JACQUELINE MENGI afunguka MAZITO ‘Mume wangu hakuwa amechanganyikiwa’ aambatanisha RIPOTI ya daktari

Mjane wa Marehemu Dkt. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi ameibuka na kueleza kwa ushahidi wa ripoti ya daktari kuwa mumewe hakuwa amechanganyikiwa. Hatua hiyo imekuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa Mengi
• MAHAKAMA KUU yaukataa ...

Пікірлер: 215

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv32073 жыл бұрын

    Yaani kwanzia ndoa age gap 37 years afu kurirhi kila kitu sio fair

  • @Esty1248
    @Esty12483 жыл бұрын

    Kuolewa na mzee kama huyo na yuko na hela, chota akiwa hai,jinunulie kila kitu utakacho kwa jina lako .akienda ahera funga 🤐familia ikitaka ikupatie urithi usipopewa jipange. kung'ang'ania mali zote uache watoto wake wengine bure sio fair kabisa

  • @salomewandya7257

    @salomewandya7257

    3 жыл бұрын

    Kweli kabisaa angechuma toka mzee akiwa mzima

  • @NR-ll4sr

    @NR-ll4sr

    3 жыл бұрын

    👏

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi35343 жыл бұрын

    Hivi kipindi dk Mengi anazitafuta hizo mali na mkewe, jack ulikuwepo rizika na ulichopata dada kama haukuvuna chako mapema pole

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo61053 жыл бұрын

    Mungu atusaidie tuwe na utu Ladies

  • @happynesselisha2048
    @happynesselisha20483 жыл бұрын

    Yaaan huna pakupita kwa hawo ndugu jack. Ungekuwa na akili ungejiandikisha chache siyo zote jaman. Hata ningekuwa mm siwez kukubali. Yaan ndo kabisa hata kaburi hutoliona kiukweli ukweli yaan hawo wachaga kwenye hela watakutoa macho

  • @meirenatus5683
    @meirenatus56833 жыл бұрын

    Nawapenda sanaaa mnaleta hsbari vizuriiii sana bira upendeleooo

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale40473 жыл бұрын

    Jack ungeachana na pesa za wenyewe kwani bado una uwezo mkubwa wa kutengeneza pesa zako kwa ajili yako na watoto wako na ukafanikiwa sana kwa kidogo tu ulichoachiwa na ukitumia vizuri heshima ya kuwa mke wa Mengi na kuachana na hizo chokochoko unajua mambo ya kugombania mirathi sometimes huwa sio nzuri hata ukiipata ni shida sana maana utakuwa na maadui wengi sana lakini cha kwako kitadumu na kuongezeka zaidi Mungu atakusaidia na kitakuwa na baraka zaidi ya nini kugombania vitu ambavyo ulivikuta? Achana navyo tafuta vyako ili uweke amani kwa ajili ya watoto wako na ndugu zake hao wakubwa.

  • @mamachris6811

    @mamachris6811

    3 жыл бұрын

    Umesema kweli kabisa Tupo tumeondoka kwa wanaume hata bila kijiko,lakini tuna maisha yetu huru,na Watoto wamekuwa

  • @isikesamike

    @isikesamike

    3 жыл бұрын

    Well said

  • @hadijasalum6373

    @hadijasalum6373

    3 жыл бұрын

    Sipendagi wanawake wa hivi....ni udhaifu ni kama alikuwa after money

  • @jdanny497

    @jdanny497

    Жыл бұрын

    Watu kama hawa wakina Jack hawastahili kuishi sijui kwani watu wanapoteza muda...yani utoke kwenye umalaya upate hela kwa urahis hivi tu

  • @pelesmwaipopo4382
    @pelesmwaipopo43823 жыл бұрын

    yani jack anachekesha kweli, aliolewa na Mengi sababu ya pesa, yani alikua anaomba Mungu Mengi afe lini ili achukue kila kitu, wewe kweli huna akili tena Mungu akusamehe bure

  • @aishachambo3293
    @aishachambo32933 жыл бұрын

    Au kamuuwa kweli ili apate mali

  • @marcynhumbi3534

    @marcynhumbi3534

    3 жыл бұрын

    Yote inawezekana aisee kwa maana

  • @hashimuhehwa3780

    @hashimuhehwa3780

    3 жыл бұрын

    Huyu inawezekana kabisa muhusika

  • @sistersade9039
    @sistersade90393 жыл бұрын

    usia Au the will wa Mtu tajiri haiwezekani uwe umeandikwa bila ya lawyers na kuwe na mashahidi Au wende kuthibitishwa mahakamani Na mashahidi. Iweje Mtu kama huyu Mali ziandikwe ovyo ovyo mpaka mahakama wasiridhike. Apo kuna kitu hakikukaa Sawa. Na hizo medical reports za 2016/2017, wakati Mtu kafa baadae. Vipi reports za Dubai!

  • @bensonkaile9606
    @bensonkaile96063 жыл бұрын

    Aisee! kwa mali ya wamachame, kiruu atafute maisha au kazi nyingine itapendeza sana.

  • @rahiminamsangi8558
    @rahiminamsangi85583 жыл бұрын

    Jack ni muongo Sana alivohojiwa na milad Ayo mwaka Jana alisema mumewe hakuwahi kuumwa kabisa ila alianguka Tu gafla. Mtaka vote hukosa vote

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi38993 жыл бұрын

    Tamaa mbaya atakosa bara na pwani aliingia hapo kwa huyo mzee kwa ajili ya mali mtoto ridhika na unacgokipata kwani una damu ya hao watoto wakubwa usiwasambaratishe familiya ww hao wanao ni damu yao chukua utakachopewa kama riziki yako ipo ipo tu acha tamaa.

  • @tinamathias5202
    @tinamathias52023 жыл бұрын

    Kwanza huyu dada anajifanyaga hajui kiswahili kila kitu akipost ye kingereza tu anankeraga ..ndo apambane na wasom.wenzie

  • @smwansasu8605

    @smwansasu8605

    3 жыл бұрын

    Mshamba huyo kalimbuka. Ingekuwa watu hawajui mwanzo wake angejidai sana. Si nasikia alikuwa mwimbaji wa kilimanjaro band!!!

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti36573 жыл бұрын

    Ila jack nawe unatamaa siuridhike na utakachopewa jmn mali zinatafutwa na wew tayari unazo mali siuziendeleze utafanikiwa yaan umeolewa miaka minne unataka mali zake zote huo ni wizi dada ridhika na icho ulichonacho utapata vingi zaidi

  • @happymwinyi6194

    @happymwinyi6194

    3 жыл бұрын

    Kwe kweli yaan hiz ni tamaa

  • @princess-uf5ux

    @princess-uf5ux

    3 жыл бұрын

    Kwel

  • @mariamsuma3003

    @mariamsuma3003

    3 жыл бұрын

    Ataka ahonge vibenten

  • @veronicascottmollel7897

    @veronicascottmollel7897

    3 жыл бұрын

    Tamaa mbaya sana sana

  • @faustinaurio3703
    @faustinaurio37033 жыл бұрын

    Pesa nikome niache nimshukuru mungu kwa uhai

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya38143 жыл бұрын

    Ila Jack bwana,anajiona ana akili kweli kweli. Barua hata haipo official. No muhuri 🤣🤣🤣

  • @nishasalim2880

    @nishasalim2880

    3 жыл бұрын

    Una uhakika?

  • @salomewandya7257

    @salomewandya7257

    3 жыл бұрын

    Kwa wachaga ameingia cha kiume

  • @florencebudoya3814

    @florencebudoya3814

    3 жыл бұрын

    @@nishasalim2880 Haupo hapo. Unaona kwenye hiyo report ya DR?.

  • @salomewandya7257

    @salomewandya7257

    3 жыл бұрын

    Sahihi fake

  • @nurukhalifa9413
    @nurukhalifa94133 жыл бұрын

    Iv Jack aliwaza nin awatapeli watoto walomzid kwanzia umri, elimu, exposure wakat anaimba kilimanjaro band wenzie walikua wanaenda ulaya likizo aliwazaje kuwaibia😀😀 ulitakiwa ukawadhurumu yatima wa tukuyu huko kwa mwakalinga yaan Jack amwibie Regina Meng, Regina huyuhuyu mtoto wa town?😀😀😀muha wa kigoma amuibie mchaga😀 Jack hukuwaza vizur

  • @yudadaniel4867

    @yudadaniel4867

    3 жыл бұрын

    sawa msemaji wa familia

  • @pelesmwaipopo4382

    @pelesmwaipopo4382

    3 жыл бұрын

    aki nimecheka ila upo sahihi

  • @happynesselisha2048

    @happynesselisha2048

    3 жыл бұрын

    Nimecheka kwa sauti 😀

  • @darajalakidatukilomgi2362

    @darajalakidatukilomgi2362

    3 жыл бұрын

    Sio ya kucheka ila hii comment yenye ukweli imenichekesha sana

  • @josej9888
    @josej98883 жыл бұрын

    Vita nivita muraa!🙌

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha16613 жыл бұрын

    Huyu jack nae ana kazi

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti36573 жыл бұрын

    Hapo ndo mjue huyu dada alienda kupandikiza mbegu ili apate mapachq sababu ya urithi hana hatq aibu dah

  • @smwansasu8605

    @smwansasu8605

    3 жыл бұрын

    He hivi inawezekana alifanya transplant!!!

  • @sarahgaula2220

    @sarahgaula2220

    3 жыл бұрын

    True

  • @ramlalarsen8609
    @ramlalarsen86093 жыл бұрын

    Addendum ni additional information😊

  • @anethnyamwangi5667
    @anethnyamwangi56673 жыл бұрын

    Mh! Huwa sipendi kucomment bt kwa hili nimejikuta tu nnawaza. Sasa kama Marehemu hakua amechanganyikiwa na yy Jack alikuepo wakati akiandika hiyo mirathi aliwezaje kuona kilichoandikwa kiko sawa na asimshauri Mzee chochote? Au yy ndo alichanganyiiwa baada ya kuona amepewa kila kitu so she couldn't wait seeing him dying to get them?. Aliwezaje kuona kila kialiachoandikwa kilikua sawa kweli? Mh! This World! Acha tupite tu

  • @smwansasu8605

    @smwansasu8605

    3 жыл бұрын

    Gold digger huyu msishangae. Alisubiri kwa hamu afe ili arithi kila kitu. Ile will haingii akilini kabisa mtu mwenye akili timamu anaweza kuiandika. Unaandika will ambayo unajua itakuwa contested halafu unaandika atakyeicontest hii will apewe shs 1000!!! Halafu we Jackie unaona ni will ilyoenda shule!!!! Ile will haipimiki hata kwa kindergarten!!!!

  • @linahmsacky4566
    @linahmsacky45663 жыл бұрын

    Peleka ujinga kule,ulitafta nae??au ulisubiri mteremko

  • @dativahswai3954

    @dativahswai3954

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @aminatanzanya7475

    @aminatanzanya7475

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣 Mm ningekuw yy ningenyamz tuu

  • @peterpaul591

    @peterpaul591

    3 жыл бұрын

    Wanawake wengne bwana utopolo umeolewa na Mzee umekuta mabilion na familia zen unataka umiliki kila kitu huu ni uhujumu uchumi na ni uhaini uliokithiri wew Dada tafuta chako acha utapeli.

  • @azizayassin3623
    @azizayassin36233 жыл бұрын

    Yangu macho😟😟😟😟

  • @lamatra0
    @lamatra03 жыл бұрын

    Having a normal neurological exam does not mean mentally is was ok. A mental status evaluation is needed to confirm mental stability

  • @emmyemmycute6028
    @emmyemmycute60283 жыл бұрын

    Dada achana na hayo mambo mungu yupo nawe Mali kitu gani km unajiweza somesha mwenyew wanao Utafanikiwa

  • @isikesamike
    @isikesamike3 жыл бұрын

    Wanawake muwe na huruma kwa kweli. Yaani Jack ataka amiliki each n everything ilihal anajua kidogo sana kati ya alivyochuma na Mengi, duh!

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry80113 жыл бұрын

    Ache Tama na awe na aibu.ajitie nafasi Yao watoto ingelikuwa niyeye wazazi wake walitafta Mali kuanzia1 mpaka kupatikana izo malizot alafu aje mwanamke ungine alafu yeye ndie apewe? Awe na ubinadam asiwaze izo Mali awaze kama ata walio zitafuta Leo wamesha tangulia mbele zahaki,na yeye ata akipewa nazo na yeye ataziacha tu

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir3 жыл бұрын

    Kifo kichunguzwe ...

  • @Sppah697
    @Sppah6973 жыл бұрын

    Watakuuuwa we endelea kung’ang’ania tuu!

  • @kawawamamaya8543

    @kawawamamaya8543

    3 жыл бұрын

    Hahaha 😂😂😂😂

  • @petywoiso8909
    @petywoiso89093 жыл бұрын

    Wew jack sis tunajua ulikua mdangaji.Sio kweli ulimpenda mzee bali ulikua nae kimaslahi tena ningekua ni mwana family ningekunyanganya kila kitu.chanzo cha utajir wa mengi ni mke wake wa kwanza huyu baba kama sio mkewe asingefika alipofika wew utoke huko na umalaya wako uje tuu umiliki mali

  • @siyabongakzn9864

    @siyabongakzn9864

    3 жыл бұрын

    Huo ni ukweli kabisa. Umezungumuza vizuri sanaa Pety Woiso. Huenda ndo sababu ya kifo cha marehemu. Funzo kwa wasichana wetu wanaotafuta ma sugar dady na kuwa maliza wakisha pata wanachokitaka, hao wanaitwa professional bitches kama huyo mwezetu..

  • @emmanuelshayo4703

    @emmanuelshayo4703

    3 жыл бұрын

    @@siyabongakzn9864 wewe Siyabong'a, hili jina na lugha unayoongea mbona haviendani?

  • @RoseRose-qj5pw
    @RoseRose-qj5pw3 жыл бұрын

    Sasa atapata nn maana kesi ameshindwa

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla65043 жыл бұрын

    Jamani huyu dada si akubali tu yaishe mbona ameng"ang'ana hivyo wakati Mali zinatafutwa

  • @marygregory7566
    @marygregory75663 жыл бұрын

    Jack achana na mali za marehemu utajishushia heshima uliyoijenga kwa miaka mingi..Ridhika na hicho kidogo ulichonacho nae Mungu wa haki atakupandisha vile vile kama alivyokukutanisha na Mengi atakunyooshea njia zako hakika.

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary23833 жыл бұрын

    Kwanini unajitia kwenye izi ishu mirathi ulichopata kinatosha kuwa rafiki na familia wakupende .sasa ukishaanza ugovi watakuchukia na mwishoe utabaki peke yako na stress .u still young

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting71803 жыл бұрын

    Hakuwa amechanganyikiwa mengi ila huyu dada ndiye amechanganyikiwa....badala ya kutulia anaendelea rmalumvano...Sasa hivyo vyeti tutaviamini vipi wakati wakati sahihi na mhuri vilionyesha vimefojiwa?

  • @faisamansul1735
    @faisamansul17353 жыл бұрын

    Please read up about stroke and the impact it has on one's ability to make decisions.....🤔

  • @sarahgaula2220

    @sarahgaula2220

    3 жыл бұрын

    Kwa hiyo huyu Dada alijua anachokifanya kaajiandaa na documents. Akikukatana na madaktari hapo hamna kitu. Huyu Dada ana Tamaa sana

  • @khadijahali4837
    @khadijahali48373 жыл бұрын

    Lizika na ulichonacho, aza na hz ulizonazo maana hata hy marehem aliaza na kdg

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda92393 жыл бұрын

    Yesuuu,! Huna aibu jimama zima? Yaani akuandikie wewe Mali zote,aache watoto wake na ndugu akupe wewe, ficha USO ni aibu tu.

  • @elliottrahema
    @elliottrahema3 жыл бұрын

    The only reason His Dr suggested that kind of test (cognitive test) means he was concerned

  • @mussamivache4986
    @mussamivache49863 жыл бұрын

    Muuwaji mkubwa jack 😏😏

  • @nishasalim2880

    @nishasalim2880

    3 жыл бұрын

    Amekuulia mkeo?

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr3 жыл бұрын

    Jamani huyu dada akubali atakachopewa ndio halal na rizki yake

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman91563 жыл бұрын

    Mmh mali hizi 🤔

  • @estermathias8354
    @estermathias83543 жыл бұрын

    Heee jak na ww duh mali zote izo wenzio wasipata🙄🙄🤔🤔😏😏acha roho mbaya we umekuta kila kitu kipo lizika na ulichopata

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael79653 жыл бұрын

    Kwanza kuexpose taarifa za kitabibu za mtu si sawa sidhani kama ni hekima.ia kwa ajili ya mali pengine ni haki.unamdhalilisha marehemu

  • @siyabongakzn9864
    @siyabongakzn98643 жыл бұрын

    Haijalishi hata kama ma Dactari wametoka mbinguni..... Point ni kwamba Mzee Mengi na heshima yake asingethubutu au kusema watoto wa Mercy wapate buku kila moja. Hiyo buku angepewa Jacky ambaye hakuchuma hizo mali. Shezi kabisa. Jacky ukiona vinaelea ujue vimeundwa. Viambie Vibenteni vyako vilivovyokushauri vibaya vi. Back Off.

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle7953 жыл бұрын

    Dada bora utafute chako uishi kwa Amani mali za urithi sio nzuri

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga94893 жыл бұрын

    mimi nasema Jambo 1 tu aliyezitafuta alikufa akaziacha mliobaki mnadhani mtaenda nazo wapi???Hakuna urithi mzuri alioachiwa Jack kama hao twins,I hope she knows n treasures that more than anything.

  • @smwansasu8605
    @smwansasu86053 жыл бұрын

    We Jackie!!!! tafuta vya kwako acha kugombania mali za marehemu alizochuma na mke wake mercy mengi. Chuma mali yako. Unavyong'ang'ana unaonyesha wewe ni gold digger. Achana na mali ya wenzio. Simamia vizuri Amorette itakupa pesa nyingi sana sana. Nakushauri ukae kimya kuliko kulumbana na maamuzi ya mahakama.

  • @mshamurashidi4124
    @mshamurashidi41243 жыл бұрын

    Chezea wachaga kwenye pesa we hawana utu hata kidogo mungu akutie nguvu utalea wanao hao wakina mengi wabaadae

  • @tgeofrey
    @tgeofrey3 жыл бұрын

    Dunia kubwa taFuteni vyenu

  • @singidaone5628
    @singidaone56283 жыл бұрын

    Jack ulitaka vya bure kaolewe usukuman vingi mno

  • @goodmarkjulius8806
    @goodmarkjulius88063 жыл бұрын

    Ndio waha walivo wanahaha

  • @valentinesyekeye6846
    @valentinesyekeye68463 жыл бұрын

    Ukioa wake wawili na unapesa we jiandae kwenda kusalimia huko maan wanawake bwana at shetani anawashangaa sometimes

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP3 жыл бұрын

    Anataka kuiba mali uyo

  • @ashurahamisi8577
    @ashurahamisi85773 жыл бұрын

    Jack tupishe kwanza Sasa ww wataka urithi malizote ili wanae wasipate kitu

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus81103 жыл бұрын

    Honestly i don't think is good ideas judging her opinion and her evidences ... hatujui kesho yetu jamani anayejuwa ukweli ni yeye na akuna mwanamke ambaye apendi pesa... what we need to do as women tumshauri tu mengine yapite ...

  • @brigidmua2548

    @brigidmua2548

    3 жыл бұрын

    50/50....sio mbaya ...Africa sio Europe wangemuachia...Bibi ndio kusema

  • @superwomanmwenyeheri.1367

    @superwomanmwenyeheri.1367

    3 жыл бұрын

    Umeongea point Sana. Mimi nashangaaaa watu mineno inawatoka! Jaq na Mengi, Ni watu walilala kitanda kimoja, wakajifunika shuka kitanda kimoja. Nani ajuae Jaq alimfikisha wapi mzee...hivi mnajua Kuna watu Wana hela lakini hawajawahi kupata Mapenzi wanayoyataka? Sasa ndo akija kuyapata uzeeni ataachaje kuchanganyikiwa? Anaweza tamani Hata Dunia ungekua Mali yake amkabidhi kimwana. Hivyo tusihukumu tusiyotajua.

  • @ayoubabdulrahman1305

    @ayoubabdulrahman1305

    3 жыл бұрын

    @@superwomanmwenyeheri.1367 Wew hujawai kuota umelala Na shetan ndio yaliyomkuta yule babu.

  • @florameza9529
    @florameza95293 жыл бұрын

    Kwanza usivyo na adabu ukampokonya mwanamke mwenzako kakusaidia ukarecord wimbo hapohapo ukapata chance

  • @denicegabriel6616
    @denicegabriel66163 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 apo pesa tu angekuwa kapuku asingeng'ang'ana huyu jack😁

  • @mamachris6811
    @mamachris68113 жыл бұрын

    Madaktari wenyewe wa sasa wengine ni ........

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi11413 жыл бұрын

    Yawezeka Jack ndo amechanganyikiwa sio bure

  • @roseatieno6691
    @roseatieno66913 жыл бұрын

    I short , Jackine was the author of the will and the signature also was not the late Mangi's . Alas !!! What a clever con woman .

  • @hashimuhehwa3780
    @hashimuhehwa37803 жыл бұрын

    Muuza mbwimbwi kahaba mzoefu eti ulikuwa unampenda Mengi Mali zimeingiaje sasa kama mapenzi yako yalikuwa Mengi!! Huoni aibu wewe malaya hata Mungu atakutia adabu muda sio mwingi

  • @umiy1971
    @umiy19713 жыл бұрын

    Sasa hayo yote ya Nini ? Wewe si ulimpenda mzee basi mzee ameondoka si yaishe ngoja upewe haki ya watoto wako uwahudumie .

  • @florameza9529
    @florameza95293 жыл бұрын

    Ndo maana wasukuma wanawalogaga au wanakukodia watu unakatwakatwa mapanga hivi we jack una akili kweli?? Hujui mkewew alikuwa na share kubwa shenzi kabisa unakera kaa na dika lako kwani la dubai umepeleka wapi??

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP3 жыл бұрын

    Usikute hta ao watoto sio wa mzee mengi

  • @smwansasu8605

    @smwansasu8605

    3 жыл бұрын

    Waende wakapimwe DNA!!!

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny20653 жыл бұрын

    Pesa za kurithi zina nuksi na mikosi mingi.Pesa ni shetani mkubwa ! khaaa ! Kupenda mteremko siyo vizuri.

  • @maryberege3093
    @maryberege30933 жыл бұрын

    Yaani jack alitafuta mali tu. Ulimtesa sana Dr mengi na bora useme ukweli. Ukifika kufa tu nasi tutakuzika maana wote safari yetu ni moja.

  • @hashimuhehwa3780
    @hashimuhehwa37803 жыл бұрын

    JACK awali nilisema narudia tena Jack ndio Tatizo la Mengi kufa! Jack ni kibaka mzoefu! Jack ni jambazi mzuri! Jack atuambie alikuwa anampenda Mengi alikuwa anapenda hela zake!! Jack umasikini wako pambana na baba yako mzazi acha Upumbavu wako utaliwa pa kunyea wewe endelea! Masikini unang'ang'ania vya watu kwenu mbona mpo matako tu!

  • @gllifetime8371
    @gllifetime83713 жыл бұрын

    Unapokuwa unaishi kuna mengi utasikia na kushuhudia, Watu wanapaswa kujifunza ili na wao wasije kosea, Kila Mama hupambana kwaajili ya Wanae, iko hivyo na itabaki hivyo, Tusiipe chuki nafasi kututawala, let's peace and happy 😊 lead. Laiti hii familia ya marehemu wangependana haya yote yasinge tokea, wange share na maisha yange songa.

  • @kakorejrboyz6447

    @kakorejrboyz6447

    3 жыл бұрын

    Cha Mtu hakiliwi

  • @itikabukuku104

    @itikabukuku104

    3 жыл бұрын

    Sio rahisi kiivyo kutokana na utata ata wa kifo cha uyo mzee alafu ata ukifuatilia utajiri wa uyo mzee chanzo ni mkewe mkubwa umependwa atukatai ila unapokuta vitu vimetengenezwa kuwa mstaarabu ata kufikiriwa utafikiriwa ila ukijidai mjuaji dunia ina wengi sana hii

  • @tumainikomba9008

    @tumainikomba9008

    3 жыл бұрын

    Wababa wajifunze mwanaume ukifka above 50 ukioa tafuta mjane Ile mlee watoto mloachiwa na kuishi mpaka mkitwaliwa Sasa ona vurugu iz

  • @itikabukuku104

    @itikabukuku104

    3 жыл бұрын

    @@tumainikomba9008 kabisa kabisa

  • @myfuraha936
    @myfuraha9363 жыл бұрын

    We mama huna hata aibu! Pesa za babu wa watu badala wale wanae unataka wewe zote. Kwenda huko tafuta Ela zako au nenda kagombanie za baba yako.

  • @kiri5807
    @kiri58073 жыл бұрын

    huyu lady sio rahisi kukubali maana kilichomtia kwenye ndoa ni hicho ( mali)

  • @hanifaally4694
    @hanifaally46943 жыл бұрын

    Dadang nakuhurumia c ridhika tu naulichopewa lea wanao uje uwaache mayatima kisa wkt mwenye mali kaziacha hajazikwa nazo 🙆‍♀️

  • @salmaalimusa6809

    @salmaalimusa6809

    3 жыл бұрын

    Haswaaa mali huua angeacha tu aridhike kwaalichopata

  • @salmaalimusa6809

    @salmaalimusa6809

    3 жыл бұрын

    Haswaaa mali huua angeacha tu aridhike kwaalichopata

  • @hanifaally4694

    @hanifaally4694

    3 жыл бұрын

    @@salmaalimusa6809 yaan binaadamu haturidhiki niwachache sana wenye kuridhia kipenz na urithi watu wanakuondoa peupeee

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu14443 жыл бұрын

    Sns mkitowa taarifa mm ndonaaminigi naikiwa niyakingereza bas nawasubir nyie mnitafsirie😂😂😂😂

  • @user-lr2iv3gj1u

    @user-lr2iv3gj1u

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @khadijahali4837

    @khadijahali4837

    3 жыл бұрын

    🤣🤣

  • @shayolee8039

    @shayolee8039

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad18023 жыл бұрын

    Hebu acha kugombania mali kilichokua rizki yako utapewa tu haya maisha ni mafupi tu kama alotafuta izo mali ameondoka je nyie mnaogombea mali mnadhani mtaishi milele? Msigombanie mali za marehemu

  • @monamunga7950
    @monamunga79503 жыл бұрын

    Kama kafoji sainiatashindwa hiyo barua ya dactary

  • @aoman5214
    @aoman52143 жыл бұрын

    Huyu dada Hana akili kwakweli wenzio watafut pesa wewe uje kurithisha kiulaini hivyo khaaa

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert94893 жыл бұрын

    Stroke siyo kiarusi... parkinsons disease ndiyo kiarusi.,ugonjwa wa kutetemeka mwili., although Mengi ni kama alikuwa na dementia pia kwa mbaali, you could tell his mind was not stable.

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction16223 жыл бұрын

    Wadangaji bwana mume anaanza kuumwa tu una msainisha makaratasi haraka haraka

  • @fatmaalwy4853
    @fatmaalwy48533 жыл бұрын

    Na hasa wamachame wanawaua waume wao kwajili ya mali achana nao wanaweza wakakua

  • @mbmussa_fashionstyle9824
    @mbmussa_fashionstyle98243 жыл бұрын

    Post ya sadala irudiwe mim skuwa online

  • @serianjamal8254

    @serianjamal8254

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @wemakalamu3538

    @wemakalamu3538

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣

  • @fatimamtoo9288

    @fatimamtoo9288

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @islandgirl4578
    @islandgirl45783 жыл бұрын

    Awe makini wasije wakamuua wachaga kwa pesa mhhh

  • @ashaali7154

    @ashaali7154

    3 жыл бұрын

    Kwani Jack anaen'gan'gana na mali ni mchagga? Pesa kila mtu anaipenda hata mwehu anaijua.

  • @happykisota9445

    @happykisota9445

    3 жыл бұрын

    @@ashaali7154 👍

  • @everlineodera6444
    @everlineodera64443 жыл бұрын

    Malaya ni malay tu.why do u share your court private issue on insta.jinga nyambaf.

  • @costantinebahakaso3736
    @costantinebahakaso37363 жыл бұрын

    Toka zako hapo umekosa kilichokupeleka kuolewa na mzee Lisa mali

  • @sarahminja7255
    @sarahminja72553 жыл бұрын

    Yani mimi ningekuwa ni jack wala tusingefika huko kwanza mpaka marehemu anafariki ni vingi tu ningekuwa nimeshavichuma kwake na ningehakikisha upande wa watoto wangu ninacho kitu cha kuwaendeleza ili akija kufa nising'ang'anie mali ambazo alisichuma na watoto wake wa kwanza ningejifanya mjinga ili nile nao tu hao watoto wake wa kwanza kuliko kwenda mahakamani alafu nikishindwa nitakosa msaada kabisa kwa watoto wake wakubwa

  • @yahyahamad1802

    @yahyahamad1802

    3 жыл бұрын

    Oh ni kweli sarah mi namshangaa ameishi na mume miaka yote ameshindwa kujipanga na maisha yake sasa anagombana na familia ya hayati mumewe kujengeana uhasama kwa mali tu

  • @petywoiso8909

    @petywoiso8909

    3 жыл бұрын

    Angejipangaje wakati ni mdangaji

  • @williamnkobi1798
    @williamnkobi17983 жыл бұрын

    TLF tunafanya translation, editing na proofreading za materials mbalimbali. contact us on 0686187225

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael79653 жыл бұрын

    Uingie kwenye familia ya watu na bado uwakoaeshe amani acha ujinga

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr3 жыл бұрын

    Wanaume nao wana uchu,wewe umeshajiona umeshakuwa kuku mdondo unaenda kuoa mjukuu wako

  • @donathasimon9292
    @donathasimon92923 жыл бұрын

    Yan Jack kwel hamana kitu umeacha kuvuna chako mzee yupo hai unaangaika kasha fariki nahukuchuma nae dada tulia rizika naulicho pewa mali acha watumie wenye nazo

  • @magerito6811

    @magerito6811

    3 жыл бұрын

    ana vingi sana alifanyiwa binafsi...n tamaa tu imemjaa

  • @teddynyash8073
    @teddynyash80733 жыл бұрын

    jackline anaomba serikari mirathi irudiwe irudiwe

  • @salomewandya7257

    @salomewandya7257

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mtumishi6175
    @mtumishi61753 жыл бұрын

    Jamani watoto wa mengi wana haki ya kurithi Mali ya baba yao makubaliano na uamuzi wa mahakama

  • @aysherkitoi6547
    @aysherkitoi65473 жыл бұрын

    Hii barua kaandikiwa na bashite atupishe hko fyuuuu

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana77353 жыл бұрын

    Jacky pole sana mdogo wangu !! Africa hakuna sheriya kabisa. Wewe ume olewa halali na Muheshimiwa Mengi. Kwa sheriya awo wandugu zake hawa ruhusiwi kugawa Mali za dr Mengi. Serkali na notary ndo wahusika apo !!! Uwe makini wasije waka kuri puwa na watoto wako !!! Mungu akuwekeye upesi jamani 😤😤

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan17233 жыл бұрын

    Mange kimambi alikuambia 😩ila pole

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen46753 жыл бұрын

    si umepangana na mafoctar waandike ivo mengi wewe ni mali tu ndio maana uliamuwa uolewe nae tamaa imekuponza

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty3 жыл бұрын

    Wangekuwa ulaya ndugu wasingepata kitu zote ni kwa watoto na mama yao tu au kam mwanaume anawatoto wengine sawa ila ndugu na mke wa zamani kam wamepata divorce mali sio zke ni watoto tu

  • @smwansasu8605

    @smwansasu8605

    3 жыл бұрын

    Hata ulaya aina ya hiyo mirathi isingekubaliwa!!!! Mengi hakutoa sababu kwa nini hawarithishi watoto wake. ingeshindwa tu. kwanza watoto walikuwa wansaidia baba yao kusimamia hizo biashara halafu asiwarithishe!!!! Hao watoto kwanza mimi nimewapenda bure. Hawakuwahi kubrag juu ya mali za wazazi wao. Walilay a low profile!!! Ingekuwa wenzangu na mie mngewaona kwa kujitutumua!!!!

  • @lilyrayahally1908

    @lilyrayahally1908

    3 жыл бұрын

    Sio kweli hiyo ulaya ya wapi?

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert94893 жыл бұрын

    Katafutekazi ufanye wewe mwanamke bado una nguvu wacha kutaka kuchuma ambavyo hukupanda. Namzoom Madamu Ritta.

  • @nishasalim2880
    @nishasalim28803 жыл бұрын

    Mengi ana watoto wadogo wawili.

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema15293 жыл бұрын

    Jackline acha uroho wa mbali na mzee,ulimtakia nini mali ulizikuta hukuzirafuta wewe halafu,unazitaka

Келесі