🔴
Спорт
🔴#Live: 'KO' ya HASSAN MWAKINYO Akimchapa MWANAJESHI wa GHANA RAUNDI ya SABA, MTATA MTATUZI ZANZIBAR
ULE Usiku uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu wa pambano la Hassan Mwakinyo vs Elvis Ahorgah hatimaye umewahi na Bongo Boxing Safari tunakuletea matukio yote yanayoendelea kwenye pambano hili.
Пікірлер: 460
Hongera sana Brother Mwakinyo Allah akuzidishie uwezo mkubwa katika safari yako ya boxng na uweze kuimarisha vipaji tanzania
Tumeona uwezo wako, mdogo wangu. Mungu akujalie na akulinde kwenye safari yako. Wewe ni bingwa kwenye uzito wako.
Kuna wenye mamlaka..Na walio chini ya mamlaka....Ila bibi alininong'oneza..! Jua halifunikwi na ungo..! Na ukiona kwako Giza basi kwawenzio kunawaka...!! Tukiachana na hayo mwakinyo ni mtu mwingine... HONGERA SANA MWAKINYO.
Hongera sana Hassan Mwakinyo kwa kazi nzuri sana yenye uweledi wa hali ya juu, Shukrani sana Mr Hassan Mwakinyo kwa kuipeperusha vyema bendera yetu ya Tanzania.
Hongera sana Mwakinyo, umeonyesha wewe ni Bondia na ngumi unazijua, tatizo TZ hatupendi vyetu, nashangaa pambano kubwa Azam nao wanaonyesha ngumi za kitoto...ilitakiwa hili walipromoti Kwa nguvu kuinyesha Dunia namna ngumi za kimataifa zilivyo, wao wanaonyesha sijui ngumi Gani!!! Au ulikuwa mpango wa kuvunja coverage ya Mwakinyo nn? Tuache wivu Mwakinyo anakipiga sana..❤❤
@janejoel2465
4 ай бұрын
Watu wame umbukaaaaa ❤❤❤
@user-yu6zj3bw1y
4 ай бұрын
Wanatumia nguvu kubwa kumpoteza mwakinyo
@reubenmajambo1270
4 ай бұрын
Kumbe hawajaonesha
@chusseboywcb2808
4 ай бұрын
❤❤
@salumumchaga9717
4 ай бұрын
😂😂😂😂 ukweli haujifichi, tumeona ,tumegundua na tupo Benet na mwakinyo
ZBC should be able to slow motion highlights each round
Mwakinyo mungu akujalie us❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mtangazaji na mchambuzi mlikuwa vzuri sana kutuletea radha nzuri ya matangazo na uchambuzi🔥
God bless you 🙏🙏🙏 mwakinyo
Mwakinyo best fighter katika historia ya ngumi Tz ,na mkubali sana huyu jamaa big up brother kaza buti utafika mbali zaidi
Mwakinyo yuko fit sana alikuwa anamsoma alipombadilishia mguu ili apige jab na Cross na upper cut
Oya msimfananishe Mwakinyo na Twaha kiduku ,Twaha bado mdogo sana
@user-gc3ec9wx6z
4 ай бұрын
Hana lolote
@janejoel2465
4 ай бұрын
Kweli kabisa . Kiduku anatabia ya kujitupia mwilini kwa wenzio na limwili lake ndio maana yule muafrika kusini alimshinda coz akirukia mwilini alikuwa ana mkwepa
@user-du6bd3no2b
4 ай бұрын
Kiduku kwa mwakinyo ni kama kusukuma mlevi tu....yaani huyo kiduku asije kuyakanyaga kwa mwamba huyu
Tumeinjoi sanaaa Crawford wa tanga umewafunga midogo wenye roho za ku2 msena wangu mungu ndo kila ki2 leo wataongea nn mana alukuwa wanasubria kuongea cwackii kmya dadek champenz oyeee❤❤❤❤
Kama unasema mwakinyo kapambana na mnyonge omba week pambano na mwakinyo au mlete Baba ako
@rogerabdallah439
4 ай бұрын
Wewe umemleta uyo babako
@user-qk5gh5ns9m
4 ай бұрын
Huelewi kiswahili ww@@rogerabdallah439
@avelinpriscus6018
4 ай бұрын
Mletemamayako
@jabirkibwana1568
19 күн бұрын
Hongela kaka tangalahatu mawazo kando hongela mungo azidi kuku jazanguvu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤and 32:58 33:00
Hizi ndio boxing ya ukweli jamaa wote fit. Hongera sana Mwakinyo. Pia waandaaji kwa kuandaa pambano zuri kama hili
Champez..one more time for the king
Allah azidi kukupaisha bondia wetu watanzania tuko nyuma yako.
@Jibambeshow254k
4 ай бұрын
😂😂mtu anapigwa pekeake wasema ukopamoja naye acha uongo
@salmaalimusa6809
3 ай бұрын
😂😂😂😂@@Jibambeshow254k
Wenye maua ya Mwakinyo njoni hapa💪
Hongera sana Hassan kwa kupeperusha bendera ya Tanzania vema, na angalau safari hii raba sio kama zile za UK wakati ule uliposuasua kuua mtu pale Uingereza
Mwakinyo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakukubari mwakonyo
The best boxer in Tanzania kwa uzito wao
Kiduku atapigwa kipigo cha mbwa kokoooo, mpaka piko😂😂. Mwakinyo congratulations
Hongera sana mwakinyo kwa mechi nzuri@najua unapitia figisu nyingi ndo TZ tulivyo mtu mwenye mafanikio anapigwa vita badala na ku suppprtiwa@MWENYEJI MUNGU akusimaie uendelee kupeperusha bendera
Nakukubalj mwamba mwakinyo pamoja sana
Allwah atakusimamia mwakinyo
You is 👑 in Africa
Ongera Sanaa kaka 🎉kumbe Azam wa ovyo mbona hawajaonesha
Kazi nzuli wajinaa🔥
This is good my role model champezi one mo time hasaaaaaani mwakinyoookioooooooooooo,🔥👊
Mwakinyo hongera Sana,umeonyesha maneno na vitendo kwa pamoja,watu wengi na mabondia wanakuchukia ila hawaelewi kuwa kuongea kwako kunaamsha amsha games za ngumi kuwa na ushindani,salamu kwa wapaka piko zimefika,wale walio andaa pambano Tanga ilikuwa ni gamę plan kuvuruga bambano la Zanzibar,ila mungu kawaumbua na tumeamini maneno yako kuwa ni maadui zako,kwa nini wasipange pambano lao tarehe 28?
@josephatmakaranga
4 ай бұрын
Haongei kuamsha amsha tu Bali jamaa anatetea haki za mabondia pamoja na maslahi yao kwa ujumla.
Asante🎉
Congratulations to u and god bless u HASSAN Mwakinyo
Hongera bingwa from my country i am so proud for MWAKINYO pambono moja tu ndio uliniangusha mjin Liverpool lkn unapoamua kuifanya kaz unaifanya kisawasawa na sijaonaga kama Mwakinyo
Huyu Mghana alikua mgumu sana. Welldone Mwakinyo
@user-ky3dj4tp5i
4 ай бұрын
Pipa na mfuniko hao
@deogratiusyudatadei5658
19 күн бұрын
@@user-ky3dj4tp5i😂😂😂😂😂 hamna kitu hapo ngumi zakuotea tu
Huyu soja wa Ghana kule kwao ndio kama kiduku huku Tanzania levo yake ni kiduku sio mwakinyo kwa mwakinyo atachezea sana
Maasha allah hassan hongera kwako kaka wanao bishana na ww ndy wanaokuwa chanzo cha siziki yko wako hivyo waendelee kuwa na chuki wako maana ww unaakilia ya ngumu hivyo watakuchukia tu 💪💪💪💪
Hongera Sana mwakinyo aibu yao waliokuwa wanakutafutia mzengwe ktk kazi zako mungu akizidi kukupambania mwisho wao ni aibu
@davidmeta8747
4 ай бұрын
Cha kushangaza wapo humu wamegeuka kumshangilia,,hii ndio tz,rafiki kinyonga,leo rafiki kesho adui keshokutwa rafiki
Hongera familia hii game umeonesha umaarufu sio siri...keep it up MWAKINYO🎉
Safi sana kijana mchezo uko sawa.
Kama unajua unajua tyu mti wenye matunda ndo hupigwa mawe Yan mnatak mtudanganye kwadunia hii kwamba mwakinyo hajui ngumi?nyie mwakinyo ni bondia haswa TNG❤❤❤❤❤❤❤
Yule jamaa ni mbavu lakini ,mwakinyo ana uzoefu mwingi, na ngumi yake haitui ovyo, hongeraaaa brother Mwakinyooo, utakuwa mnyakyusa wewe hakika , maana ni nooooomaaa! Mungu aendelee kukutia nguvu, tulikumisi ulingoni sanaaa! Sasa tafadhari sana , katupigie yule muingereza basi , naamini utaonesha maajabu !
Hongera sana kaka
❤❤❤ yako Ayo hasani waonyeshe maboya wataka kufafana naww
Good job champenz
ingetakiwa mwakinyo angeenda kule Ghana akamfue soja kule kule kwao ili heshima iwepo
Keep it up mwakinyo baba ngumi unajua watazania sisi wivu ndio tatzo nakupa maua yako🎉
Mwenyezi mungu amkinge na Mahasidi
Nimefuatilia comment za watu hakika nyota ya mtu huwezi kuua kabisa utajitahidi kuififisha lkn mungu ana kung'arisha zaidi sema wabongo msema kweli wanaona kama mkorofi jamaa hapendi ubabaishaji!
❤🎉 hongera sana bro
huyu jamaa kiboko hana rongorongo wenye wivu wakakojoe wakalale😂❤❤❤
hayufosi KO tunacheza professional boxing,,champez one time hongera
God bless 🎉
Amazing fight
Big up mwakinyo
Mwakinyo umetisha❤❤❤❤❤
Nakukubali sana mwakinyo zidi kutangaza tz
@HappyGrant
4 ай бұрын
Mwakinyo mtegemee Sana mungu upo viziri Sana sio makuli wanaigiza ngumi wanakumbatia
Safi sana champez Mogadishu famili
Mwakinyo ni fundi , anajua sana Allah amjalie kijana huyu
hongera sana
Uwezo wa Hassan Mashallah Allah azidi kumpanguvu katika mikono yake Insha'Allah kingine kiherehere cha mtangazaji anamtangaza mshindi kama yeye ndiyo refa hajafuta protocol ametengeneza delay
TZ one forever and ever
🎉🎉🎉🎉kazi nzuri broo hassan❤❤ tz oyeee
Champez Mwakinyo............! The One N Only in Tanzania and Africa
Uyu ni crawford wa tz🔥👊
Hongera mwakinyo kwa ushindi mnono Ila kwa huyu mwanajeshi hakuna bondia anapiga ngumi kama tunaangalia Slow motion sioni Jab, sioni Combination, 1 two hakuna kwa ufupi ni pambano la kawaid na hio Combat angeivua anatudhalilisha wanajeshi
@kellybreezytz2491
4 ай бұрын
Kesho tutakuita upigane wewe
hongera brother
Kinyoo boy
Kazi nzuri
Honger kaka ww nifundi wangumi unajuakk
Safi Sana brother
Umeweza kaka wa Taifa🇹🇿
Hongera sanaa mwakinyo nimefurahii sanaa hinzo ndo ngumi tunataka safi sana
Tanga Alihamdulillah tupo vizuri zaidi sana kuna kina bonzo na mambea sasa Mtoto wao Mwakinyo
Mwamba unajua waache wasiojielewa wakuseme vibaya ukiwa unapambambania maslai Yako ❤❤we ni mwelevu hepuka unyonge bro pigania maisha Yako Kaz iwe na maslai fanya Kaz good champion
We still need to see the fights 😮
Champion mwakinyo Yuko power kabisa
Nakukubali sana champez🎉
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Jamaa anajua. Wanajitahidi kumtenga na kumtengenezea chuki bure. Safi Mwakinyo
Onger bloo God bless you
Hongera sana broo ALLAH azidi kukusimamia inshallah waloanzisha pambano jn tanga walikuwa na Nia mbaya ya kukuharibia pambano lko ila Allah kakuhifadh haiwezekani star km ww jn ilitakiw tz nzm ikuangalie ww lkn Kun wanafik tz sure
Namkubali mwakinyo
Dua sana kwako Kaka mwakinyo
Mm ni mzanzibari ila mwakinyo nakukubali sanaaa
@modestusndunguru7183
4 ай бұрын
Acha kusema mi ni mzazibar..mbona Kwan yeye kakuambia wa wap😂😂 ..hata ukiwa wa komoro...baridi tu
sikuzote tulikua tunangalia ugovileo tumeangalia ngumi
@user-lk3qc7vr2n
4 ай бұрын
😂😂😂 Kwa hakika
@hamsikrasheedi1796
4 ай бұрын
😂✊🏼
@Ndu-wa.uroony2
4 ай бұрын
Ugovi ni nini?
@wadudi2741
4 ай бұрын
Hahahahahahahha
@SwalehSaid-mf5sg
4 ай бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 ugomvi ni vurugu za ulingoni yani kukosekana ladha ya boxing ndicho alichomaanisha nduguyangu nahili ni kweli kabisa
Salamu zmefika
@user-qp5vi9yt6m
4 ай бұрын
Zishafika tayari
Nasema hivi tutawpiga sana Team mwakinyo maana tunafanya mazoezi kwa nidhamu kubwa.....msitugeze kuongea tunawalegeza kwa maneno na tunawapa hasira Team mwakinyo(Moore money more despline)
Mashallah
Kma hajaguswa yaan macho meupeeee Hongera sana Hassan Mwakinyo unatuwakilisha vemaaa sana
Mwakinyo mungu amjalie nguvu zaid
Mwakinyo Unajua ngumi, ukitoka wewe anafuata Twa kiduku anafuata Ibrahim clask Big up Tanzania 🇹🇿 my best
Azam wanatuangusha sana pambano kubwa afrika kweli. Mana mwakinyo namba moja afrika wametuangushamno mono sijapenda au kisa kagoma kucheza na Yule under dog
Ngumi jiwe, hongera Home boy , Refa alitakiwa awashike mkono then amnyanyue mshindi juu hapa imekua tofaut😅😅
Information us who is who identifying by their trunks
Ni mtoto sana huyu kwa mwakinyo lazima angeanguka mapema sana tu
Safi sana mwakinyo mdogoa angu mungu akusimamie umeiheshimisha tz umetuheshimisha watanga wenzio
Hongera mwakinyo
mghana kapipa hesabu kaona hawez toboa round ya 10, hongera hassan mwakinyo
❤❤