𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.#wasafi #wasafitv #wasafifm
Mboso amzingatie jamaa huyo anaonekana ni big fan wake sana
nguvu ya mamba kagere ..💯💯. Mbosso guswa na mshkaji muinue ata maisha kidg.
Sema mungu anaipende sana kazi Yako maana sio kwa kukuletea hiyo jamaa ya chuga dahhh mungu fundi
😂😂😂😂 chuga kanivunja mbav😂😂
daah huyo mwamba shabiki kweli VITAMIN MUSIC
WCB wamsaidie nguvu ya mamba kagere wa mwenge
"sie tunaharaka" hata siku muloniibia pia mulichukua haraka 😂😂😂😂
Jamaa wa mboso ana vibe kinoma😂😂😂😂
Jaman uyo Kagere nimemkubali kinoma Big fans wa Mbosso namuangalia uku natabasamu😂😂😊
Leonardo jitahidi watu wakujue daaa!!! Kila mtu hakujui aisee
Wewe wanakujua 😅
Watu wanaoulizwa wako bize na maisha 😂😂
Akinijua mamaako inatosha
@@DAVID-wp4vc akinijua mamaako inatosha
@@DAVID-wp4vc kimya huwajibu kwa mjinga
Izack, Juma na Amani wanapokea ushauri kwa hrk😂
Jamaa mchaga mbona hayupo serious????!!😅😅😅😅😅
Terminator 🎉🎉🎉 Umeua🙌🙌🙌
Leonardo angemshikisha hiyo cm alafu tuone angefanyaje 😅😅😅😅😅
Hoi MoTown mwana kakupa bonge la Love hug
Yule mwanamke wa mtu kweli!?😂😂😂
Oi Leonado humu umezingua
Sanyaa miyeyusho 😂😂😂mutaniiii life ngumuu
Mna weza mfanya jamaaa akaachana na mke wake kwel...kuen makin jaman mtavunja ndoa za watu😂😂😂😂
Eti mtaa wa sukuma😅😅
nomaa
Terminator Kagere kauwaaaa🎉🎉🎉🎉
Unafeli unawauliza watu ambao sio wa mitandaoni 😢
Huyo leonard hayuko serious kabisa mt anajua kabisa mchezooo huu
Mwamba katisha sana sana dar noma
Hahahaha nakubali 😅😅😅
Why always you're made it brother!!??
Haaaaahaaaa eti unamuona anavokua na akili nyingi
Hivi nikwel yahovyo kuwah kutokea
Namjua jamaa nakaa nae hapa mtaan nimecheka
Mumtishe gigy money
Umetisha sana 😂😂😂😂
😂😂😂eti hauna haki nyamaza
Yule chuga kanivunja mbavu😂😂😂😂
Mtaa wa sukuma....jamaa muongo sana
Mbosso mcheki jamaa
Kuweni wabunifu
Ila harmonize
Chuga mikazo sana😅
😂😂😂😂😂😂😂😂ipo siku mtapigwaaaaa
kuna gwanda imekatisha hapo chap
@mbosso
😅
huyu Leornado ni habari nyingine
😂😂😂 dah chuga na private
Mo town sanya, watakuja wakupige msenge ww
Anakipaj kuliko mm
tupo apa
Ntauwawa😅
😂😂😂😂mtamuua chuga wa watu khaaa
Oooii!! Oooii!! Oi oi oi Motown Sanya ebwana sana tuko pamoja kitaakinamishe kibao
Motown ukiondoka wasafi nakuroga😂😂😂🙌
Nakuunga mkono ndugu yangu
Sure lazima tumuloge
Asha na Aisha Ni mule mule😂
Uyo mimbulu
Chuga anavodagi aiseee😂😂😂
Nimecheka😂😂😂
Mboso mtafute shabiki wako
Wahuni wanakula Mchele Tanzania mkona mchezo
Пікірлер: 68

@eggysulle7988
13 күн бұрын

@DAVID-wp4vc
14 күн бұрын
Wewe wanakujua 😅
@Bravegirl.427
14 күн бұрын
Watu wanaoulizwa wako bize na maisha 😂😂
@mhinajerome5964

@martinemapoka5598
15 күн бұрын
Nakuunga mkono ndugu yangu
@Ndenza
12 күн бұрын
Sure lazima tumuloge
Asha na Aisha Ni mule mule😂
Uyo mimbulu
Chuga anavodagi aiseee😂😂😂
@eggysulle7988
13 күн бұрын
Nimecheka😂😂😂
Mboso mtafute shabiki wako
Wahuni wanakula Mchele Tanzania mkona mchezo