INNEVITABLE LOVE 2 || Swahili Latest || Bongo Movie 2021

Фильм және анимация

INNEVITABLE LOVE 2 bongo movie 2021
Bongo movie 2021 swahili
Latest Bongo Movie
INNEVITABLE LOVE 2 ni filamu bora yakitanzania yenye maudhui mazuri.
lengo la Filamu hii ni kutoa Elimu juu ya Afya ya uzazi.
KAPAYA THE GREAT FILM
Contact:
0655 218 331/0753 318 331
email. kapayamic75@gmail.com
Instargram
Kapayathegreat
TANZANIA.

Пікірлер: 298

  • @charlesjulius7288
    @charlesjulius7288 Жыл бұрын

    Kazi nzur sana na bado ina tikisa mpaka Sasa so big up sana kapaya the great 👊👊

  • @mezadawa5306
    @mezadawa53062 жыл бұрын

    movie nzuri sana imenitoa machozi. mwanzo nzuri na mwisho pia haya mapenz jaman ni hatari sana hakika ni upofu. waigizaji wote mmecheza vizur geita gold mko juu sana..

  • @KHADIJAUMAZIRUMBA
    @KHADIJAUMAZIRUMBA2 ай бұрын

    Hongera sana deo Hadi umenikumbusha ya nyuma bt umefanya uamuzi mzr🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @promiseirene1430
    @promiseirene14302 жыл бұрын

    ❤️❤️❤️❤️💞🤣🤣🔥🔥🙏hki mapenzi wewe Deo nimekupenda

  • @jeansibomana656
    @jeansibomana6562 жыл бұрын

    Hongerini sana Kua na msimamo deo Wewe ni noma kaka

  • @paschalmachine-ww8zu
    @paschalmachine-ww8zu Жыл бұрын

    Igizo linamafundisho ndan yake nimelipenda sana kama na wenzangu mmelipnda kama mim naombeni like zenu

  • @magrethbujiku6829
    @magrethbujiku6829 Жыл бұрын

    Hilo koti LaDeo msijifanye hamlioni 😂😂😂😂😂lkn Kaz nzur kapaya🥰🥰

  • @barakaelias1116
    @barakaelias11162 жыл бұрын

    Safi sana kanumba wangu ilete wewe ndo unataka kuirudisha taswira ya bongo movei iliyopotea kwa mda mrefu

  • @clevertete9067
    @clevertete90672 жыл бұрын

    Congratulations to those but Mr Deo hongera kwa maamuzi magumu naamini jamii nzima imejifunza jambo 👏🎁

  • @aminaabudhull9373
    @aminaabudhull93732 жыл бұрын

    Mike deo Karen na preshas hongerasan kwakazi nzuri

  • @jesussavesus2210
    @jesussavesus22102 жыл бұрын

    Luka 23:42-43 Akamwambia Yesu, Bwana, unikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami peponi. Kwa yeyote asiyemjua Mungu au asiyemwamini Mungu na anataka, jiulize kwa nini miaka ya ulimwengu huu imegawanyika kati ya, Kabla ya Kristo na Baada ya Kifo, Mungu alituambia yeye ni nani na kwamba yeye ni halisi sana. Hujachelewa kumtafuta Mungu kwa moyo wako wote kwa maombi na toba, kwa sababu Yesu anakupenda zaidi ya uwezavyo kujua na anataka uokoke. Usikatae zawadi ya bure ya uzima wa milele, kwa sababu hukumu ni ya kweli sana. Ikiwa utamwomba Yesu Kristo kwa moyo wa kweli akusamehe dhambi zako zote, na kuingia moyoni mwako na tafadhali kukuokoa, atakuokoa na hivi karibuni utajua jinsi yeye ni halisi. Mungu akubariki. ❤🙏🕊

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    2 жыл бұрын

    Ameen sana 🙏

  • @yeremialusega1565
    @yeremialusega1565 Жыл бұрын

    Movie Iko pw Sana ,,,🤗 nimepata lesson kubwa sna kweny maishaaa🙏🙏🙏

  • @anisethlukoko821
    @anisethlukoko8212 жыл бұрын

    Oyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Waooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nimeinjoy saaaaaaaanaaaaaa. Unajua kijana, hakika ukiongeza juhudi kanumba tutamuona, sio kwamba hawez tokea Kama kanumba Kama wanavyodhi ila kila kitu nawakati wake, kwako wewe naanza kumuona kanumba.

  • @alinyamawi2968
    @alinyamawi29682 жыл бұрын

    Hapo nawapa pongezi .... movie iko fty sana ...inafunzo zuri ....✓✓✓... Congratulations

  • @clarissidi1437
    @clarissidi1437 Жыл бұрын

    Imenitoa machozi jamani, movie nzuri sana inasisimua na mafundisho pia, hongera sana kapaya

  • @mathewmponejas3536
    @mathewmponejas35362 жыл бұрын

    Kazi nzuri, maudhui mazuri, mpangilio mzuri wa matukio, zaidi mmeu kwenye hitimisho, hakuna maswali ya kujiuliza, kwa hapa big up sana

  • @enocksima3621
    @enocksima36212 жыл бұрын

    Very fantastic,,,wonderful movie ,,,,xafi xana gud work ,,,,much appreciation

  • @inkurushow2827
    @inkurushow2827 Жыл бұрын

    Cool cool kabisa, mkiendelea hivyo mtafufua tena sana ya Bongo movies

  • @johnfilbert5915
    @johnfilbert59152 жыл бұрын

    Unatuchelewesha bhana,ila ongera kijana mwenzangu,umepambana sana kurudisha heshima ya filamu Tanzania, tulikwama tokea Enzi za kanumba

  • @michaelpatrick9137
    @michaelpatrick91372 жыл бұрын

    Great job, congratulations all of you..mmefanya firm nzuri na yenye mafunzo namaonyo sa a kwa jamiii

  • @user-og4mq8ph4y
    @user-og4mq8ph4y4 ай бұрын

    Waaah yaani ilivoisha ata alikua yafaa iwe ndo ni part 1, hii movie ni nzuri sanaa nimependa jamani mapenzi hayaa nkweli yanauma Asanteni sanaa nawapenda🙏

  • @essykinyanjui9642
    @essykinyanjui96422 жыл бұрын

    Filamu yenyu nzuri yanaa funzo kumbwa mpangilio mzuri hayana kelele ,,,naawapa pongezi Sana ,,Karen , preshas ,deo na Mike congratulations ,,

  • @abubakarkoita4778
    @abubakarkoita4778 Жыл бұрын

    I love this movie.Maudhui yako shwarii na wazi kabisa

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Жыл бұрын

    Congratulations for the movie....A lesson which i learn from the story is about power of love

  • @shamilamvula3372
    @shamilamvula33722 жыл бұрын

    Kila jema mungu utangulia ,nimeipendaaa sanaa

  • @shamilamvula3372

    @shamilamvula3372

    2 жыл бұрын

    ❤❤❤❤

  • @johntshenda7244
    @johntshenda7244 Жыл бұрын

    kaka déo mungu azidishe akili natena amilinde Sana naipend Sana filamu yenu mimi nimu Congo,,i say thenks 4this,,

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    Ahsante sana kaka

  • @johntshenda7244

    @johntshenda7244

    Жыл бұрын

    @@kapaayathegreat ok

  • @ruthkisaka7903
    @ruthkisaka79032 жыл бұрын

    Good lesson learned from your film congratulations caren ,Deo and Mike

  • @zakayocoster3337
    @zakayocoster3337 Жыл бұрын

    Nimependa sana bongo tupo juu sas

  • @mbomamukenge8104
    @mbomamukenge81042 жыл бұрын

    Nawapenda sana tumahamu sana ya film part2 tumaliziye adisizetu menifurahasha sana kucheza na uwo Dada achaya muzigo brother 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @annamamaalpha8295
    @annamamaalpha82952 жыл бұрын

    Waooo tunaisubiri kwahamu kubwa sana

  • @linetymmboga7271
    @linetymmboga72712 жыл бұрын

    Wow nice movie and good job I'm from Kenya

  • @sallykavuna6574

    @sallykavuna6574

    2 жыл бұрын

    Kapaya have a good job 👊👊♥️ kutoka kanya♥️♥️♥️♥️♥️

  • @ramlakhamis3392

    @ramlakhamis3392

    Жыл бұрын

  • @andrew0502
    @andrew0502 Жыл бұрын

    You are good in film guys, God bless you more and more!!

  • @ibrahimmartine9185
    @ibrahimmartine91852 жыл бұрын

    Movie nzur sana nmeipenda hongeren kwa washirki wote wa hii bongo movie

  • @rachelnasiruza6455
    @rachelnasiruza64552 жыл бұрын

    Too Emotional, but I must say this is the best of kapaya the great💪

  • @priscadaudi1001
    @priscadaudi1001 Жыл бұрын

    Nzuri sana,nimetoka na idea frani

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    Usiwanyanyase wazazi lakini

  • @sabreenbonaya2520
    @sabreenbonaya25202 жыл бұрын

    Mike, DEO, Karen na preshas hongereni sana kwa uwamuzi kwa penzi imara na thabiti congratulations good work you are all blessed

  • @ailcemuthoni3339

    @ailcemuthoni3339

    2 жыл бұрын

    I really love this movie it has alot of teaching na kweli two people who are truly in love are inseparable

  • @msiokijohn2177

    @msiokijohn2177

    2 жыл бұрын

    Vzur sana

  • @ericyombe4554

    @ericyombe4554

    2 жыл бұрын

    Pendeza

  • @comboassaneassane4967

    @comboassaneassane4967

    Жыл бұрын

    No

  • @johntshenda7244

    @johntshenda7244

    Жыл бұрын

    i say thenks 4this

  • @ailcemuthoni3339
    @ailcemuthoni33392 жыл бұрын

    I love the movie it's so lit 🔥🔥🔥 na kwakweli true love is inseparable

  • @josephsaruni31
    @josephsaruni312 жыл бұрын

    Congratulations guys we're waiting for part 2

  • @ziyadabasca4840
    @ziyadabasca48402 жыл бұрын

    Baba kipenzi kapaya kwer filamu isihishe tuongeze muenderezo filamu nzuri sana muno💪💪💪nakuweka nguvu enderea ndere yako ni pazur san ongera tunakupenda san 👍💋💋🥰🥰

  • @amidjaja5695
    @amidjaja56952 жыл бұрын

    Naisubiri kwa hamu😍😍😍

  • @veronicandinda4560
    @veronicandinda4560 Жыл бұрын

    Congratulations team,enjoying from kenya

  • @essykinyanjui9642
    @essykinyanjui96422 жыл бұрын

    Kapaya good job bro♥️♥️♥️👏👏👏👏

  • @monicahjoseph2528
    @monicahjoseph25282 жыл бұрын

    Wow Mr CEO en Michael ,ur strong ,much love u guyz 💕💕 nice movie

  • @ygggggg9762
    @ygggggg97622 жыл бұрын

    Okay twasubiri

  • @rebeccamukonyi3489
    @rebeccamukonyi34892 жыл бұрын

    asante sana Mungu awabariki sana kwa mafundisho mema masikini ako na haki.

  • @aishaomar9621
    @aishaomar96212 жыл бұрын

    Hongera sana Michael na careen kwa maamuzi yenu movie tamu sana

  • @DaudiGeorge-jb1fo
    @DaudiGeorge-jb1foАй бұрын

    Kazi nzuri sanaaa

  • @josephsaruni31
    @josephsaruni312 жыл бұрын

    Thanks guys for posting part 2

  • @polomzuanda4746
    @polomzuanda47462 жыл бұрын

    Nakukubali sana unajua kupangilia kila kitu kazi nzuri sana

  • @saadazubeiry8918
    @saadazubeiry8918 Жыл бұрын

    Sijaipenda hii film aisee ! sijaifahamu mwanzo hadi mwisho naona ovyoo tu! Ni afadhali ile kosa la mama ilikua bomba sana!

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    Angalia part 1 mpenzi wangu

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    huwezi kuieliwa kwakua umeanzia part 2

  • @elpinnershehele7344
    @elpinnershehele73442 жыл бұрын

    From Mombasa, nimeingojea kwa muda sana

  • @user-zz7gl5yv6t
    @user-zz7gl5yv6t3 ай бұрын

    Inafundixha kiasi good job

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl2 жыл бұрын

    Movie nzr mno nayenye funzo kubwa sana kwa wazazi wanamna hii, asanteni sana washirika nyote

  • @danielmach422
    @danielmach4222 жыл бұрын

    Sasa hizi ndizo movie alizokuwa akifanya marehemu Steven Kanumba (MUNGU amrehem) Hakika mchezo umeanza vizuri na umeisha kiukali zaidiii... Hongereni sana waandaaji na MUNGU awazidishie kipaji🙏

  • @christinasafi151
    @christinasafi1512 жыл бұрын

    Kapaya na penda sana filamu zako kaka. Unakwenda kuisimamisha tena pendera ya filamu zenye maana kubwa. Nakutakia mafanikiao mema, pamoja na team nzima. Wekeni upendo kwenye kundi, heshima na masikilizano mkifanya hivyo, tasnia yenu itafika mbali sana. Mungu abariki kazi zenu. "Mwenda pole hajikwai". Vizuri sana kaka🇹🇿🇨🇩🇨🇦

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    2 жыл бұрын

    Ahsante sana 🙏, Christina Safi ubarikiwe sana

  • @halimanj8544
    @halimanj85442 жыл бұрын

    nawapenda sana nyote vipenz vyangu asante Kwa kazi yenu

  • @tabithasalimu3617
    @tabithasalimu36172 жыл бұрын

    Safi sana

  • @johnwere5282
    @johnwere52822 жыл бұрын

    hongera sana kwa filamu tamu na mafunzo si haba. Hakika ni ya kufana na kuelimisha

  • @majaliwawilson9372

    @majaliwawilson9372

    Жыл бұрын

    Lakini Mimi huwa najiuliza Adam hakuchaguliwa mke mke wa Babu yetu Adam alijiandaa kumpenda Adam? Navitabu vip vinavyo onesha Kuna Mahal mitume walichagulia wake kosa hapo nikauli yamaskini ndio haikosawa lakini vitabu vina sema mzazi nimunguwako wapil hivo ndiomana leo tumezalau yawazazi nakusema natakiwa kuwa na nitaempenda nasio nitae chaguliwa ndiomana Kat ya ndowa 100 zitazo kuwa zimefungwa Leo itayo kuwa inamiaka 40 haipo kila moja itakuwa nandowa nyingine tena hivo tunakokwenda tunaletewa ndowa za mikataba yaani tutaishi mwaka au miaka 2 hivo tutaungana najamii yakishetani kwani hawatat ndowa zidum zikidum ushoga usagaji hauta shamili Sasa ninihik Kama sio ushetani tunao letwa bila kujitambuwa kilamtu ajifuze vitabu awe namaalifa nasio maneno yqkuwambiwa

  • @jamesisaac8804
    @jamesisaac88042 жыл бұрын

    WOW films nzuli taomba ifwatao part 3

  • @yunus-bh4om
    @yunus-bh4om5 ай бұрын

    Hiii ilienda poa ❤❤

  • @ignasiakomba1320
    @ignasiakomba13202 жыл бұрын

    Talented brother 💪💪 keep it 💯 on going nimevutiwa na intertain also education to the society

  • @johnfilbert5915
    @johnfilbert59152 жыл бұрын

    We kapaya vipi,

  • @vipvip-zv7xv
    @vipvip-zv7xv2 жыл бұрын

    Funzo zuri sna..Maskin ana haki y kupend ..hongera kwenu..maamuz y kudum

  • @moniquemshai2654
    @moniquemshai2654 Жыл бұрын

    nimependezwa na video zenu .....nasubiria zaidi na zaidi , natoka kenya

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    Ahsante mpenzi wangu

  • @moniquemshai2654

    @moniquemshai2654

    Жыл бұрын

    @@kapaayathegreat karibu

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    @@moniquemshai2654 uko wapi mpenzi wangu

  • @moniquemshai2654

    @moniquemshai2654

    Жыл бұрын

    @@kapaayathegreat natokea mombasani

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    @@moniquemshai2654 wow mpenzi wangu

  • @peteraw1600
    @peteraw1600 Жыл бұрын

    Congrats team kapaya the great.

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    🙏🙏

  • @estermpare6315
    @estermpare63152 жыл бұрын

    😭😭😭Daaah mapenzi I yanaumaa saana

  • @annettesimiyu7597
    @annettesimiyu7597 Жыл бұрын

    Kazi nzuri sana ongera

  • @OmanKill
    @OmanKill2 жыл бұрын

    Kaz nzur san ongeren

  • @tumajunior6080
    @tumajunior60802 жыл бұрын

    Hongereni kwa kzi nzuri

  • @officialimagineproduction9729
    @officialimagineproduction9729 Жыл бұрын

    Kazi nzuri sana...keep it up

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg16522 жыл бұрын

    Movie nzuri sana ongeleni nabapenda sana 🙏 ❤❤

  • @boytz202

    @boytz202

    2 жыл бұрын

    Good job

  • @barakaelias1116
    @barakaelias11162 жыл бұрын

    Nimelia sana hii filamu maana mimi imenitokea watu ambao hatujabarikiw 'na Mungu kuwa 'na mali tunadharaulika jmn 😭😭😭😭😭😭

  • @rosemuhazi9542
    @rosemuhazi95422 жыл бұрын

    Woooiye l like it the true love never die 🔥🔥🙏

  • @christinesakali3840

    @christinesakali3840

    Жыл бұрын

    Haya mapenzi jamani deo na precious 💞

  • @Innocentciza
    @Innocentciza Жыл бұрын

    Dauka she still best actriss love from BUJA

  • @winniewairimu3822
    @winniewairimu38222 жыл бұрын

    Mr kapayaa naangalia sanaaa,mazee Yana roho ya ushamba balaa

  • @Janetkerry32
    @Janetkerry322 жыл бұрын

    Kapaya wetu asante kw hii filamu

  • @mboyakevin3404
    @mboyakevin34042 жыл бұрын

    Movie nzuri sana nawashukuru kutoka Nairobi Kenya

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    2 жыл бұрын

    Karibu sana

  • @dy5624
    @dy5624 Жыл бұрын

    Deo noma

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas47442 жыл бұрын

    Deo ukovizuriii Sana musukuma

  • @lucykalunde9701
    @lucykalunde97012 жыл бұрын

    Nlikuwa naingoja sana big up manzee

  • @edwinkiplangat5906
    @edwinkiplangat59062 жыл бұрын

    Nice film kipendacho roho ni dawa God bless you abundantly wish you all the best hope to see another one

  • @silasdaniel297
    @silasdaniel2972 жыл бұрын

    Nakubali sana ♥️

  • @inocentmwale962
    @inocentmwale9622 жыл бұрын

    Kapaya nakubari sana brother

  • @zamannamusa1794
    @zamannamusa17942 жыл бұрын

    Jamani like tu 🥰🥰🥰

  • @johnbernad3990
    @johnbernad39902 жыл бұрын

    Kapaya hongera sana kwa sasa bongo mov ipo mikononi mwako maana mov zako zote zina maadili congratulation Kwa hilo

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    2 жыл бұрын

    🙏🤝

  • @janvieryenga1419
    @janvieryenga1419 Жыл бұрын

    Ongereni sana

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын

    Nimafundisho tosha👌🥰🥰🥰🤣

  • @simonmwaura8784
    @simonmwaura8784 Жыл бұрын

    The greatest kapaya

  • @aishaomar9621
    @aishaomar96212 жыл бұрын

    Wow twaisubiria kwa hamu na hamumu

  • @vivianjonathan1783
    @vivianjonathan1783 Жыл бұрын

    Nzuri nzur sana

  • @raymondlucas1452
    @raymondlucas14522 жыл бұрын

    Big up brother Deo from kapaya the Great Nice short 🙏 may God bless you

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad12822 жыл бұрын

    Waaaah nkali kabsa

  • @deogratiasodas
    @deogratiasodas2 жыл бұрын

    Ongeza kazi nyingine nimepnda 👏👏

  • @KhadijaKhadija-ee5kr
    @KhadijaKhadija-ee5kr2 жыл бұрын

    Waooo tunaisubiri

  • @dtv6734
    @dtv67342 жыл бұрын

    wazEe, , , hapo kwenye nguMi hapaJabambA 😂😄

  • @zenangongoro574
    @zenangongoro574 Жыл бұрын

    Kapaya unajua sana kaka bigup be blessed

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    Ahsante sana mpenzi wangu Zena

  • @zenangongoro574

    @zenangongoro574

    Жыл бұрын

    @@kapaayathegreat mm ni wa kiume kaka kapaya 😂😂😂 niko na kipaji cha kuigiza kaka lakini nahisi kipaji changu kinaishia chini sijapata nafasi ya kukionyesha popote ila nyinyi kaka mko mbali😢😢😢😢

  • @kapaayathegreat

    @kapaayathegreat

    Жыл бұрын

    @@zenangongoro574 wewe ukowapi

  • @ziyadabasca4840
    @ziyadabasca48402 жыл бұрын

    Tunakupenda san unafany kazi nzuri

  • @fdff3980
    @fdff39802 жыл бұрын

    Huyu mwanaume deo kwa sura yake anaonekana kama npole ndo ninamuona filam zake zote

  • @eddahmwinzi
    @eddahmwinzi2 жыл бұрын

    Wooooooooo asanteni sana

  • @antoniaoswald1643
    @antoniaoswald16432 жыл бұрын

    Hongera kwa washiriki wote movie ni nzuri sanaa

Келесі