HOTUBA YA RAIS SAMIA KATIKA HAFLA YA KUTUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA, UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, kutambua jitihada zake za kuendeleza mageuzi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi -4R. Rais Samia yupo nchini humo kwa ziara rasmi aliyoianza tarehe 17 Aprili, 2024.

Пікірлер

    Келесі