KIFO CHA MAPENZI FULL MOVIE | love Story 💕 | NYUKI TV

kijana masikini aingika katika Vita ya Mapenzi kati ya Carlos na Tobby ,kwa kumpigania mpenzi wake
Write& Directed by
NYUKI FX
Producer
Shaida Sabai
Director of Photography
Nyuki FX
Line Producer
Prolens Media
Songs
Y voo
muddy Best
Casting
Derick Gerald
Dr Cheni
Adam Leo
Mysarah Castor
Clesh Richard
Zawadi Derick
Contact Us
phone number +255 768 654 526
Email nyukitv@gmail.com
Instagram: @nyuki_tv/ @iam_nyukifx
#dontatv #mapenzi
#penzilabodaboda #ndoayakahaba #episode #episode1 #ndoayakahaba #episode07 #dontatv #keshoyangu #nyukitv #malayalam #instagram
#penzilabodaboda #ndoayakahaba #episode #episode1 #ndoayakahaba #episode07 #dontatv #keshoyangu #nyukitv

Пікірлер: 149

  • @Rock_mediatz
    @Rock_mediatz24 күн бұрын

    Wakwanza naomba like Ila mapenz jamani Nyuki wetu amevipiga vita mwendo amemaliza R.I.P SHUJAA WA MAPENZI

  • @HabonimanaFelix
    @HabonimanaFelix24 күн бұрын

    Wakwanza from🇧🇮nipe like zangu

  • @herongwikwi1021
    @herongwikwi102113 күн бұрын

    Hii ni kali sana 🙌🙌🙌 nimejifunza mengi sana kupitia hii movie.🙏 Inaumiza sana, yaani ni kama uhalisia aisee🙌🙌🙌 Kweli hata wanaoua, huudhuria msibani😭

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi315224 күн бұрын

    Jamani napenda colabo ya Nyuki na Adam kazi nzuri sana from Oman

  • @user-by2vk7wd4b
    @user-by2vk7wd4b9 күн бұрын

    Mapenzi ya kweli hayahitaji pesa broo karos Ila umetisha sana hadi mama mkwe umepita naye ww noma kweli

  • @majeedmbarouk2457
    @majeedmbarouk245723 күн бұрын

    Moja Kat ya kazi bora kabisa niliaowah kuangalia big up sana

  • @mariawawuda
    @mariawawuda24 күн бұрын

    Wakumi na sita jameni nipeni likes zangu kama mwampenda nyuki jamani

  • @user-id8bu6lw8x

    @user-id8bu6lw8x

    22 күн бұрын

    Hatutaki 😂

  • @user-lz8kb9ds8k
    @user-lz8kb9ds8k24 күн бұрын

    No 2 am from 🇰🇪 kaka nyuki hii ni 🔥

  • @samiasalum9690
    @samiasalum969024 күн бұрын

    Movie nzuri sana hadi imeniliza😢😢😢😢😢😢,hongereni nyote, Kaka Tobi tuletee perosa, alaf ile account yako nyingne INAITWAJE nmeisahau kulikuwa kuna movie naifatilia but sikuimalizaga.

  • @user-jf9pt8bu5j

    @user-jf9pt8bu5j

    18 күн бұрын

    Ndoa ya kahaba

  • @samiasalum9690

    @samiasalum9690

    17 күн бұрын

    @@user-jf9pt8bu5j hapana hyo ya juzi Ile movie ya mda kama 2021

  • @user-bt1vl8nu5n

    @user-bt1vl8nu5n

    14 күн бұрын

    Ulipotea ila tanthiliy itaendelea

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl24 күн бұрын

    Cheni ndani ya nyumba❤❤❤❤

  • @user-ji6cp1ng8g

    @user-ji6cp1ng8g

    21 күн бұрын

    Aaaaah nilitaka nikoment ivyoivyo umeniwah nimeamua nicheke

  • @imraniside4327
    @imraniside43276 күн бұрын

    Daa nyuki mbon mmejichagua watu wabadi San iyo combination ni nyoko🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @merypaul4035
    @merypaul403524 күн бұрын

    kazi nzuli sana 👌👌👌

  • @Gsh-ov2ut
    @Gsh-ov2ut24 күн бұрын

    Waah yaani hii nikali 😢😢😢😢mpka nimekumbuka bwanangu akitembea na dadake wee acha tu ata nimejipata nalia tu Bila sababu mapenzi shikamoo 😢😢😢😢

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda19 күн бұрын

    Jamani Adam mshahuri mzuri saaana❤

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e24 күн бұрын

    Kazi nzuri sana nyuki naadamu from saudi

  • @user-gg9wi7oi8h
    @user-gg9wi7oi8h17 күн бұрын

    Kaz nzuri Sana wapendwa❤❤🎉

  • @ruzimirabihembo9549
    @ruzimirabihembo954924 күн бұрын

    Kazi nzuri nawapenda sana

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam880523 күн бұрын

    kzi nzuri adam piga kzi naamini utafika mbali

  • @AmosChurchil
    @AmosChurchil7 күн бұрын

    Funzo kwa jamii 👏👏

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki558523 күн бұрын

    Vinjana muna njuwa kucheza kbs🎉❤❤️💐🥰

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania974320 күн бұрын

    🎉dokta cheni anajua anajua tena

  • @user-oj1dv7ci1v
    @user-oj1dv7ci1v3 күн бұрын

    Nyuki na kepempu yako nawapenda sana ❤❤❤❤ mwenderezo jmn

  • @user-pw5vj3ck2i
    @user-pw5vj3ck2i24 күн бұрын

    Hii movie bado itaendelea ao ndio mwisho kbs maana kiukwel bado sijaelewa vizuri kipande ya mwishoni 🇿🇦🇿🇦🇿🇦 Big up kazi no nzuri mimi nadhani bado itaendelea hii

  • @user-fk8lu1rg6z

    @user-fk8lu1rg6z

    24 күн бұрын

    Mm pia nathani ikona mwendelezo kulingana na vile imeisha

  • @thomaschenge-lc8wf

    @thomaschenge-lc8wf

    21 күн бұрын

    ushaambiwa fully mkuu😂

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah456024 күн бұрын

    Carlos wajisumbua mwanamke akisema inatosha hata uimbe kijerumani hawezi kurudi kwako😏

  • @user-qq6mv6vh3e

    @user-qq6mv6vh3e

    2 күн бұрын

    Umeongea point

  • @user-to3wz6gv5n
    @user-to3wz6gv5n24 күн бұрын

    Move iko na wakongwe pamoja bro Adam

  • @user-pp2xh5cg1m
    @user-pp2xh5cg1m24 күн бұрын

    Congratulations 🎉🎉🎉🎉 t kaka nyuki ii umeweza🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nyukitvonline

    @nyukitvonline

    24 күн бұрын

    Nashukuru sana

  • @user-jf9pt8bu5j
    @user-jf9pt8bu5j20 күн бұрын

    Jina la wimbo please 🙏

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi640011 күн бұрын

    Mashallah❤❤❤❤pongez san team nyuki❤❤

  • @UshindiMobeli
    @UshindiMobeli2 күн бұрын

    Jamani tunaomba prt2

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki24 күн бұрын

    Mapenzi shikamo🎉🎉🎉🎉

  • @user-np5rp2fi5t
    @user-np5rp2fi5t24 күн бұрын

    Mapenz mapenz jaman

  • @Thuma_junior
    @Thuma_junior22 күн бұрын

    MashaAllah movie nzuri Adam bt tobi ameniliza ❤❤❤🥲🥲🥲 I love it dadazetu pia muko talented congratulations 🎉 naomba ep 2😢

  • @AndawileMwakapila
    @AndawileMwakapila8 күн бұрын

    Asante sana nimejifunza kitu

  • @constancemwagwabi3855
    @constancemwagwabi38558 күн бұрын

    Carlos ww ni handsome lakn hauna mapenzi..,mapenzi yana wenyewe

  • @sophiashamimah5895
    @sophiashamimah589517 күн бұрын

    Haha yani movie nzuri Sana ila apo kwa kulia jamani weh😢 alafu badae usiku mwema mke wa marehemu aiiiii jamani

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki558522 күн бұрын

    Hivyo sio viziri kuanza nayee mme wa rafiki yako alikuwa geuka kuwa mume wako njani movie nzuri sana KBS ni fundisho kubwa dada wamama shunjaaaaa oyyyy nakupenda sana KBS ndodunia hiyo mzunguko ila mngu anaweza yote hiyo movie ina nililisha saana unashauria wenzako ❤🎉🎉

  • @bitishoriziki5585

    @bitishoriziki5585

    22 күн бұрын

    Umemuonea huyu mkwe KBS ndodunia hiyo mzunguko 😭 pole dadaa ume onewa saaan KBS

  • @annetsimiyu6919
    @annetsimiyu691910 күн бұрын

    Kwa kweli wauaji pia wanahudhuria na ndio wanajifanya wakuswa sana kumbe manafiki hao!

  • @mariamomary6003
    @mariamomary600317 күн бұрын

    Movie Ina nzuri inaliza pia ila imenifundiaha kwamba unaweza ukajiua kwahili ya mtu lakini badae akakusahau nakuendelea na maisha maana hapo mwisho imeoneshwa kua mwanamke alimtumia Carlos txt huku akipigia na smile ❤❤ je vipi kuhusu alie kufa kwajili ya mapenzi 😢😢 yeye aliacha huzuni ya mda mfupi kwa mpenzi wake ila ameacha huzuni ya kudumu Kwa familia yake hasa wazaz😭😭

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki558522 күн бұрын

    Owa mke asiye na pesa no viziri kuanza nayee🥰❤️🎉💐

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo967110 күн бұрын

    Kazi nzuri sana ila ina skitisha 😢😢😢 maskini tobi

  • @jamesmulambya5859
    @jamesmulambya585924 күн бұрын

    This is really attaching movie

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston384124 күн бұрын

    R.I.P Tobby kipara ngoso

  • @jamesmulambya5859
    @jamesmulambya585924 күн бұрын

    You are doing well bro watching from Zambia

  • @user-dy9ht1on7y
    @user-dy9ht1on7y24 күн бұрын

    Umezeeka kaka karos

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to2 күн бұрын

    Aki ningekua mm Sulphur singeemkubalia kalos nitoke nae vyeny na roo kua mmh acha tu😢

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua450624 күн бұрын

    Congratulations Nyuki nawapenda bure 🇰🇪

  • @moafatz
    @moafatz24 күн бұрын

    Tobby R.I.P

  • @user-sj2si2lk5i
    @user-sj2si2lk5i23 күн бұрын

    Bigapu kwawote kazi nzuli tugegemea t2 au ndoimeeeeenda

  • @BonfaceMuteti-zw5kj
    @BonfaceMuteti-zw5kj13 күн бұрын

    Nimechukia huyo jamaa na sitaweza kuitazama filamu ingine aliyoingiza

  • @rubenmarwa4700
    @rubenmarwa47008 күн бұрын

    Jaman naomba jina la hii nyimbo iliyo tumika humu

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is23 күн бұрын

    Aki nmejikuta nalia tu jamani 😢😢😢😢

  • @StevenMwarigha
    @StevenMwarigha24 күн бұрын

    Adam kazi nzuri l like itbro

  • @halimadamasi2770
    @halimadamasi27708 күн бұрын

    Yalinikuta mm pole saana dada kwa kusalitiwa 😢😢

  • @sylvia3999
    @sylvia399920 күн бұрын

    ❤❤ pongezi kwa kazi nzuri adam🎉🎉🎉

  • @monicamsile2284
    @monicamsile228424 күн бұрын

    Wow! Great!

  • @user-br6xr4mu1o
    @user-br6xr4mu1o23 күн бұрын

    kweli nyuki,mimi ni fan wako ila kwa hii mouv ❤❤❤❤,nakupendaaaaaaaa sana,kazi njema 🎉 natokea Congo

  • @nyukitvonline

    @nyukitvonline

    23 күн бұрын

    Nashukuru sana

  • @user-hm6hy6rr1h
    @user-hm6hy6rr1h6 күн бұрын

    Ongeren san ila inauma jaman mapenzi ay

  • @celinendikiminwe6053
    @celinendikiminwe605320 күн бұрын

    Wanawake munasahabuuu mbiyo kabisa😮

  • @samuelwanjala4378
    @samuelwanjala437823 күн бұрын

    Good work bro keep it up

  • @oscardenzioka0pet
    @oscardenzioka0pet14 күн бұрын

    Huyu kaka kaross na mchukia sijui bonaa😂😂😂

  • @goodluckmhagama5363
    @goodluckmhagama5363Күн бұрын

    Adam Leo Hii movie ni mbaya Huwa nakubali kaz zako ila hii movie ni mbovu nimepoteza muda

  • @HusnaOmarry

    @HusnaOmarry

    13 сағат бұрын

    We ndo mwehi kweli kabisa

  • @user-dy9ht1on7y
    @user-dy9ht1on7y24 күн бұрын

    Wewe karosi upo jmani

  • @omarmwachili1108
    @omarmwachili110824 күн бұрын

    Nyuki yalipili itoke mbio sana

  • @NancyRashid
    @NancyRashid24 күн бұрын

    Kz nzur hongeren

  • @user-rm7er3hy6b
    @user-rm7er3hy6b13 күн бұрын

    Mhh kweli anatamaa sana mh Hadi Kwa mama😢

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa923 күн бұрын

    Asanteni kwa mwendelezo❤

  • @paulinekombe3753
    @paulinekombe375321 күн бұрын

    Kazi nzuri ❤❤

  • @elysefuraha4588
    @elysefuraha458814 күн бұрын

    Tobby wng 😢😢 ❤❤❤from🇧🇮

  • @zanuramandi3504
    @zanuramandi350423 күн бұрын

    Kazi nzr❤

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to2 күн бұрын

    Nilazima akwambie itawezekanaje alale na then nilale nae tena hapo ata kwa midaw sikubali,inauma kalos hana adabu

  • @LoiceMapenzikenga
    @LoiceMapenzikenga23 күн бұрын

    Kweli adamu mfungue macho huyo nyuki

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e3 күн бұрын

    Carlos kwenye ubora wake weee

  • @halimadamasi2770
    @halimadamasi27708 күн бұрын

    Jaman Adam eti tunao wanaume sit😂😂

  • @annetsimiyu6919
    @annetsimiyu691910 күн бұрын

    Kumbe mapenzi yanaua taa! Mwenye nguvu mpishe!Mbona watoto wa matajiri na matajiri hupenda maski n kindoa?.

  • @omarmwachili1108
    @omarmwachili110824 күн бұрын

    Tobi hii yaleo kali sana nakupa mkono bro

  • @DidierNimbona-sd5yy
    @DidierNimbona-sd5yy22 күн бұрын

    Wanawake kumbe nuhivyo mulivyo? Nawachukia sana kabisa

  • @user-ji6cp1ng8g

    @user-ji6cp1ng8g

    21 күн бұрын

    Utamchukia hadi mama yako mzazi aliyekuleta dunia pia nimwanamke

  • @user-ly7tv4iv9f
    @user-ly7tv4iv9f23 күн бұрын

    Kazi nzur

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu23 күн бұрын

    Good job ❤

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises15 күн бұрын

    stori no mzuli,ala mumebugi jinsi ya kuimalizia😢

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan700118 күн бұрын

    Kwa hiyo inamaana zuu hakuwa akimpenda kwa dhat thobius..amesubir ameuliwa akarudiana na ex wake..lkn thob amekubal kufa juu hakutaka kumsaliti zuu kisa ni pesa

  • @mwanatumu7012
    @mwanatumu701224 күн бұрын

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AmisseBuraimoCanamo
    @AmisseBuraimoCanamo22 күн бұрын

    🎉🎉🎉🎉nyuki from mozambiq

  • @BonfaceMuteti-zw5kj
    @BonfaceMuteti-zw5kj13 күн бұрын

    Vipi unarudiana na x aliyekisababisha kifo cha mpenzi wako

  • @joslayabumba5967
    @joslayabumba596724 күн бұрын

    Sasa snafu inafundisha nini hasa tunaomba Majibu tu

  • @user-bt1vl8nu5n
    @user-bt1vl8nu5n14 күн бұрын

    Waho mwanne

  • @LucasMagukuru-hc9kr
    @LucasMagukuru-hc9kr24 күн бұрын

    Hayaa

  • @user-rf9zs7io9x
    @user-rf9zs7io9x21 күн бұрын

    Jamani huyo kalosi alikuwa anaumwa kilizolizo😂😂

  • @tima5679
    @tima567918 күн бұрын

    Nimelia sana😢💔

  • @user-wm1ue2dr8e
    @user-wm1ue2dr8e9 күн бұрын

    Mapenzi c pesa

  • @BinMahsen
    @BinMahsen24 күн бұрын

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e23 күн бұрын

    Nyuki achauwonga

  • @lavinekezabarezi
    @lavinekezabarezi24 күн бұрын

    kbx💯💯

  • @saidahmed9688
    @saidahmed968816 күн бұрын

    good movie

  • @user-ot1ym4fy5o
    @user-ot1ym4fy5o23 күн бұрын

    Penye Adam hapakoseki kitu alafu nyukinae yumo 😂😂

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q20 күн бұрын

    Si si si si hiyo veepe haaa wee uogopi

  • @ndagijimanakibibi7381
    @ndagijimanakibibi738124 күн бұрын

    Tuna omba part 2 please

  • @user-xr6xk9lb5c
    @user-xr6xk9lb5c10 күн бұрын

    Kenya Watching

  • @nicohkjacinta-ke9cv
    @nicohkjacinta-ke9cv24 күн бұрын

    adam we

  • @RukiaKhamis-pu9zv
    @RukiaKhamis-pu9zv23 күн бұрын

    Chen anazeeka

  • @user-bt1vl8nu5n
    @user-bt1vl8nu5n14 күн бұрын

    Ko ndo imeisha