🔴

🔴#LIVE​​​​​​​​​​: RAIS MSTAAFU AMANI KARUME ASIMULIA MAZITO YA HAYATI MAALIM SEIF SHARIF...
Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Karume, ameshiriki katika Mkutano wa Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, katika ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 143

  • @TariqMaftah717
    @TariqMaftah7172 жыл бұрын

    MashaaAllah!! Very intelligent & truthful man.

  • @ahmedrashid1923
    @ahmedrashid19232 жыл бұрын

    Rais wangu wa muda wote Amani Abeid Karume Allah ampe Maisha Marefu🙏🏿🙏🏿

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    2 жыл бұрын

    Amin

  • @TheNgomo
    @TheNgomo2 жыл бұрын

    Huyu Mzee ni hazina ya nchi hii. Ana ongea mambo mazito. Mungu ampe maisha marefu

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    2 жыл бұрын

    Amin

  • @TheNgomo

    @TheNgomo

    2 жыл бұрын

    @@awatifalghanim1106 noted

  • @sumaali873
    @sumaali8732 жыл бұрын

    Mungu akueke akupe umri na afya njema mhe Aman Karume huyu mzee ahh nampenda sana kati ya wanasiasa wa znz kama marhem Maalim Seif

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim11062 жыл бұрын

    Ukweli huyu Uncle ananikosha...khasa akizungumza. Mungu IBARIKI Zanzibar na watu wake. Amin

  • @sherrifsaleh7536

    @sherrifsaleh7536

    2 жыл бұрын

    Mimi mwenzako

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa78822 жыл бұрын

    MashaaAllah muheshimiwa

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha94252 жыл бұрын

    Yaani maongezi yako yamesababisha niendelee kumpenda mwanao shangazi fatma karume. Hongera kwa kumuandaa vzri

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 жыл бұрын

    KWA NINI CCM MNATUMIA NGUVU KUBAKI MADARAKANI, WAZANZIBARI WANASTAHIKI KUMCHAGUWA KIONGOZI WANAYEMTAKA.

  • @dolnaduswege1984
    @dolnaduswege19842 жыл бұрын

    Baba Amani Mungu akupe maisha marefu kwa kutambua utu wa na umhimu wa upinzani ingekuwa ni uwezo wangu ningekwambia njoo bara utengeneze nchi hii kweli jina lako ni la kimatendo.

  • @ferhathaji4271
    @ferhathaji42712 жыл бұрын

    Unahitaji kichwa kumuelewa huyu jamaaa

  • @ntandumathayo8327
    @ntandumathayo83272 жыл бұрын

    Hakika nimefarijika kwa presentation ya Mh Rais Mstaafu Amani Karume. Mungu akuongezee hizo busara na utu wa kuyasema yaliyokweli.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia63282 жыл бұрын

    Nilichojifunza ni kwamba mwl nyerere alikuwa anaendesha siasa za zbar na maamuzi yake mengi hayakuwapendeza wazanzibar waliumia sana kuwekwa kizuixini maalim seif

  • @hollojuma9538
    @hollojuma95382 жыл бұрын

    Hakika mawazo mazuri Sana tujifuzeni jamani

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid55582 жыл бұрын

    Huyu jamaa anajua kweli

  • @allyngoda761
    @allyngoda7612 жыл бұрын

    Wepesi kusifia mtu baada ya kufa mbona mlikua mnamnyang'anya ushindi wake kwa kipindi chote alichogombea Urasi Zanzibar hajawahi kushindwa na CCM ?

  • @ismaildavid6970

    @ismaildavid6970

    2 жыл бұрын

    lakin kaongea ukweli mtupu

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    2 жыл бұрын

    Mungu atalipa hiyo dhulma iliyo pita tusubiri tuu.

  • @fatmamsiliwa8485

    @fatmamsiliwa8485

    2 жыл бұрын

    Magufuli alisema ukifa ndio unasifiwacukiwa hai unakuwa gaid unaambiwa

  • @georgemwigulu
    @georgemwigulu2 жыл бұрын

    Dah nimejifuza mambo makubwa sana kupitia hotuba hii.Moja tu ni kuwa jambo 1 likitokea na kulifanya linauwezo wa kubadili mambo mengi na makubwa zaidi

  • @rashidomar2771
    @rashidomar27712 жыл бұрын

    Siku zote sisi wengine ilikua tunadhani kama nyinyi wanasiasa wa zanzibar akiwemo marehem maalim mnajuana vizuri sana ,,leo nashukuru ile dhana yangu leo imepata ufumbuzi,,shukran mzee Amani,,sasa kama hali ni hiyo kwa nini mnaamrisha watu mliowapa silaha kutupiga na kutuadhibu sisi raia wa chini ,manyonge maskini ,,mnatuonea bure tu

  • @TeamKRX

    @TeamKRX

    2 жыл бұрын

    Sasa ebu nijibu inamana walikuwa pamoja na ccm malim

  • @rashidomar2771

    @rashidomar2771

    2 жыл бұрын

    @@TeamKRX kabla maalim hajafukuzwa ccm walikua wakifanya kazi pamoja ,,pia kuna baadhi ya viongozi wa ccm walisoma pamoja ,,akiwemo aliekua mwanasheria mkuu wa serikali idi Pandu Hasan

  • @suhamdistributors5934
    @suhamdistributors59342 жыл бұрын

    Shukran Mh.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 жыл бұрын

    RAIA WA ZANZIBAR KATIKA UNION NA TANGANYIKA.. EUROPEAN UNION NI NCHI 26, NA KILA NCHI INA URAIA WAKE.

  • @evancemwaky7425
    @evancemwaky74252 жыл бұрын

    Hakika umenena baba Mungu akubariki

  • @sumaali873
    @sumaali8732 жыл бұрын

    Huyu mzee kweli amezaliwa mjini yani raha sana

  • @josephmtuy5204
    @josephmtuy52042 жыл бұрын

    Rais Abed Karume ni kiongozi aliyekuwa na busara sana na bado ana busara sana na anaheshimika sana bara na Zanzibar. Kwa kweli yeye na Mwendazake Maalim Sefu wanastahiki kudikiriwa kwa Nobel Price. Wenye kuweza kupoga debe naomba wafikiriwe kwa nishani hiyo ya heshima kwa miaka iliyo mbele zetu. Alianza muda mrefu kuwa na fikra ya serikali ya umoja tangu 1995.

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    2 жыл бұрын

    Anatafuta huruma ya Wapemba kama alikuwa hivyo unavyosema asingewauwa Wapemba na Wengine wakahamia uhamishoni Kenya na yeye akaingia madarakani. Mimi kwa maoni yangu ni kweli huo ni mkutano wa kuyasema mazuri ya Maalim lakini hakuna haja ya kutaja uovu wa wengine.

  • @khanamafoundation6818
    @khanamafoundation68182 жыл бұрын

    Well said

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 жыл бұрын

    ZANZIBAR IMEKALIWA KIJESHI NA TANGANYIKA. TUNAONA KKLA IKIFIKA WAKATI WA UCHAGUZI.

  • @lwitikophilipopelela1891

    @lwitikophilipopelela1891

    2 жыл бұрын

    Ndio naye si Tanzania, ulitaka ilindwe na Kenya??

  • @frankmtimbwa1290
    @frankmtimbwa12902 жыл бұрын

    Hakika huyu rais Aman Karume ni mtu muwazi, mkweli na asiye mbinafsi kabisa. Mungu ambariki sana mtu huyu. Kwa maelezo ya huyu Mzee nchi yetu inaharibiwa na CCM wachache wapenda vyeo na madaraka.

  • @mbarouknassor9146
    @mbarouknassor91462 жыл бұрын

    Mzee umeupiga mwingi mpaka nje ya uwanja wambie wajufunze hao wengine

  • @danielmgeni1703
    @danielmgeni17032 жыл бұрын

    kalume mungu akupe maisha malefu vyongozi wetu wajifunze busala kwa wazee Kama hawa Tanzania ya Sasa ata utoe mawazo mazur vipi Kama we si mwana ccm inaonekana unaongea utopolo Katiba mpya Ni sasa

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    2 жыл бұрын

    Karume jamani.. Amin

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman54772 жыл бұрын

    🙏🙏

  • @FLukwaro
    @FLukwaro2 жыл бұрын

    Sikuwahi kufikiri Amani Karume angeweza kuwa mkweli na muwazi kiasi hiki! Watawala wote bara na visiwani igeni mfano huu. Nchi no yetu sote. Kila mtu anapaswa kusikilizwa, kisha kujadiliana kwa hoja, sio kumnyamazisha kibabe.

  • @georgesikazwe5914

    @georgesikazwe5914

    2 жыл бұрын

    Mazuri ya marehemu husemwa akishakufa...binadamu sisi wabaya sana

  • @zanzibarboyzanzibar509

    @zanzibarboyzanzibar509

    2 жыл бұрын

    La Pemba kuuliwa wapinzani kupijwa Risasi na Police 2001 hajalisema

  • @christophermwanilwa7074

    @christophermwanilwa7074

    2 жыл бұрын

    Watawala wanakuwa wawazi baada ya kutoka Madarakani

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni41392 жыл бұрын

    Mzee karume ana hekima sana

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 жыл бұрын

    LAKINI EUNION SIO INAYOFANYA NCHI KUPOTEZA MAMLAKA YAKE.

  • @user-ik8xv2rl9f
    @user-ik8xv2rl9f2 жыл бұрын

    I love you زنجبار

  • @omaribrahim1547
    @omaribrahim15472 жыл бұрын

    Dah Amani karume hongera sana kwa hotuba nzr ya nchi yetu

  • @abdallaameir3153
    @abdallaameir31532 жыл бұрын

    Nataman nije kuskia shein akitoa historia yake na maalim kama alivotoa aman

  • @Kobe_254
    @Kobe_2542 жыл бұрын

    Huyu jamaa ana busara sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @hamisiamri7477
    @hamisiamri7477 Жыл бұрын

    Uyu mzee nina mkubari sana nimtu mkweli aogopi kitu mungu amuafu na ampe afya

  • @yasserahmed9420
    @yasserahmed94202 жыл бұрын

    Allah akunbarikiii

  • @mutahangarwasamwel4643
    @mutahangarwasamwel46432 жыл бұрын

    Ongera baba yetu akika mzee kalume alijizaa

  • @kassimali2273
    @kassimali22732 жыл бұрын

    Best speech mtoto wa mjini

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    2 жыл бұрын

    Ehhh..huchoki kumsikiliza....kidogo kidogo mwenyewe...

  • @khanamafoundation6818
    @khanamafoundation68182 жыл бұрын

    Mbona mumeikata baadhi ya sehem

  • @dondallas6683
    @dondallas66832 жыл бұрын

    Zanzibar itafika mbali sana

  • @mahmoodsurour9265
    @mahmoodsurour92652 жыл бұрын

    Congratulations sir you are Charasmatic leader

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni41392 жыл бұрын

    Viongozi wa ccm wa Leo anajua hii nchi ni yao haiwezekani dereva aliyeangusha gari yako mpya wakati ulishampa taadhari ya kuendesha polepole , ukinunua mpya utampaje tena wakati unajua alienda spidi kari.

  • @alinassor391
    @alinassor3912 жыл бұрын

    Amani umesema ukweli wa siasa ya zanzibar

  • @herculesthepower1544
    @herculesthepower15442 жыл бұрын

    Kweli kabisa siasa zetu ni za kijinga. Ukisema wewe ni mpenzi wa chama fulani ni adui mkubwa. kama si ujinga ni nini?

  • @victorsanga2229
    @victorsanga22292 жыл бұрын

    Mimi ni mtanganyika lakini aina ya muungano tuliyonao umeipoka Zanzibar fursa sana! Kwa historia ya Zanzibar katika Dunia kukosa uwakilishi katika medani za kimataifa na mamlaka ya kuamua mambo yake muhimu ya kiuchumi kama mafuta na gesi ni fedheha kubwa! Binafsi ninaamini Zanzibar itazidi kuchechemia kiuchumi kwa aina hii ya Muungano!

  • @deven.oauditx7547

    @deven.oauditx7547

    7 ай бұрын

    Fursa gani unazoziongelea au na wewe umetekwa na propaganda za wazanzibari? Wana nchi, rais, bunge, serikali na bado wana firsa ya kuwa viongozi katika serikali ya muungano yenye watu zaidi milioni 60 na wana uhuru wa kutawala, kufanya biashara na kumilkki ardhi kama watanganyika wengine bado unasema wananyimwa fursa. Poor Tanganyikan.

  • @stationerykinondoni7241
    @stationerykinondoni72412 жыл бұрын

    The speech ended with my tears down

  • @mascheranomaulid5359

    @mascheranomaulid5359

    2 жыл бұрын

    P)

  • @saheelameir4313

    @saheelameir4313

    2 жыл бұрын

    Pole sana

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi82032 жыл бұрын

    اللهم غفر له ورحمه واسكنه فى الجنة (معلم سيف)

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    2 жыл бұрын

    آمين

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529

    @alhamdulillahalhamdulillah7529

    2 жыл бұрын

    @@awatifalghanim1106 أمين

  • @jaysullman3697

    @jaysullman3697

    2 жыл бұрын

    Aamin thumma Aamin

  • @maulidmohamed4494
    @maulidmohamed44942 жыл бұрын

    Nice

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar5092 жыл бұрын

    Umesau Mauaji ya Pemba 2001 Mzee Allah awarehemu Ndugu zatu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @AhmedAli-gh1lm

    @AhmedAli-gh1lm

    2 жыл бұрын

    Na mauwaji mengine juzi tu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Watu zaidi ya 15 waliuliwa Pemba ili CCM ipore uchaguzi.

  • @alijuma7204
    @alijuma72042 жыл бұрын

    Logical

  • @hafidhmohd8696
    @hafidhmohd86962 жыл бұрын

    Usisahau vifo na udhalilishaji w piki elfu 2 na 5

  • @ZanzibarOrchestra
    @ZanzibarOrchestra2 жыл бұрын

    hivi huyu niliemuona 18:41/2:00:0 nifatma karume (SHANGAZI) anamsikiliza babaake au mdogo wake?

  • @gilbertfuria5817

    @gilbertfuria5817

    2 жыл бұрын

    Baba ake

  • @greenandbeach8134
    @greenandbeach81342 жыл бұрын

    Mzee wetu Amani mungu akupe afya njema

  • @thanimosi8906

    @thanimosi8906

    2 жыл бұрын

    Azidi kusema uongo na kupotosha cyo

  • @moseskisingi1685
    @moseskisingi16852 жыл бұрын

    Sasa naelewa kwa nini Fatuma Karume huwa ana misimamo vile! Anafahamu mtazamo wa baba yake na upuuzi wote ndani ya CCM.

  • @thanimosi8906

    @thanimosi8906

    2 жыл бұрын

    Ccm haijakuwa na upuuzi Bali yy ndo mpuuzi na mnafiki kusema uongo na wewe unakubali kupotoshwa

  • @allymohamed1563

    @allymohamed1563

    2 жыл бұрын

    @@thanimosi8906 CCM ni wapuuzi tu,wewe unakataa nini! Kama unanufaika nayo ni wewe

  • @samsonfulgence5553

    @samsonfulgence5553

    2 жыл бұрын

    @@allymohamed1563 ndg.yangu ukiona hivo ujue huyu Sani Mosi ni mnufaika wa dhuluma za watu na upuuzi wote huu. Hawa ndo wauwaji walioshiba damu za watu walizokunywa miaka yote hii. Haiingii akilini kwamba mtu mwenye akili anaweza kutetea dhuluma za chama hiki.

  • @allymohamed1563

    @allymohamed1563

    2 жыл бұрын

    @@samsonfulgence5553 kijamaa kinatusemea sisi yani,yani nimeshindwa kumuelewa kabisa

  • @samsonfulgence5553

    @samsonfulgence5553

    2 жыл бұрын

    @@allymohamed1563 🤣🤣🤣hajielewi huyo.

  • @josephmtuy5204
    @josephmtuy52042 жыл бұрын

    "kufikiriwa"

  • @emeldamulukuzi888
    @emeldamulukuzi8882 жыл бұрын

    Mpaka sasa CCM wakio gea ukweli wanatengwa kusemwa mpaka kufukuzwa. Wanaambiwa CCM gani unaongea Kama mpinzani.

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    2 жыл бұрын

    Mambo kama haya nafkiri yako Zanzibar tuu kwenye DUNIA HII...Lakini niukosefu wa Elimu...ya DEMOCRACY tuu .Hata kama CCM kuna kitu siyo cha kufurahisha sema ukweli hutofukuzwa.... Dr. Hussein upuuzi kama huo uwondoshe hapo Zanzibar kabisa.. Mungu IBARIKI Zanzibar na watu wake...

  • @hajihassan5433

    @hajihassan5433

    2 жыл бұрын

    Shamte aitaka ccm kumfukuza Dkt karume. Na mwandishi wetu,zanzibar Mwanasiasa mkongwe Baraka Mohamed Shamte amesema ccm kinapaswa kujifunza kuteua wagombea urais wenye msimamo dhaifu kama ulioonyehwa na Rais Mstaafu Dkt Amani Karume kwenye kongamano la kukumbuka mchango wa kusaka mapatano uliotolewa na hayati Maalim seif sharif Hamad Pia amekitajwa kilichosemwa na rais huyo mstaafu kwenye hotiba yake ni zaidi usaliti ambao hautamfaa wala kumkinga na mambo mabaya alioyoyafanya wakati akiwa madarakani toka mwaka 2005 hadi 2010. Msimamo huo umetolewa jana na baraka shamte katika mahojiano na Gazeti hili yaliofanyika nyumbani kwake ndani ya mji mkongwe wa zanzibar hukp mkunazini katila manispaa ya jiji la zanzibar kisiwani hapa. shamte alisema inasikitisha sana kumsikia Dkt karume akimtupia lawama aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu hayati Mzee Idrisa Abdul Wakil kwa kuvunja Baraza la mawaziri na kumuondoa maalim Seif kwenye nafasi ya uwaziri kiongozi smz bila Dkt karume kutaja mikasa ya maalim seif dhidi ya Mzee wakil. Alisema hayati Mzee Wakil alimfukuza maalim Seif na kumteua Dkt Omari Ali Juma kwa sababu ambazo Dkt Karume anazijua kwani wakati akiwa rais wa zanzibar amewahi kumshutumu maalm seif na kumwita kiongozi mkorofi aliyekuwa akisakamwa na tamaa ya kutaka madaraka lwa pupa. Aidha alisema vile vile Dkt karuma anajua pia uchonganishi ulifanywa na maalim Seif kwa Rais jukius Nyerere hadi mzee Aboud Jumbe akavuliwa madaraka yake lakini cha ajabu leo ulimi wake ameugeuza na kutamka kinyume chake . "Inasikitisha kumsikia Dkt Karume leo akiita dodoma kwa kebehi na dhihaka wakati ndipo mahali alipohurumiwa na kiteuliwa kuwa Rais. Hapa Zanzibar kwenye kamati maalum alipata kura tisa na akipitwa na wagombea wengine.Tunajua amekuwa Rais na kutajirika acha akidhihaki chama kilichombeba hadi akawa rais" "Alisema shamte. Alisema hakikuwa kitendo cha kiungwana kuyazumgumzia maisha ya maalm seif kwa kutaja mema yake na kuzilwepa dosari na kasoro zake kwani ndiye aliyewahasimisha wananchi wa pemba na umguja na lufikoa kuishi maisha ya uadui na chuki. "Dkt Karume tumaisikia hotuba yake iliothibitisha sasa si mwanaccm tena. Kwa muda mrefu alijificha na sasa mungu amembainisha .CCM kitafanya makosa makubwa kikiendelea kumuamini na kudhani ni mwenzetu .Kama kinasubiri yatokee mambo kadha wa kadha kitajuta" Alieleza shamte. Alisema kabla ya rais wakil kumteua maalim seif kuwa waziri,akawa mjumbe wa nec na ccm,zanzibar hapakuwa na mpasuko wowote lakini tokea aliposhindwa kira za urais ndani ya chama na kufukuzwa ccm ndipo mpasuko na mgawanyiko wa kisiasa ulipoanza. Jaibu katibu mkuu wa ccm zanzibar Dkt Abdallah Sadalah Mabodi alipoulizwa jana kuhusiana na hotuba ya dkt karume alisema hayupo kwenye nafasi nzuri ya lulizumgumzia suala hilo hadi wakati mwingine muafaka baada ya vikao vya juu vya chama kukutana. Dkt Mobodi alisisitiza kuwa ccm haijawahi kutochukua hatua zozote ngumu kwa maslahi au kwa mustakabali wa ustawi na uhai wa chama hicho tawala.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 жыл бұрын

    ZANZIBAR LAZIMA IRUDI MAMLAKA YAKE KAMILI.

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi43852 жыл бұрын

    Eti Sovereignty haigawiki !!! 😆😃😃 NANI KASEMA

  • @sharifaothman9847
    @sharifaothman98472 жыл бұрын

    Hukushinda apo umesema uwongo

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 жыл бұрын

    Uchaguzi gani ulioshinda kwa ZANZIBAR?

  • @deograciakashaigili5973

    @deograciakashaigili5973

    2 жыл бұрын

    Wewe hata hujamwelewa anavyoongea kwa mafumbo. Huyo Mzee anaongea facts kabisa. MUNGU ampe maisha marefu sana ili awe Mshauri wa Serikali. Tanzania tutasonga mbele na hakutakuwa na mipasuko isiyo eleweka.

  • @ahmedrashid1923
    @ahmedrashid19232 жыл бұрын

    Kwani mimi nabuni hapa😂

  • @abdulsinga2464
    @abdulsinga24642 жыл бұрын

    Zanzibar wanataka mamlaka yao...huyo alikuwa ni rais wa zanzibar....anaongea hivyo..cos alikuwa kashikwa..kipindi hicho..

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 жыл бұрын

    TUME YA CCM, SIO YA WANANCHI.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia63282 жыл бұрын

    Ila amani karume Leo umejua kusema

  • @aliyaliya2040
    @aliyaliya20402 жыл бұрын

    Amanikarume hajambo hawa ndio wazee walio baki haya leteni historio

  • @kambamazig02024
    @kambamazig020242 жыл бұрын

    Is the Union a marriage made in heaven? If the sentiment in Zanzibar is to have a complete autonomous and freedom maybe there is a need for a divorce to the union marriage!

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman16492 жыл бұрын

    Amani ukimskiliza kwa akili unagundua maamuz mengi ya wana ccm hayako sawal haswa shein

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36412 жыл бұрын

    ZANZIBAR VIKOSI VINAPIGA KURA TATU TATU.

  • @pascalsamson4721
    @pascalsamson47212 жыл бұрын

    daaa

  • @omarikibula7115
    @omarikibula71152 жыл бұрын

    ONDOKA USEMWE

  • @user-dz4ob1xj8g
    @user-dz4ob1xj8g2 жыл бұрын

    Facts

  • @othmanali891
    @othmanali8912 жыл бұрын

    Mukisemahayat nimakosakwwaisllam

  • @alimakame9215
    @alimakame92152 жыл бұрын

    Amani utakumbukwA

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    2 жыл бұрын

    Kapumzika na vyama sasa anasema UKWELI TUU Nani atamfukuza??

  • @alimakame9215

    @alimakame9215

    2 жыл бұрын

    Ukwel ndomuhmu et

  • @abahimbangerina380
    @abahimbangerina3802 жыл бұрын

    ..mh

  • @danielmwanjali2449
    @danielmwanjali24492 жыл бұрын

    Tatizo liko bara

  • @fakihdarusi4385

    @fakihdarusi4385

    2 жыл бұрын

    Ilo nalo neno

  • @thanimosi8906
    @thanimosi89062 жыл бұрын

    Mtu mzima unasema uongo hadharani na hutuba yako ya uongo uloandokiwa tunaipeleka wapi Zanzibar yetu Rais mstaafu Wa Zanzibar kusema uongo inasikitisha kweli ndo Yule mwanao unamtuma ww kumbe

  • @allymohamed1563

    @allymohamed1563

    2 жыл бұрын

    Embu wewe tupe ukweli wa anayoyaongea,Mzee anaongea historia ya miaka ya sabini I think wewe ulikuwa haujazaliwa,halafu unasema ni muongo dah!

  • @samsonfulgence5553

    @samsonfulgence5553

    2 жыл бұрын

    Haya wew Sani Mosi tupe ukweli tuone. Wew uliwahi kuwa raisi wa Zanzibar? Uliwahi kuwa na amri juu ya vikosi vya ulinzi na usalama? Unajua chochote kwenye mifumo ya uongozi wa nchi? Kwendraaa hukooo!

  • @thanimosi8906

    @thanimosi8906

    2 жыл бұрын

    Mwambieni akuambieni Kwa nn aliwauwa wapemba wenzenu januar 25/27 kule Pemba kisa na sababu nini mana yy ndo alokwa Rais Wa Zanzibar mnadanganywa na Nyie mnaripuka Kwa furaha

  • @ibrahimrajab1702

    @ibrahimrajab1702

    2 жыл бұрын

    @@thanimosi8906 😭😭😭

  • @fatmas7338
    @fatmas73382 жыл бұрын

    Lkn huyu muheshimiwa haumwi mbona yupo hivi kama mgojwa vike

  • @greenandbeach8134

    @greenandbeach8134

    2 жыл бұрын

    Unaumwa wewe

  • @criticalthinker1179

    @criticalthinker1179

    2 жыл бұрын

    unaumwa wewe labda

  • @fatmas7338

    @fatmas7338

    2 жыл бұрын

    @@greenandbeach8134 jamani kwani kuuliza nimefamya makosa

  • @fatmas7338

    @fatmas7338

    2 жыл бұрын

    @@criticalthinker1179 jamani kuuliza ndio nimefanya makosa kuweni wastaarabu

  • @abdallaabeid4251
    @abdallaabeid42512 жыл бұрын

    Amani na mshikamano ndio ngao yetu!

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga77942 жыл бұрын

    Wanasiasa wengine wapumbavu samahani kutumia hilo neno. Nzanzibar wana serikali ina Rais na bunge lao na wanawachagua wenyewe unasemaje hawana mamlaka? Rais wa Nzanzibar na balaza la mapinduzi haliteuliwi na Rais wa Tanzania wanapigiwa kura na raia wa Nzanzibar. Kwanini useme hawana mamlaka?

  • @samsonfulgence5553

    @samsonfulgence5553

    2 жыл бұрын

    Pole ndg. yangu Hussein, nadhani hujui chochote kkt mifumo ya uebdeshaji wa nchi zetu hizi ndo maana unasema hivo. Wew unadhani uhuru uko kwenye uchaguzi na uteuzi wa vikngozi tu. Hujui mifumo inaendaje. Pole sana.

  • @husseinmkanga7794

    @husseinmkanga7794

    2 жыл бұрын

    @@samsonfulgence5553 wewe ndio pole unaeishi na conspiracy theories. Hiyo mifumo unayoijua Wewe ni yepi? Mifumo giza?

  • @samsonfulgence5553

    @samsonfulgence5553

    2 жыл бұрын

    @@husseinmkanga7794 Sasa wew unayejua mifumo ya mwanga isiyokuwa giza mbona huisemi?

  • @husseinmkanga7794

    @husseinmkanga7794

    2 жыл бұрын

    @@samsonfulgence5553 Mimi nimesema yaliyo wazi hayana Siri, Nzanzibar inajitawala kwa sehemu kubwa na muungano wetu ni wa jeshi,polisi, fedha na mambo ya nje. Hayo yapo wazi.

  • @samsonfulgence5553

    @samsonfulgence5553

    2 жыл бұрын

    @@husseinmkanga7794 hapo umesema vyema. Hata 2015 mwenda zake alisema yeye anachojua ni kupeleka jeshi kwenda kuwadhibiti watakaoandamana kupinga matokeo ya uchaguzi uliofutwa na Jecha! Na wew kwa neno lako hilo hapo juu umehitimisha uthibitisho wa kuidhibiti Zenji kijeshi.

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g2 жыл бұрын

    Porojo hilo hana mpamgo

  • @nassorsharifu9837

    @nassorsharifu9837

    2 жыл бұрын

    Kwako ni porojo Lakini ndio uhalisia kwa tuliokuwepo wakati huo wewe hujuwi kitu

  • @ferhathaji4271

    @ferhathaji4271

    2 жыл бұрын

    Humuwlewi Ila ukimuelewa utapenda

  • @udaku..travel8506

    @udaku..travel8506

    2 жыл бұрын

    Mama ako ndo hana mpango

  • @hassanally511

    @hassanally511

    2 жыл бұрын

    Ww mwenyew porojo yy ana alama amewacha ww je

  • @jamalmuadhin5553

    @jamalmuadhin5553

    2 жыл бұрын

    Si kimya tu tulia kma hujfhmu alichikiongea

Келесі