LIVE MAJINI YANAVYOTOLEWA NA SHEKHE MTAALAM AMKOSOA DR SULLE KUHUSU ELIMU YA PETE

Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

Пікірлер: 43

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh317715 күн бұрын

    Huyu ndo sheikh sasa anowajua majin na kanuni zao Allah akuhifadhi sheikh

  • @aminaaziz7227
    @aminaaziz72275 күн бұрын

    Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza, sheik. Naomba namba zake.

  • @Yesslarry
    @Yesslarry17 күн бұрын

    Naombeni mnisaidie jaman aiseee shekhee maana nimeangaika sana

  • @user-ih4kw5eb3d
    @user-ih4kw5eb3d18 күн бұрын

    Huyu ustadhi ako sahihi kabisa nimemsikiza vizuri yupo sawa kabisa na anajua kuitumia quran pongezi sana

  • @KhadijaSultan-xp5ej
    @KhadijaSultan-xp5ej13 күн бұрын

    Kweli sheikh mola akuweke

  • @hamicpina1151
    @hamicpina115118 күн бұрын

    Shekh upo sahihi kabisa jini hutakiwi kumtumia ata kwa wema na jini mwema hawezi kushirikiana na binaadamu wala kupanda kichwani upo sawaaaa wallah kwa ilo tena uko sawa ww sio mshirikina

  • @hamadmussa8402
    @hamadmussa840216 күн бұрын

    Jamani naomba kama kuna mtu ana namba zake za simu huyu Shek nipatieni.. Manake Mkewangu anausumbuliwa sana na haya Matatizo kwa muda mrefu sasa na ameshindwa kupowa hadi sasa!! Na watu wengi wametutapeli.

  • @user-rc2ye4ri6t
    @user-rc2ye4ri6t18 күн бұрын

    Hyu shekh yupo sahihi ameongea ukweli

  • @user-xi4le1hp4y
    @user-xi4le1hp4y17 күн бұрын

    Kwa ujumla kwa sule alivyo sema kutumia majini, sio sawa.bali ni ushirikina

  • @user-xi4le1hp4y
    @user-xi4le1hp4y18 күн бұрын

    Wala usiogope kusema kuwa sule ufahamu wake sio sahihi kwa mujibu wa uisilamu, na haijuzu kutumia majini katika uisilamu

  • @rashidjuma9774
    @rashidjuma977418 күн бұрын

    MashaAllah haya ndio mafundisho ya dini sahihi

  • @IdrissaMoussa-tx7jy
    @IdrissaMoussa-tx7jy18 күн бұрын

    Allah akibaru Allah akibaru laa illaha ILALAAH Dr sulle Jo ujifundishe apa mambo ya majini.

  • @user-lr6jd6zg9l
    @user-lr6jd6zg9l15 күн бұрын

    Umejibu kisomi sana

  • @user-ig1ds2eq4d
    @user-ig1ds2eq4d18 күн бұрын

    Yana patikana wapi Pamoja na namba zake za simu kwa walio mbali

  • @user-iz1er8vg7u
    @user-iz1er8vg7u17 күн бұрын

    Mashallah

  • @MohamedNgaga
    @MohamedNgaga18 күн бұрын

    Shekhe yuko sahihi, hao wanaofua maulamaa wanaoruhusu kuamiliana na majini, wameshindwa kuelewa kuwa wao ni watu kama walivyo wao,, tumeambiwa tukitatazika na jambo turejee ktk qur’an na suna, leo mashehe wanaleta ujanja ujanja kutaka maslah ya kidunia, nawausia na kuusia nafsi yangu tumuogope allah, hakuna mwenye kujua ni wapi kapatia au kakakosea.

  • @user-fb9tu5vx9l
    @user-fb9tu5vx9l14 күн бұрын

    Yeye ni mkweli.

  • @mwinyihajihassan9299
    @mwinyihajihassan929918 күн бұрын

    Maa shaa Allah

  • @HamisAbdallah-cj2sc

    @HamisAbdallah-cj2sc

    18 күн бұрын

    Sasa HAPA tunapata elimu qurani NDIO Tina SIO vinginevyo KWAHIYO marashi ya sihiri tiba ni qurani marashi ya kisayasi NDIO jnaweza kutumia panado nakadhalika sasa watu wanasema tofauti KABISA shukrani shwikh

  • @MdungiKhamis
    @MdungiKhamis15 күн бұрын

    Wambie wapemba hao

  • @khammadjeffa515
    @khammadjeffa51517 күн бұрын

    Huyu sheikh yuapatikana vipi?. Any contact

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma208517 күн бұрын

    Kitendo Cha jini kuleta hela ela yenyewe ni haramu vipi jini huyo atakuwa mzuri.Sheikh yuko sahihi Huyu.Ela Ile ni ya wizi.Allah akulipe kher.

  • @AzizMansur-uz1yv
    @AzizMansur-uz1yv18 күн бұрын

    Namaba ya sheikh zinapatikana vipi?

  • @abuabdurrahmaan6637
    @abuabdurrahmaan663717 күн бұрын

    This guy makes lots of sence Allaahumma baarik. May Allah grant him steadfastness

  • @lifessecret6791

    @lifessecret6791

    17 күн бұрын

    Leo hii nimeamini kumbe tunaweza kuwa na viongozi wa Imani wenye nguvu za kuwasaidia watu kweli bila wao kujua nguvu hiyo inawezaje kuwasaidia watu, hiyo ni shida kubwa sana. Allah ndiyo Mungu kwa lugha ya kiarabu yeye Mwenyezi Mungu hufanya kazi na viumbe alivyoviumba mwenyew kama njia moja wa kirahisisha msaada kwa waja wake God is a spirit and that is devided into two type that 1. Holy spirits like Jinn/Djinn, dragon, vampire, Ancestors, Aliens, etc 2. Evil spirits are like Jinn/Djinn, dragon, vampire, Ancestors etc So, don't oppose if don't have full knowledge of Allah/God

  • @lifessecret6791

    @lifessecret6791

    17 күн бұрын

    Leo unakataa juu ya viumbe majini wa Mwenyezi Mungu naomba ujibu Mbele ya Umma kinachosababisha uwe na mvuto katika shughuri zako na kwenye ridhiki zako

  • @lifessecret6791

    @lifessecret6791

    17 күн бұрын

    Ni nini kilichoko kwenye Pete yako iliyoandaliwa kwa Majina yako, Tarehe yako yakuzaliwa (DOB ) and photo. Hivi kwann viongozi baadhi wa Imani wana vificho ndani ya huduma zao?

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib16 күн бұрын

    Wote wachaeiiiiiii

  • @Yesslarry
    @Yesslarry17 күн бұрын

    Naomba nisaidie na mimi shekhee na majini yani shida huu mwaka wa 10

  • @Laizer3

    @Laizer3

    17 күн бұрын

    Kaombewe kanisaniii

  • @kipchorngwonektiroto457
    @kipchorngwonektiroto45718 күн бұрын

    ANAYO VYOMBO VYA USHIRIKINA MKONONI!

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma208517 күн бұрын

    Kitendo Cha jini kuleta hela ela yenyewe ni haramu vipi jini huyo atakuwa mzuri.Sheikh yuko sahihi Huyu.Ela Ile ni ya wizi.

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj18 күн бұрын

    Kweli kufanya jini akulinde ni shirki lakini jini waeza mtuma kama kumfanyia mtu dawa na kumtumia jini kukupa pesa hio pia sio kitu kizuri kwa sababu jini waeza mtuma pesa akaenda kuiba ila majini ustadh waeza mtumia kwa njia ya haki

  • @fadhilmandaliabdalla6736

    @fadhilmandaliabdalla6736

    17 күн бұрын

    Hakuna hiyo, huwez mtumia jini ktk njia yoyote ile, hakuna Ayah wala Hadith sahihi ya Mtume Muhammad S.A.W, wala yeye Mtume Muhammad S.A.W hajawahi mtumia jini kwa njia yoyote ile. Kwa nn umtume amtibie mtu, unajuaje kama huyo jini mzuri ama mbaya kajigeuza? Jini hafai kutumiwa na mwanadam kwa njia yoyote isipokua ya batili (haram)

  • @saba-gv3mj

    @saba-gv3mj

    17 күн бұрын

    @@fadhilmandaliabdalla6736 hawakuumbwa majini na binadamu ila kumuabudu Allah wako majini wazuri tena hao majini wazuri ni wale waisilamu na waeza kumtumia jini kwa njia ya sawa utake usitake kama haifai nabii suleiman hangewatuma majini

  • @AzizMansur-uz1yv
    @AzizMansur-uz1yv18 күн бұрын

    Masha Allah

  • @zitoinze8953
    @zitoinze895318 күн бұрын

    Sasaa mbona hautajy jinahilo lá muenhezimungu?

  • @omaar5693

    @omaar5693

    18 күн бұрын

    Al_Razzaq

  • @JackM.-mh5cs
    @JackM.-mh5cs18 күн бұрын

    Jini hujamtoa kwa dua !!!

  • @otaibonny8835
    @otaibonny883518 күн бұрын

    Hayo majini hurudi.. mwende kanisa Watoe hayo majini milele

  • @alyanibalbila

    @alyanibalbila

    14 күн бұрын

    Utakufa nacho kiziba cha ukafiri

  • @otaibonny8835

    @otaibonny8835

    14 күн бұрын

    @@alyanibalbila sikiza hiii mkafir.. Mimi siamini majin, dini yako Ina tambua ukristo ndani ya Koran, ya kwangu hajui uislam.. weee kwanza tafakari maneno hayo

Келесі