GB 64: Naisubiri 'Thanks You' ya Jobe, Chama miaka miwili Simba, tunamtaka Aziz KI

Shabiki wa Simba maarufu 'GB 64,' ametoa mtazamo wake kuhusu maboresho ya kikosi hicho katika kipindi hiki cha usajili, akidai kuwa anatamani kusikia mshambuliaji, Pa Omar Jobe akipewa mkono wa kwa heri kwani kiwango chake kinazidi kushuka na hana mchango tena ndani ya kikosi hicho msimu ujao 2024/25.
Hata hivyo, anatamani kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI awe miongoni mwa mastaa wa Wekundu wa Msimbazi, huku akitamba tayari kiungo wao Clatous Chama, ameshasaini miaka miwili kuitumikia timu yao.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Пікірлер: 37

  • @user-il5jn5jm3r
    @user-il5jn5jm3r7 күн бұрын

    Sio shomari law anaitwa lameck law na simba hakuna mchezaj anaeitwa Muhammed hamisi anaitwa abdallah Khamisi we mshabik gan Ambae huwajui wachezaji wa timu yako unanifikirisha sana

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l7 күн бұрын

    Simba nguvu moja 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Buy_YT_Views.293
    @Buy_YT_Views.2937 күн бұрын

    Wow, the editing skills are on point!

  • @MBUGHITV
    @MBUGHITV7 күн бұрын

    Huyu Mtangazaji

  • @MarryCharles-rc6ei
    @MarryCharles-rc6ei7 күн бұрын

    Mwandishi hana maswali ya kuchimba tupate story iliyoshiba,

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka2567 күн бұрын

    HAWA MACHOGO FC ADABU YAO TUMCHUKUWE AZIZI MAFUNGUWO 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @AbdulkarimWaziri
    @AbdulkarimWaziri7 күн бұрын

    Huyo unasema anaongea pumba haya lete madini yako tukusikie

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np7 күн бұрын

    Mdomo unamponza ndio maana uliwekwa ndani

  • @suleimansuwed1846
    @suleimansuwed18466 күн бұрын

    Haikunifurahisha saido kuachwa yulekaka mpira anajuwa aanaweza

  • @SabangaOnline-uf3rl
    @SabangaOnline-uf3rl7 күн бұрын

    GB 64 waambie hao yanga mpaka AVIC TOWN wamefukuzwa wanadaiwa

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    7 күн бұрын

    DENI MPAKA MIKUNDUNI NG'OMBE WA SUPU MKOPO CHAPATI MKOPO 😂😂😂😂😂😂 MACHOGO FC HADI HURUMA

  • @allykivike6958
    @allykivike69587 күн бұрын

    GB kichwa.

  • @khamidujumanne
    @khamidujumanne6 күн бұрын

    Lameck law kayeyuka haaahaaahaaa😂😂😂😂😂😂

  • @ambwenemwamwimbe153

    @ambwenemwamwimbe153

    6 күн бұрын

    Bado wew tu kuyeyuka cjui unasubir nn

  • @Manywele.Maluja
    @Manywele.Maluja6 күн бұрын

    Na boko vp hana kabila lake au yeye ni mzungu mbona ilikuwa thank you

  • @mwanangusana
    @mwanangusana7 күн бұрын

    😂😂😂😂 mpiga kelele huyu...

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    7 күн бұрын

    MKILIPA DENI LA MILIONI 860 NA NYIE UTOPOLO MACHOGO FC MTAPIGA KELELE 😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @eliahbukukumwaikuju7403
    @eliahbukukumwaikuju74037 күн бұрын

    😂😂😂😅😅😅😅😅😅😊😂😂 Basi,inatosha 64GB,unawakera watu kuliko Manara!

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt7 күн бұрын

    Wanadaiwa mpaka kausha damu

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    7 күн бұрын

    WANADAIWA NG'OMBE WA SUPU CHAPATI MACHOGO HADI HURUMA 😂😂😂😂😂

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt7 күн бұрын

    Kama wew huli bangi mbichi ulijuaje kama yeye anakula nyani haoni kundure

  • @mwanangusana

    @mwanangusana

    7 күн бұрын

    Acha kumtetea ..... Atasema mwenyew kama anatumia au hatumiii 😂

  • @mwanangusana

    @mwanangusana

    7 күн бұрын

    1. Athuman idi chuji 2. Kelvin Yondani 3. Ramadhan wasso Sisi tumechukua wakiwa wanawahitaji .... Gb 64 huwa anapiga makelele 😂😂😂

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    7 күн бұрын

    ​@@mwanangusanaBORA BANGI MBICHI KULIKO MADENI 😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @BarnabaJaphet
    @BarnabaJaphet6 күн бұрын

    Hizi ni salam zangu kwako mwandishi kwanza ningependa kukusifia coz we ni mzuri na umependeza sana lakin sasa napenda kuchukua nafasi ya kukukosoa kwa madhaifu ulio nayo ili uyafanyie kazi jambo la kwanza mpangilio wa maswal yako hauko sawa pili haumpi nafasi ya kukuelezea yule unae mhoji yani unakua kama unapiga nae story tu tatu huna maswal ya msingi so fanyia kazi hayo mambo na utakua vzr

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s7 күн бұрын

    Mmeshindwa kumnunua Lawi hadi mnataka kumuiba mtamuweza Aziz Ki...huyu nae wamfatilie atakua anavuta masega ya gari🤔

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    7 күн бұрын

    AZIZI K TUTAMCHUKUWA KIULAIIIINI 😂😂😂😂😂 MACHOGO FC NYIE

  • @user-mg1yl2rl8s

    @user-mg1yl2rl8s

    6 күн бұрын

    @@salimmalaka256 Labda azizi lawi chogo na mikia fc nyie

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    6 күн бұрын

    @@user-mg1yl2rl8s MATOPOLO MACHOGOOOOOOOOO

  • @user-ht5tc5yv5t
    @user-ht5tc5yv5t7 күн бұрын

    Et havieleweki😅😅😅😅 bas mnataman kuskia chochote 😂😂😂😂

  • @sosmakanya4901
    @sosmakanya49017 күн бұрын

    Wewe GB 64 unaongea sana halafu nimekuja gundua ni pumba huna uwezo wa kuongea lolote juu ya Yangu. Kuanzia leo nimekuona huna lolote

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    7 күн бұрын

    TULIZA KIJAMBIO HICHO MATOPOLO MACHOGO FC NYIE

  • @ShabanMdagano
    @ShabanMdagano6 күн бұрын

    UNAONGEA SANA

  • @user-bi8hr3nu6g
    @user-bi8hr3nu6g7 күн бұрын

    Bangi mbichi acha itakuzulu

  • @salimmalaka256

    @salimmalaka256

    7 күн бұрын

    NA NYIE MACHOGO ACHENI BANGI KAVU ZINAWATIA MADENI 😂😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @proisolution7166

    @proisolution7166

    4 күн бұрын

    GB 64 YANGA SASA HIVI WAPO LIKIZO,HAWAISHI NYUMBA YA KUPANGA, SIMBA NDIYO WANAANGAIKA MKATABA WA NYUMBA UMEISHA MWENYE NYUMBA ANATAKA NYUMBA YAKE SO WANAHAHA.HUYO DADA MNAMWONEA KAVAMIA FANI,CSE NI KAMA ANAJIFUNZA,NA HUYO POYOYO NDIE WALE UPELE UMEPATA MKUNAJI.

Келесі