HATIMAYE MAGRETH APATA MCHUMBA BAADA YA KUKATALIWA NA MR RIGHT KADHAA
Ойын-сауық
Kwa story zaidi za maisha, burudani, vipindi na za kila siku tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►JOIN OUR WhatsApp Group chat.whatsapp.com/D8xC5Myxrkh...
►SUBSCRIBE / @stbongotv
►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
THE BANTU JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 10 JIONI
SPOTLIGHT JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 12 JIONI
TWENDE JIKONI KILA IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 JIONI
FASHIONISTA KILA JUMAPILI SAA 1 USIKU
MR RIGHT SHOW KILA JUMAMOSI SAA 4 USIKU
KIU SERIES JUMATATU HADI IJUMAA SAA2:30 USIKU
THE SPIRIT NA IBADA LIVE KILA JUMAPILI KUANZIA SAA 4 ASUBUHI
MOVIE NIGHT NI KUANZIA JUMATANO MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA NNE USIKU NA MARUDIO MCHANA KILA SIKU
Пікірлер: 545
I love this game,,,,Tanzania mna heshima sana🥰,,,mr right ya kenya haina hata respect 😢
@hellomrrighttanzania
9 ай бұрын
It's a very nice show.. Catch up with us for season five very soon
@westcijosh
9 ай бұрын
Hamna ya kenya ipo scripted ndio maana huwaga n ovyo ovyo
@Reemysidimaojo
2 күн бұрын
Kabsa hata sitki kuangalia
Nmefurahi jmni uyu dada mrembo,mpole mdogodogo hongera mna nilikua naisubiri hii siku ya leo kwa hamu😍😍🙏
@JafesLubenge-ci6ey
Жыл бұрын
8TH of March and I have to wait until after graduation in
Lulu leo uko smart Masha Allah mtoto wetu wa kislamu ..Mob love from Kenya
Dunia kweli ipo mwishoni kha!watoto wa kike wananadiwa kwenye mnada kama mbuzi?mungu saidia kizazi hiki kinapita kwenye majaribu makubwa mno
@KadaPainter-mw3uw
Жыл бұрын
Dunia imeisha
@magrethmbangama1199
Жыл бұрын
Sana ndugu yangu maana hapo hamna swala la Imani wala nini eeMungu tusaidie watoto wetu .
@mubuyafrancis3979
Жыл бұрын
Hapana Mbona ni swala kawaida watafunga ndoa watajadili wote Kwa pamoja kuhusu Hilo swala
@abdulazizkilume8641
Жыл бұрын
Hamna SAwa hapo mpka inafika hatua wanawake wanajiweka kama mbuz vile wakiuzwa mnadan ni upuuz mtup
@tinadesmond9415
Жыл бұрын
Kama kuku afadhali mbuli
Ila dada mwenye nguo nyeusi amenibariki sana japo mm n mdada
@nancyfamilysharesmoments7634
Жыл бұрын
Yaani hata Mimi kwakweli
@jamesmapoya7329
9 ай бұрын
Upo sahihi
I felt like crying aki this has shown me how ladies are yearning for love out here😢😢
Congratulations man we like it Hadi mm l wish kukuja uko niweze kuchagua mbitti moja wakati ikifika nami nitawasili ebana shukran pongezi Sanaa ✌️✌️✌️✌️👌👌👌👏👏👏👏👏👏👏👏👏😍😍🔥
Ma single tujuane Hapa Kwa Coment Bonyeza Like. alafu sema vitu vitatu amabvo wa penda kwa future Baby girl ama Baby Boy.
@OrecyOwden
Жыл бұрын
Napenda nije fanikiwa kumpata mwenzangu Kwanza ustaarabu ,heshima, upendo wa kweli, na mwenyemchango wa akili Nini tufanye tupate pesa tusiishi kwa kuteseka, mengine ni madogo yanajiset simpo
@yvonnejoyce
Жыл бұрын
@@OrecyOwdenI love your comment❤
@officialsalhat6719
Жыл бұрын
@@OrecyOwden daah napenda sana ningepata kama wewe cz huenda tungeendana 🥺
@williesteen9252
Жыл бұрын
Any connection to How jecinter can be reached to
@modduwaziry9482
Жыл бұрын
True love, respectful, and truthful
jameni nimefatilia hii show sana magret ameteseka sana🤔ila namtakia kila la heri na Mr right wke
Waoooo🎉🎉🎉🎉🎉👌👌umenifurayisha kaka 👌👌
Umepataa mwanaume ambae kila mwanamke hupenda mwanaume yuko hivyo 🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@tumainishekalaghe6224
Жыл бұрын
Nivyaukweli ivi
@Zuuh4286
Жыл бұрын
@@tumainishekalaghe6224 ndiyo ila kila mwanamke na chaguo lake me binafs mwaume tufupi hapana pia me n mrefu so hata tukilingana urefu so mbya iko sawa 😂🥰
Subhanallah.. wake wachaguliwa kama tomato
God hv mercy on our girls..These ladies r very beautiful ❤️
hongera sana kipenzi 😍
It was cool to seee me right iko na Respect kuliko yakenya
I really like that ñiggå❤ selection indeed
Mungu ndie ameweka ndoa,nashangaa Mungu tumemwacha atupae vitu sahihi,kwa Akili zetu tutaambulia makurumbembe tu,
Bora niolewe uke wenza kama wanawake wamefikia uku😂
Nimefrahi ❤️❤️
Heshima kwenu nawapenda
Congratulations my dear magret
Islam ☪️ gives values for our women that’s we don’t accept such things
Am from Uganda 🇺🇬 and I would like to join that game for sure ❤❤❤
@bamanyasalvius123
Жыл бұрын
You are welcome
@bwetungegodfrey4131
Жыл бұрын
Hehehe naawe oyagala ka zannyo kano! If u can speak kiswahili I think the game will be easy otherwise not a simple task
@muganyizifilbert2609
Жыл бұрын
Welcome phiona
@nortonmwaura6123
11 ай бұрын
Why if I can invite you to kenya and we date 😅
Islamic be careful usije kutumbukia motoni kwa matakwa yako we are leaving the end life 😭😭😭😭💔
Watu wanaipenda dunia kuliko Akheir dalili za kiama hizi Mtume Muhammad s a w alitabiri mwisho watu waipenda dunia
Mtihani wa kijamii huu
hongera
Mashaallah ❤️💞💕🥰😍
Very nice game I would love to be there 😅😅😅❤❤
Haibu ukiachwa hapo😂😂😂😂❤❤❤hongera dadaangu
Huyu Binti nilimtamani japokuwa alimchamba ex wake ila ni karembo sana.
It was cool to see Magg happy
Mm binafsi nimefurahi sn Magreth amempata Chaguo lake Sahihi... nawatakia Mapenzi Mema mpendane Milele Daima 👏👏👏👏👏
@ashasendoki6888
Жыл бұрын
Kwan hii kitu ni kweli,???
@yohanakiyumbi4795
Жыл бұрын
@@ashasendoki6888 ndio ni Kwl kbs Maana kuna Wengine Wanapenda sn mpk wanafunga ndoa na kuzaa Watoto kbs
@yohanakiyumbi4795
Жыл бұрын
@@ashasendoki6888 halafu wakifanikiwa wanakuja Kushukuru
Yuko bomba..😍 mgrat
Allah Awastiri Watoto Wetu Na Ndugu N.K Allah Awastiri Yarabiy Tuliaambiwa Hilo Wataona Kisiki Wasafiri Mwanaume
Congratulations magreth
honger
Mnahararisha ngono
Magreth love you
Hongera wajina
Hongera❤ mager
Bro umeangukia Dem mrembo❤❤❤... Waaa haki sifichi nilishikwa na wivu
@westcijosh
9 ай бұрын
😂we ni kenge
Hongera wajina wa mwananimefurai sana
i love this game...iko serious like hell..hongera margret💋💋
Kinaa Magee haoo🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌😅😅😅😅 Motoo wa kuotea Mbali
Nafikiri tupate na mrejesho baada ya miaka miwili maana mahusiano sio rahisi kiasi hiki
@Teddy-fq5oc
Жыл бұрын
Umeona eee
@HeriethJoram-rb7ce
Жыл бұрын
Ivi hufanya kweli au
@leonardmathias9948
Жыл бұрын
Miaka miwili au miez miwil😀
@marrypius576
Жыл бұрын
Hawafiki mbali hawa ni maigizo tu haya😂😂😂😂
i rill like mwanamke anayedeka yani acha kabisaaa uwa ananimaliza
Kila raher mage. Mefurah
Tunahitaji mtuletee maisha ya baadae ya hao ambao wamepata wenzi wao na hawa wanaondelea kuwapata na kuondoka huko waliko Tafadhali... ili ku inspire uhalisia wa kile kinachofanyika
@yasinlau5074
Жыл бұрын
Nimaigizo
@mariamkhamis2243
11 ай бұрын
My hapo hakuna ndoa maana wengi tunaowaona hapo wanataka kufahamika baadae nimewaona kwenye film
hivi huko bongo siku hizi muna wanawake weusi kweliii
Kweli true
Hivi ni kweli hawa watoto wa like wamekosa wanaume wa kuwaowa mpaka wanafanyiwa mnada kweli,?
Nakubali
Waaaah 😳
Mungu awenanyiiii amennnnnnnnnnnnnnnn🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nicksanga6454
11 ай бұрын
Ni vizuli ila tuwe tunapata maendeleo ya hai watu
Why are yua shows short we want full videos
Mmmmmh haya bahna.
Duuuh Dunia hii
Mwijaku yeye anaenjoy kuwakumbatia wale wanaoshindwa 😂😂😂😃
@glorynjau-gf4uo
Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
Huu mtindo sio mzuri halafu mwinyaku wewe unasema ni muislam halafu unashadidia mambo hayana maana huo chumba mtu amevaa nguo wazi mapaja nje wanakubatiana sijui kama unajuwa hicho unacho kifanya kama ni dhambi haifai muislam kumkubatia mtu alokuwa maharim yake kila alieshiriki hapo ajuwe amemkera Alla
Hongera Sana mrembo nimefurah❤❤
@munisialpha6465
Жыл бұрын
Hi jennifer
@user-gs3by8jx8v
Жыл бұрын
Hi
@user-gs3by8jx8v
Жыл бұрын
@@munisialpha6465 hi
naipenda mr right
Nakubali san
Magreth umesema ukweli ila so bahati yako Mungu ndo kakuandalia huyo mpende sana
Magreth she is beautful
🎉🎉
Hii ina kazi gan
Waooooooooo
Ila watu wana makasiriko nyie kulizwa kwenye mapenzi ni kitu ingine ndo mn mtu anaamua kwenda huko wazee
Here I am,🖤💖💖💖💖
Wow
Kila mutuu nawakati yake dada hongera hongera utuliye kwa ndoa yako
@asumaathuman6094
Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@marrypius576
Жыл бұрын
Hiz ni drama mim hua siziamin😅😅😅😅
@fay078
Жыл бұрын
@@marrypius576kbsa 😂😂😂ni drama to but we enjoyed
Magret she is so baby🤣🤣🤣🤣🖐
❤❤
Mtihani sana sijui nini kimebaki kuashiria kiama kusimama😢😢😢😢
@zahraabdul9652
11 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢kweli kabisa aturehemu Allah kwa mambo yanayo fanywa
@husseinmillinga1920
10 ай бұрын
Dunia imesha
Mmm❤❤❤❤
Hii dunia Mungu atusaidie hv tumefikia kweli hata Mungu nazan anashangaa haya mambo yaan tunatafuta ndoa kwanjia hii alafu kwa wazazi mnaenda kusema nn au hawana wazazi hawa
@furahasmart1516
Жыл бұрын
Weweee embu kojoa ulale
Na mm nimefurah kwakweri mgrt hongera
@gomesamakota3294
Жыл бұрын
Hbr yako !! Je umeolewa dd ?
Tunataman kujua maisha yao baada ya hapo
@NicholasMulinge-mx8nx
Жыл бұрын
Naweza Tamani kujua pia
Like it
Her dress her choice though 😊
Napenda xaaana jamn hiki kipind
Napenda kuuliza iv huwa wanaowana jumula au nikamchezo faran t
Wadada wote hapo wadangaji tu, Ukiwatazama most of them ndio wale wale tu, Tena kama huyo Eliza, Anaelekea ubibi kabisa lakini ana ashuo balaaa.
Halafu mnajiimbia nyimbo takatifu za Mungu kwenye upuuzi
Hivi ni kweli wanapataga ndoa ama utani.... na mimi niende
Napenda mwanamke mweusi awe mrefu kiasi napia awe mchapakazi
@edvinaselestine712
Жыл бұрын
Mmmmhh
Nimefurah
Jamani tujuambien kama kuna nafas ya kujiunga❤
Daaah
Hivi ni kweli Au uongo
nice san magret
Na sijui kwann mkapewa ruhusa kuvifanya vipindi vyenu c maadili ya kitanzanzania hayo. Not good kabisa
❤❤❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏
Masoud anapenda vtu vidogo masoudiiiiiiiii😂😂😂🔥
Wameendana jaman
C kwa huyoo mwijakuuu
🥰🥰🥰🥰
Ivi niulizee mtu unakosa hapo mwanamme unalia kabsaa yani unalia uwiii hakii tunajiabishaa jmnii kweli soko gumu🙌🙌
@neemamassawe8091
Жыл бұрын
😂
@marrypius576
Жыл бұрын
😂😂😂😂 mim nashangaa aibu san mbona wanaume wako
@abukhalid3201
Жыл бұрын
😂😂
@elizabethismile6827
11 ай бұрын
Si ndio jamni 😅😅😅 ndo unaliajee ivoo kweliii jmnii 🙌🏼🙌🏼🙌🏼