MAKALA YETU : EP29 | KILIMO CHA KAHAWA

Ойын-сауық

Kahawa ni miongoni mwa mazao ya biashara yanayoliingizia taifa mapato mengi.Pia zao hili ni la pili kibiashara baada ya Tumbaku.Hivyo Asili ya zao hili kwa mujibu wa wataalam wanasema kuwa zao hili asili yake ni katikati ya Ethiopia.
Vilevile kutoka Ethiopia kahawa ilisambaa hadi India, Uturuki, Italia, Uingereza na Africa mashariki.Hata hivyo kwa nchi ya Tanzania-Hulimwa sehemu tofauti tofauti ikiwemoMiteremko ya Mlima Kilimanjaro na kusini mwa Mlima Meru, Nyanda za juu za Ngorongoro, Miteremko ya Milima ya Uluguru, Kaskazini mwa Mkoa wa Mara (Hususani wilaya ya Tarime), Mkoa wa Kigoma (Wilaya za Kasulu na Kibondo), Mkoa wa Mbeya wilaya za Rungwe, Mbeya, Mbozi Na Tanga katika miteremko ya Milima ya Usambara.

Пікірлер

    Келесі