No video

Jukwaa la Katiba Watoa Tamko Sheria za Uchaguzi 2024, Mazuri na Mapungufu Yake

#ijuesheria

Пікірлер: 28

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko58032 ай бұрын

    WELL SAID

  • @ShkiruIsmail
    @ShkiruIsmail2 ай бұрын

    tunahitaji katiba inayompunguzia madaraka rais

  • @edistidiusmutalemwa5758
    @edistidiusmutalemwa57582 ай бұрын

    Jamani,toka lini barubaru akaachiwa kigoli na kigoli akatoka salama! 😂😂😂

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v2 ай бұрын

    Pawepo na mahakama maalum ya Katiba ambayo ni huru pia, inayoweza kushughulikia kezi zinazotokana uchaguzi na siyo mahakama za kiraia.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro66622 ай бұрын

    Hao makamissina mar moja maana hao gao ndiyo waliaribu uchaguzi wa 2020. Ukawa wa ovyo kabisa. Kupita kwa kupita wengine kwa kura moja. Pili nadhani katika sheria ushindi wa uraisi ashinde kwa kura 50% na tatu fursa ya kupinga ushindi wa raisi iweze kushitakiwa kwa vitu ambayo yalitokea katika uchaguzi.

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana21522 ай бұрын

    Nakuaminia mama. Mungu aongoze hizi juhudi zako mama kipenzi

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb2 ай бұрын

    Msiunde jukwaa la Tanzania bila kuwemo wazanzibar mwenyekiti akatoka Tanganyika katibu atoke Zanzibar hapo ndipo utasema Tanzania jee katibu ni naniiiiiii?

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman59352 ай бұрын

    Mama nakukibali pigakazi

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb2 ай бұрын

    Jukwaa la Tanzania au la Tanganyika ???????

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri2 ай бұрын

    Well spoken.Sheria za sasa hazijilindi pia.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan54332 ай бұрын

    Mama Dr. Nkya hongera lakini nikukumbushe unajuwa kuwa Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Je kwenye maoni yenu hamkuona kuwa Rais wa Tanzania anaweza kuchaguliwa bila ya kura hata moja kutoka Zanzibar? Nyinyi mmeona tu ushindi kwa kura moja?

  • @LazaroMwakasege-bh5en
    @LazaroMwakasege-bh5en2 ай бұрын

    Leo watanzania tuamke tuachekudanga nywa na visenti vidogo ambavyovinazidi kututia umasikini

  • @drallan6879
    @drallan68792 ай бұрын

    mama ana phd nyingi kwa sasa hawezi ondo uttata ltk hili la te huru fake?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro66622 ай бұрын

    Hivi mtu akisimama peke yake atashinda kwa kupata kura ngapi? Hata akipata 20% bado atakuwa ameshinda?

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi2 ай бұрын

    👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa61592 ай бұрын

    Bado Kuna mapungufu makubwa. San fisiemuwatatutseala kwa nguvu maandamano yarndelee

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana21522 ай бұрын

    Katiba mpya ni sasa

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b2 ай бұрын

    tunata

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa61592 ай бұрын

    Ili wachaguliwe bila kura waje watuuze

  • @user-iz4te4gs5s
    @user-iz4te4gs5s2 ай бұрын

    Public coments

  • @deomuday7315
    @deomuday73152 ай бұрын

    Wakiwepo watu wa aina hii TZ Utasikia wanaitwa wapinzani mara wanaharakati...wakati ni mambo ya MSINGI kabisavkabisa Kwa wale walio HAKI. Shillingi yangu inabaki Kwenye kapu MAMA.. Umeongea vyema.

  • @GrandYounaitha
    @GrandYounaitha2 ай бұрын

    Pambana dada tupo nyuma yako

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b2 ай бұрын

    asante sana watanganyika wanataka katiba mpya nilazima watanganyika kutusomea kwamaneno kwenye majukwaa. sio haki je nauliza mumetembelea kila mkoa na wilaya na vijiji vyao husika je nauliza miminikitaka kugombea bila chama siinawezekana kama sitaruhusiwa basi inamaana

  • @user-zk9ox3di4b

    @user-zk9ox3di4b

    2 ай бұрын

    je nauliza sisi wananchi atuwaamini ninyi kamwe tuna

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa61592 ай бұрын

    Wasimamizi wasiwe mafisiyemu

  • @lucaskatoga6896
    @lucaskatoga68962 ай бұрын

    CCM wachani kuzarau maoni ya UMMA AMANI YETU IPO REHANI HOLE WENU

Келесі