KAKA WA LISSU AKIWASHA MBELE YAKE, AAPA KUWATAFUTA WALIOHUSIKA KUMPIGA RISAS, ASISITIZA GARI ITUNZWE

#TANZANIA: Kaka yake Tundu Lissu akiwasha kijijini kwao Mahambe mbele ya mdogo wake, aapa kuwatafuta waliohusika kumpiga risasi, asisitiza gari ikae Makumbusho.

Пікірлер: 39

  • @saviomlelwa
    @saviomlelwa13 күн бұрын

    Hongereni Kwa kukutana pamoja kama familia. Mko vizuri Sana. Tumefurahi kuwaona Mungu awabariki.

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai14 күн бұрын

    Safi sana mnapendana

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna205813 күн бұрын

    Mimi nashauri muwaloge hao watu hata ikiwezekana musome dua mvunje chungu vyovyote tu mfanye kifo kiwarudie😢😢

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel714914 күн бұрын

    Mungu awatie nguvu, tunamshukuru sana kwa kuokoa maisha ya mpambanaji wetu wananchi asiye na hatia yoyote dhidi ya wahusika wenye roho mbaya. Bado wanalelewa ndani ya nchi lakini hakika hawatashinda. Nguvu za Mungu aliye hai ziendelee kumlinda katika safari ya kudai haki zetu wananchi,tuwe pamoja naye kupaza sauti zetu daima...

  • @shilogileshilogile4392
    @shilogileshilogile439214 күн бұрын

    Maneno yenye Wosia wa hekima kubwa toka kwa Msomi Kaka yake mwanasheria mbobevu. Ndg. Alute Lissu Mghwai.

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku14 күн бұрын

    Lissu mungu akulinde milele

  • @lwihurazakayo3864
    @lwihurazakayo386414 күн бұрын

    Asante.Hii inatufundisha makubwa"family togetherness"

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza565513 күн бұрын

    Nakupenda. Sana. Lisu. Mungu. Am Urinde. Nimtezi wahaki

  • @Fantsonmpango-uz3jw
    @Fantsonmpango-uz3jw13 күн бұрын

    Halafu inaonekana tumbo namba MBILI au MKE wa pili ndo waliosoma. Hongereni kwa umoja

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia707413 күн бұрын

    Wajefya sana isekhooo!!! Jambo la kheri sana mmeonesha!!🙏🙏🙏

  • @zohoraramadan4540

    @zohoraramadan4540

    12 күн бұрын

    Mohajaaaaaa

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung215913 күн бұрын

    Mungu wabariki Sana.. good family ❤

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x13 күн бұрын

    Mungu akubariki 🇹🇿

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko825111 күн бұрын

    Safi sana lisu

  • @sondajohn1371
    @sondajohn137113 күн бұрын

    Mungu acha aitwe mungu

  • @frenktarimo4703
    @frenktarimo470314 күн бұрын

    Mungu akutie nguvu ndg yetu lisu wewe ni mtu bora sanaa ila ninajua kuwa hata yusu ndg xake walitaka kuuwa wakijua kuwa wanampotxa kumbe ndiyo wanampandisha cheo kwa farao kwa hiyo usiogope ndugu yangu nakuomba tu uwe mpole tu ni hatua kubwa Mungu anataka kukupa hapa tzd kwayo wewe ni rais ajaye 2025

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we13 күн бұрын

    Poleni sn familia ya tundulisu tundulisu anakili nyingi sn na viongozi wa kitanzania huwa wanawachukia sn watu wenye akili kama alivyo tundulisu

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise13 күн бұрын

    Wtz Kama Kuna garama yakupasua chungu tujue Hawa watu wenye laana waishe kabisa maana awataacha vizazi vyetu salama utashangaa badala yake wanaendelea kupewa hata vyeo,

  • @ibrahimismail8239
    @ibrahimismail823914 күн бұрын

    Wamefanana..sanaaaaa

  • @lwitikomusa1712
    @lwitikomusa171214 күн бұрын

    ❤❤

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz13 күн бұрын

    Mnyampaa utrina ubeee wie saw,yan hana baya Alla awastir we na ntundu L mghwai,

  • @danielshimora5315
    @danielshimora531513 күн бұрын

    Uhai wa MTU UKO mikononi mwa mwenyezi Mungu,

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka120614 күн бұрын

    Ukoo wa majasili

  • @gwakisaphilipo2445
    @gwakisaphilipo244513 күн бұрын

    Piga Dua wapate uchizi

  • @LemaRapoi-np2gs
    @LemaRapoi-np2gs14 күн бұрын

    Uko sawa baba ya yangu

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l14 күн бұрын

    Sio kweli znz hakukuwa na mpelelezi na padri hakufa kwasab za kidini.bora ungesena kisiasa ungefahakika.walimkamata jamaa wakachora mchoro Mungu akawaumbuwa mchoro ukafanana na mkuu wa police znz yule cheupe .alokuwepo wakamuweja jamaa ndan mwaka 1 wakamtowa

  • @massawemrlowprice3949

    @massawemrlowprice3949

    14 күн бұрын

    Hii iliwafanya watawala wasitake tena wapelelezi wa nnnje kudaadeki

  • @simongwandu7392
    @simongwandu739213 күн бұрын

    Alute umefanana na Tundulisu

  • @nelsonwilliam7578
    @nelsonwilliam757813 күн бұрын

    Mnalewa tu na vitambi vyenu

  • @faustinejemsi1488

    @faustinejemsi1488

    11 күн бұрын

    Una hakili kweli

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m13 күн бұрын

    Huu ukoo ni watu wenye akili

  • @faustinejemsi1488

    @faustinejemsi1488

    11 күн бұрын

    Kweli

  • @victaboy7273
    @victaboy727314 күн бұрын

    Anaongea kama mdogo wake

  • @ihangacons-7471
    @ihangacons-747114 күн бұрын

    Huyo Simba Kwa bila shaka alikuwa anaumwa😂

  • @fredyjeremia7074

    @fredyjeremia7074

    13 күн бұрын

    We labda upo kuumwa.

  • @leonardphilip565

    @leonardphilip565

    13 күн бұрын

    Bila shaka

  • @cheiknamouna2058

    @cheiknamouna2058

    13 күн бұрын

    Kasema alitumia mshale huwezi jua alirusha toka umbali gani

  • @benedictmhina4819

    @benedictmhina4819

    13 күн бұрын

    Atakuwa Simba sport club😅😅😅

Келесі