Fahamu maisha ya utotoni ya Jacqueline Ntuyabaliwe, Miss Tanzania na kwanini aliacha muziki

Ойын-сауық

Kwenye sehemu hii ya kwanza ya Chill na Sky, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi anaelezea maisha yake ya utotoni, muziki na kushiriki Miss Tanzania

Пікірлер: 87

  • @sayrachuna6705
    @sayrachuna67056 жыл бұрын

    Nampenda sana huyu dada anaishi maisha ya ndoto zake

  • @muddyville
    @muddyville6 жыл бұрын

    Huyu mtangazaji anajua anachokifanya... He is very smart in interview....

  • @marymsemwa6073

    @marymsemwa6073

    6 жыл бұрын

    Mahamudu Juma absolutely wamekutana mhoji na mhojiwa wako perfect

  • @ruthnandwa7022

    @ruthnandwa7022

    5 жыл бұрын

    Eeh

  • @hildagardmushi2837
    @hildagardmushi28375 жыл бұрын

    Jaq wewe ni mama mzuri,I learnt a lot form you.unalea watoto vizuri.hongera bint mrembo

  • @jacklinetemba1671
    @jacklinetemba16716 жыл бұрын

    Nyumbani palikuwa hospital daah umenifurahisha wajina I appreciate all what you have done... Wew ni mfano wa kuigwa no matter what they say.. Big up to you mamawawili

  • @salimjuma9494
    @salimjuma94946 жыл бұрын

    Shukran kwa maelezo yako unajua kujielezea hongera mother wawili.

  • @enockson1212
    @enockson12125 жыл бұрын

    Kama Nawe Ni mwana Kgm Gonga like hapa twende pa1

  • @salminasalim5630
    @salminasalim56306 жыл бұрын

    Hongera mama wawili MMungu akukuzie watoto wako InShaAllah

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly92616 жыл бұрын

    Mungu ibariki Tanzania ,Mungu wabariki watu wako tunaoangamia kwa kukosa maarifa.

  • @vanessaurio2135
    @vanessaurio21356 жыл бұрын

    Muke ya Mengi Wadada Wenye Bahati Zaooo

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu16616 жыл бұрын

    Still Beautiful Jacque! *#NakukubaliMami* *#Respect*

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan13656 жыл бұрын

    Mashallah, love you mama wawili wewe cyo mtu wa ckendo kabisa, nakumbuka wimbo wako huu," *NASEMA CHAI INACHUMVI CHAKULA HIKI KINA SISIMIZI NIBORA UWE MKWELI NOOO!!!* (Crazy over you)

  • @yohanamsengi3396

    @yohanamsengi3396

    6 жыл бұрын

    Nandy

  • @rashidmohamedi1495
    @rashidmohamedi14955 жыл бұрын

    Mtangazaji nimekupenda Sanaa unaweza sauti nzuri

  • @reywilson1288
    @reywilson12886 жыл бұрын

    Frederick Bundala. Kila napoangalia kazi zako kama nakuona BBC. Naimani iposiku utapanda nakufika mbali. Amen

  • @mpembadickson9846

    @mpembadickson9846

    5 жыл бұрын

    Mtangazaji na huyo dadawapo vzr wanajua wakifanyacho. Good"

  • @ditaely7309
    @ditaely73096 жыл бұрын

    She's so fine and classy

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly92616 жыл бұрын

    Dada yangu nimekupenda sana! MUHA mwenzangu watu wanajaribu kukuhamisha kabila kataa.

  • @shamilamct5442
    @shamilamct54426 жыл бұрын

    Mashallah 😃 anayo good personality kila kitu na kutuliaa mashalla

  • @shamilamct5442

    @shamilamct5442

    6 жыл бұрын

    Na yareti kama mastar wote wangekuwa time ya interview wanavaa vizuri na wanajuwa kuna cameras na kila pahala wanaonekana inafaa wakae vizuri.

  • @cjkamandajumannnejumanne1979
    @cjkamandajumannnejumanne19793 жыл бұрын

    bundala kakaa.....kwanza pongezi na kazi....tangu 2008 nakupata nadani ya rfa ....msalimie fred waaa .....nilipenda utangazaji wenu na mimi saa hizi mi ni mtangazaji....you inspired me......mpatie k-line kale kakimywaji kako kando,kale keupe..........prizenta 006 254 kenya

  • @gladnessmakyao4191
    @gladnessmakyao41916 жыл бұрын

    Schoolmate Nyakahoja safi sana😙

  • @mwasitially1030
    @mwasitially10306 жыл бұрын

    Maashaallah

  • @TheSalma1999
    @TheSalma19996 жыл бұрын

    First Lady your beautiful

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi97226 жыл бұрын

    Sky mbna siku izi haurushi kipindi cha sns

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni42586 жыл бұрын

    The boss lady 👌🏾

  • @robertkomba3251
    @robertkomba32516 жыл бұрын

    Sauti ya mtangazaji Kama millardi ayo

  • @ndegemzuri7448
    @ndegemzuri74486 жыл бұрын

    Super

  • @wazirimbegu9871
    @wazirimbegu98716 жыл бұрын

    mungu akubariki sana

  • @happinessmtitu4485
    @happinessmtitu44855 жыл бұрын

    Kaka upo vizuri interview hii ni moto.

  • @nancydavid7680
    @nancydavid76805 жыл бұрын

    Beauty with brains

  • @josephmateru8892
    @josephmateru88926 жыл бұрын

    Brother Fred Mbona Ckuoni tena Kwenye Kipnd cha Chilnasky Kuna Nn Bro au Sheria za tcra

  • @rosemaiko9405
    @rosemaiko94056 жыл бұрын

    Huyo Ndio bosslady

  • @mohammedkhatibu5744
    @mohammedkhatibu57444 жыл бұрын

    Nakupenda buree dada jack.

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly92616 жыл бұрын

    Makabila mengi hutubeza waha mm kamwe sitaukataa uha wangu.Kule Kigoma tunapenda majina ya asili sana!lazima muelewe waha nao ni watu.

  • @marychilala8928
    @marychilala89286 жыл бұрын

    nice

  • @chadoramanyenga3687
    @chadoramanyenga36876 жыл бұрын

    Mrembo Unabahati.

  • @asumiissa306
    @asumiissa3066 жыл бұрын

    Bro sky turudishie SnS please

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly92616 жыл бұрын

    Ubarikiwe dada Jackline wengi huwa hawakubali kuna waha warembo eti na wengine hukataa kabila letu MUNGU AKUBARIKI MNO!

  • @lillianmarco1301
    @lillianmarco13016 жыл бұрын

    Basi hapo angekua star mwingine ndio anafanyiwa interview sio kwa code mix izo apo..na English zao za kugundisha

  • @shanimbaruku2071

    @shanimbaruku2071

    6 жыл бұрын

    Lillian Marco umeona eeh Yani huyu mama wawili hupo poa sana

  • @reginamanyangu6682

    @reginamanyangu6682

    6 жыл бұрын

    liliane mf angekuwa wopar c kjishaua

  • @rachelngereja8729

    @rachelngereja8729

    6 жыл бұрын

    Lillian Marco nimecheka sana

  • @elliemuzungu7044
    @elliemuzungu70446 жыл бұрын

    Jamani jackie wewe sio muhangaza?!huna kakako mbona unadanganya?!una kaka mmezaliwa tumbo moja na kwenu ni ngara wewe ni mhangaza pure!unamkana kakako kwakuwa umepanda bei!Mungu anakuona!!

  • @ingabireflavia9329

    @ingabireflavia9329

    6 жыл бұрын

    ellies salukele actually ntuyambaliwe is a burudian name she's originally a burudian but I guess from the tanzanian boader of Tanzania and burudi but she doesn't want to talk about it..lol

  • @ingabireflavia9329

    @ingabireflavia9329

    6 жыл бұрын

    ellies salukele these day's most people from burundi have made themselves tanzanians they are not proud of their mother land ,but the fact is jackline is a originally a burudian but she's not talking about her roots

  • @nuranzubail1240

    @nuranzubail1240

    5 жыл бұрын

    But baba anaweza kuwa mtu wa Burundi ila hapa anaongelea yeye km yeye km alizaliwa Tanzania yeye ni mtanzania tu

  • @smwansasu8605
    @smwansasu86055 жыл бұрын

    Hivi huyu dada kaenda kwenye msiba wa mke wa mengi? Hivi anajisikiaje kuingilia ndoa ya mwenzie iliyofungwa kikiristo kabisa!!!!!! Big up mama Mercy Mengi RIP. may the Lord Jesus comfort you now. You are in the Lord's arms now. Pole sana watoto kwa kumpoteza mama aliyewahangaikia sana maisha yake yote. Tumesikia eulogy ya mama. It was very nice and superb.

  • @stellamkama5841

    @stellamkama5841

    5 жыл бұрын

    S MWANSASU huko hapa na ww Leo na mm na mwangalia huyu Dada kwa dharahu kuingilia ndoa za watu.

  • @bettyruhaza2856

    @bettyruhaza2856

    5 жыл бұрын

    Kapendwa mwee, kwani yeye ndio aliemwambia mama afumaniwe jamani!! Tunamuonea dada wa watu. Tumuache ale rahazake natena huenda nae ana matatizo yake asikudanganye mtu kwamba unaweza usiwe na tatizo hata mmoja. Ila kwakuingilia ndoa ya watu, kawakuta wengi walishapitia yeye kawa funga lango. Jackie hoyooooooo

  • @joycejohn7754

    @joycejohn7754

    5 жыл бұрын

    Waliachana kitambo

  • @rehemanzige3514

    @rehemanzige3514

    5 жыл бұрын

    wivu tuu mwacheni kafuatwa hakujipeleka kula raha Jack...

  • @summanelson5523

    @summanelson5523

    5 жыл бұрын

    Ale tu raha but what she did is unacceptable in the eye of God and mankind. The old man was a married man. Though she was not the cause of the breakup, she should have not interfered and let the old man sought things out for himself n his wife. Nobody is perfect we all have faults. What ever she did they needed to be reconciled (Mengi and Mercy). Jiweke katika nafasi ya marehemu Mercy Mengi. Ungekuwa wewe ungejisikiaje? Jackline is a beautiful woman she would have got a young man of her dreams.

  • @ezekiel29jamesezekiel71
    @ezekiel29jamesezekiel716 жыл бұрын

    tunaitaji Sns plz

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly92616 жыл бұрын

    Nyie wahangaza sisi ni ndugu wote jambo la msingi ni kupendana Watanzania wote.

  • @rosemaiko9405
    @rosemaiko94056 жыл бұрын

    Hahitaji kiki

  • @jacksonmassoy1289

    @jacksonmassoy1289

    6 жыл бұрын

    Hhahaha jmn umejua kumshushua

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana53536 жыл бұрын

    Kwani anajisifu au anawajibu watu wanaomsakama km hana kitu anajistiri kwny nyumba ya diamond kl cku anawafamisha lkn wabongo vichwa ngumu km nyumba ya diamond bc na Hamisa atoke kwny kigorofa amwache Dylan pk yke mnaboa sana

  • @theopistamganwa7752
    @theopistamganwa77525 жыл бұрын

    Bado ujunbe una headline

  • @kinglance9816
    @kinglance98166 жыл бұрын

    huyo ni muha ndugu yetu ntuyabhaliwe muha yoyote anaelewa

  • @athumanseph8201

    @athumanseph8201

    5 жыл бұрын

    mrundi acha uongo

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster61466 жыл бұрын

    Sky usije ukampiga mzinga tu

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth46526 жыл бұрын

    Jack wewe si muhangaza jamani?

  • @princeemmamunda4286

    @princeemmamunda4286

    4 жыл бұрын

    Umemzaa wewe mbona unamlazimisha kuwa kwenye kabila lisilokuwa la kwake lisilokuwa na watu mashuhuri na maarufu na mataa kwenye maeneo yote iwe mziki siasa n.k. kaambali Nae pumbavu wewe

  • @annamasanja1077
    @annamasanja10776 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂

  • @zainabujuma2887
    @zainabujuma28875 жыл бұрын

    huyu Dada jaman c amesoma na mama angu mdogo mwatum miraj shule ya msingi somanda bariad mmmh tena mamdog alikuwaga anamzungumzia sanaaa pind hicho hata cmjui jmn

  • @bakarimhaka3992
    @bakarimhaka39926 жыл бұрын

    Ntuyabaliwe. Niwatu niwatu wa Rwanda siyo kigoma

  • @ndagiwepeter9227

    @ndagiwepeter9227

    6 жыл бұрын

    Bakari Mhaka wewe huyo wa manyovu afu kigoma kwa Rwanda sometimes wanashare majina n kawaida

  • @chizerobungubuliho1489

    @chizerobungubuliho1489

    5 жыл бұрын

    BABA yake anatoka Manyovu,Kasulu,Tanzania

  • @eliaichihenry9010

    @eliaichihenry9010

    5 жыл бұрын

    Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda

  • @tonygudsson7143

    @tonygudsson7143

    5 жыл бұрын

    Kigoma ni karibu na Burundi na kiha kinafanana na kirundi akuna utafauti na kabila yabaha iko Pia Burundi )

  • @athumanseph8201

    @athumanseph8201

    5 жыл бұрын

    au burundi

  • @elliemuzungu7044
    @elliemuzungu70446 жыл бұрын

    Jamani jackie wewe sio muhangaza?!huna kakako mbona unadanganya?!una kaka mmezaliwa tumbo moja na kwenu ni ngara wewe ni mhangaza pure!unamkana kakako kwakuwa umepanda bei!

  • @gladysgabriel7525

    @gladysgabriel7525

    6 жыл бұрын

    ellies salukele Jacky hana kaka kwao wako watatu wa kwanza ni Da Shimi, wa pili da Jessy then Jacky. So hana kaka wa tumbo moja km usemavyo

  • @elliemuzungu7044

    @elliemuzungu7044

    6 жыл бұрын

    gladys gabriel uliza vizuri utajua!!!!!!!sibishani ila imeniuma sana kumkana ndugu yako wa tumbo moja!the only brother they have!😤😤😤

  • @gladysgabriel7525

    @gladysgabriel7525

    6 жыл бұрын

    ellies salukele Nmejibu hilo kwasababu Jacky ni mdogo wangu mama yake na mama yangu ni ndugu kabisa mamake alikuwa ni mamangu mkubwa na kipindi mamake anafariki walikuwa wakiishi Osterbay. Ukisema tumbo moja manaake waliotoka mama mmoja na baba mmoja. Nijuavyo mimi mamkubwa alifariki akiwa na watoto watatu toka kwa mumewe mzee Ntuyabaliwe. So labda km bamkubwa alikuwa na mtoto kwa mama mwingine hapo sawa lkn kwa mama yao mzazi kina Jacky wamezaliwa watatu tu.

  • @oslidandelema9999

    @oslidandelema9999

    4 жыл бұрын

    Huyo ni mtu kigoma Kijiji kinaitwa kalinzi usilazimishe kuwa muhangaza duniani w22 dada.

  • @princeemmamunda4286

    @princeemmamunda4286

    4 жыл бұрын

    Tanzania wajinga ni wengi sana vilaza hamtakaa muishe ivi mtu akiwa na jina la kizungu ni mzungu kwaiyo waha wote wenye majina ya kirundi ni warundi pumbavu nyie hamjielewi mnalazimisha awe kabila ambalo siyo lakwake kambadilisheni sasa awe muhangaza au mrundi

  • @tatunyasulu6634
    @tatunyasulu66345 жыл бұрын

    Umeolewa na babu yako,hahahaaaa,jamani pesa hizi cjui zitatufikisha wapi

  • @evafrance2693

    @evafrance2693

    5 жыл бұрын

    Hata km kaolewa na babu ww unamzidi nn

  • @neemafety7377

    @neemafety7377

    5 жыл бұрын

    tatu nyasulu

  • @rashidmohamedi1495
    @rashidmohamedi14955 жыл бұрын

    Mtangazaji nimekupenda Sanaa unaweza sauti nzuri

Келесі