JE. NI NANI ALIITIA MIKONO TORATI? MAJIBU KWA DR. SULLE 04

Bbilia ni kitabu pekee ambacho katika Historia ya dunia kimekuwa na mvuto mkubwa kwa ma millioni ya watu. Wengi wamebadirika maisha yao kutoka watu wakorofi, majambazi, makahaba na kuwa watu wema katika jamii. Kitabu hiki kimekuwa tumaini kwa wengi pale walipokosa tumaini. Wengi wamepoteza maisha yao kwa sababu ya kuamini Biblia, wamehukumiwa kifungo kwa sababu ya Biblia. Hata hivyo wapo wengi wapinzani wa kitabu hiki pia. Kitabu hiki kimepitia changamoto nyingi kutoka kwa wapinzani wake, lakini licha ya changamoto hizo, kinasimama imara hata leo kikivuta usikivu wa maelfu ya watu. Hivi Karibuni kumekuwa na mafundisho yanayoenea mitandaoni juu ya upinzani wa Biblia. Video hii ni ya kwanza katika mfululizo wa uchambuzi wa mada hizo na majibu ya maswali mengi yanayoulizwa juu ya Biblia. Usiache ku Subscribe na kushare na marafiki na endelea kufuatilia mada hizi.

Пікірлер: 4

  • @mwalimuchakawamusa1311
    @mwalimuchakawamusa13113 жыл бұрын

    Kazi njema wapendwa

  • @sylvesternzumbi3090
    @sylvesternzumbi30903 жыл бұрын

    Barikiweni sana. Naamini wengi watafunguliwa ufaham

  • @ujueukweliwamaandiko9533
    @ujueukweliwamaandiko95333 жыл бұрын

    Barikiwa sana watumishi huyo sule anaongea vitu vingi lakini akichanganya maana halisi.

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad62252 жыл бұрын

    Waongo nyinyi

Келесі