KUTEGUA YALIYOPANGWA NA SHETANI (DODOMA)
SEMINAR YA NENO LA MUNGU NA MAOMBEZI YA ILYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DEAR MAMA HOTEL NA KUONGOZWA NA MTUMISHI WA MUNGU SUNBELA KYANDO KUANIA TAREHE 18 - 20 OCTOBER 2019
#SUNBELLA_KYANDO
#DODOMA_STEP_AHEAD
SEMINAR YA NENO LA MUNGU NA MAOMBEZI YA ILYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DEAR MAMA HOTEL NA KUONGOZWA NA MTUMISHI WA MUNGU SUNBELA KYANDO KUANIA TAREHE 18 - 20 OCTOBER 2019
#SUNBELLA_KYANDO
#DODOMA_STEP_AHEAD
Пікірлер: 117
Mungu azidi kukuinua na kukupa upako mpya Mtumishi wa Mungu🙏...tangu nianze kufuatilia mafundisho Yako ,nimeimarika kiimani pakubwa sana,.utukufu kwa Mungu🙏🙏🙏
@gladnessbenjamin2900
Жыл бұрын
Mimi pia
Pastor Philip from Nakuru-Kenya Servant of God,am much blessed Honour and Glory be to God
Mafundisho yako yananigusa siku zote.Namuomba Mungu aendelee kukutumia Mtumishi wake
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu .Mafundisho yako yamenikuza sana kiroho
The annointing of God lord our father Amen.
May God bless u Man of God kwa maana nimejifunza kitu from you
God bless you mchungaji
Asante Mungu,kwa uwepo wako Mtumishi,unafundisha vizuri sn
Powerfully teaching be blessed Pastor
Amen unafundisha vizuri ninabarikiwa mno MUNGU azidi kukuinua mtumishi
More than a teacher amazing be blessed.
Asante baba najifunza mengi sn kutoka kwako
Karibu Mbeya pastor
Nafundishika,Sana mtumishi mungu kyando,nakupata toka pande za mozambique
Ameni hii imegusa kabsa maisha yangu yote Amina ubarikiwe
Barikiwa sana baba, naendelea kupokea uponyaji. Naomba Mungu anipe nafasi ya kukuona.
Mungu akubariki sana Mtumishi kwa mafundisho yako
Hakika ujumbe huu ni wangu haswa nimekua na miaka kumi nikipitia mambo magumu,mitihani kisha usiku ukifika ndio balaa,attacks kila ucku Ila toka nianze kukufuatilia nimeelewa ni kwa nini, na kupata suluhisho,Asante mtumishi,Mungu akubariki sanaaa,you are heaven sent.
Let the grace of the lord Jesus Christ be with you always
Hakika Mungu anakutumia kwa viwango vya juu yaan unafarriji unatia moyo jamanii God bless Yu Mim Sunbell
@ambelamwaitebele7540
4 жыл бұрын
Wilbard 36 habari
@wilbard3692
4 жыл бұрын
@@ambelamwaitebele7540 Salama Mtumishi kwema
Asante kwa masom mazur Mungu akubarik San unatufungua san
Good teachings
Anahubiri vizuri
ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Ashukuriwe mungu
Amen
Hallelujah Amen 🙏 🙌 👏
amen
Amen Amen Amen
Chochote shetani umepanga juu ya mtoto wangu Jose napangua in Jesus name 🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Am so blessed about this
Wow chanzo cha tatizo ndio mafanikio thank u Jesus.
Amina
Ujumbe huo Ni mzuri nimeupenda
Amen mungu akuongoze
Mungu akubariki sana
Unahubiri vizuri sana Pastor. Mungu akuongeze na kukuzidisha
Amen barikiwa sana mtumishi
Amen nimebarikiwa sn.
Dodom mnaabudu sehem gani na utaratibu wa ibada ukoje
Amen amen
Amen pastor 🙏
Mungu skin a riki sana upo duniani kwa makusudi kamili la mungu
Powerful teaching be blessed paster,, please pray for me and my family,we passing through hard and pain thorns
@havillamaira3367
8 ай бұрын
ppppp
Mtumishi mungu azidi kukutumia
Thank you .and may God continue to bless you
@doreengaspar6772
Жыл бұрын
Mungu akulinde man of God
Poster God bless you
Mungu wangu ninakushukuru kwa ajili ya faraja ninayoipata kupitia neno lako kwa mtumishi wako huyu.ninapita kwenye mapito magumu na oma kupata namba ya simu au ninavyoweza asiliana na mtumishiwako
ni somo la October 2019 lakini hivi leo limenifungua ufahamu wangu wa kuelewa na kufahamu zaidi
POWERFUL REVELATION 🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi
Amin
Mungu akutunze sana mtumishi nabarikiwa sana. Arusha mnakuja lini?
Mahubiri yako yanabariki na kuinua sn Yana mafuta ya roho mtakatifu
Ameen
Amina kubwa
Ameeen mtumishi kwa fundisho hilo ,nime barikiwa mno
Amina mtumishi
Asanteee
Napataje namba Barikiwa mtumishi wa Mungu naomba namba zako
Great
powerful teachings
@ambelamwaitebele7540
4 жыл бұрын
maria zabron mzima
@ambelamwaitebele7540
4 жыл бұрын
maria zabron habari
@ambelamwaitebele7540
4 жыл бұрын
Mzima
@daudpaulo2867
2 жыл бұрын
Naomba nipate namba ya mtumishi
Unatupa mwanga mkubwa sana mtumishi, Mungu akusaidie sana
@rihannabellion5636
4 жыл бұрын
yanii balaaa fire la uakika
@rihannabellion5636
4 жыл бұрын
yanii balaaa fire la uakika
🙏🙏
here I am
Hata nami naomba yesu asinipite.God bless you man of God 🙏
@alphoncealmack9240
3 жыл бұрын
GOD BLESS YOU JEHOVAH akutunze mpakwa mafuta wa BWANA
Bwana asifiwe pastor please mimi huwa nakufatilia sana please mtu anaweza kupata aje juu mimi ni mkenya but nafanya kazi Saudi Arabia please I need you're help pastor
MUNGUAkuinue zaidi
Nimebarikiwa sn na mafundisho yako
Jamila mtumishi umenipa kitu cha thamani sana kila nikisikiliza unanipa maarifa
@zitashio7920
2 жыл бұрын
Hakika sio Jamila
wanao dislike hao niwachawi najuua wanapigwa sana hao sio wakawaida.
@lucyshedrack1532
2 жыл бұрын
Kweli ni wachawi na sijui wamefata nn humu
Jamani naomba namba ya Mtumishi uyu
ni vema kufanya biashara za ngurwe
Amen Mtumishi nimebarikiwa sana,he Dodoma mko sehemu gani? Pia naomba no.ya mtumishi taf
Dodoma mpo wapi
niko nasikiliza sshv
Mtumimish wa mungu help me please niombee juu ya masomo yangu
@getrudawilbert6301
4 жыл бұрын
Mtumishi please uje mwanza baba please nakuomba
@edwardchallo6630
4 жыл бұрын
Mtumishi nabarikiwa sana. namafundisho yako nimekutafuta zaidi ya Mara NNE Mtumishi niombee
Mimi nipo Dodoma napenda sana huyu Mch ananibariki sana ingawa Mimi Nina kanisa lakini naomba kujua Kama kanisa la Dodoma Wana ibaada za katikati ya week niweze kuhudhuria.
@realityofchristchurch
2 жыл бұрын
DODOMA tuna ibada kila siku ya Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni pale ukumbi wa Dear Mama, Area C njia panda ya kuelekea Arusha. Karibu sana.
@zenahassani2092
2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe Amina Amin mwenyewe nipo dodoma sikujua kila jumatano takuja kila jumatano
Nimepokea kitu
@marrytabuya970
3 жыл бұрын
MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI NAMUOMBA MUNGU AENDELEE KUKUINUA KWA VIWANGO VYA JUU,MAFUNDISHO YAKO YANANIBARIKI SANA,YAANI NABARIKIWA KWA VIWANGO VYA JUU,KUNA VITU VINANIGUSA MIMI NA MAISHA YANGU,HATA NA MAJARIBU NINAYOPITIA.
🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Amee
Muda maalumu wa ibada zenu ni saa ngapi huwa nnaanza? Mfano j3 j5 ni saa ngapi ibada inaanza?
@MrSunbella
4 жыл бұрын
Sasa ni jumatano sa kumi na moja na nusu ijumaa kumi na moja na nusu na jumapili sa tatu asubuhi
@joshuaombima8230
3 жыл бұрын
Powerful samon I wish ututembelee Nairobi Kenya man of God .
@joycesanga6951
2 жыл бұрын
@@MrSunbella mtumishi ninahitaji sana kugusa mikono yako msaada tafadhali.
Amen
Amina
Mchungaji mafunzo yako ni makuu na mazuri. zidi kubarikiwa.
niko nasikiliza sshv
Amen
Amen
Amen
Amina
Amina
@erycahkiwale8757
Жыл бұрын
Amina
@mosesmnyantope9534
Жыл бұрын
Mungu yumwema asante mtumishi