HEMEDY PHD : NIMEMGONGEA DEMU WAKE NA DADA YAKE, HAWEZI KUNIPENDA
Ойын-сауық
Bango Kubwa
Hemedy PHD amekutana na Jonijooo kwenye THE BARTENDER zimepigwa story nyingi na ukweli aliotakiwa kuongea ..........
.
POWERED BY : @pepsi_tz .
.
Cc : @grillhouse_daressalaam
#TheBarTender #Jonijooo #WTVTheBarTender.
Пікірлер: 371
Anae mkubal jonijoo gonga like tujuane
@queen.christelle1
4 жыл бұрын
Zamani sio kwasasa zilipendwa
@nurochaibo6522
4 жыл бұрын
Frans Paul ok
@OmariKingwala
3 жыл бұрын
Pamoja
Well informed Lad Hemedy yuko vizuri Jonijoo kejeli zime backfire leo Swali limeulizwa kiutaalamu sana na jonijoo akawekwa mahali pake.
@bombatv7944
4 жыл бұрын
😂😂😂😂 Nimecheka kifala
HEMED wewe noma😘, Joni Joooooo big up show ni lit ✌
One of the best interviews I ever watched, big up sana Jonijooo n PHD
Hemedi bhana...😀💪🤛 Ila punguza hizo "Bro" brother.Nimejaribu kuzihesabu nikaishia njian! Duh....😁😁🙌🙌🙌
Kuna mademu wanaskia huu utumbo wa hemedy lakin wataendelea kujipeleka kwa hemedy
@sismnfamily3426
4 жыл бұрын
Ulitaka waje kwako mpemba?🤔🤔🤔
@officialmpemba1952
4 жыл бұрын
Waje tu sio mbaya
@khamisfaki4640
4 жыл бұрын
Wanafuata color white halaf mpemba mwenzio hyo inavyoonekanwa
@officialmpemba1952
4 жыл бұрын
@@khamisfaki4640 dah ukiwa na rang bhna ht uspokuwa na pesa fulesh tu
@zuwenakabwe1017
4 жыл бұрын
Si wasenge
Kumbuka Corona virus ni janga la dunia. 1.Osha mikono na sabuni endapo utashika vitu au watu pia tumia sanitaiza 2.Vaa maski ukiwa kwenye msongo wa watu wengi 3.Zuia mikutano ya watu wengi kama si lazima wakati huo
@khamisfaki4640
4 жыл бұрын
Ss mm nataka kusex na demu wangu inakuaje nivae mask na glaves
@ahmedmahamudu4140
4 жыл бұрын
@@khamisfaki4640 umeelewa ila una jifanya mwehu tu
@emmanuelnangi8661
4 жыл бұрын
Gud sound
@benwayneofficiall1455
4 жыл бұрын
Kweli kabs
Huwezi gombana na mtu kwa Mil. 800, 900 wewe, pesa ndogo Sana!! Kizazi jeuri.
Akili kubwa mzee Jonijoo naona umekataa kuwapa mashavu red bull naona umemimina kinywaji fasta 😁😁😁😁
Jamaa huyo anathalilisha sana wanawake kwann ss wanaume hatuwezi ku face mtu bila kumtukania mzazi au dada yani uka mface yeye Kama yeye kiume wengi wenu hamuwezi ila one love ya kibabe joninjooo
@slayingtee6044
4 жыл бұрын
Kweli ulichosema
@mohamedally342
4 жыл бұрын
@@slayingtee6044 Umeona watu wenye akili zao wanakoment vitu vya maana ila wewe ungekua unatukana tu hapa
Bonge la show , big up sana .. Sasa mmejipangaje na corona.. Naona mwakiuka masharti.. othr wise show imetulia.
asilimia nyingi ya wanaume walio kulia around good female role models huwa wanaheshimu wanawake... Mtu yoyote anapo kuwa haji heshim basi huwa anaropokwa na maneno ya ujinga... Asa kulala na dada au girlfriend alafu unaji big up is like your greatest achievement... Sorry i don't mean to say this to hurt anybody’s feelings but i want to add kwamba Hemedi ni mshamba big time... People who got themselves together don't talk like you... Kuto kuwa na ustarabu is soo not 2020, upgrade...
@ramadhanihudhaifani4376
4 жыл бұрын
Well said! I second you.🤝
@emidahayoub8849
4 жыл бұрын
True
@samiraabdimahamed4449
4 жыл бұрын
K A so true bro
@khamisfaki4640
4 жыл бұрын
And me too i take your hand brother
@MightyLumber
4 жыл бұрын
Huyu dogo ni mshamba tena sana tu. Yaani mjinga kupindukia!
Jaman nikiingia You tube,huwaga namtafuta Jonijoo katuletea na nani,nilivomuona Hemed PH nikafurah
@leonardhaule539
4 жыл бұрын
Mtafute salama
😂😂😂😂 broo unimecheka mapaka bac🗣🗣🗣🗣 nina 6x pack ni nakiboxsa then vyombo vina cheza cheza 😍😍😍😘😘😅😅😅😂😂😂🤣🤣
Hemed mi nakupendea kitu kimoja,,,,huaga hufichi jambo nikuongea tu
Jonijoo huku umetulia💪💯✔️
mi nampend Jonijo Baba ako❤️
jonijooo hii it's 🔥i ♥️ hii kituu ubunifuu mzuri sn💪
@yussufdjroo1446
4 жыл бұрын
Mariam Songoro umehusu Zanzibar
this dude is so proud 6 feet under is all for us
wasafiiiiiii jonijo nakuelewa mzee
Nakubali mzee fastaaa umeiondoa hiyo kopo la redbull
Hiki kijwaji mbona hakiish bro au ndio hivyo tena
Wa kwanza leo jonijoooooo
Nakupenda bure wagina🇲🇿
Kipind kizur sana hiki😉. JONIJO🔥😉
@maiissamuhammad5204
4 жыл бұрын
Jamani humenifraisha san
@calvinpaul2171
4 жыл бұрын
Ur beautifully
@daaluutvonline5936
4 жыл бұрын
Hata ww mzuri
babaako🔥🔥🔥🔥
Nakubalibakubali jonijooooo
One of de best show🔥🔥❤️💪💪
Daaah Yani kitambo Sana namkubali PhD tangu nipo skonga mpaka now huyu ni king of love but akiwa ndani ya movie
Nakubali kaka jonijo
He is my favorite Hemedi
Phd ametisha sana ndo celebrity ambay hajakosa swal hata moja
@brosataasisi4629
4 жыл бұрын
Tafuta ya Nikki Mbishi Genius utakaa kimya
Nakubalee jonijooo😂😂😂😂😂😂Hemed nakupendaga bure we mwehu😂😂😂😂
@queen.christelle1
4 жыл бұрын
Jasminy iddy Sulaiman Mimi simukubali hata kidogo zilipendwa nilikua namkubali zamani lakini kwasa zilipendwa
@junioroloo5752
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@aishaasumany561
3 жыл бұрын
@@queen.christelle1 sisi twampenda mbondei wetu huyu
Jonijo upo vizur yaani hii enterview ya hemedi ni bomba balaa
nakubali mzee wangu jonijoo
Gigy, Amber lulu ?? Hapo nikaushie 😂😂😂😂
Hahhah Daah Hemedy bwaaana Naenjoy Mahojiano yenu
Nakubalii....
Bango ni kubwa bango limeng'aa mzee wangu
et afu mm handsome boy siwez ingilia nipigwe uso wang biashara
Yule demu wa afro mrudishe apo kwenye show ndo huwa pananoga.. sio mwamba uyo anazurura tu hana vionjo
Tuna thoo Tuna thoo Alafu tuna shyaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣😁😁nachokupendee unaongeaga ukweli
Nakubalii jonijoo📌
@khatibumanyanya650
4 жыл бұрын
Solo Mwana 0
Jonijoooooo nakukubali kinyama lop u✌
Kwenye kujibu umeua sana Hemedy
😂😂😂Jaman bango Lazim lig'ae
oya wa wakumi na tano 15 leo nimewai na mim like zang bc jamn dah
Wacha Corona iishe kwa uwezo wa mungu nije nitembee huko
jonijo ee wahuni wanakuomba utoke kwenye block89 wanakufinya uonekani, kaa umu the bar teander
Hemed kwa kujisivu
Hahaaaa phd noma wanyoshe tu watot wazur
Lini utamfanyia nahrel interview
@shivobeats8721
4 жыл бұрын
Sun paul Hemedy kalewa
Hahahaha nakubali sana mzee hemed
Yuko vzur broo HD kwenye kujibu
Dah Hemed mjing kwl ety kw wasichan wazr tun duuu duuuu duuu kish tun rukaaaa😂😂😂
Nakubali brooooo
FUNNYYYY GUYY
bora wewe umesema unapiga kitaulo kuliko wengine wanakataa huku wanafanya
Big up broe p.hd ninowmah!!
nakubali
Natizama kipindi sana tu lakini bado sijamuona aliekunywa Juisi kama Mkude simba.
@idrisatv5540
4 жыл бұрын
Mkude nyoko kanipigia vikombe 6
@neemafrank7128
4 жыл бұрын
Ahahahah
Hahaaah papi duuuuh we nomaaaaaa Una banja tu
😂😂😂😂 huyo ndio mkwe wangu
Uko sawa hemedy Penda
Eti mujomba kabaki katikati 🤣🤣,irene kaenda uku ww ukapita uku
Tunaxhukur kwa kutujuza mambo ambayo hatuyajui kabla ya kuanza interview
Unajisifu kugonga madada zao ..wako unawagonga Mwenyewe?
🤣🤣🤣 ila hemedy sifa ztamuua jaman khaaa
Bando lmewaka TAA 🚦 Jonijoo
Hemedi namuelewa Sana
Six pack ambition thats a dream bro 😂🔥
@junioroloo5752
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
Wp likes za jonijoooooo mnyamaa
the bar tender on fire...
@abdilahyahya3030
4 жыл бұрын
Yap ndio
Frernando papii karito
@wilsonthomas7174
4 жыл бұрын
Morientes
@nemaodhiambo7274
4 жыл бұрын
Fernando, Carlito, Alejandro, Enrique, Rodrigue Romeo, papi, quique, Pancho Pablo, Saulo,😂😂 Bueno y ahora que hermoso?
@pendondossy2158
4 жыл бұрын
@@nemaodhiambo7274 😹😹😹😹😹ndooroobooo
😁😁😁😁hii nomaa
Karne ya pili kulikua na existence ya nchi kama china....... Jonijo uwe unatupa source ya info zako hizo kwenye descriptions
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Hemed Shikamoo 🤣🤣🤣🤣🙌
Nakukubali sana kaka
Safiii
Ila fala huyu😂
😅😅😅Hemed enterviuw zako big up furaha kwenda mbele LIKE
Namkubali PHD aisee... kwa smart bwoy yeyote lazma umuelew huyu mtu but yuko real saana na smart sana vipaji vingi mno!!!.. sana mwamba
@njikumkenji3676
4 жыл бұрын
On point
🤣🤣🤣hemedy nakukubali xna
Nakubali phd
Sawaaa
Diamond cyo malaya, Malaya uyu apa sema tu hana nyota ya kupaa watoto 6 jamn
@utahmedia4534
4 жыл бұрын
Ila kweli sema mondi ndo anafuatiliwa sana
@janethkilonzi4260
4 жыл бұрын
Kabisa kabisa naamin hili
Uyu jamaa na wolper nawaelewa mno😂😂😂yan kama kuna some characters wanaendana wanafurahisha sanaaaaa💖
Watoto 6 kila mtu na mamake😂😂😂😂😂😂😂
Jonijoo umetisha, nakubali!!!!
Jonijo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahahahah babake ila gud sana mwamba ni nouma . Napenda pgo km hzo
Good sn
Yes
😂😂Hemedy 🙌🏾
Kalii mno
@fatumaamiri5737
4 жыл бұрын
Zuchu hutak mdada wakazi
Hemedy bwana"eti uso wangu biashara"
Hahahaha hii kali bwan
Hahahahahahahah huyu mtu daahhh hemed bora bass broo
Bangoo limewaka taa mwaaaaaa