IMEFICHUKA: MANENO YA MWISHO YA MEMBE/AHUSISHWA NA UJASUSI/ KIKWETE ATAJWA/SIKU CHACHE KABLA YA KIFO

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Membe #Dar24Media

Пікірлер: 17

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 Жыл бұрын

    Interview nzuri, hongereni mmemtendea haki BM

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Жыл бұрын

    Hakuna kitu upuuzi alifrai juu ya kifo cha magufuli ivo inakua kama ivo

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 Жыл бұрын

    Ngoja niangalie maana ya ujasusi..

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Жыл бұрын

    Alimchafua jembe sana uyo kachelo hio ndo tanzania

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u Жыл бұрын

    Umaarufu wamutu hapa.duniani hujichorayenyewe kufuatana najamiihusika inayomzunguka ameifanyianini haisambazwi namtummojammoja asiyeeleweka.hayo yanahusulkulu na mamboyaulinnzi hapohamunakazi yakufanya.

  • @michaelmulokozi1512
    @michaelmulokozi1512 Жыл бұрын

    Mwandishi pendelea kutumia Neno, napenda kusikia ukisema juu ya .... Au una mtazamo gani kwa..., Na sio kuamuru NATAKA ..!

  • @damymzuri9989
    @damymzuri9989 Жыл бұрын

    Yeriko na dupe , miamia

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Жыл бұрын

    Kwaiyo membe alikua ni jasusi?

  • @user-bo7zj5qn3m
    @user-bo7zj5qn3m Жыл бұрын

    Umeshindwa kueleza nn maana ya foreist na jamaa alikuwa anabebwa na kikwete ,na ndiyo maana JPMalimupiga chini

  • @nicholaschalle8288
    @nicholaschalle8288 Жыл бұрын

    MUNGU wa Mbinguni atupatie akina MEMBE WENGI kwaajili ya TAIFA

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 Жыл бұрын

    Hivi ni nani alie wahi kusema BAHARI IMETULIA? sasa naiona BAHARI kuchafuka

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын

    Huo mfumo wa shule maalumu ni muhimu dunia nzima zipo shule Kwa wanafunzi wenye vipaji ndio hao wanaogundua mambo makubwa ya technology na wanapewa support kubwa lakini mshaanza changanya na wehu shule zinakosa sifa .za kutoa watu muhimu ktk nchi

  • @michaelmulokozi1512
    @michaelmulokozi1512 Жыл бұрын

    Mwenzenu alikua kazini😀 nyie mnajua ni interest binafsi 😅

  • @marxmusntambala7996
    @marxmusntambala7996 Жыл бұрын

    Hii ndio Tanzania

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo Жыл бұрын

    Hayo hayaruhusu kamwe

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo Жыл бұрын

    Hayo yanakuja wewe kwa sasa haitusaidii

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 Жыл бұрын

    Kama Kuna aliyefurahi au kuchangia Kifo cha Magufuli anakumbushwa njia ni moja na sio mbili. Kwani Magufuli alitangulia tuu naye atafuata.

Келесі