JE, BIBLIA ALIPEWA NABII GANI? MAJIBU KWA DR. SULLE 02

Bbilia ni kitabu pekee ambacho katika Historia ya dunia kimekuwa na mvuto mkubwa kwa ma millioni ya watu. Wengi wamebadirika maisha yao kutoka watu wakorofi, majambazi, makahaba na kuwa watu wema katika jamii. Kitabu hiki kimekuwa tumaini kwa wengi pale walipokosa tumaini. Wengi wamepoteza maisha yao kwa sababu ya kuamini Biblia, wamehukumiwa kifungo kwa sababu ya Biblia. Hata hivyo wapo wengi wapinzani wa kitabu hiki pia. Kitabu hiki kimepitia changamoto nyingi kutoka kwa wapinzani wake, lakini licha ya changamoto hizo, kinasimama imara hata leo kikivuta usikivu wa maelfu ya watu. Hivi Karibuni kumekuwa na mafundisho yanayoenea mitandaoni juu ya upinzani wa Biblia. Video hii ni ya kwanza katika mfululizo wa uchambuzi wa mada hizo na majibu ya maswali mengi yanayoulizwa juu ya Biblia. Usiache ku Subscribe na kushare na marafiki na endelea kufuatilia mada hizi.

Пікірлер: 2

  • @babaubaya749
    @babaubaya7493 жыл бұрын

    Nauliza nenenkama hili ni neno la Mungu? 1 Wakorintho 1:25 Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

  • @loudcrytv8949

    @loudcrytv8949

    3 жыл бұрын

    Hili andiko linawatatiza watu Wengi kwa sababu ya kukosa kusoma katika muktadha wake. Anzia hapo juu Utagundua kuwa Paulo alikuwa Katika Debate na WaYunani, amabo Kama Waislamu waliona fundishilo la Kifo Cha Yesu kwa wokovu wa Mwanadamu ni Upumbavu. Sasa hilo tendo la Kifo ndilo ambalo alichagua Mungu watu waweze kuokolewa. Paulo anasema Kama ni hivyo hilo nyie mnalosema ni Upumbavu ni Hekima ya Mungu 18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. 1 Wakorintho 1:18 14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. 1 Wakorintho 2:14