HOTUBA YA RAIS MAGUFULI MJINI KATESH BAADA YA KUSIMAMISHWA NA WANANCHI 06 MAY 2016 mp4

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI MJINI KATESH BAADA YA KUSIMAMISHWA NA WANANCHI ALIPOKUWA ANAELEKEA ARUSHA AKITOKEA DODOMA, 06 MAY 2016 mp4

Пікірлер: 45

  • @tanzanian8847
    @tanzanian88473 жыл бұрын

    Allah akulinde sana rais wangu Magufuri

  • @ericmdemu2876
    @ericmdemu28768 жыл бұрын

    Hakika kila iitwayo leo Mungu Mwenyeenzi na Utukufu ambariki Rais wetu wa Tanzania!.

  • @mohammedhassan4555
    @mohammedhassan45558 жыл бұрын

    when I grow up I wanna be like magufuli

  • @saumusalimuhassan3041
    @saumusalimuhassan30418 жыл бұрын

    ALLAH amuongoze Rais wetu

  • @chaomadedo
    @chaomadedo8 жыл бұрын

    What a President. Ooh our Lord God think u for displaying ur love through this child of urs. May God protect this president n his full cabinet in Jesus name Amin.

  • @sunyareh
    @sunyareh8 жыл бұрын

    I cry tears of joy and happiness.. Asante Mh Rais ndugu Magufuli mungu akubariki

  • @yuniea2670
    @yuniea26708 жыл бұрын

    Very moving speech. God bless Tanzania and Prez JP Magufuli

  • @Sarah198066
    @Sarah1980668 жыл бұрын

    Daaa! Your an Angle! Raisi wa Watu! May God be with you!❤️

  • @stevendaud4660
    @stevendaud46607 жыл бұрын

    ilove magufuli

  • @LaurenciaKitauli-or8rr
    @LaurenciaKitauli-or8rr7 ай бұрын

    Mungu ailaze roho yake mahali pema . Tunakukumbuka .❤

  • @ayubumisheli8119
    @ayubumisheli81198 жыл бұрын

    God has a plan for Tanzania that's why he gave his servant JPM to be our President. Shikamoo Magufuli

  • @nyanda427
    @nyanda4278 жыл бұрын

    Long live Dr. John Pombe Magufuli

  • @mounbakko5871
    @mounbakko58716 жыл бұрын

    this is hands-on governing and personal-stake participation by citizens thru dialogue.

  • @saidiissa8729
    @saidiissa87298 жыл бұрын

    wewe ni zawadi tuliyokuwa tunaisubiri muda mrefu sana mungu akulinde na akupe nguvu

  • @saumusalimuhassan3041

    @saumusalimuhassan3041

    8 жыл бұрын

    Ameen yarab

  • @chachakorosso9410
    @chachakorosso94107 жыл бұрын

    mpaka machoz kwa hii huruma ya rais

  • @banimulengwa7837
    @banimulengwa78378 жыл бұрын

    Congo DRC tunahitaji kiongozi kama huyu, tungefika mbalisana/ sasahatuna

  • @edwardedward2520
    @edwardedward25206 жыл бұрын

    Am so impressed by mr. President God bless you always.

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba33487 ай бұрын

    2023

  • @daudnyagalu308
    @daudnyagalu3086 жыл бұрын

    I need this spirit back please

  • @sande6410
    @sande64108 жыл бұрын

    noma sana

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban86938 жыл бұрын

    duuuh Mheshimiwa watimue haina haja kuwaonea huruma hao viongoz hawafai kabisa

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed83835 жыл бұрын

    Mungu.mwema tumepataa rais M zuri apakazi tu

  • @kiyumbijustine3434
    @kiyumbijustine34344 ай бұрын

    😭😭

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban86938 жыл бұрын

    haina haja watanzania kufanya kampeni za kuchagua rais mwingine. Magufuli kidume cha Tanzania na watanzania woooote. maana ahad zake zoote alizoziahidi anazitekeleza.

  • @musanassoro8210
    @musanassoro82108 жыл бұрын

    zawadi toka Kwa mungu

  • @sahales9944

    @sahales9944

    8 жыл бұрын

    kweli kabisa musa nassoro viongozi kama hawa adim

  • @christsflowe.r
    @christsflowe.r8 жыл бұрын

    God bless u Rais wetu

  • @BBCFintl
    @BBCFintl8 жыл бұрын

    This President identifies with the village voters...he champions their causes. And it is genuine...

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 Жыл бұрын

    Hakika ulipendwa Sana na Watanzania hasa wanyonge

  • @Felix72282
    @Felix722828 жыл бұрын

    Good president

  • @muleimusyoka3883
    @muleimusyoka3883 Жыл бұрын

    This was a leader

  • @Paulo-i9e
    @Paulo-i9e15 күн бұрын

    Mafuriko katesh

  • @tanzanian8847
    @tanzanian88473 жыл бұрын

    Hakika we ulikua kiongozi bora. Kiongozi wa wananchi wa chini

  • @dct4lif
    @dct4lif8 жыл бұрын

    Mama aliengoea dakika ya 15:40 hadi chozi limenitoka. Kuna watu lazima tuwatandike viboko mtaani ndio wataamini tuko serious.

  • @saumusalimuhassan3041

    @saumusalimuhassan3041

    8 жыл бұрын

    Hata mimi kanisikitisha sana adi chozi limenitoka,Hata Rais kajikaza tu kwasababu ni mwanaume ila inasikitisha sana.

  • @BBCFintl
    @BBCFintl8 жыл бұрын

    JPM has taken OWNERSHIP of the position of President of Tanzania. He also has an advocacy attitude and spirit.This is what has set him apart. It is a trait you cannot fake. You either have it or you do not. Unfortunately it will take a long time for similar minded Tanzanians to watch him, believe him, trust him and take the bold step of walking alongside him. When this new team self-selected new leaders lines up alongside JPM, that will become the legacy JPM leaves behind in Tanzania. A hen is most vulnerable when incubating her eggs. JPM is incubating a new Tanzania and becoming a role model for the entire World. Let us protect and support JPM until his eggs are hatched and new leaders with similar vision step into public office! Zabde-Ezra Ayienga, Toronto, Ontario Canada.

  • @mounbakko5871

    @mounbakko5871

    6 жыл бұрын

    you state it so well and ,this is the model sub-saharan presidents need to follow.... but men like this are unique and others cannot be like him because this comes natural to him.

  • @chenzhensammuel662
    @chenzhensammuel662 Жыл бұрын

    Rais john pombe magufuli Joseph alikuwa mtu mwema sana tena sana na Nina imani atuulizi ufalme wa mbingu.

  • @MrMucray
    @MrMucray8 жыл бұрын

    Rais mwenye bidii.....jameni watanzania ingeni mfano wake...

  • @sahales9944

    @sahales9944

    8 жыл бұрын

    nikweri francis muia mwenyezi mungu atie nguvu nahekima yakuongoza taifa hili

  • @fikirinijuma6158
    @fikirinijuma6158 Жыл бұрын

    Katesh ni wapi ama ni mkoa wa wapi

  • @WansolaLuther-tq8qm

    @WansolaLuther-tq8qm

    Жыл бұрын

    Mkoa wa Manyara

  • @chenzhensammuel662
    @chenzhensammuel662 Жыл бұрын

    Rais john pombe magufuli Joseph alikuwa mtu mwema sana tena sana na Nina imani ataulizi ufalme wa mbingu.

  • @chenzhensammuel662
    @chenzhensammuel662 Жыл бұрын

    Rais john pombe magufuli Joseph alikuwa mtu mwema sana tena sana na Nina imani atuulizi ufalme wa mbingu.

Келесі