HASSAN NDONGA🆚️JUMA FUNDI: TKO ya AJABU RAUNDI ya KWANZA, FUNDI Kakubali KUNA MAISHA Baada ya NGUMI!

Спорт

HASSAN NDONGA🆚️JUMA FUNDI: TKO ya AJABU RAUNDI ya KWANZA, FUNDI Kakubali KUNA MAISHA Baada ya NGUMI!
BONDIA Hassan Ndonga amefanikiwa kumtwanga mpinzani Juma Fundi wake kwa TKO Raundi ya kwanza kwenye pambano lililofanyika usiku wa kuamkia leo.

Пікірлер: 8

  • @trayoversion
    @trayoversion7 күн бұрын

    Jumaa achaa atakuumiza huyo 😅

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj93908 күн бұрын

    Champion

  • @IpyanaMsabaha
    @IpyanaMsabaha8 күн бұрын

    Vipaji vipo vingi uyo juma fundi waachane nae mda wake ushaisha hana radha kabisa

  • @RajabuGoba
    @RajabuGoba8 күн бұрын

    Tyson wa bongo 💪💪

  • @tsegaye1519
    @tsegaye15194 күн бұрын

    Mnafhalilisha boxing.. Anaufundi gani sasa huyo

  • @user-bc5kt8hh6n
    @user-bc5kt8hh6n8 күн бұрын

    Mabondia wengine 😂😂😂😂, badala wakauze maji kule

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene21218 күн бұрын

    Ujinga mtupu ko ya ajab iko wap

  • @Kuminamoja1995

    @Kuminamoja1995

    8 күн бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Келесі