#live

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 43

  • @user-ge4dz1re7e
    @user-ge4dz1re7e

    Mungu akubariki sana mchungaji nabarikiwa nikiwa taveta kenya

  • @NancyNaomi-od6ng
    @NancyNaomi-od6ng

    Aki Mungu azidi kuku neemesha Kila uubiripo Nina wimbo mpaka ninashangaa naamia yakua nitaimba na injili ya Yesu isonge mbele

  • @princessprecious6995
    @princessprecious6995

    Mungu azidi kukufanya mchungaji wa kimataifa

  • @princessprecious6995
    @princessprecious6995

    Mungu akutunze mchungaji

  • @user-fu6fx8if6w
    @user-fu6fx8if6w

    Unatubariki sana mchungaji, Mwenyezi Mungu akulinde na familia yako.🙏

  • @ShitaBagaile
    @ShitaBagaile21 күн бұрын

    Asante mtumishi tunaomva no za Mchungaji Aminiel asante

  • @tumpedaudi6681
    @tumpedaudi6681

    NAKUPENDA YESU ♥️ ♥️ ♥️

  • @judyokumu8439
    @judyokumu8439

    Amen

  • @enidkanini
    @enidkanini

    Paster ukuje kenya pls tunakungoja in jesus name,

  • @elinemakundi5011
    @elinemakundi5011

    Spika haziko poa kbs zinaleta magwi, fundi mitambo turekebishie sauti, kelele ni nyingi sana tunaomba kesho mitambo iwe na utulivu mbarikiwe

  • @EricMaingi-f8b
    @EricMaingi-f8b14 күн бұрын

    Amina

  • @AgnesKarara
    @AgnesKarara

    Mchungaji Katekela,Mimi naitwa Agnes George naomba niombee naumwa ganzi na pressure siwezi kutembea ningalikuja huko Mbezi.Asante.

  • @_expertworldcombination5845
    @_expertworldcombination5845

    YESU..YESU....YESU..........IMEKWISHA.

  • @MaduhumchibyaBuhuru
    @MaduhumchibyaBuhuru

    Amina sana nabarikiwa sana MUNGU AKUBALIKI SANA mtumishi niombee naitwa musa

  • @JulianaTryphony
    @JulianaTryphony

    Mungu wa mbinguni akubariki sanaa baba kwa muda mrefu nilikukosa nao nimerejea tena kundini..

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314

    Afadhali yni media mbarikiwe sana nafika kwenye mutant chapu

  • @nallymwamba1330
    @nallymwamba1330

    MUNGU azidi kukulinda Katekela na familia Yako bila kuwasahau Promover TV

  • @jeremiarichard-rw1nc
    @jeremiarichard-rw1nc

    Mungu akubarikii hakika mchungaji,ata sisi tunakuhitaji uweze kutufikia.

  • @user-28Gerardineakimana
    @user-28Gerardineakimana

    Amen Amen nabarikiwa sna

  • @rahelkimario1497
    @rahelkimario1497

    Amen mtumishi wa MUNGU

Келесі