7893
    @geey789329 күн бұрын

    Ivi Mbona Arusha Viongozi wengi wa halmashauri ni wanawake? Halafu hawako smart? Au ni wale watu wa watu wanawekwa kimkakati

  • @josephlorri431

    @josephlorri431

    29 күн бұрын

    Mkoa wenye warembo.. wanapewa nafasi kwa vimemo

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde438429 күн бұрын

    Hawa ukiwakuta maofisini mwao ni noma, utazungushwa mpaka ukome, wengi ni vyet fek

  • @user-rr8cw8yl5o
    @user-rr8cw8yl5o29 күн бұрын

    Makonda kaza buti baba acha kuwachekea hao tunakuomba baba

  • @twentyacresfarms3464
    @twentyacresfarms346429 күн бұрын

    Ukiwa mpigaji uwe smart sana na uwe na kumbukumbu sana kwenye kila jambo na uwe smart sana kupitiliza alafu uwe na ujasiri

  • @johnlembo2955

    @johnlembo2955

    29 күн бұрын

    Ukiwa mpigaji ujue mwisho wako ni aibu tu.

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat27 күн бұрын

    Viongozi wa arusha mmepatikana,Makonda hongera kwa kazi nzuri

  • @shamzone388
    @shamzone38829 күн бұрын

    Makonda anaona mbali sana mungu amlinde yarab Na hana ubaguzi wa dini kabila wala rangi anatima lengo lake la kazi Wafichue mashalimu woite uwanjani tuwajue nchi yetu itanyanyuka sasa maana ilikuwa inadidimia kwenda chini

  • @josephlorri431

    @josephlorri431

    29 күн бұрын

    Udini umeingiaje hapo..kwa nini umewaza udini kwenye kazi za serikali? Wazo limekujaje kwenye akili..au

  • @user-iq3pe4sf2h
    @user-iq3pe4sf2h29 күн бұрын

    Hi ichi apewemakonda

  • @khadjamhozya

    @khadjamhozya

    29 күн бұрын

    Apewe nanani

  • @tiffanymo9453
    @tiffanymo945328 күн бұрын

    Dah ,their not serious. Good Job honorable Makonda. We’re praying for you.❤🙏

  • @NeemaNey-mp2fi
    @NeemaNey-mp2fi29 күн бұрын

    Mm sio mwana ccm Ila makonda nimekukubali una faa kua Rais wa Nchi hii mungu akulinde na akusaidie wakusimamishe ugombee urais unapita bila kupiga nakuambia mungu akusaidie

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana808829 күн бұрын

    Apewe uwaziri mkuu mawaziri vilaza wakione Cha moto

  • @musaamos2431
    @musaamos243117 күн бұрын

    Mungu akupe maisha malefu❤❤

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg26 күн бұрын

    Ningekua mungu uyujamaa angekua rais

  • @user-ot5us9mz9w
    @user-ot5us9mz9w25 күн бұрын

    Mimi naamini Wakuu wamikos baadhi pia wapo wanaofanya kazi kubwa sema kama waandishi wahabari wengine hawafwatilii yanafnyika bc lazima atafute mtu gn hbr zitauzika kiongoz gan hua ukigusa trend ipo mfno angalien baadhi yamawaziri kama Bashe.. Bashungwa..Ally Happy watu wanafny kz sema hii nchi ni Pana na kubwa

  • @lumamialain
    @lumamialain27 күн бұрын

    😂😂😂 mkurungezi huyo hapo Big up Mkuu wa mkoa Makonda

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia992129 күн бұрын

    Nchi nzima inashida taratibu za malipo halmashauri ni kichefuchefu

  • @user-hw4qp5kv6m
    @user-hw4qp5kv6m29 күн бұрын

    Mtetezi wawa Nyongeee oiga kaz Mzeee Mungu Anakusimamiaaa

  • @SamwellLesicar
    @SamwellLesicar29 күн бұрын

    ❤❤❤❤❤❤ makonda jitahidi baba maana wamezidi sana

  • @Zubaiba
    @Zubaiba23 күн бұрын

    Nampenda makonda sana

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia992129 күн бұрын

    Mchengelwa ni bwege tu shida zote hizi zipo wizara yake

  • @Zuu673

    @Zuu673

    29 күн бұрын

    Ata km lkn mdomo husiponze kichwa ndugu

  • @mashaallahabuu1167

    @mashaallahabuu1167

    29 күн бұрын

    Tupoooo wengi Kwa kuangalia kazi ya Muheshimiwa wetu mpendwa ,mnyonge wa wananchi,yaaani nikikisa eb naumia sana,vochwa zipunguzwe bei jmn

  • @geofreykayombo401

    @geofreykayombo401

    29 күн бұрын

    Wabongo wakishaingia kwenye system hasa serikalini,wakapata njia za pesa wao huwa hawana habari tena na wananchi,wanajiangalia wao na familia zao.ndio Mana ngazi zakutatua hizi kero anayoyafanya makonda watu wapo kibao kwa nafasi zao tofauti tukianza na wenyekiti wa mtaa,na kuendelea ngazi kwa ngazi mpaka kufika kwa mkurugenzi then itafika kwa waziri au wizara usika

  • @felistaminja3034
    @felistaminja303429 күн бұрын

    Mungu akufunike kwa mbawa zake milele

  • @user-tu9ps9kr2o
    @user-tu9ps9kr2o29 күн бұрын

    Uchunguzi wa Nini kwenye pesa ya Nini 😂😂😂

  • @ShamsiKasoma-fn4cl
    @ShamsiKasoma-fn4cl29 күн бұрын

    Ww Jamaa mungu atulindie unajitaid sana jaman japo chema akidumu Ila ww utadumu Yan hutaki rushwa

  • @babunyonge6270
    @babunyonge627029 күн бұрын

    Etii ooh ukimzulumu mchaga anakuua loh kumbe mabwabwa ivi , afu uyo dada anachekacheka akiambiwa huongei na bwana ako tuna mitaro inaibuka uko

  • @deejeydaev
    @deejeydaev29 күн бұрын

    Hichi kichwa safi sana my future presidaa

  • @JumaNurudini
    @JumaNurudini29 күн бұрын

    Ila makonda

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton776029 күн бұрын

    Wanadhurumu Kwa kuwa wao ndio top

  • @frankbutati8343
    @frankbutati834329 күн бұрын

    Watumishi wa umma wasijione wezi, kuna siku tutapata kiongozi huyu Makonda awe mkuu wa nchi wataomba kufa

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson520229 күн бұрын

    Huyu Mzeee ni kweli hata kwangu Alichukuwa mbao kwangu huyu baba Alinilipa cash Alipochukuwa mbao Kwa hiyo Anawadai kweli

  • @Ushauri235
    @Ushauri23529 күн бұрын

    Hii nchi Ina watu wa hovyo Sana mtu ametumia hela harafu unasema ni jamii

  • @tupegigwensajigwa2629
    @tupegigwensajigwa262929 күн бұрын

    Na kuelewa sana Mungu akutunze

  • @mzongekibwana838
    @mzongekibwana83829 күн бұрын

    Mr swai boss wangu wa zamani..

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy633628 күн бұрын

    Afu haki za binadamu ije isema makonda ana dhalilisha, waizi nyie, makonda mungu akulinde

  • @jeanbaptistemanishimwe1946
    @jeanbaptistemanishimwe194629 күн бұрын

    Habali ndugu napenda njia huu heshimiwa mukuu wa mukoa anavyo saidia watu angekua lafiki ya Muzee wetu Kagame Mungu Awatangurie njia zenu zote.

  • @obedpeter6874
    @obedpeter687426 күн бұрын

    At mie ningekua RAIS kichwa kingeuma bila mkonda

  • @LusekeloMwaipopo-rm1uc
    @LusekeloMwaipopo-rm1uc29 күн бұрын

    Wizara ya mchengelwa I am Inamchosha tu makonda wetu.

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo57728 күн бұрын

    Serikali wakati mwingine inawafirisi wananchi wake na huu utaratibu wa kuchukua mali za wananchi alafu kulipa mpaka mjiskie wenyewe

  • @user-iq3pe4sf2h
    @user-iq3pe4sf2h29 күн бұрын

    Kwanza awe mukuwa African😢

  • @deejeydaev
    @deejeydaev29 күн бұрын

    Yani vitu vingine bana mbona very simple haya mlolongo ulio sizi zaidi ya miaka mi3 umesolvika within minutes... makonda ubarikiwe mkombozi wa wanyonge

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao680529 күн бұрын

    SPANA MKUU!

  • @user-tz8hj1sd5o
    @user-tz8hj1sd5o28 күн бұрын

    Why these other leaders canot follow Makonda😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Why??????????

  • @mohamedkige2535
    @mohamedkige253528 күн бұрын

    Kiufupi2 awa wanakina mam Baaadh yao nishidaaaaa

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko617429 күн бұрын

    Kweli ukipata peleka sadaka Arusha hii jamani

  • @Jeysen_lemar
    @Jeysen_lemar24 күн бұрын

    Huy si ni yule yule Injinia au namfananisha?????

  • @user-ts9lp4rm9j
    @user-ts9lp4rm9j26 күн бұрын

    Mratibu hya hela yetu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zidatv1122
    @zidatv112229 күн бұрын

    Hii nchi onatoa harufu kila kona uaani inanika

  • @Happizo

    @Happizo

    29 күн бұрын

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kwisa4899
    @kwisa489929 күн бұрын

    anacheka cheka ndio maana makonda anawatukana yani mtu unacheza na pesa ya mtu kiasi hichi na kazi kafanya

  • @memoryngambi7570
    @memoryngambi757029 күн бұрын

    Mtu akihama kikazi,kwani ofisini pamoja na nyaraka vyote vinahama?

  • @user-og9jt3mg4c
    @user-og9jt3mg4c29 күн бұрын

    MAKONDA MUNGU AKULINDE

  • @samamlima5607
    @samamlima560729 күн бұрын

    Arusha moto unawaka

  • @kibombi
    @kibombi29 күн бұрын

    Makonda

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton776029 күн бұрын

    Sasa nahamia ccm rasmi, kile kilichofanya nisiipende kinaanza kutoweka Huwa simpendi kabisa dhuruma

  • @shaffycjg536
    @shaffycjg53629 күн бұрын

    Et akachukue mchanga na mawe yake

  • @user-zx3he3lp3o
    @user-zx3he3lp3o28 күн бұрын

    Rc Makonda ni jembe la ufisadi wa jiji la Arusha unafaa saba kunyoosha ufisadi wa wachache hspa Arusha ongere rais raisi Samia Duruhu Hassan kuleta jembe la wizi wa urapegi hu

  • @barakaabel482
    @barakaabel48229 күн бұрын

    Hahahahaaa

  • @kwisa4899
    @kwisa489929 күн бұрын

    office ainamakabidhiano?

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko580329 күн бұрын

    😮😮😮😮😮😂😂😂😂

  • @monalisaally4387
    @monalisaally438729 күн бұрын

    Nitapigwa sana na mumewngu ila siachi kumsikiliza makonda mpaka aniuwe😂😂

  • @honoratusmodest285

    @honoratusmodest285

    29 күн бұрын

    Kwann akupige itakuwa mume wako adui wa makonda😂

  • @ntandu1

    @ntandu1

    29 күн бұрын

    Pole sana

  • @monalisaally4387

    @monalisaally4387

    29 күн бұрын

    Nampigia kelele usiku namfungulia makonda😄

  • @pastorynaph
    @pastorynaph29 күн бұрын

    Hahaha

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k29 күн бұрын

    Kwaiyo alipe kutoka mfukoni mwake? au! vip wajinga wanashangilia atali tupu

  • @binseif2216
    @binseif221629 күн бұрын

    😂😂Watanzania mabogaz mnaamini hapo atalipwa???hapo mkutano ukiisha hamna cha pesa wala nini

  • @sskondopoleani9616

    @sskondopoleani9616

    29 күн бұрын

    Na akilipwa Je????

  • @samwelilazaro2835

    @samwelilazaro2835

    29 күн бұрын

    Kikubwa amesema

  • @kyannickk2be
    @kyannickk2be28 күн бұрын

    So hadi Mh Makonda aingilie kati ndo watu walipwe!? Wanaohusika wanafanya kazi gani!? .....Bila Paul watu wangedhulumiwa.

  • @user-xx1je7sy4h
    @user-xx1je7sy4h29 күн бұрын

    Watanzania shida inayotusumbuwa ni uelewa mdogo tulionao bila kufanya mabandiliko ya kimufumo hata watokee akina makonda mia hakuna kitakacho bandilika katiba mpya ni sasa na ccm ndiyo chazo cha uovu wote huu

  • @martinemaganga5253

    @martinemaganga5253

    29 күн бұрын

    Hili siyo tatizo la chama Bali ni mfumo wanwatu,hata kama atapewa ZPP bado hawa watu wataingia kwenye mifumo,watu watateuliwa kuingia serikalini na uharifu utaendelea kuwepo tu,haijalishi kwa katiba gani ama kwa chama kipi

  • @HalimaKamota
    @HalimaKamota29 күн бұрын

    Makonda

Келесі